HUU NDIO UCHAWI WA MWAMPOSA ANAO TUMIA KUVUTA WATU EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии •

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 12 часов назад

    Amina. Yesu, jina tofauti, ajitosheleza na la kipekee sana. Ukilitacha, unaokolewa.
    Mungu anijalie kupitia kwa mwanawe, Yesu kristo, nami nipande hazina mwezi huu kwa hii madhabahu.
    Kwa mapenzi yako Mungu, naomba niwe wa kusamehe na kusahau kama alivyo mwanao Yesu kristo.

  • @AliceMakori-bs1ik
    @AliceMakori-bs1ik 14 часов назад

    naomba nabii wa mungu unikumbuke Kwa maombi am ready to follow Jesus and worship him

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 14 часов назад

    Amina Amina Mungu atusaidie na kutujalia hekima ya kimbingu tuweze kushinda ibilisi na mipango yake.
    Kitu moja watu hawajui ni kwamba kuna agano kupitia kula hivyo wanazidi kujiunganisha kuzimu kupitia kula. Na kwa sababu hawataki kusikia watalishwa hata kinyesi cha mbwa.

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 15 часов назад

    Amina amen

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 15 часов назад

    Amen