ONATV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 59

  • @queenayushgalqueengal1148
    @queenayushgalqueengal1148 7 лет назад +2

    pole sana dadangu allah atakupa sabra na uvumilivu kwani hata mungu anajua kua sio lengo lako

  • @preanelson347
    @preanelson347 7 лет назад +3

    pole sana Dada jipe moyo utatoka

  • @asilaalhabsi6481
    @asilaalhabsi6481 7 лет назад +1

    Jmn kweli inauma lkn mama Lulu pia anatia Iman jmn wasaidieni wote roho zatuuma sijui tumsaidie Vp lulu

  • @issaramadhan3941
    @issaramadhan3941 7 лет назад +1

    Huyo Mama Ni Tahira Mtu Amekufa Kwa Mipango Ya Mungu Ni Mnafiki Tu Acheni Mungu Afanye Kazi Yake Bwana

  • @hidayaabubakary9416
    @hidayaabubakary9416 7 лет назад +3

    Mungu ndiyo mpangaji mungu ndiyo anajua ilikuaje

  • @ngusekelaisongo1068
    @ngusekelaisongo1068 7 лет назад +2

    pole sana wazaz waruru

  • @zulfamkamba4626
    @zulfamkamba4626 7 лет назад +1

    Kanumba kajiuwa mwenyewe na chama alicha kaingia kwa kuwa akutaka kumtoa kafara mama ake akaamuwa ajitoe kafara mwenywe lulu ana makosa sema tu hao majini wake wakitafutia Sababu mtu. Lulu usijali mungu ni mwema utarudi kabla ya miaka miwili

  • @shashulingenju9305
    @shashulingenju9305 7 лет назад +2

    Mama lulu mungu akutie nguvu na we we ni mshindi

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 7 лет назад +2

    pole sana lulu utatoka tu miwili sio kitu

  • @mildredivayo9241
    @mildredivayo9241 7 лет назад +1

    Am not your fan lulu...but kuhukumiwa kwako kumenitoa machozi...naomba mungu akupiganie

  • @peter_paulofficialy
    @peter_paulofficialy 7 лет назад

    Jamani Mama Kanumba pole, jiulize kuwa je ingekuwa ni mwanao ndo hayo yote yaliyomtokea Lulu yangemtokea yeye ungependa ahukumiwe??? ila wewe chakufanya msamehe Lulu kwani naye ni binadamu tyu, ( pole sana Lulu kwa majanga yote yaliyokupata Mungu u pamoja nawe ).

  • @SoniaSonia-ib5ru
    @SoniaSonia-ib5ru 7 лет назад

    duuuh imeniuma sana,pole sana lulu nakuombea mungu akupiganie ktk huo mtihan

  • @simonmtuka6082
    @simonmtuka6082 7 лет назад +2

    tatizo letu tunaongelea ushabiki aliyemfunga lulu siyo mama kanumba amehukumiwa na mahakama na ni sheria mama kanumba hana haki ya kuzuia hukumu hii ni kazi ya jamhuli

  • @farhamaryam3035
    @farhamaryam3035 7 лет назад

    Pol sana mungu akulinde.

  • @gracemwakatika773
    @gracemwakatika773 7 лет назад

    lulu mungu atakusaidia utarud uraian katumikie miaka miwili uwe huru kabisaa pole sana mamii

  • @rahmaallymuhando173
    @rahmaallymuhando173 7 лет назад

    yaani mama kanumba kwakua mambo ya muda mrefu ungeshukuru mungu kuliko kudhihirisha wazi kuwa ukumu ya lulu imekufurahisha lakin kumbuka akuna mwanadamu anae ijua kesho yake na yote tunayo pitia yalishapagwa mungu atakupa faraja lulu ktk huu mtihani.

    • @christinemaneno556
      @christinemaneno556 7 лет назад

      Miaka miwili si mingi mungu atamlinda na shida zote akiwa hapo jela ila kwa wewe mama kanumba jiulize Mara mbilimbili he umefurahi kweli so kwa furaha yako hiyo mwanao atarudi??????????

    • @olivierpatrick8001
      @olivierpatrick8001 7 лет назад

      Mnaongea sababu haiko kwenu kanumba angekuwa wenu mgeumia achen mama wawatu afarijike jera si atarudi kanumba atarudi lini

  • @irenrusizoka2112
    @irenrusizoka2112 7 лет назад

    kikubwa nikumshukuru mungu hukumu Hii mungu amemgombania sana miaka miwili sio mingi mungu akugombania utatoka

  • @estacharles7315
    @estacharles7315 7 лет назад +9

    haki gan jaman mama yangu mwanao amesha farik ata alivyo hukumiwa lulu hatorud mwanao ni bora ungemsamehe tu maana hakuna utakacho ambulia zaid ya lawama tu

  • @zainabubanda7683
    @zainabubanda7683 5 лет назад +1

    kama uliua itajulikana utakaa kama haukua hutatoka kwa njia yeyote. mungu ndo kila kitu kwa msamaa wa rais

  • @BB-xz4ml
    @BB-xz4ml 7 лет назад

    Pole mama lulu mungu atamsaidia mtto wako

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 7 лет назад

    Uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Wacha LULU akaonje jela kupunguza machozi ya mama wa watu. Ushabiki wenu hausaidii chochote. Nafurahi sheria imefuata mkondo wake. Hiv ndivyo inavyotakiwa. Haki sawa kwa wote. Goood!

