uwekezaji sio kwamba serikali imeshindwa kuiendeleza au imeuza mradi... ila ni kwamba shirika binafsi linaachiwa jukumu la kuendesha mradi kwa lengo la serikali kujipunguzia majukumu ili serikali iweze kuhudumia sekta nyingine... serikali inamambo mengi ya kufanya hasa kutoa huduma, hivyo basi kwakuwa lengo la serikali ni kufikisha huduma kwa jamii basi imejenga reli imenunua treni na inaruhusu wawekezaji wanunue ata treni zao ili huduma iendelee kwenda kwa wananchi...kama kwenye mabasi tu serikali awali ilikuwa na basi zake ila leo hii watu binafsi wanamiliki mabasi serikali imeendelea kutoa huduma nyingine.... na ikitokea wawekezaji wameshindwa kuendelea kutoa huduma wanapopata hasara.. basi serikali itarudi kuusimamia mradi maana lengo la serikali sio kupata faida ni kutoa huduma
Kiukweli mama yetu samia wewe ndie mlezi wetu watanzania mungu akubaliki sana mama, tumepata rais mwema kwa ajili yetu
uwekezaji sio kwamba serikali imeshindwa kuiendeleza au imeuza mradi... ila ni kwamba shirika binafsi linaachiwa jukumu la kuendesha mradi kwa lengo la serikali kujipunguzia majukumu ili serikali iweze kuhudumia sekta nyingine... serikali inamambo mengi ya kufanya hasa kutoa huduma, hivyo basi kwakuwa lengo la serikali ni kufikisha huduma kwa jamii basi imejenga reli imenunua treni na inaruhusu wawekezaji wanunue ata treni zao ili huduma iendelee kwenda kwa wananchi...kama kwenye mabasi tu serikali awali ilikuwa na basi zake ila leo hii watu binafsi wanamiliki mabasi serikali imeendelea kutoa huduma nyingine.... na ikitokea wawekezaji wameshindwa kuendelea kutoa huduma wanapopata hasara.. basi serikali itarudi kuusimamia mradi maana lengo la serikali sio kupata faida ni kutoa huduma
Ongera sana Mama yetu
Mama umeupigwa mimi
Swali langu!!!..
Hiii treini yetu mwisho wa siku mtatuambia et mmeshindwa kuindeleza Tena mumpe mwekezaji Au ???
unajua maan ya uwekezaji?