#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 34

  • @Phyllisndomba
    @Phyllisndomba 23 дня назад +1

    Mungu akupende sana na sana.
    Si rahisi.
    Ni mkono wa Mungu alie hai unafanya kazi ndani yako❤

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 23 дня назад +1

    Napokea vazi la wokovu kwa jina la Yesu

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 23 дня назад +2

    Ninaamini atatenda Mungu wangu kwenye maisha yangu ndani ya mwezi huu kwa jina la Yesu amen 🙏🙏🙏

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 23 дня назад +1

    Hakika, nimefika hapa ni kwa neema TU ya Mungu anitengenezee ushuhuda,

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 23 дня назад +1

    Asante bwana napokea vazi la wokovu kwa jina la yesu 🙌♥️ yesu 🙌🙏

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 23 дня назад +1

    Napokea vazi la wokovo kwa jina la Yesu amen 🙏🙏🙏

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 23 дня назад +1

    Mungu nifungulie nipate kazi kwa upendo wako amina

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 23 дня назад +1

    Amen nakuja Mungu mbele zako ntue mzgo yangu kwa dam yako Yesu

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 23 дня назад +1

    Asante yesu kwa neema yako kubwa na upendo wako usio pimika❤ baba naomba unikomboe na ningoa kote shetani kwamisha kupitia ndoto kwa damu ya yesu naomba nakuamini ❤

  • @MatildaChondo-vf8pk
    @MatildaChondo-vf8pk 21 день назад

    Kwa jina la yesu kristo mambo haya nayatabiria kutendeka kwangu. Asante sana mtumishi wa mungu uzidi kupokea ufunuo.

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 22 дня назад

    Napokea vazi la wokovu kwa jina la Yesu kirsto ameeen

  • @LucienneBalume
    @LucienneBalume 23 дня назад

    Mungu iniwezeshe huyu mwaka kupiga atuwa yangu pamoja nawe

  • @LucienneBalume
    @LucienneBalume 23 дня назад

    ubarikiiwe kwazi ya Mungu na kwa uduma unaya tuundumia Mungu awe nawe

  • @AminaMohamed-t5l
    @AminaMohamed-t5l 23 дня назад

    Mungu ninakushukuru kwa kuendelea kunipigania mpka kufika hapa nilipo

  • @Phyllisndomba
    @Phyllisndomba 23 дня назад

    Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako.
    Uishi miaka mingi sana. Isaya 65:20.

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 22 дня назад

    Mungu nisaidie na unipe neema ya kuomba baada ya kuota ndoto ili niweze kuokoa nafsi yangu

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 22 дня назад

    Mungu wasaidie watoto wangu ili waelewe maana ya ndoto na wachukue hatua za kuomba kwa ajili ya ndoyo hizi

  • @valehouma8913
    @valehouma8913 22 дня назад

    Yesu uwe kila kitu kwangu🙏🙏

  • @LilianSenerwa
    @LilianSenerwa 22 дня назад

    asante Kwa neema kubwa ondoa ndoto mbaya Kwa maisha yangu

  • @LucienneBalume
    @LucienneBalume 23 дня назад

    Amen napokea vazi ya wokovu

  • @rosendindi6634
    @rosendindi6634 23 дня назад

    Nappkea pazi ya wokovu kwa jina la yesu

  • @MARTHASTEPHEN-l3t
    @MARTHASTEPHEN-l3t 23 дня назад

    Napokea kwa jina la Yesu

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 23 дня назад

    Amen nimeona mashtaka yesu

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 23 дня назад

    Ee mungu nahomba unipe kihuya kuhomba Kila dakika nakila saha

  • @GiftNamonje-kp5qv
    @GiftNamonje-kp5qv 23 дня назад

    Naaminisana tena sana🎉🎉

  • @sarahjohn8515
    @sarahjohn8515 22 дня назад

    Mutoka January hadi December nikwa neema ya mungu

  • @WILONDJAKASHINDI-p8x
    @WILONDJAKASHINDI-p8x 22 дня назад

    Namshukuru mungu kwakumponya mama yangu

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 23 дня назад

    Amina amina ❤❤❤❤❤

  • @GiftNamonje-kp5qv
    @GiftNamonje-kp5qv 23 дня назад

    Mimi hapa

  • @janethkahenza9809
    @janethkahenza9809 22 дня назад

    Asante YESU

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 21 день назад

    Amen

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 23 дня назад

    God bless you 👏

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 22 дня назад

    Ameeni

  • @AsnatChalaza
    @AsnatChalaza 23 дня назад

    Napokea vazi la wokovu kwa jina la Yesu