Majaliwa aagiza makandarasi MV Mwanza kunyang'anywa 'Passport' Mwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 май 2022
  • Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Uhamiaji mkoani Mwanza kuchukua hati za kusafiria za wakandarasi wanaojenga meli ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu kutokana na kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba.
    Majaliwa ametoa agizo hilo leo Jumamosi Mei 7, 2022 alipotembelea na kukagua ujenzi wa meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo unaotekelezwa kwa gharama ya Sh97.5 bilioni.

Комментарии • 260

  • @benardthomas8347
    @benardthomas8347 2 года назад +36

    Hakika tunapata imani kubwa maana tangu baba jpm atutoke tulianza kuona giza kumbe bado mungu anatuonekania, kassim endelea kufuta machozi watanzania kwa uzarendo huo.

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 2 года назад +10

    Huyu waziri ananishawixhi niwe nacheki taarifa ya habari ,safi sana mkuu🙏🙏🙏🙏

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 года назад +16

    Allah akulinde na akupe afya bora mzee wetu kassim majaliwa😭😭kwan namuona jpm ndani yako

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 года назад +8

    Maajaliwa Mungu akulinde sana kazi unayoifanya ni kubwa sana, ndio kiongozi pekee mzalendo uliobaki madarakani kwa uchungu mkubwa wa jasho ka Watanzania. Mungu akulinde sana Kassim Majaaliwa kwa roho yako nzuri na Uzalendo uliotukuka 🙏🏽🇹🇿

  • @williumteete2626
    @williumteete2626 2 года назад +13

    Asante Sana Mh waziri mkuu. Tunakuomba utembelee na miradi mingine

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 года назад +6

    Majariwa upo nyuma ya hayati jpm bibi sura nzito timu msoga walamba asali wamerudi miradi yote bwawa la umeme trein mwendo kasi daraja la magufuli kigongo busisi kiujumla miladi imesimama apo kwenyewe unaangaliwa tu mhe'majaliwa kassim na mcheza sinema msoga timu watakuangusha kimchongo wake mungu akujaarie utuvushe mzalendo majaliwa

  • @mcmi469
    @mcmi469 2 года назад +31

    Big up Sana Waziri Mkuu.. I still have faith in you. Najua unatamani jembe mwenzio JPM lingekuwepo mpaka wakati huu! I'm sure Nchi hii by now mgekua mmeifikisha kwenye standard za Singapore au Dubai. Huko sahii kabisa Meli ingekua imeshaingia kwenye maji coz ni muda mrefu sasa umepita! Mama anazunguka tu kutengeneza movie🤣 🎥 mambo muhimu kama hayo kwakwe nikama usiku wa Giza. Sad Sana!! Hongera Sana Majariwa Wewe ni Jembe kama Mpendwa wetu John Pombe Magufuli. 💪 I am sure mama will not like that!😂😂 Hataki kufunikwa nawewe mpaka hapo umemfunika vibaya Sana.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 года назад +3

      Na ndio maana akawateua hao wasaidizi wamsaidie sio kila eneo awepo yeye sio lazima!!

    • @kingmichael1234
      @kingmichael1234 2 года назад +3

      Ni ukweli kabisa 💯🙏🏽

    • @mcmi469
      @mcmi469 2 года назад +5

      @@reubenkissinga5802 Mh.Kasim hakuteuliwa na mama. Mr. Kasim ni remnant wa JPM. Mh.kasim ni Jeshi la Mtu mmoja.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 года назад

      Hata Samia Suluhu alikuwa kwenye uongozi wa Magufuli pia,,, kwa hiyo hakuna shida kuona wakiendelea kufanya kazi pamoja na utaratibu ni ule ule mmoja bado anaendelea kuwa boss wa mwenzake kuanzia awamu ya late Jpm hadi sasa awamu SSH!!!na hizo ndio kazi za waziri mkuu kwa kuwa yeye ndio mtendaji mkuu wa serikali,,,kwa hiyo ulitaka Raisi akakague kivuko???Sasa hao watendaji wake walioteuliwa na kuchaguliwa kwa kufanya kazi zipi kama ukitaka kila kazi afanye Raisi??wakati kuna watendaji wake wengi wa kuchaguliwa na kuteuliwa ambao ndio wanatakiwa kufanya hizo kazi,,,Raisi ni Taasisi dogo haifanyi kazi kama unavyofikiri au utakavyo wewe,,,,ni kwa utaratibu wa kimantinki na protokali!!

