DHAMBI YA KUONGEZA MAKALIO IMEFIKA MBINGUNI EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 38

  • @jeryniyi3934
    @jeryniyi3934 9 дней назад +2

    Asante kwa mahubili mazuri, Mungu akuzidishie

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 9 дней назад +2

    Shida yanayohubiriwa watu wanaona nikawaida na wanaona wanapoambiwa wanaonewa na kuona anayesema hayo ni mshamba ..Asante MUNGU kwa kunisaidia na nikabadirika

  • @dorcasbyela1887
    @dorcasbyela1887 9 дней назад +3

    Kwa kweli nabarikiwa na injili hii ,Mtumishi Bwana Yesu akubariki. Wa kupona tunapona wa kupotea atapinga

  • @HalimaPaskal
    @HalimaPaskal 9 дней назад +1

    AMEEN mtumish mungu akubariki sana sana AMEEN 🙏 🎉🎉🎉🎉welcome Kenya 🇰🇪 🙏

  • @christianKabemba-s1v
    @christianKabemba-s1v 9 дней назад +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nakufatiliya sana hapa marekani mungu azidi kukutiya nguvu

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 9 дней назад +1

    Aminaa ubarikiwe sana kwa kusimama na kuongea ukweli wa mungu, bwana niakulinde na kukupandisha viwango vya juu zaidi na akutosheleze kwa mahitaji yako yote

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 8 дней назад

    Barikiwa mtumishi kwa injili ya kweli 😢😢😢

  • @alicekosgei6217
    @alicekosgei6217 6 дней назад

    Amen,this is now the true man of God

  • @gidionYeremia-n5z
    @gidionYeremia-n5z 9 дней назад +2

    Uko sahihi mtu wa Mungu atuhurumie sana Mungu

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 9 дней назад

    AMEN AMEN...
    Naomba niulize jambo, vipi kuhusu wanawake wanye ndevu ka wanaume, je hilo ni sawa au kuna shida ya kiroho???

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 9 дней назад

    Mungu atusamehe sijuwi kama hii dambi inasamehewa.

  • @MuhadiaSheila
    @MuhadiaSheila 7 дней назад

    Dunia iko mwisho kweli hizi ni vituko ooh Mungu tusaidie nautusamehe😢

  • @JoyceFungo-c8k
    @JoyceFungo-c8k 9 дней назад

    Mungu aturehem nabarikiwa sana Mtumishi na mahubiri yako.

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 9 дней назад +1

    Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.
    Wanadamu wametukana Mungu na kumdharau sana, kila anapotazama ulimwenguni analia machozi maana mwanadamu wa asili aliyemuumba haonekani. Akiangalia mwanamke aliyemuumba amekuwa mwanaume, akitazama mwanaume balaa wamesonga nywele, wametoboa masikio daaaah! Sijui watu wanaenda wapi? Mungu atusaidie kuushinda ulimwengu huu. Wengi wako makanisani wanaomba lakini hakuna utukufu wa Mungu kwao. Kwa sababu unapoweka wingi, au chochote sio cha kiasili mwilini mwako utukufu wa Mungu unaondoka kwako.
    Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno hili la kweli.

  • @parasidomwananjela-e6u
    @parasidomwananjela-e6u 9 дней назад

    Mungu akubaliki

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 9 дней назад

    Oooooo yes amen

  • @dorothynyaboke4270
    @dorothynyaboke4270 9 дней назад

    ni kweli ila tuko ziku za mwinzo ila tumlilie mungu

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 9 дней назад

    Neno la Mungu halitapita bure

  • @Phyllis-n5f
    @Phyllis-n5f 9 дней назад +1

    Tuambie kabisa mtume wa yesu

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 9 дней назад

    Mungu anisaidie nibadili tabia ya kumkosoa, niwe jinsi alivyoniumba.

  • @TwelveØg
    @TwelveØg 9 дней назад

    Kabisa

  • @GraceCosmas-wq6eg
    @GraceCosmas-wq6eg 7 дней назад

    Huyu ni MTU aliaye nyikani, endelea kasema ukweli hukumu ya mungu yaja katika ulimwenguu.

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 9 дней назад +1

    Ni kutubu na kuacha,moto wa jehanum hauna huruma

  • @JacklineMroso-gy6ej
    @JacklineMroso-gy6ej 9 дней назад

    Neno ni upanga

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 6 дней назад

    Asilimia ya wanawake 99% watakosa kuingia ufalme wa Mungu.
    Nywele bandia, kope bandia, midomo bandia, maziwa bandia, makalio bandia, makucha bandia, ndani ya macho wanaweka vitu vingine, kwenye miguu wanaweka vikuku, rangi bandia, makiki bandia, Mungu Baba turehemu

  • @VenanceMwaisanga
    @VenanceMwaisanga 8 дней назад

    Kwakweli ole kwa dunia

  • @HoraceKomban
    @HoraceKomban 9 дней назад

    Ni sahidiye kupata mwimbo ya : kiapo kia kuzimu , yote nzima svp 🙏🙏🙏

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 9 дней назад

    Andiko gani linasema mungu haangalii mavazi,kwani lengo la kununua makalio ya bandia nini?

  • @Phyllis-n5f
    @Phyllis-n5f 9 дней назад

    Na mbona tunaambiwa mungu atazami mavazi

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 9 дней назад

      Anayekwambia hayo muulize andiko la hayo maneno ndipo ulishike hilo kama hatakuonesha hilo neno kimbia mara Moja .....soma 1 Petro 3:1_7

  • @DianaMaiko-z9k
    @DianaMaiko-z9k 9 дней назад

    Ni ukweli bila kutubu Dhabi zako hakuna dhambi itaiingia mbinguni Bali utakatifu wa Mungu.
    Ni vizuri tuhukubali ukweli ssa kwani siku yaja utautatafuta ukweli huu ili utubu lakini saa ya rehema itakuwa imeisha.

  • @Franklajifaunuel
    @Franklajifaunuel 9 дней назад

    𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒓𝒖𝒏𝒛𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒕𝒌 𝒌𝒖𝒊𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒆
    ❤❤❤

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 9 дней назад

    Neno la Mungu halitapita bure