Songa - UDOM (Official Music )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 202

  • @cyprianyinnocenty2002
    @cyprianyinnocenty2002 Год назад +2

    0ne l0ve 😮

  • @utamumusic4412
    @utamumusic4412 Год назад +1

    Hom boy kaliiii sana hiii

  • @attainer-jr7494
    @attainer-jr7494 Год назад +2

    Hahaha acha tupate ladha shukrani sana Songa 😎

  • @dedeayew9650
    @dedeayew9650 Год назад +1

    Nani kakuambia Kipa imara hafungiki

  • @JoshuaMusau
    @JoshuaMusau Год назад +1

    This man!

  • @eagleculturetv4692
    @eagleculturetv4692 Год назад +1

    fundi ni fundi

  • @shebbypro
    @shebbypro Год назад +1

    Mmmmmmmh .........Huo Muintro noma

  • @kilimasamuel6190
    @kilimasamuel6190 Год назад +1

    Kizazi

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 Год назад +1

    Mbna wote mna mnashambulia rapcha, hadi motra ... duh

  • @gaddibullahtzg5635
    @gaddibullahtzg5635 Год назад +1

    Tamaduni music ndio chuo cha hip hop Tz na EAC

  • @seifmauld527
    @seifmauld527 Год назад +1

    Usije kuleta Mambo ya nitakusema kwa mama

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 Год назад +1

    Nataka nyingine nisapot mziki mkubwa

  • @frankvenance154
    @frankvenance154 Год назад +39

    songa nimkali kama wewe unapenda kweli HIPHOP tujuane kwa like 💯🔥🔥🤴

    • @Mc_Chabala
      @Mc_Chabala Год назад

      Ila p the mc ndo baba yao

    • @msilu_nekta91.
      @msilu_nekta91. Год назад +1

      @@Mc_Chabala ka coment kwenye post ya p

    • @sammyhenry1356
      @sammyhenry1356 Год назад

      Ata ivo songa anaweza kna nikki mbishi hao

  • @jumamzee5100
    @jumamzee5100 Год назад +1

    Asante broo mia kwako kwa huuu ujumbe tunataka laza ya kikosi kazi

  • @waduni2326
    @waduni2326 Год назад +1

    Nakubar singida boy

  • @josephjackson3363
    @josephjackson3363 Год назад +2

    🔥🔥kutoka kikosi kazi

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 Год назад +1

    Kakah 🙌🏾

  • @captainb.o.b568
    @captainb.o.b568 Год назад +12

    Hii ngoma nimeirudia mara kumi big up songa kwa ushauri 💯

  • @EnockKyejo-ej4lc
    @EnockKyejo-ej4lc Год назад +1

    the biggest pop nakukubari sana mkali naelewa ngomazako mkubwa

  • @nasreenmuhenemuhene2440
    @nasreenmuhenemuhene2440 Год назад +1

    Namsikia Joh Makini mbona hapa

  • @peterjs33
    @peterjs33 Год назад +2

    RAPCHA KAJA KUICHANGAMSHA GAME TUKUBALIANEE

  • @bikosantiago6924
    @bikosantiago6924 Год назад +2

    Og skills, hiphop shule njema

  • @Mohammed-lp9uo
    @Mohammed-lp9uo Год назад +1

    Sijui anakuwaga wapi huyu jamaaa ANAJUA MPAKA ANAKERAAA

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 Год назад +11

    songa samaki mwenye kiu ndani ya maji s.o.n.g.a hhahahaha nipeni like zngu jmn

  • @addamschamwande7734
    @addamschamwande7734 Год назад +2

    Wengi wanaosikia zire sauti zandege uwa wanaisi ndege wanaimba irami Sina mawazo yakizembe uwa nakaa chini nafikilia S,O,N,G,A, we sio baba yangu japo mama ajaniambia 🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️

  • @alfredsoso9070
    @alfredsoso9070 Год назад +2

    songaaaaa

  • @patrickmtanga11
    @patrickmtanga11 Год назад +1

    Moto🔥🔥🔥🔥

  • @kibayasadickson4105
    @kibayasadickson4105 Год назад +1

    Big bro

  • @expert5898
    @expert5898 Год назад +1

    Noma saaaana.... WHY UDOM? Tell us Songa

  • @facebmzeewakimba1546
    @facebmzeewakimba1546 Год назад +1

    Kiutuuzima

  • @ibrahimalimwafujo6136
    @ibrahimalimwafujo6136 Год назад +1

    Mmeamuamulia Dogo nyie atawadisrespect

  • @batromeojoseph3416
    @batromeojoseph3416 Год назад +3

    Gonga Like kama umerudia Zaid ya Mara 3,,,,ßig Up Songa,,,,💪🏿

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 Год назад +2

    *Utamtegemea Mungu au ndo mambo ya kwenda kwa wataalamu,hii line imebeba uzito wa maisha tunayoishi*

