Nimeishi miaka 13 Ulaya. Mimi na familia yangu tumeamua kurudi kuishi Tanzania (Part 3)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 32

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  Год назад +2

    Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.ebmscholars
    Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад +5

    Very good interviews, hongera sana kaka EBM. Ushauri tu kidogo title zinamix kiasi kujua ipi ya 1,2 etc labda kabla ya title ndio utangulize PART 1, PART 2 inakuwa easier kuzipata fast.

  • @senijeremiah
    @senijeremiah Год назад +3

    Safi sana 100% ya kila kitu ni bahati.

  • @johnstoneolefa913
    @johnstoneolefa913 Год назад +1

    I am being enlightened by this discussion. Watching from Nairobi Kenya. We have brains 🧠 inside here these are like philisophers

  • @jasiri25
    @jasiri25 Год назад +1

    Huyu Lameck ameshakuwa na Roho ya kizungu😍😍

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Год назад

    Mbarikiwe sana kwa elimu mnayoitowa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад

    Motivational speaker

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Год назад +1

    Uta zeekea kwenye nyumba na TV 📺 YAKO

  • @ChrisMustafa-em1zq
    @ChrisMustafa-em1zq Год назад

    Da kweli huyo broo mweusi lakni roho yake ya kizungu

  • @saidimbondela9158
    @saidimbondela9158 Год назад

    Brother Lameck amezungumza vzr sana

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 Год назад

    Best interview hakika mkuu azungumza makavu

  • @babuisuldo9366
    @babuisuldo9366 Год назад

    Perfct! Vp kwa wale ambao hawajasoma ilaa wanatamani sana kwenda njee hio imekaaje?

  • @ishaqmsheba
    @ishaqmsheba Год назад

    Kaka Lameck upo sahihi asilimia 💯

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 Год назад

    Mimi nikienda nafamilia ugaibuni Africa kwaheli.namaanisha siwezi kuludi African

  • @plmunduki
    @plmunduki Год назад +1

    Hiyo nzuri kaka.

  • @bas2823
    @bas2823 Год назад

    Absolutely wright!👌

    • @bas2823
      @bas2823 Год назад

      KEEP IT UP👌!🙏

  • @fchagula
    @fchagula Год назад

    Safi sana.

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 Год назад

    Nimependa hii interview

  • @mimiummie
    @mimiummie Год назад

    Afrika to the World.

  • @neemakenge1153
    @neemakenge1153 Год назад +2

    Daa apo kwa muafrika ubaguzi tuko namba moja tunabaguana wenyewe kwa wenyewe kuliko mzungu anavo tubagua

  • @edwiniluther3263
    @edwiniluther3263 Год назад

    Habari, ahsante Kwa interview.. naweza kupata number ya Lameck please!!

  • @patomoe3950
    @patomoe3950 Год назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 Год назад

    ❤🫡

  • @jasiri25
    @jasiri25 Год назад +1

    Makulilo apo humwambii kitu yeye ashasema atastaafia US😂😂namimi msimamo wangu ni mi sirudii humuuuuu yaaan ni bye bye ntarud baaadae sanaaa nkiwa nko hoi nimechooooka sana na magongo yangu

    • @hermanlupogo5485
      @hermanlupogo5485 Год назад

      Huyu jamaa anaeleza vizuri sana,namwelewa vizuri

  • @fchagula
    @fchagula Год назад

    Geneva sio pakuzamia, waswiss wagumu.

  • @jasiri25
    @jasiri25 Год назад +4

    Bongo nyosooo mtu unapiga stor za simba na yanga af unaenda kuomba ukoko kwa mantilie kwa magoti😭😭🥹Maisha gan hayoooo