EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2017
  • Mke wa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu , Wakili Alicia Magabe ameongea kwa mara ya kwanza baada ya mume wake kushambuliwa kwa risasi miezi miwili iliyopita njini Dodoma. Ameeleza jinsi alivyopokea taarifa za shambulio hilo hadi aliposafiri kuelekea Dodoma na hatimaye Nairobi nchini Kenya.

Комментарии • 104

  • @elizabethlujabiko8166
    @elizabethlujabiko8166 6 лет назад +5

    Ninaamini Mungu aliyemuumba Tundu Lisu anazo spea za viungo vyake,Mungu ninazidi kukuomba na kukusihi tuma malaika wako washuke na spea za viungo vya Tundu Lissu ili apate kuwa mzima tena.Kama kila anacho tengeneza binadamu kina spea ninaamini kilichoumbwa na Mungu ni zaidi sana.Madaktari wanatibu unayeponya ni wewe YEHOVA SHAMA,asante Mungu maana umesikia kuomba kwangu.In Jesus name I pray. Amen!

  • @dernardchambwani671
    @dernardchambwani671 4 года назад +1

    Mungu ni mwenye ngumu damu hii Mungu anawajua waliojarib kukatisha Maisha ya MTU , lakin kwa sabab yeye ndie mwenye mamlaka akasema no you can't do that , shame on them, pole sana Mamaangu hakika Ukuu wa Mungu haupimiki

  • @salamamohamed9519
    @salamamohamed9519 6 лет назад +2

    Pole sn Mama Lissu Mungu yuko pamoja na nyinyi ataweka wepec

  • @danielmgomo717
    @danielmgomo717 Год назад

    Mahojiano haya yana mapungufu sana kwa sababu sio kive.Mwanfishi hajatueleza kama mke wa Tundu Lisu kwa sasa anaishi Mbinguni na hawezi kuonekana na yeyote.Dereva wa Tundu Lisu alishahojiwa lakini mwandani wa Tundu Lisu yaani mkewe

  • @sameeral-ghafri627
    @sameeral-ghafri627 6 лет назад +3

    This is very touchy n sad 😔 pole mama shujaa atarudi na kadi ya kura nahamisha next time

  • @matondomboje2704
    @matondomboje2704 6 лет назад +3

    mama tuko pamoja tunampenda sana mume wako watanzania tutachanga hata mia mia zetu mpaka apone

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 лет назад

    Pole sana Mama Lissu, Mungu amekuonekania

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 4 года назад

    Pole sana mke wa kamanda wetu

  • @mossesmlokozi3425
    @mossesmlokozi3425 6 лет назад

    pole sana mwenyezi mungu ni mwema tuko pamoja KAMAnda wetu lissu tunamupenda sana

  • @isaacmsekefu1752
    @isaacmsekefu1752 6 лет назад +4

    pole sana mamaangu MUNGU yupo pamoja na nyie. atapona tu MUNGU atamsaidia

  • @julianabenedicto8462
    @julianabenedicto8462 6 лет назад +2

    wewe ni mwanamke jasiri,mungu akusimamie.

  • @stephanothomasmchenya9679
    @stephanothomasmchenya9679 6 лет назад +1

    MCL iko vizur Chanel yen naipenda

  • @fidelismponda9931
    @fidelismponda9931 6 лет назад

    Pole sana

  • @eluzaberthkarugaba6375
    @eluzaberthkarugaba6375 6 лет назад +3

    poleni sana. lakini hakuna silaha inayoweza kupambana na uamuzi wa Mungu.

    • @stella88244
      @stella88244 6 лет назад

      We nawe unaongea kama mtoto anaejigunza kuongea mfuuuuuu! Ila pole yako sana Mungu yupo pamoja nae

    • @asiasalum7365
      @asiasalum7365 6 лет назад

      Eluzaberth Karugaba
      pole sana mumy

    • @dorcasdominic9880
      @dorcasdominic9880 6 лет назад

      amen

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 6 лет назад +2

    Machozi yamenitokaa duh 😭😭

  • @patrickkalengela4797
    @patrickkalengela4797 6 лет назад

    Lisu"s wife is a strong woman, she deceives to be a leader in this country.I say so for what she said after her husband being terrorized Nanukuu " Kama baada ya haya utegeuka nyuma sitakuwa mke wako" hiyo ni Kauli ya mtu jasiri

  • @agnessdaud6250
    @agnessdaud6250 6 лет назад

    pole sana mama

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 6 лет назад +3

    Ongea kiswahili tu jamani....