  • @gloriagerminussambayena8882
    @gloriagerminussambayena8882 7 лет назад

    Jamaniii namuonea huruma Sana lulu angesamehewa tuu

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 7 лет назад +5

    Ww mm acha unafik unalia serikal imetenda haki hiyo ndio haki mungu ndio anajua kafa kafa kwa ahadi au kamua yeye mungu amfanyie wepes amiina

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 7 лет назад

    acha hilo lipite Mdogo wangu gera c kifo

  • @mcceuser1120
    @mcceuser1120 7 лет назад +4

    watu no wanafiki Sana asingefungwa pia mngelaumu nakusema kapendelewa kafungwa mnaanza KU msakama mama wawatu 😏😏😏

  • @zaliaally161
    @zaliaally161 7 лет назад

    Kwani akipelekwa gerezani mama kanumba anapata faida gani loho mbaya tu

  • @samihaafrica7366
    @samihaafrica7366 7 лет назад +7

    Inaonekana uyu maman alitaka lulu anyongwe

    • @sekelamwangomo3922
      @sekelamwangomo3922 7 лет назад

      Samiha Africa ivi wewe unajua uchungu wa mtoto.kwan mama kanumba ndo aliyeamua au mahakama

    • @samihaafrica7366
      @samihaafrica7366 7 лет назад

      Sekela Mwangomo ningekuwa sijuwi ningeongea ao?kikubwa nikumuombea apumzike kwaamani siyo kumuongeza kuazibiwa huko aliko

    • @rachaelchirindo1645
      @rachaelchirindo1645 6 лет назад

      kweli huyu mama anataka Lulu afe

  • @francischema482
    @francischema482 7 лет назад

    kinacho kufanya ulie nn ww mama nakati ww ulikua una sema lulu hakujali wala sm hakupigii aka kufaliji em acha unafiki ww namuombea dadaangu lulu ajipe moyo atashinda tu nitazidi kumuombea mpaka kutoka kwake yaaan inauma sana

  • @hidayaabubakary9416
    @hidayaabubakary9416 7 лет назад +1

    Amen

  • @drclaudcloud8432
    @drclaudcloud8432 7 лет назад

    Try it iz possible

  • @labouriche8782
    @labouriche8782 7 лет назад

    Kuna watu wanafungwa kifungo cha maisha kwa kesi za kusingiziwa leo lulu miaka miwili watanzania wanalalamika kama anaenda kufa Allah ndo apangaye so kila mtu ana mitihan yake

  • @alima7862
    @alima7862 7 лет назад

    Mama kanumba. aca wunafiki eti wanaliya wukweli wote wuna wujuwa killico. muwuwa mwanawo

  • @rahmaabdullah4538
    @rahmaabdullah4538 7 лет назад

    Sio haki wallah

  • @BethWanjiku-x3y
    @BethWanjiku-x3y 9 месяцев назад

    Kwanii

  • @kuluthumunassibu4345
    @kuluthumunassibu4345 7 лет назад +1

    Mama k kla m2 anakufa kw ahad yak , na ahad ilshafka thus unachotakiw n kumshkur mungu t

  • @mohamedkaisary8422
    @mohamedkaisary8422 7 лет назад

    Amiiin

  • @hemediramadhani6658
    @hemediramadhani6658 5 лет назад

    Poa Ila siri ya kifo cha kanumba anaijua lulu

  • @isaackbm1935
    @isaackbm1935 7 лет назад

    Et mpenz wake katoto kadogo ivo!! nonesense

  • @lutimahimbo2342
    @lutimahimbo2342 7 лет назад

    msamehe lulu kwani angekuretea mjukuu siku za uson

  • @ANNAWILLIAM-r7s
    @ANNAWILLIAM-r7s 2 месяца назад

    😅

  • @sakinahuseni6493
    @sakinahuseni6493 7 лет назад

    mmh

  • @jeannettejaja9651
    @jeannettejaja9651 7 лет назад

    uyu mama anachotaka Lulu atoke duniani! we Mama u make me to hate u

  • @mitchamitcha9404
    @mitchamitcha9404 7 лет назад

    Mama kanumba una utu

  • @nelvanmorzeh2941
    @nelvanmorzeh2941 7 лет назад

    CHEGE CHIGUNDA WAFOO AUDIO MUSIC.2017

  • @imanimapunda6413
    @imanimapunda6413 7 лет назад

    ndomaana unasautii sababu ya roho mbaua he angemuua lulu tuwe na utuuu

  • @sakinahuseni6493
    @sakinahuseni6493 7 лет назад

    mmh