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 2 года назад +1

      Mwache acheze movies za kukunana vizuri , Watanzania tunataka kazi kazi.

  • @patrickvedasto3248
    @patrickvedasto3248 2 года назад +17

    We need this kind of boldness from all of our leaders

    • @kileohemed4958
      @kileohemed4958 2 года назад +1

      Yeeees yeeees yeeeees kazi iendeleeee saaafi saaaana Mh.

  • @josephmuhoji3813
    @josephmuhoji3813 2 года назад +3

    Mungu ni mwema wapo tu watakaosimama na watanzania kuwatetea asante waziri mkuu wetu

  • @jescagodwin2732
    @jescagodwin2732 2 года назад +9

    Nakupenda sana Majaliwa. Mungu akubariki sana. Tunafarijika na kazi zako

  • @mambachagulaga7234
    @mambachagulaga7234 2 года назад +2

    Mungu akulinde sana waziri mkuu, akupe ujasiri zaidi, tuna imani na wewe! Unajitahidi sana,

  • @kuyimabele7546
    @kuyimabele7546 2 года назад +3

    Safi sana waziri mkuu tunahitaji viongozi wa namna hii God bless you

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 2 года назад +3

    Waziri mkuuu tunakukubali Sana sema mama ndo shida

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 года назад +1

    Ila nakuonea huruma sana waziri mkuu huenda ukafukuzwa maana wezio wa awamu ya 4 hawapendi miradi ya mpendwa wetu MAGUFULI ikamilike au iishe ndio maana kila kukicha wanamchafua ila wewe komaa nao hivyo hivyo na wakikufukuza MAGUFULI UMOJA PATI itakufaa tena sana na nakupa pongezi kwa uwamuzi huo mgumu unao uchukuwa huo ndio uzalendo kuipenda Tanzania 🇹🇿 yetu na watu wake sio ombi bali ni lazima 👍👍🙏🙏💪💪💪

  • @refandasmedia6200
    @refandasmedia6200 2 года назад +3

    Congratrations Mr kasim

  • @georgegidion6977
    @georgegidion6977 2 года назад +4

    Safi sana Wazir wetu uko sahihi Mungu akupe nguvu, endelea kufuatilia na bado kuna madudu mengi tu yanaendelea mfano kiwanda cha nyama mkoa wa Geita kimetelekezwa na kubaki gofu la nyasi na majoka ....marehem aliacha mradi huo uko mwishoni kukamilika lakin alipotutoka tu ndo kikaachwa kama kilivyo

  • @adammj6258
    @adammj6258 2 года назад

    Dahh!! Hivi ndivyo tunavyofanyiwa waafrika,unawapa kazi halafu wakishachukua pesa wanauza kampuni hata mradi wa mwendokasi na Barbara ya kilwa walitufanyia hivihivi,,, Hongera WM kutusimamia

  • @rehanikharidi1641
    @rehanikharidi1641 2 года назад +5

    Safi sana hii ndio watanzania tunataka

  • @karimkalyango4411
    @karimkalyango4411 2 года назад +9

    Wallahi kweli Nchi imepata wajengaji, alisema mtanikumbuka ndio haya tunayaona. Wazir husika naona hana habar watu wemeshapiga mipesa yao. Masikini waziri mku nakuonea huruma maana upo kwenye serikal ya wapigaji pole sana mzee wangu.

    • @justiceshekalaghe5424
      @justiceshekalaghe5424 2 года назад +2

      Waziri Mkuu unatufuta machozi. Maana wasimamizi wa karibu wamelala au wamezikwa pamoja na Magu. Piga kazi usiogope tuna kuunga mkono

    • @deogratiuskweka8488
      @deogratiuskweka8488 2 года назад +1

      😂😂🤣🤣

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 года назад +1

      😂😂😂

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 года назад +1

      Nakushauri Dogo Karim,,,,kunywa maji ya kutosha vuta pumzi na kuishusha taratibu,,,ule ukojoe,,,alafu ukalale,,,Hiyo Nyongo isije ikakuua bure!!!

