Pole sana lulu MUNGU YUKO PAMOJA NA WW WAKATI HUU MUGU. SIKU YA MTU IKIFIKA AWEZI EPUKA YA KANUMBA ILI Kua imeka so inge bidi tu. But uwa ime. Mukenya Halisi.
Kanumba alikuwa kalewa mwili hauna balans kwa lulu alivyo kuwa mdogo kweli angeweza kumpiga kanumba mpaka kufa na hata alipo msukuma akaanguja ilikuwa Mungu ashapanga afe kanumba sio wa kupigwa na lulu jaman na nanii aliweka panga ndanii tumuogope Mungu mambo yashapita hayoo
mi nashaangaa sana wanaume wengine kwanini wanaforce mapenzi, we kama unahisi demu wako kicheche fanya maamuzi yakiume sio maamuzi yakifirauni kupiga wanawake kuforce king, janaume zima lina force kupendwa very sad
kinachiniuma na kunitoa machozi zaidi ni kuona kuwa lulu hajui kuongea anashindwa kujitetea ni mtoto Kwa kweli inanisikitisha sana anaeza kuingia hatiani kwa kauli zake maana anajizonga sana. Allah msaidie mdg wng wewe ndie muweza wa kila kitu hushindwi yaa Rabby.
Hii kesi ingekuwa nchi za wenzetu haki ingetendeka tena kwa uchunguzi wa hali ya juuu tokea siku aliyokufa Marehemu wangekuwa wameshapata ushahidi.....wa kutosha.....ukweli wa ulichotokea siku hiyo wanaujua wao wawili tu....Watu wengine wanacomment Anyongwe Auwawe AU afungwe Maisha...Who are you to Judge....Kiingiacho sio haramu bali kitokacho .....Chunga ulimi wako kuliko vyote maana maneno ni sumu kali kuliko hata ile ya Koboko...... Kwa nini uchume dhambi kwa kitu usichokijua?.......kumbuka kwa Mungu Hakuna dhambi ndogo zote ni sawa.....kupita mitandaoni na kuacha comment mbaya ili watu wakujibu AU ujenge Malumbano ya hoja huo ni ulimbukeni.... Less Hate more Love.
Nchi za wenzetu kesi hii wangeigeuza ingekua ni Peadophile!! Kwa kua mshitakiwa ni chini ya umri wa miaka 18. Isingekua ni kesi ya mauaji hii. Ni makosa makubwa mtu mzima kua na mahusiano na under age 18. Hata kusave picha kwenye cm yako pia sikwambii kua chumbani kwako!!😢😢
duh anavyoingia kwenye gari utafikiri anakimbizwa masikini mama kanumba anapanda kibajaji.yote haya ni umalaya.kumtaka mtoto mdogo ambae umemfundisha mwenywewe alikua hata kumzaa anamzaa.aibu katia kanumba jamani.nauyo mwingine wa filamu ya anko jj.pia angemtaka si aawa na mwanao au mdogo wako..walikua wana ficha mungu kataka kubainisha siri yao.ukweli wote anao Lulu mara nilimsukuma sasa kageuza maneno.mh ndio imetoka tena mama kanumba shukuru tu mwenye hela simwenzako na isitoshe msichana.hata kina cheni wamemgeuka kanumba.na wao pia mh.,,..hawa wasanii
mmmhhh hapo kaharibu !!!! kumbe ulikua ugomvi?? sasa inamaana vurugu zote hizo huyo ndugu wa kanumba alikua wapi?? kisheria mkigombana na mmoja akafa bas uliesalia ndie muuaji... tena ulimfuata kwake !!!!! mamaaaa utaisoma NAMBA!!!!
Panga lilikutwa uvunguni na c mkonon mwa kanumba... Je baada yakukupiga nalo ndo akalirudisha uvunguni? Au baada ya ww kumsukuma ndo ukalirudisha? Dogo lulu umeyumba na wew ni mpapai...lazima uvunjike tuuuu
Mungu akuvushe kwa hili jambo... But my advise to you is that.....stop living or dressing like a superstar....people will be thinking....or thought already that, you proud yourself and you don't care.....kindly stop and change ur style as now you are in sentence progress
Lkn huyu mtoto alikua Mdogo sana iwe fundisho kwa watoto wengine obviously 🙄 anaeza achiwa huru coz manslaughter ni discretion ya judge kulingana na ushahidi lkn mapenzi kabla ya umri pia sio jambo zuri ona ss she still young but named as a killer duuu
Mary Henry, watafungwa watoto wengi sana kwa hali hyo, mana maisha mwanafunzi wana tamaa, Na ndio wanavyopatika. Sheria kali iwafunze watu wazima wasiwe na matetezi wanapojihusisha kimapenzi na dogo dogo yakawatokezea km haya. Wakiisoma number watu wazima watoto watabaki salama!!