  • @jacksondamas8634
    @jacksondamas8634 6 лет назад

    pole mama mungu ameonekana

  • @baumbachogero9410
    @baumbachogero9410 6 лет назад

    Mbona anaoongea kawaida tu jamani! Watu wengine mkoje?

  • @ibrahimmwakasembe8681
    @ibrahimmwakasembe8681 6 лет назад +1

    Hata mkula(magu) nae anachanganya lugha?? Na hata watanzania wengi kwa sasa sio wazalendo wa lugha ya kiswahili, hata ivo sio objectives ya hii view. Pole sana madam

  • @ishengomadeogratias1994
    @ishengomadeogratias1994 6 лет назад

    Hii story inatia sana machungu na inaongeza chuki dhid ya wasiojulikana japo waweza kuwahisi!!

  • @kayenzehudumadldm1713
    @kayenzehudumadldm1713 6 лет назад

    Mungu anaonyesha uwezo wake hakuna alieeamini kama bwana mkubwa atakuwa hai mpaka mda huu

    • @vickypoul9117
      @vickypoul9117 6 лет назад

      Mungu ameonyesha ukuu wake kupitia tundu lissu

  • @doriswilson4163
    @doriswilson4163 6 лет назад +1

    Pole xanaaa..
    Ila nina wasi wasi saut yako na wadhifa wa marehem kwako kama haviendan vile yaan unaingea simple xanaaa au ni mtu unae ongea kwa niaba ya mke husika.!?
    Kama ww ndie mmmhhmhmhm..!!!
    Cna swali pole na MUNGU amtete kamanda wetu.

    • @heriethmakwetta7180
      @heriethmakwetta7180 6 лет назад

      Doris hiyo ni sauti ya Mrs Tundu Lissu siku zote.. kila mtu ana sauti yake hata ww yako haifanani na ya mwingine

    • @doriswilson4163
      @doriswilson4163 6 лет назад

      Herieth Makwetta duuh sasa kwa nn taarifa za huzun ivo anaongea kirahis na kwa mbwembwe hivyo au mm ndo mshamba jamaaan.!!?
      Mmmhhhhhmm MUNGU atusaidie xanaaa kwa kweli hata kama ni usomi khaaaa..!!!

    • @charleskatoto2017
      @charleskatoto2017 6 лет назад

      Doris Wilson

  • @crownpress5512
    @crownpress5512 6 лет назад +1

    ni simanz kweli ila hii sauti cjaielewa kama ndo halisi au ni ya mtandaoni

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 лет назад

      Eim mia mume wale Ndo anaojua sauti ya mkewe ya kweli we inakukuhusu nini?

    • @crownpress5512
      @crownpress5512 6 лет назад

      Happiness Mwaipopo nmetaka kuijua nawew inakuwasha nini?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 6 лет назад

    very sad..

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 6 лет назад +4

    kuchanganya lugha ni kutokuwa na uhakika lu lugha isiyoyako.

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 6 лет назад +1

      Blandina Ruganisa Utakuwa na ka upumbavu kidogo tu. Sasa wewe hii uloandika ni lugha gani??? "Lu lugha" ni kitu gani???