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 года назад

      @@reubenkissinga5802 😂😂😂dah

  • @twisileanania3870
    @twisileanania3870 Год назад

    Mungu akubariki.kwa.kazi.nzr.unayofanya.na.wa.nchi.tunakupenda.sana.na.uendelee.kukumbuka.mameno.mpendwa.wako.mangu.mlivyokuwa.mnachapa.kazi.kwa.ajili.ya.wanyoge

  • @aminachomola7156
    @aminachomola7156 2 года назад +3

    Mungu akulinde 🙏 maana wasije wakakuua na ww bure😭😭 maana had leo ukweli haueleweki JPM kafaje kwa moyo au korona. Dah. 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿 Never stop crying 🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @georgegidion6977
    @georgegidion6977 2 года назад +3

    Tunaomba wazir ufuatilie mradi wa kiwanda cha Nyama mkoa wa Geita kimetelekezwa na kubaki godown la nyasi ...wananchi wa mkoa huu wanakutegemea na Mungu akulinde ktk kaz nzr unayoifanya kufuatilia miradi ambayo haitekelezwi na viongoz wala pesa za wananchi, wakat huo wananchi hatuna hata unafuu maisha magum kila kona...

  • @sebastianungimba4676
    @sebastianungimba4676 2 года назад +24

    Machozi ya kufiwa na baba mdogo wetu wa Taifa magufuli,anatufuta majaliwa,maana mrithi anacheza muvi

    • @hussenmishamo1963
      @hussenmishamo1963 2 года назад +1

      Kwakwer n 😭😭 sjui tumemkosea nn mungu 😭😭

    • @fakiimustafa4137
      @fakiimustafa4137 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 2 года назад +3

      @@hussenmishamo1963 hamjui mmesahau mlisali mlifunga mliomba mkapewe na yoote mliyoyaomba Mungu aliwapa mkajifanya wana wa Israel matusi kejeli Dharau mara mwizi kwa kweli mlimkosea saana yule Baba Mwenyeezimungu amrehemu subirini Mwenyeezimungu ametuacha twende kwa akili zetu na bado bila toba maji tutaita mma

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 2 года назад +4

    Magufuli Jamani kila kitu hakiendi mbele Giza Nene 😥😥😥
    Kwa utendaji huu wa waziri mkuu hafla utasikia Katengenezewa zengwe na wasaliti wanaojifanya washauri wa karibu wa chifu hengaya. watanzania tunatakiwa kufahamu kuwa maadui wa ndani na nje ambao wanapambana kuuwa maendeleo ya nchi yetu.

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 года назад +1

    Kongole Sana Kasaim Majaliwa mama playing the movie

  • @shummohammed9672
    @shummohammed9672 2 года назад +2

    Mungu akutunze na akupandishe daraja kwa ajil yetu watanzania🇹🇿

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 года назад

      Anafaa kua raisi wa nchi atakama umri hauruhusu achukue fomu atapata urais anafaa asilimia 110

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 года назад +13

    Cheki hao wakolea wanavyomuangalia wazili mkuu Kwa kutia huluma walifikili JPM kafa...JPM hajafa......😂😂😂😂🤔🇹🇿🙏

  • @brothabumblumbus
    @brothabumblumbus 2 года назад

    Mzee wangu. The most country man! The big man in the house! No bullshitt.

