"SASA KAZI TULIYONAYO NI KUKAMATA DOLA, KAZI TUTAKAYO ANZA NAYO NI KUENDELEZA MARIDHIANO" WASIRA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 18

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 12 дней назад

    Wauaji na watekaji kilamahali mnajisifia lkn sikuipo na kushindwakwenu😮😮

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 12 дней назад +1

    Huyu mzee ni kamaa muungano bado yupo tuu😂😂😂😂

  • @TonnleeLwisgon-c6m
    @TonnleeLwisgon-c6m 12 дней назад

    Mzee nimemsikiliza kwa makini ila kusema kweli sijamuelewa hata kidogo ila sawa😢

  • @Thomasj-o6e
    @Thomasj-o6e 12 дней назад +3

    Kwn hamkua na vijana wa kuwapa hyo nafasi jaman😢😢😢

  • @Mohamed-j5w6w
    @Mohamed-j5w6w 12 дней назад +2

    Zahanat bila vitendea kazi vya kutosha ni kama guesthouse

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle День назад

    Katiba mpya tume huru ya uchaguzi mzee tuone hayo unayosema

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 12 дней назад

    muongo ziko sehemu nyingi hakuna zahanati wala vituo vya afya wanaichi wana teseka

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 12 дней назад

    Kwenye 4R ,2Rs are fundamentals. National Rebuilding and National Resilience. Bila CCM tutakuwa na Marekani nchini Tanzania .

  • @salimbahatisha3003
    @salimbahatisha3003 12 дней назад

    Kwani makongoro nyerere anasemaje??😅

  • @swamybuda-bg7vq
    @swamybuda-bg7vq 12 дней назад +1

    Yupo

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 12 дней назад

    Sasa vijana kibao makamu mzeee duuu ataliii vijana wana beba zege k koo

  • @stn4873
    @stn4873 12 дней назад

    UMERA UMERA UMERAAAAAA

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 12 дней назад +1

    Dola simshachkua au Dola gn

  • @stellakiula3497
    @stellakiula3497 12 дней назад

    Mmmmmh ndo naona huyu mtu leo

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 12 дней назад

    Lisu ana shinda no lifom no erecsheni

  • @HansChuma
    @HansChuma 12 дней назад

    Acheni Polojo tengenezen nchi ccm ccm watu hatutaki polojo sisi nyie vip .....wekezin kwa maitaji ya wananchi na masilahi ya nchi kwa vuzaz vyaleo navyakesho