CASSIAN NA MBARIKIWA WAMUWEKA KATI MWAMPOSA KWA UTAPERI WAMIJIZA EV PASCHAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 38

  • @GabrielBoniface-pe3kc
    @GabrielBoniface-pe3kc 19 часов назад +1

    Sawa kabisa mtumishi wa mungu Cassian pamoja na mbarikiwa mpo sahihi watu tunadanganywa kwasababu atusomi neno na atulijui neno

  • @danieljoseph273
    @danieljoseph273 16 часов назад

    Mungu akubaliki sana wewe Paschal cassian

  • @VincentMboka-gq8ye
    @VincentMboka-gq8ye 3 часа назад

    Amina mtumishi

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 9 часов назад +1

    🙏🙏🙏🙏
    Be Blessed Man Of God.
    Vipi Kwa Mtumishi Mwingila EFATHA MINISTRY ikoje Kiroho Ni Mahali Sahihi?"

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha 15 часов назад

    Amen Amen Amen Amen Amen

  • @MedsonSanga-o7g
    @MedsonSanga-o7g 17 часов назад

    Amen Amen 🔑

  • @AdamJulius-z5i
    @AdamJulius-z5i 10 часов назад

    Natamani Sana umtafute mwamba mtoe wimbo.

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 13 часов назад

    Hela hutafutwa kwa uti na uvumba ili kusukuma kurudumu la aushi, tena kwa njia ya mkato.
    Mwinjilist, birds of the same feathers flog together. Kaza kamba, usichoke.

  • @kamandapendo802
    @kamandapendo802 12 часов назад

    NYIE NI VYUMA VINAVYO VILIVYO BAKIZWA NA YESU MTU SAIDIE SISI.

  • @emmanul1748
    @emmanul1748 5 часов назад

    Ninyi ni wakina nani kukosoa ikiwa Mungu kasema usiukumu maana na wewe utaukumiwa mtumishi au unazani kuhukumu ndo hekima. Mungu kasema tusiukumu maana nasi tutaukumiwa hiyo bas kutokumuukimu mtu hiyo ndo hekima ambayo Mungu aliiona njema zaidi

    • @ericosambi2736
      @ericosambi2736 2 часа назад

      Hawana seraa hawaa wanaupigaa mwingi kupitia mtandao ebuu nambiehudumaa yakee ikoo wapii Leo ni juma pilii angetupa ratibaza ibadazakee tuonee mashuudaa

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 20 часов назад +1

    Pumbavu atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
    Mwamposa na wanaomfuata ni wapumbavu kupindukia. Yesu alimwambia yule mtu alikuwa karibu na birika, Yesu alimwambia simama jitwike godoro lako, uende. Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Yohana 5:2-9.
    Kwa mwamposa hakuna miujiza ni kuteka nafasi za watu nyara.

  • @farajapetit7153
    @farajapetit7153 20 часов назад +1

    Huyo ni sheteni tu, akuna cha miujiza ya Mungu hapo.

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 8 часов назад

    Kweli ni mapunguani kabisa

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m 19 часов назад

    Amen 🙏🙏🤝

  • @emmanul1748
    @emmanul1748 5 часов назад

    Hekima ipi unaiongelea kumuukumu mtu, ikiwa Mungu kasema tusiukumu. Unaanzaje kumkosoa mtumishi mwenzako hiyo ni hekima kwl au wewe unaongelea hekima gan? Mtumishi nibora kukaa kimya kuliko kujichimbia kabuli kwa kinywa chako mwenyewe. Tuombee kwa Mungu atuokoe na watumishi wa uongo Mungu atakuona wa maana sana na uiubili injili ya Mungu haya mambo ya kukosoana utazani wewe ndo mtakatifu kuliko sisi acha. Ubili neno la Mungu mpka watu tuwe na shauku ya kumjua Mungu na kutaka kuiona nchi ya ahadi na sio kutufanya tumuwaze mwamposa.

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 19 часов назад

    Yesu siyo tapeli huyo Yesu Gani

  • @EzekielNdabalinze
    @EzekielNdabalinze 20 часов назад +2

    Ashukuliwe MUNGU kwakua anazidi kunipa uelewa kupitia kipindi hiki, na nitazidi kukufatilia ili nipate ufaham zaifi

    • @ericosambi2736
      @ericosambi2736 Час назад

      Kanisa lakee likoo wapii uliwahii kwendaa auu kushuudiaa miujiza yake kwa kutazma kwetu keshaa pigaa helaa

    • @ericosambi2736
      @ericosambi2736 Час назад

      Huyoo ni pauloo anasomaa kwa nyakatii zakee
      Kwaa hiyoo YESUU alikuaa anatumiaa pundaa enzii zakee mbonaa usitume punda na wewe unatumiwaa garii Teena crauni Ina maanaa ni wakati wakoo wa kuwaa mpingaa kristo

  • @AmmielNzala-fu4xu
    @AmmielNzala-fu4xu 15 часов назад

    Jamani huyo amepona ila ni hofu yake tu aisee, huyo anahofu, alafu Mungu ndiye mponyaji, na uponyaji unategemea imani ya mtu, ndio maana Yesu alikuwa anasema imani yako imekuponya, hapo kwa mwamposa kuna watu wanapona wengine hawaponi, kwasababu ya imani zao kuwa na mshaka

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 7 часов назад

    Hata ninyi mna matatizo yenu.Hapo hamsaidiane.