  • @rukizatv1421
    @rukizatv1421 2 года назад +9

    Nampenda sana huyu kiongozi

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 года назад +5

    Inatakiwa watanzania tuchukue na passport ya mama ili asiwe anasafiri asimamie miradi hii

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 2 года назад +1

    Woyooo Asante mweshimiwa walijuwa tz shamba la bibi

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 года назад +8

    Nakupongeza Waziri Mkuu kwa hili🇹🇿

    • @yusufchilala3800
      @yusufchilala3800 2 года назад

      Sio kwa hili tu!....mbona yapo mengi?.....huna habari wewe!?...... Hicho kidume Babu!! 🤪

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 2 года назад +1

    Daah siamin kama bado kunawazalendo nchi hii maana tokea jpm atuache sijawahi kusikia kauli hizi,. HONGERA SANA WAZIRI MKUU

  • @abujunaidi3354
    @abujunaidi3354 2 года назад +1

    majaliwa safi sana hakuna kuchekeana . bila kuwa mkali tanznia itachezewa sana.

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 года назад

    Waziri mchapa kazi mzalendo wa kweli, Mwenyezi mungu akulinde Maana awakawii kukuletea figisu, Rais 2025 watanzania tuna imani kubwa na ww

  • @hafidhmwinjuma8398
    @hafidhmwinjuma8398 2 года назад +3

    Hakika unakayaga kwa mshuwa saluti mkuu

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 2 года назад +1

    Safi sana mzee wakizingua sukuma ndani😎😎😎

  • @yusuphutamla2426
    @yusuphutamla2426 2 года назад +3

    Safi Sana waziri 👍

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 года назад +1

    Safi sana Mh Waziri Mkuu ila kuwa makini Mh Waziri unapowafosi wafanye kazi wasije wakatutegea kitu kwa hasira kitakacho reta maafa siku za usoni chonde chonde🙏

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 года назад +1

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu kubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kumuongoza kumsimamia kumlinda na kuzidi kuimalisha afya yake waziri wangu mkuu ewe mwenyezi MUNGU

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 года назад +5

    Muda ufike haraka Mama akapumzike zanzibar, amuachie huyu mwamba amalizie safari ya JPM

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 года назад +1

      😁umesema neno tamu,.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 года назад +1

      @ Saxan njo ndugu umeupiga mwingi 🤣🤣🤣😍🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 года назад +3

    Asante majaliwa🙏🙏.
    Nauliza tu uyu makamo yupo wapi jamani maana sioni pilika zake😀

  • @haggaikinyau1395
    @haggaikinyau1395 2 года назад +2

    Ndicho kilichofanyika kwa Tanzaniteone, kampuni iliuzwa juu kwa juu bila STAMICO kujua

  • @rashidmwinyi6360
    @rashidmwinyi6360 2 года назад +3

    Sometimes I wish I could be born in Tz when it comes in National Projects Resolutions. Tz has big part of perfect leaders

  • @fundimaiko2381
    @fundimaiko2381 2 года назад +2

    Magufuli namba 2

  • @gracemachege3817
    @gracemachege3817 2 года назад +2

    Majaliwa mungu akulinde, unatufuta machozi,

  • @noelmmari8570
    @noelmmari8570 2 года назад

    Huyu ndie kiongozi anae takiwa Tz. God bless you PM

  • @jaffarymnaro566
    @jaffarymnaro566 2 года назад +1

    Jicho la wanyonge lililo baki tz kasim majaliwa kazikazi . Mama anatengeneza move

  • @medardnhungwa685
    @medardnhungwa685 2 года назад +3

    asante majaliwa tumekuelewa sana baba

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 2 года назад +2

    Pongezi kwako w.mkuu,Hapa kazi tu kazi iendelee

  • @alexmbalamwezi1540
    @alexmbalamwezi1540 2 года назад +3

    We we ndo Rais wangu ulie baki Mungu akupe afya njema

  • @kelvinmboya5846
    @kelvinmboya5846 2 года назад +11

    Bora magu angemfanya huyu mtu makamu wake saiv angekuwa rais na nchi ingekuwa salama...