Love Mummy sheria ipo mummy ni kosa akiwa below 18 pia hata akiwa mwanafuzi lkn sielewi kwa nn wasiwe wafuatiliwa km mtu mzima akionekana kokote na kibinti askari wamhoji na wahakiki info za Kijana coz wanaletea madogo shida kisa starehe
kila.siku kiguu na njia aki hiyo sio poa kazi pia zafifia mana kila ukiamka mahakama yakuita dou nani ambae haja kosea hii dunia hadi mna zungusha lulu kila siku njia kiguu polis
Kanumba alikuwa kalewa mwili hauna balans kwa lulu alivyo kuwa mdogo kweli angeweza kumpiga kanumba mpaka kufa na hata alipo msukuma akaanguja ilikuwa Mungu ashapanga afe kanumba sio wa kupigwa na lulu jaman na nanii aliweka panga ndanii tumuogope Mungu mambo yashapita hayoo
Pamoja milady Ayo asant sana kwa kutupatia habar za tz hakika Allah atakulipa.Allah msaidie Lulu👏
Pole sana lulu MUNGU YUKO PAMOJA NA WW WAKATI HUU MUGU. SIKU YA MTU IKIFIKA AWEZI EPUKA YA KANUMBA ILI Kua imeka so inge bidi tu. But uwa ime.
Mukenya Halisi.
Kanumba alikuwa kalewa mwili hauna balans kwa lulu alivyo kuwa mdogo kweli angeweza kumpiga kanumba mpaka kufa na hata alipo msukuma akaanguja ilikuwa Mungu ashapanga afe kanumba sio wa kupigwa na lulu jaman na nanii aliweka panga ndanii tumuogope Mungu mambo yashapita hayoo
Toa maelezo yennyekueleweka kama mungu kapanga, kwaiyo na majambazi wenye kupora na kuuwa waachiliwe kwasababu mungu kapanga sindiyo?
mi nashaangaa sana wanaume wengine kwanini wanaforce mapenzi, we kama unahisi demu wako kicheche fanya maamuzi yakiume sio maamuzi yakifirauni kupiga wanawake kuforce king, janaume zima lina force kupendwa very sad
nakupenda doct cheni
kinachiniuma na kunitoa machozi zaidi ni kuona kuwa lulu hajui kuongea anashindwa kujitetea ni mtoto Kwa kweli inanisikitisha sana anaeza kuingia hatiani kwa kauli zake maana anajizonga sana. Allah msaidie mdg wng wewe ndie muweza wa kila kitu hushindwi yaa Rabby.
hahaha allah hasaidiagi maovu
Mungu akulinde lulu kesi isoisha jamani kwanza huyo kanumba alikuwa anatembea na under 18
kama ni chupi mkononi mlitaka kanumba afanyeje ,,,,
Nashangaa
jamani msameeni ana skia vibaya rohoni na ukweli anao mwenyewe jamani
Hii kesi ingekuwa nchi za wenzetu haki ingetendeka tena kwa uchunguzi wa hali ya juuu tokea siku aliyokufa Marehemu wangekuwa wameshapata ushahidi.....wa kutosha.....ukweli wa ulichotokea siku hiyo wanaujua wao wawili tu....Watu wengine wanacomment Anyongwe Auwawe AU afungwe Maisha...Who are you to Judge....Kiingiacho sio haramu bali kitokacho .....Chunga ulimi wako kuliko vyote maana maneno ni sumu kali kuliko hata ile ya Koboko......
Kwa nini uchume dhambi kwa kitu usichokijua?.......kumbuka kwa Mungu Hakuna dhambi ndogo zote ni sawa.....kupita mitandaoni na kuacha comment mbaya ili watu wakujibu AU ujenge Malumbano ya hoja huo ni ulimbukeni....
Less Hate more Love.
Nchi za wenzetu kesi hii wangeigeuza ingekua ni Peadophile!! Kwa kua mshitakiwa ni chini ya umri wa miaka 18. Isingekua ni kesi ya mauaji hii. Ni makosa makubwa mtu mzima kua na mahusiano na under age 18. Hata kusave picha kwenye cm yako pia sikwambii kua chumbani kwako!!😢😢
mungu sikiza kilio cha huyu mja wako ako kwenye mthian mzitoo
mnakalia uzinzi badala ya kufuata sheria zamwenyezi Mungu acha muaibike
Hapo sasa huo ni mchezo, umri wake ulikua under 18, (ubakaji) na hilo la upanga sasa nani shaidi?
Yalisha fanyika mwacheni mwenyezi mungu atahukumu kma ni kweli
Watu kama Hao Hawa fungwi, labda kuzuga watu, lkn km raia wa kawaida au wale viongozi wa dini ungeskia wamefungwa Ata miaka 20
Mungu awe katikati yao
Ukisikiliza maelezo yahawa watangazaji kila mtu anaeleza tofauti
mhm mungu akusimamie lulu
Asant sana Millard ayo
Bado ujajua kujitetea na maelezo yako yanaweza kukufunga mwenyewe,,ila mahakaman unaweza kuulizwa iv ukajib vile duu pagumu sana maeneo yale
Du maelezo mazuri lkn hapo nashindwa kuelewa kwenye kuanguka yani alianguk tu ghaflah marehemu?
