Nawapongeza Sana kwa kazi nzuri ya kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji. Sauti zimepangiliwa vizuri, pia mtunzi akifanya kazi yake kwa ufasaha na umakini kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu. Hongereni Sana na Mungu baba wa mbinguni awashushie Baraka zake kwa wingi
🎉🎉🎉
❤❤❤
Hongereni sana! Mko vizuri Mungu awatunze na awabariki
Amina Amina Amina
Hongereni Sana kwa Utume mwema....mko for
🔥
❤❤❤naeza pata wapi notes
Nausubilia Sana huu wimbo
Hamjawai kutuangusha kwenye swala la uimbaji Mungu aendelee kuwabariki kwenye utume wenu huu...Ameen.🙏🏾🙏🏾
Wow ,Asante sana barikiwa nawe
Utunzi safi sana
Muziki umetulia sana
Hongereni mno
Shukrani. Amina Amina Amina
Nawapongeza Sana kwa kazi nzuri ya kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji. Sauti zimepangiliwa vizuri, pia mtunzi akifanya kazi yake kwa ufasaha na umakini kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu. Hongereni Sana na Mungu baba wa mbinguni awashushie Baraka zake kwa wingi
Amina tubarikiwe sote
Baraka tele kwenu!
Amina, tubarikiwe sote