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 года назад

      Mchezesha mchezo wote anawachora tu katulia

  • @jackmsuya6842
    @jackmsuya6842 2 года назад +2

    Ubarikiwe prime

  • @robertwilson-ik2px
    @robertwilson-ik2px 2 года назад +3

    Safi sana Waziri Mkuu

  • @edwindaniel7306
    @edwindaniel7306 2 года назад +1

    Waziri mkuu ww ndo umebaki mtetezi wa wanyonge tunakuombea ututetee wanachi maana hili taifa linaangamia kwa kuwa na viongozi wengi wenye njaa na wenye kuchumia matumbo yao maana haya maisha tunayoishi hayafai kwa mtanzania

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 года назад +2

    2025 usipo pitishwa na chama chako upinzani wanachukua nchi,

  • @pascalkingu9570
    @pascalkingu9570 2 года назад

    Unapiga kazi kuliko mama mweshimiwa kasim piga kazi jembeeeeeeee

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 2 года назад +1

    Jamaa kaona mama anasemea wanaume wanabusina hadharani kwa hiyo yeye asemee hili..la mradi wa Meli.Safi Sana!🙏

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 Год назад

    Hongera sana Majaliwa kwa kazi nzuri

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu3963 2 года назад +1

    Safiiiiiiiiiiii boss

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 года назад +2

    Waziri mkuu wewe kwa Sasa ndo tengemeo la watanzania..

  • @abdulahmahamed3790
    @abdulahmahamed3790 2 года назад +3

    Majaliwa atakuja kuwa rais wa muungano wa jamhuri ya Tanzania inshallah

    • @matukimerchant5170
      @matukimerchant5170 2 года назад

      Amen pendekezo lako Mungu akipendezwa alipatie kibali

    • @michaelsiweya4969
      @michaelsiweya4969 2 года назад

      😂😂😂😂😂 Uko sahihi sana.. ILa nimecheka jinsi ulivyoyachanganya hayo maneno..

    • @evarimdecoration4256
      @evarimdecoration4256 Год назад

      Watu wamevurugwa ndugu yangu kachanganya maneno hana hata habari haa haa.. Ila namuunga mkono..

  • @kileohemed4958
    @kileohemed4958 2 года назад

    Tenaaa pambana Mh. Yaani kuna Majitu mazimaa hayana hata Uzalendo wa nchi yao Inasikitisha saaana Big up PM

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 года назад +2

    Duh ...mungu wangu...

  • @upendohaluni384
    @upendohaluni384 2 года назад +4

    Mheshimiwa waziri mkuu tunakutegemea sabana simamia. Mambo haya. Tunakuombea kwa Mungu akulinde kimwili na kiroho

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 года назад +2

      Ameeeen.

    • @joshuac.mashida1378
      @joshuac.mashida1378 2 года назад

      Mungu akutie nguvu mtumishi usile gee mlitumia Sela ya kazi iendelee ata wafanya kazi walofukuzwa wachunguzwe

  • @augustinoanli8538
    @augustinoanli8538 2 года назад

    Nakukubali sana wababaishaji wapigaji awo 💯💯

  • @omariyahaya6870
    @omariyahaya6870 2 года назад +2

    axnte laisi wetu wewe ndio uliobaki tusaidie halimbaya baba mungu akutangulie

  • @user-dx2vw3zz4q
    @user-dx2vw3zz4q 8 месяцев назад

    Dah huyu waziri mkuu bwana nampa ongera sana anajuwa uchungu wa taifa Lake

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 2 года назад +2

    Peleka jeshi na usalama wa taifa mara moja.asitoke mkorea hata mmoja.pia tuwasiliane na ubalozi wao

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 года назад +1

    Hongera Mhe. Majaliwa. Nenda na pale rufiji ukatumbue majizi yanayozingua kukamilisha bwawa ili wauze mafuta na majenereta yao. Hatuwezi kuchezewa kiasi hiki.

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 года назад

    watanzania kwaumojawetu tumuombee majariwa sikumoja apewe zamana yakuiongoza Tanzania 🇹🇿 ♥ ❤