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 19 часов назад

    Amina

  • @staffordnasson9633
    @staffordnasson9633 12 часов назад

    wwe ndio umenifanya niamini akuna muujiza mbelele ya maombi ya mwengine kumpa mwengine...wezi nynyi ...kipara cha upigaji icho😂

  • @emmanul1748
    @emmanul1748 4 часа назад

    Usipite bila kusoma na Mungu awabaliki.Et labda niwaulize toka mmeanza kufatilia hii page labda umejua nn kumuusu Mungu. Zaidi unacho sikiliza kila siku ni makosa y wengine je huyu anaetupa makosa ya wengine yeye akosei ,mm najalibu kuwafungua akili tu. Yan kila kuposti ni makosa ya watu tu ndo unaambiwa na sio kumjua Mungu,anatumia maneno ya Mungu hayo hayo kuhukumu wengine ikiwa Mungu kasema tusiukumu maana nasi tutaukumiwa. Jamn hiyo ni code nimewapa. Mungu anawapenda tumieni akili zenu fikilia vizr kambra ujakubaliana na jambo.

  • @Lucyiminza
    @Lucyiminza 18 часов назад

    Munuu tusaidie wakristo tunapotoshwa jamani

  • @staffordnasson9633
    @staffordnasson9633 12 часов назад

    naombeni klip yoyote ambayo mtu alikua kilema na ameponywa....wote wahun nyinyi......mtumishi wakweli anyooshei kidole mwengine ...swal, wewe je nini umefanya ...acheni uhuni nyinyi naiz dini mlioletewa

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 20 часов назад

    Nyosheni njia za bwana hongereeni

  • @emmanul1748
    @emmanul1748 5 часов назад

    Mtumishi sema kwl hiki unacho kifanya akinipi shauku ya kumjua Mungu bali kinanipa shauku ya kumjua mtumishi gan anakosea na wap nimkosoe. Nataka utupe injili ambayo itagusa mioyo yetu na kua na shauku ya kumjua Mungu na kutamani kuiona nchi ya ahadi. Mm kila nikifungua page yako ni watumishi walio kosea tu na nikishawajua ndo ntamjua Mungu. Yan mtumishi wewe unachofanya nikutumia neno la Mungu kama fimbo ya kuwachapia watumishi wenzako na ulitumii kutupa injili njema ya Mungu. Mtumishi acha acha. Wewe sio Mungu acha.

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 15 часов назад +1

    Kasiani, na mwakipesile, ninyi kama watumishi wa mungu mmemponya nani ktk makanisa yenu, wapo watu wenye matatizo hamuwaponyi, ni kweli hats watumishi mnaoneana wivu, lakini hatushangai, mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe,

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina 13 часов назад

    Acha uongo wewe na mwamposa wote ni wahuni tu

  • @ericosambi2736
    @ericosambi2736 Час назад

    Hiyooo ni enziii za eliaa alishushaa motoo kwa kipindii chakee
    Wewe kamaa wewe umeshushaa nini
    Wenzioo kwa wakatii huu wana shushaa helaa
    Yesuu kwa wakatii wakee alitumiaa pundaa wewe unatumiaa usafirii ganii sasa hivii kama sioo vichekeshoo tumiaa basii pundaa na wewe
    Wewe ndoo unaa shidaa ya afyaa yaa akilui nini hapoo kinakuchekeshaa kamaa sioi umentooo

  • @ericosambi2736
    @ericosambi2736 Час назад

    Hamnaa seraa nyiee tupieenii miujizaa yenuu kamaa wewe mwenyewe uli mtelekezaa mkee. Wakoo na mtoto alafuu ukaendaa kijijini kwaoo kamm unaa rohoo wa Munguu ungalii isaidiaa damuu yakoo anzaa kujisafishaa wewe sioo kupotoshaa umaa na hiyoo clipu nimeifuatiliaa nika kutafakarii nyiee ndoo mnakulaga kondoo mnao walisha

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim 14 часов назад

    Sidhanni kama na nyie si mapunguani,mnaemfuatilia ndio kwanza watu wanafanikiwa na mungu anaIdi kumbariki,na weww casian ulisaidiwa na mwamposa leo unamtukana aisee