    • @muyaf2051
      @muyaf2051 6 лет назад +1

      Kama hujaenda shule kimpango wako boya wewe

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 лет назад

      Blandina Ruganisa huo sasa ni wivu Wa kijinga kwani umelazimishwa kumwangalia? Yaani watu wengine bwana

    • @dorcasdominic9880
      @dorcasdominic9880 6 лет назад

      +Happiness Mwaipopo asante kwa jibu tamu maana ni mwanamke mwenzie yule alaf amejua kumponda si kumuhurumia

    • @zuhuraomary6041
      @zuhuraomary6041 6 лет назад

      we unajua

  • @fubanjenjele2632
    @fubanjenjele2632 6 лет назад

    So sad

  • @kyandomarry2015
    @kyandomarry2015 6 лет назад

    Mume wako anaumwa ukapata na nguvu za kuendesha gari hee

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 6 лет назад +1

    lugha anayoichanganya haina mahusiano na sentensi😅😅😅😅

    • @tinajoe4
      @tinajoe4 6 лет назад

      Blandina Ruganisa Jamani tujifunze kunyamaza

    • @jaberjohn7556
      @jaberjohn7556 6 лет назад

      Blandina Ruganisa weird. Stop being mean.🙄

  • @mamahustru
    @mamahustru 6 лет назад

    Yaani hiyo lugha yake ndo lugha wanayotumia wanasheria wa bongo. Wote wamekaririshwa elimu ya mkoloni na wenyewe wanaitana ``WASOMI´´. Na sote tunajua nini maana ya mkoloni kumuita muafrika ``MSOMI´´. Wataelimika tu na wao siku moja.

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 6 лет назад +7

    Ongea kiswahili mbwebwe zote za nn?

    • @laurentkimbatummassy8075
      @laurentkimbatummassy8075 6 лет назад +2

      Acheni upuuzi, huu sio mjadala.

    • @nochanel5392
      @nochanel5392 6 лет назад +1

      Kwani kakulazimisha kumsikiliza

    • @jisephmaganiko3859
      @jisephmaganiko3859 6 лет назад +2

      robert laizer matatizo yako xhule c zipo unalalamika nn kasome

    • @knowledgeispower1118
      @knowledgeispower1118 6 лет назад +3

      Jiseph Maganiko shule ninayoyakutosha naweza hata nikawa nimemzidi yeye lakini najaribu kujiuliza,inaama hajui kiswahili vizuri kwasababu mtu anaishi usukumani kijiji na hajasoma, hatamuelewa je?..ni ushamba tu.

    • @ishengomadeogratias1994
      @ishengomadeogratias1994 6 лет назад +1

      robert laizer Huyo mama kakaa nje sana!

  • @tamzeeeconomy1637
    @tamzeeeconomy1637 6 лет назад +1

    Ongea Kiswahili sanifu acha mbwembwe. Huu ni ulimbukeni wa juu ambao umepata Watanzania wengi kudhani unapochanganya Kiswahili na Kiingereza ndo unaonekana msomi na mtu wa kisasa. Ujinga mkubwa na kansa ya akili inayofanya watu kudharau vilivyo vyao na kuthamini vya wazungu. Mwenyezi Mungu atusaidie Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Limbukeni hao ni wengi, mama huyu hayuko peke yake. Mkasa wenyewe unasikitisha ila namna yake ya kuonga inaleta kichefuchefu. Maneno anayosema kwa Kiingereza ni maneno rahisi mno kwa Kiswahili.

    • @mydiary39
      @mydiary39 6 лет назад +3

      Mbona wewe povu limekutoka rafiki yangu.....Ni mazingira ambayo mtu anaishi inategemea Lugha ipi kwake ya kwanza kuzungumza hivyo siyo kupenda kwake.....Hebu vitu vidogo vidogo tuvipuuzeni

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 лет назад

      Fatuma Hamis Asante sana, umeeleza vizuri sana Fatuma.

    • @lilianmakanzo3855
      @lilianmakanzo3855 6 лет назад

      Waliocomment kuhusu lugha wengi imewashinda Kwahiyo hayo maneno ya sizitaki mbichi hizi.. Acheni chuki binafsi

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 лет назад

    mungu mkubwa kuliko ukubwa wenyewe

  • @paulojohn7070
    @paulojohn7070 6 лет назад

    Atakutombaje na kiuno chote kimevunjwa na lisasi?