  • @nuuhsavage9621
    @nuuhsavage9621 Год назад +1

    Mtu m bovu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @hajimaster7624
    @hajimaster7624 Год назад +1

    Kunifikia bado kunlisi pia bado nigeuke nemless nikuwaze nikisinzia bado

  • @fazzafazza1678
    @fazzafazza1678 Год назад +1

    Ulie mulenga rap cha

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +1

    Songa hii ngoma Kali bro

  • @CHONGO543
    @CHONGO543 Год назад +1

    Maraper mnaua sana wazeee

  • @HidayaSwai
    @HidayaSwai 6 месяцев назад

    Tuna mfunga hadi kipa imala yeeah sana mwana kwetu

  • @TheRealPopkiddy
    @TheRealPopkiddy Месяц назад

    utamtegemea mungu au ndo mamboyakwenda kwa watalam

  • @mwambakati2483
    @mwambakati2483 Год назад +2

    Ongera sana brother songa

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 Год назад +1

    Kalii kuanzia beat mpak lyrics!

  • @DMATZ-qh2sd
    @DMATZ-qh2sd Год назад +1

    Elimu Buda miss sanaa

  • @kibayasadickson4105
    @kibayasadickson4105 Год назад +1

    Rap makin noma sana

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 Год назад +1

    ES O EN GI AI🏆

  • @gainjulius1164
    @gainjulius1164 Год назад +1

    Songa atupendi kuwasifia tu tunapenda na kuona mkifanikiwa pia kupitia mnachofany

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Год назад

    Songa, usiache kutupatia chakula cha ubongo. Usikae kimya sana. Madini kma haya ndio yanatufanya tuzidi kuishi

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 Год назад +2

    Mwanzo nilivutiwa na jina la wimbo sababu nilisoma UDOM nimemaliza kusikiliza nikaelewa kumbe UDOM ni "U Don't Own Me" U.D.O.M
    salute

  • @manbebo4460
    @manbebo4460 Год назад +3

    beat kali hooks feelings kali..kaka umepita fresh...umetishaa

  • @martinimatutuli5575
    @martinimatutuli5575 Год назад +3

    Songa ni hip hop namba 1 🙌

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 Год назад +1

    Samaki mwenye kiu ndani ya maji

  • @iamlunguboy
    @iamlunguboy Год назад +1

    AK-47 🔥

  • @Seccohvisual
    @Seccohvisual Год назад +6

    Tamadauni music🔥🔥🔥🔥 hii ndio timu ya taifa ya rap hakuna Kam wao majamaa ni mafundi sanaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @juliushamady1541
    @juliushamady1541 Год назад +6

    Utulvu wa uyu mwamba ni sababu anajua sana💥💥respect S.O.N.G.A

  • @yussufsaid6717
    @yussufsaid6717 Год назад +2

    Songa master wa hiphop

  • @Nickbrown127
    @Nickbrown127 Год назад +5

    Utategemea Mungu ama ndo mambo ya kwenda kwa watalaamu...💯💯❤

  • @afterx3172
    @afterx3172 Год назад +1

    SAMAKI MWENYE KIU

  • @mudimabiriani6467
    @mudimabiriani6467 Год назад +1

    Mudi Mabiriani Alikuwa Hapa 🇹🇿

  • @zabronnategwa4535
    @zabronnategwa4535 Год назад +1

    Udom✅

  • @saimonmungo4641
    @saimonmungo4641 Год назад +1

    UNYAMA SANA... UNATUMIA KINYWAJI GANI KABLA HATUJAANZA

  • @ankochoka
    @ankochoka Год назад +2

    SAFI SANA 👏👏👏👏

  • @prospasanini8958
    @prospasanini8958 Год назад +4

    Kumbuka bila kua imara hufiki,kna mda mchongo bila sala haifiki.Take note by Soga🙏

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 Год назад +1

    Hizi ndo Ladha tulizomiss toka enz za utoto hadi ndege Acha ninunue Albamu Tu

  • @yahyamanaki
    @yahyamanaki Год назад +1

    My Gee,

  • @mwajombe6601
    @mwajombe6601 Год назад +4

    Hip-hop ipo africa

  • @kigotymeentertainmentkigoy4858
    @kigotymeentertainmentkigoy4858 Год назад +1

    unaturudisha UDOM mwanangu mitaa ya ujasini

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +6

    Songa nakukubar sana yaan tokea nisikilize nyimbo zako kama vile NIITE SONGA, PICHA, NINAPOTOKA hakika nimetokea kuw shabiki yako