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 года назад

    Hongera waziri mkuu safi sana

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 года назад

    Asante sana mwakilishi wetu mh waziri mkuu

  • @princepaineto5388
    @princepaineto5388 2 года назад +2

    Huyu ndie angefaa awe Rais wa nchi hii nibasi tu

  • @barrymecktz2730
    @barrymecktz2730 2 года назад

    Nakupenda Sana khasimu nataman hata nikuone moyo wangu usuzike

  • @paschaljunior3478
    @paschaljunior3478 2 года назад

    Nakukubali sana WAZIRI MKUU, copy ya JPM unajua kazi baba, huna baya...Big up

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 2 года назад

    Nikimuona majaliwa najuwa tutakuwa salamatu, mungu akupe nguvu🙏🙏🙏

  • @nampoambwana6980
    @nampoambwana6980 2 года назад

    Jembe la jpm tunawapenda sana tumsaidie mama haowezi wanazani ukali umeisha

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 года назад

    Safi kabisa . Wanataka kutupiga kidole asee. Wanajisemea TZ JINGA SANA. sasa hapo wamekutana na kali yao . Ukinyang'anywa passport ni kama umekatwa miguu asee. dwu!

  • @karimkalyango4411
    @karimkalyango4411 2 года назад +1

    Asante sana kaka Kissinga kwa ushaur wakoko lakin tayari umeonyesha jinsi gani hekima yako ilivyo kuwa ndogo na watu kama wewe hamfai kuongoza hata families . Haya maswala ndio hatuyataki kwenye Nchi yetu, mambo ya mim im somebody and you are nothing

  • @Veni584
    @Veni584 2 года назад +2

    Kazi iendelee

  • @dicksontimoth4297
    @dicksontimoth4297 2 года назад +1

    Angekuwepo Magufuli ahiiiiiii wangekiona cha moto

  • @josephkanyogoto3787
    @josephkanyogoto3787 2 года назад +2

    ...mzee ina2pa moyo sana unafaa kua rais

  • @josephkabugo7823
    @josephkabugo7823 2 года назад

    I'm proud of this Man,Ni Mkali kuliko hata Jpm,

  • @robertmasanja66
    @robertmasanja66 2 года назад +2

    Tutamkumbuka JPM madudu yanaendelea MSD na Leo meli,keshotutaona mengine

  • @aloyceantoni9700
    @aloyceantoni9700 2 года назад

    Safi kabisa umefata nyayo za magu tz tungekuwa na watu kama ww tungekuwa mbali sana kimaendeleo

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 2 года назад

    Eeh safi sana baharia Wang

  • @wariobawjoseph2557
    @wariobawjoseph2557 2 года назад +5

    Kwani waziri wa ujenzi yuko wapi na naibu wake siku zote mauzo ya kampuni yamefanyika....katibu mkuu, mkurugenzi, OCD, Takukuru , na RC, DC n.k wako wapi hadi waziri mkuu ndio afike mmelala tu

    • @petronchalangi1033
      @petronchalangi1033 2 года назад +1

      Warioba nakuelewa Sana....hivi hawa viongozi wa chini hawajui kuwa Kuna kazi ya serikali inaendelea hapo. Assume waziri Mkuu asingekuja. Hao viongozi uliowataja wore are they sleeping?

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 года назад +2

    Kuna viumbe vya ajabu SANA yaani havina woga na PESA za serikali ☹️☹️☹️☹️🙌🙌🙌

  • @benjaminbugalama2149
    @benjaminbugalama2149 2 года назад +2

    tunakuombea sana hawa mashetani washindwe

  • @emmanuelnjebele2226
    @emmanuelnjebele2226 2 года назад

    Leo kwa Mara ya Kwanza nakupa hongera sana kwa hili

  • @RCMAKONDA
    @RCMAKONDA 2 года назад

    Ulitakiwa kuwa rais sema tu god bless you

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 2 года назад

    Safi sana majaliwa!!!! Hapa kazi tu!!

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 года назад +3

    R.i.p Jpm😭😭😭😭😭🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @paulomartin5715
    @paulomartin5715 2 года назад +1

    safisana raisi mtarajiwa

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 2 года назад +9

    I miss JPM😭😭

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 2 года назад

    Duh ni uhuni wa hali ya juu sana tena sana

  • @mrmanywele446
    @mrmanywele446 2 года назад +1

    Mama akiweza kukutumia ipasavyo naamini mambo yataenda hawo wengine wanampotosha mama

  • @oman7710
    @oman7710 2 года назад

    Mungu akulinde waziri mkuu

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 года назад +2

    Majaliwa anatukumbusha JPM