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      duuuh blooo

    • @paultayari3676
      @paultayari3676 6 лет назад +1

      dah watu wengine mnakosa ustaarabu, hata kama unatumia bangi muda mwingine unajizuia bhana.

    • @danielmarunda153
      @danielmarunda153 3 года назад

      Paulo John huna busara mjinga wewe

  • @stephanomacha9532
    @stephanomacha9532 6 лет назад

    stefhno

  • @mbojayahya434
    @mbojayahya434 6 лет назад +4

    sema lugha yako halisi ya Kiswahili usijihashue

    • @laurentkimbatummassy8075
      @laurentkimbatummassy8075 6 лет назад +4

      wewe mwenyewe kiswahili hujui, swala la lugha sio zito kama huo ushuhuda, kama huna point ya kuongea nyamaza.

    • @salamamohamed9519
      @salamamohamed9519 6 лет назад +2

      Badala ya kutoa pole unaleta mambo ya ruga co ubinadam huyo mama Lissu bado anamachugu mpka anataman kulia anavyo ongea uclichukulie Jambo hili jepec kwa kuwa liko kwa Mwezio huu ni mtihan mkubwa sn

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 лет назад +1

      Mboja Yahya unajuaje kama kiswahili ni lugha yake halisi? Kwani yeye ni mzaramo? By the way hujalazimishwa kumsikiza

    • @erastomwakalinga7079
      @erastomwakalinga7079 6 лет назад

      Mboja Yahya ww ni mmoja kat wasio julkana???km ulikimbia shule na huelew lugha anayo iongea si mmbaya kukaa kimya na kama unataka kuelewa rud shule sio kuacha darasa la pil kwa kuwa unajua kusoma na kuandika unaona elim imefka mwisho afu unakuja kutuletea umbulula wako hapo ,,,,,,,pole sana mama lisu mungu amekupa kifua cha kustahimil hayo na hilo lilikuwa jarb lako na mpaka sasa umelishinda kwa kishindo ila aibu ni kwa walio tenda hao na wakidhan wao wataish milele lakin mungu yupo nawe

    • @zuhuraomary6041
      @zuhuraomary6041 6 лет назад

      mwache

  • @ameriamasoud6718
    @ameriamasoud6718 6 лет назад

    The

    • @veronicazacharia2080
      @veronicazacharia2080 6 лет назад

      Pole xana Dada Alicia Mungu azidi kuibariki ndoa yako

    • @sillamnyawami7469
      @sillamnyawami7469 6 лет назад

      Mama lissu God is good all the time,atapona tu mpaka sasa ni Mkono wa Mungu

    • @agnesjosephat7863
      @agnesjosephat7863 6 лет назад

      kwani tatizo nn akiongea kingereza. acheni majungu.pole mama

    • @frankraymond2985
      @frankraymond2985 6 лет назад

      mtu anae tumia lugha mbili anaonyesha ushamba watoto wadogo especill tu dem sio lika yako

    • @christopherkashumba2129
      @christopherkashumba2129 6 лет назад

      Inawezekana kuchanganya lugha ndio mapigo ya wajanja. Lakini aangalie wale waliompiga risasi Mmewe wapi hukohuko CHADEMA( Sinajua tena mama uchaguzi Wa 2020).

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 6 лет назад

    Mume wake kapigwa risasi akawa na uwezo wa kuendesha gari looo

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 6 лет назад

      Blandina Ruganisa sasa ukitaka afanyaje? Tunatofautiana. Kama wewe huwezi wenzako wanaweza

    • @sundayulomi9547
      @sundayulomi9547 6 лет назад +1

      Blandina Ruganisa we ni mpuuzi, mbona watu wanafiwa na wazazi wao na wanaendesha magari mpaka msibani???
      Kwa hiyo mtu akifiwa anashindwa kuendesha gari??

    • @fidelmbai3642
      @fidelmbai3642 6 лет назад +1

      Blandina Ruganisa Angefanyeje?

    • @paultayari3676
      @paultayari3676 6 лет назад +1

      huyu dada ajielewi kwahiyo alitaka afanyaje. we mpuuzi kweli.