  • @terrymc5593
    @terrymc5593 Год назад +2

    Broo s.o.n.g.a the an limited🔥🔥🔥🔥

  • @edsonliundi3325
    @edsonliundi3325 Год назад +2

    🧨🧨🧨🧨🧨 hii ni kali sanaa UDM

  • @BugaJustine-wr9pt
    @BugaJustine-wr9pt Год назад

    Mzee upo makin mzee

  • @kibayasadickson4105
    @kibayasadickson4105 Год назад +1

    Hit

  • @abrahamanaely6676
    @abrahamanaely6676 Год назад +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @macochal4423
    @macochal4423 Год назад +2

    UKICHOKOZA KIKOSI CHA KIKOSI KAZ MUST UJIPANGE MAANA HUWEZI JARIBU MAJI YA WAKAZI KABLA UYAJANYWA MAMAE THIS LIT 🔥 BRO SONG LET KEEP THIS GAME PUSHED FAR AWAY 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @josephepimack3327
    @josephepimack3327 Год назад +5

    Kuna muda michongo bila kusali haitiki

  • @fredysemkiwa3616
    @fredysemkiwa3616 Год назад +3

    Hiphop 2023 yamoto 💥

  • @jemsimakondo6261
    @jemsimakondo6261 Год назад

    Songa ww mkali broo

  • @yobrake5856
    @yobrake5856 Год назад +9

    Hii itakua inamhusu rapcha 😅
    Love from kenya❤️🇰🇪

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 Год назад +2

    Viva Songa 🦾!!

  • @sakinajuma1135
    @sakinajuma1135 Год назад

    Dogo anafunzwa na Wakubwa kisomi, asipoelewa ataanguka.

  • @kiustaa7701
    @kiustaa7701 Год назад +2

    Hii creativity iko on another level broo

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 Год назад +8

    Safii sana SONGA, hii inamihusu RAPCHA asikilize ili asiendelee kujifanya kichwa Ngumu kwa Kaka yake Dizasta Vina.

  • @ernestgerdath9098
    @ernestgerdath9098 Год назад

    We ni mtaalam 🙏wafunze

  • @nwntz
    @nwntz Год назад +2

    j is my real inspriration artis always

  • @paschaljohn3718
    @paschaljohn3718 Год назад +5

    Salute mzee wangu

  • @isaacmafole2136
    @isaacmafole2136 Год назад +1

    SONGA samaki mwenye kiu ndani ya maji hii audio nimeirudia Mara ya kumi sasa hii, ni kali sana

  • @saidibeho9075
    @saidibeho9075 Год назад +2

    Kazi nzurii pambana achia kazi ziende

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 Год назад +4

    Daaah!! Midundo hii nmeimiss sana!!! S.o.n.g.a is 🔥🔥🔥

  • @xhamzy
    @xhamzy Год назад +3

    track Kali mzee♥️

  • @mbeyaboy5225
    @mbeyaboy5225 Год назад +5

    Unyama kaka nakubali sana SONGA 👑

  • @josephepimack3327
    @josephepimack3327 Год назад +22

    I would like to dedicate this song to Rapcha regarding his entrance to the game and ongoing situations.

  • @HaKuNaMaTaTa101eNT
    @HaKuNaMaTaTa101eNT Год назад +1

    💥💥💣

  • @issampondomoko3981
    @issampondomoko3981 Год назад +2

    RAPCHA ngoma inakuhu💥

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz Год назад +1

    One the incredible yupo wapi🔥🔥

  • @barakalais2786
    @barakalais2786 Год назад +7

    Real definition of hip hop

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 Год назад

    Nyimbo kali sana ila nashauri hii ilikua haitaki chorus kati kati ingekua mwanzoni mwisho basi ungeua kinoma.
    Mawazo yangu tu

  • @ernestgerdath9098
    @ernestgerdath9098 Год назад +1

    UDOM( u dont know me)

  • @adamomary332
    @adamomary332 Год назад +1

    Duu mwamba

  • @modricmaro851
    @modricmaro851 Год назад +2

    Sina haja ya kutafuta kitabu Cha story ngoma zako tuuu full story zinanitosha

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy Год назад +3

    Nilimiss sana chorus zako

  • @jannickfrings2937
    @jannickfrings2937 Год назад +1

    Love from Germany Bro 🇹🇿🔥💪🏾