Tupokigwe Niganile inawezekana
Tupokigwe Niganile inawezekana kama aliteleza je? Mungu amsaidie lulu kwakweli..
Tupokingwe kumbuka alikua kalewa.
Maelezo yake yanaweza mfunga but mungu tu ila pia mawakili wake wajitahidi sana
duh anavyoingia kwenye gari utafikiri anakimbizwa masikini mama kanumba anapanda kibajaji.yote haya ni umalaya.kumtaka mtoto mdogo ambae umemfundisha mwenywewe alikua hata kumzaa anamzaa.aibu katia kanumba jamani.nauyo mwingine wa filamu ya anko jj.pia angemtaka si aawa na mwanao au mdogo wako..walikua wana ficha mungu kataka kubainisha siri yao.ukweli wote anao Lulu mara nilimsukuma sasa kageuza maneno.mh ndio imetoka tena mama kanumba shukuru tu mwenye hela simwenzako na isitoshe msichana.hata kina cheni wamemgeuka kanumba.na wao pia mh.,,..hawa wasanii
mmmhhh hapo kaharibu !!!! kumbe ulikua ugomvi?? sasa inamaana vurugu zote hizo huyo ndugu wa kanumba alikua wapi?? kisheria mkigombana na mmoja akafa bas uliesalia ndie muuaji... tena ulimfuata kwake !!!!! mamaaaa utaisoma NAMBA!!!!
Haya mambo yaishe tu,ukweli anaujua Allah
malizen wenyeweee
Mmmh yani unataka kupigwa panga uzibe uso inawezekanaje? vitu vingi anajichanganya lulu
Maelezo hayajitoshelezi?
shahidi.tena.alitoka.wapi.kwenye.mapenzi.yawatu
Vile tunamjuwa Marehem hawezi kukushikiya panga ata
Panga lilikutwa uvunguni na c mkonon mwa kanumba...
Je baada yakukupiga nalo ndo akalirudisha uvunguni?
Au baada ya ww kumsukuma ndo ukalirudisha?
Dogo lulu umeyumba na wew ni mpapai...lazima uvunjike tuuuu
sio lulu jamani ata aza je lulu alikuwa mtoto
Mungu akuvushe kwa hili jambo...
But my advise to you is that.....stop living or dressing like a superstar....people will be thinking....or thought already that, you proud yourself and you don't care.....kindly stop and change ur style as now you are in sentence progress
Maelezo yalulu yanaweza mtia hatiani
Lkn huyu mtoto alikua Mdogo sana iwe fundisho kwa watoto wengine obviously 🙄 anaeza achiwa huru coz manslaughter ni discretion ya judge kulingana na ushahidi lkn mapenzi kabla ya umri pia sio jambo zuri ona ss she still young but named as a killer duuu
Mary Henry, watafungwa watoto wengi sana kwa hali hyo, mana maisha mwanafunzi wana tamaa, Na ndio wanavyopatika. Sheria kali iwafunze watu wazima wasiwe na matetezi wanapojihusisha kimapenzi na dogo dogo yakawatokezea km haya. Wakiisoma number watu wazima watoto watabaki salama!!
Love Mummy sheria ipo mummy ni kosa akiwa below 18 pia hata akiwa mwanafuzi lkn sielewi kwa nn wasiwe wafuatiliwa km mtu mzima akionekana kokote na kibinti askari wamhoji na wahakiki info za Kijana coz wanaletea madogo shida kisa starehe
Wamuache tu jamani adi anatia uruma
Nani shahidi???????
Mussa Manala mungu
hayo maelezo lulu hatari kumbe kweli kulikua na panga huko chumbani
kila.siku kiguu na njia aki hiyo sio poa kazi pia zafifia mana kila ukiamka mahakama yakuita dou nani ambae haja kosea hii dunia hadi mna zungusha lulu kila siku njia kiguu polis
Haya ndo malipo ya uzinzi..
Alivo kushikia panga ukaamua kummaliza?
Hata kama katunga uongo hakuna shahidi
docta ndio mawma kweli kama atatenda haki bila rushwa na kuogopa mungu
Na huyo wakupingana nae hayupo!!
This was a set up to assassinate Kanumba. Being a superstar,how could Kanumba hang around with such a young and naive teenager??
Mmh
he makubwa sasa lulu ndio ulipigwa panga?
jeny yusuph yani ni sheeeeeeeeedah!
Can they just get lie detector
Judy Queen - Lie detector doesn't always tell the truth
Hizi ni propaganda