Allha akupe nuru kwenye kaburi lako Mimi nilikufuatilia na mawaidha yako yalinijenga mno na siku nilipoona taarifa ya kifo chako sikuweza kula na kupata mfadhaiko mkubwa nikikumbuka mawaidha yako ya kila ijumaa... Mungu akuzidishie kila la heri kaburini mwako
Mwenyezi Mungu akurehumu sheikh wangu. Si wote wanaosilikiliza wataelewa. Wayahudi wa kihistoria waliomkana hata Yesu na ujue hakuna kuingia kwa dini ya kiyahudu unless uwe myahudi. Sayansi ya video ilianza enzi za Mtume Mohammad PBUH.
habari! Mimi ni Yusuf, aka Joseph! Nimeipenda comedy yako. mazungumzo yenu ya kidini yanachekesha sana….inanifurahisha sana. ikiwa unachosema ni kweli au si kweli, sio wito wangu kuhukumu kwa sababu nina ukweli wangu. baada ya kusema hayo, nataka nikupe changamoto, katika mazungumzo yako ya awali, umewadhalilisha wasio Waislamu kwa kuwaita maswahara na wayahudi. Unauonya Ummah wa Kiislam usiwaige hao makafir (wasio waumini) kwa hiyo hoja yangu ni kwamba mitandao yote ya kijamii unayotumia kutengeneza pesa katika mazungumzo yako ya dini inamilikiwa na kuendeshwa na wayahudi na maswahara….hivyo kwanini unaacha kutumia majukwaa yote yanayomilikiwa na Wayahudi? unapenda utamaduni wao na mtindo wao wa maisha lakini hutaki kukiri hadharani, kwa nini?
Allha akupe nuru kwenye kaburi lako
Mimi nilikufuatilia na mawaidha yako yalinijenga mno na siku nilipoona taarifa ya kifo chako sikuweza kula na kupata mfadhaiko mkubwa nikikumbuka mawaidha yako ya kila ijumaa...
Mungu akuzidishie kila la heri kaburini mwako
Amin
Amien
Amin
Hongera kwa kuwai mjua m ndo kwanza naanza mfatilia nkafraishwa nae nasoma koment za watu naona kumbe kafark
Allaaah akujalie kheri na baraka katika maisha yako ya kaburin shekh wangu allaah hum'maa amiiin
amiinthuma amiin thuma amiin
Rehma za Allah ziwe juu yako, Allah aongeze Nuru ktk qabur lako, akusamehe makosa yako na akupe pepo ya jannatul firdaus..amina
Allah akutilie nuru akuraham Sheikh wetu kipenzi
Allah akuepushe na adhabu kaburi inshalla
Amiin
Mungu amjalie pepo kubwa sheikh wetu
Allah akulaze mahala pema. Mawaidha yako napenda sana kusikiliza na umewagombania sana kuwaokoa vijana. Allah akulaze mahala pema.
amiin thuma amiin thumma amiin
Masha Allah mungu ampe jana firidausi ya rabi
Amiiin❤
amiin thuma amiin thuma amiin
Mwenyezi Mungu akurehumu sheikh wangu.
Si wote wanaosilikiliza wataelewa.
Wayahudi wa kihistoria waliomkana hata Yesu na ujue hakuna kuingia kwa dini ya kiyahudu unless uwe myahudi.
Sayansi ya video ilianza enzi za Mtume Mohammad PBUH.
Allah akupe kauli thabiti shehe wetu
Mngu akurehemu sheikh nyundo.
Allahumma hufil llahu walahamhu wasken hufiljanna
Allah akupe makaz mema
Mawaidha mazuri sana
Mashallah
اللهم اغفرله ورحمه🌹
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
Allahuma ghufirllahu warhamahuu filjanbah mungu mpe wepesi mjawako huyuuu
Allah akupe kauli sabit
Ukwelimtupu Shekh shukran
Allah amrehem
mashaalah
habari! Mimi ni Yusuf, aka Joseph! Nimeipenda comedy yako. mazungumzo yenu ya kidini yanachekesha sana….inanifurahisha sana. ikiwa unachosema ni kweli au si kweli, sio wito wangu kuhukumu kwa sababu nina ukweli wangu. baada ya kusema hayo, nataka nikupe changamoto, katika mazungumzo yako ya awali, umewadhalilisha wasio Waislamu kwa kuwaita maswahara na wayahudi. Unauonya Ummah wa Kiislam usiwaige hao makafir (wasio waumini) kwa hiyo hoja yangu ni kwamba mitandao yote ya kijamii unayotumia kutengeneza pesa katika mazungumzo yako ya dini inamilikiwa na kuendeshwa na wayahudi na maswahara….hivyo kwanini unaacha kutumia majukwaa yote yanayomilikiwa na Wayahudi? unapenda utamaduni wao na mtindo wao wa maisha lakini hutaki kukiri hadharani, kwa nini?
Dah 😢😢😢😢
Asalamualaikum?? Naomba Mwenye Link ya shehe nyundo akizungumzia wanawake Kuvaa Help me Kichwani
MWANAMKE ALOJIKWAPUA,😄