Frida ni msanii mkali sana alafu collaboration na uyo jamaa ni fresh sana. Sema tu G katu beep. Nilitegemea zile michano zake apo ndani inge ileweka zaidi japo tume elewa. Much love
Kila siku narudia jaman huyu FRIDA huyu huko mbele AMANI itapotea kwa female rappers 😁 huu moto anaokuja nao labda awe na ghost writers lakini kama ni yeye 😮 ohoo hayaaaaaaa mi ntaendelea kuwakumbusha tu
Kama unamkubali frida weka like zako hapa ❤❤
Hili goma nililiskia duka la viatu..nilitafuta google almost siku nne wazee...MUNGU MKUBWA nimeupata ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😢
Next time, just SHAZAM 👌🏼
Frida ni msanii mkali sana alafu collaboration na uyo jamaa ni fresh sana. Sema tu G katu beep. Nilitegemea zile michano zake apo ndani inge ileweka zaidi japo tume elewa. Much love
Yeah
Goma kali Frida 😍⭐🇹🇿
Hii nyimbo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌 frida unajua sana
Na me Leo nmewahi Leo naomben likes zangu
Ngoma kali sana Can i get like ?
lauryn hill wa kwetu.
Hujawahi niangusha all times
Kutanisha..young lunya,Gnako,Jux,nikki nawengine ongeza wakali wawili fanya remix.. kitu itakuwa balaa sanaa
unajuaa mpakaa unakeraaaaaa....miaka mitano tenaa
🔥🔥🔥
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anajuaaaa
I really love you frida ujua sana my sister ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥
Popote alipo frida huwa siku zote hakuna amani!!!❤😂
Yaaan Frida nyie ...daaaah
😍😍😍😍fridaaaaaa weeeeeh
Nlikua nasubiria G nako achane😎 kazi nzuri Frida🙌
This is it 🔥🔥
MASTERPIECE 🙌🏾
🎉🎉 Fifi
Blessed i like this song
Ume uwa sana mimi ni shabiki yako toka Congo
God bless Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 peace 👏🙌🙌👏🏇
Queen fifi 🔥🔥🔥❤
its a vibe...much love from KENYA
Nimevuka mipaka takusikiliza nyimbo uku hii ni mara ya 5 sa ntafanyaje ka Ngoma ni Kali bhana eeeee sio shida zangu Wacha niienjoy 😂😂😂🎉🎉🎉
Nimeipenda hii kitu itabaki kwenye history trust me
Good music of the time ❤🎉
Woyooooooooo ni 🔥 🔥
Tajir nakubali ❤❤❤❤❤
Madam President killed it🔥💯
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Unyama . Wara wara 🔥🔥🔥.
#🇰🇪
🔥🔥
🎉🎉💥💥🔥✔️
dada frida anajua anajua tena umetisha hasa zile live perfomance ningepend a hii nyimbo maalipa GNako cku nyingine u do na CHIKE
Komwee ilo😅
Kiitikio kizuri sana
Fine ❤
Frida yuko juu
The Queen 🙌🫡🏆
❤🙌🌹
🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
G ni kankara frida ni nako yaani 100%
G never disappointed me bro 🫶🔥❤️
Ila g nako daaah☠️☠️
I Like It 🤧
Nakupenda
Goma lakwenda🎉🎉
Classic
haya na mm nipo mwanzo mwanzo leo
Nice vibe
🎉🎉
🎉🎉🎉
❤️❤️❤️
❤❤❤❤
🦅
Shwaaaaaa
Unajua dada
im a fan but it seems you sound down than the rolls id suggest a redone mix juu sauti ya beat iko juu sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice song
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Iii ni noma
Nice
Hallooooooo🎉
Good
I see you're good combination with rapcha, you can do something nice.
Kila siku narudia jaman huyu FRIDA huyu huko mbele AMANI itapotea kwa female rappers 😁 huu moto anaokuja nao labda awe na ghost writers lakini kama ni yeye 😮 ohoo hayaaaaaaa mi ntaendelea kuwakumbusha tu
🔥🔥🔥
Good
🔥🔥
🔥🔥🔥