TANDI SERIES .EP.. 123 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • TANDI SERIES EP 123
    TANDI NI BINTI MDOGO ANAYEISHI NA BABA YAKE JORDAN
    FUATILIA MKASA HUU..
    #vincentkigosi #raythegretest #raykigosi

Комментарии • 153

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b Год назад +26

    Kama kawa tupo pamoja south Africa Durban tunawapata vizuri team ray tusiwe wa choyo wa like nipeni hazinipeleki popote ni basi😂❤❤❤❤

  • @doreenkerubo7056
    @doreenkerubo7056 Год назад +5

    😂😂😂😂😂leo linda kajua yy n kichaa😂😂nawapenda sana team kigozi ❤❤from kenya

  • @namayanjulius-yz6nk
    @namayanjulius-yz6nk Год назад +17

    Waooo wa nne Leo naomba like zangu😊

  • @LightnessMwakafwila
    @LightnessMwakafwila Год назад +68

    Ifike atua tujuwe izo like mnafanyiaga nini😂

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 Год назад

      😀😀😀

    • @NsabimanaFlorida-gp1cx
      @NsabimanaFlorida-gp1cx Год назад

      😂😂😂😂😂😂kabisa😂😂😂😂

    • @mariashilinde291
      @mariashilinde291 Год назад +5

      Ujinga TU badala watoe maoni wanakimbilia kuomba like 😂😂😂 Yan me nikupe like yangu ww kwakipi hasa! 🤣🤣

    • @lutfiahamad2642
      @lutfiahamad2642 Год назад +1

      Kumb Nina mwenzangu😂

    • @UbaNsineno
      @UbaNsineno Год назад +1

      Niwapumbavu tu badili kutoa maoni n pongeze waleta left legs zao wakitaka likes

  • @victorkobobiojuwang5149
    @victorkobobiojuwang5149 Год назад +8

    😂😂😂😂 Linda anachamba San jmn 😂😂

  • @victorkobobiojuwang5149
    @victorkobobiojuwang5149 Год назад +9

    😂😂😂 yaan hii couple ya Linda na chande, imekaa kiujanjajanja San naikubal

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv Год назад +6

    Wa 29 leo na omba likes zangu wa Congo 🇨🇩 mashabiki wa Ray the greatest ❤❤❤

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 Год назад +2

    Maashaa Allah asanteni sana mko vizuri sana nawafantilia sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎈💞🥰🤲

  • @ValerianaMdendele
    @ValerianaMdendele Год назад +10

    😂😂😂😂 huyo ndo linda jamani ila Jordani kuwa makini na Joyce😢😢

  • @katotopesaofficial
    @katotopesaofficial Год назад +12

    Katika Scene Nimempenda ya Linda Ni hii Ya kumchamba demu anayeng'ang'ania Gari Ambalo halina Jina lake

  • @FredieFiedel
    @FredieFiedel Год назад +2

    Ningekuwa ray ningechukua Susan badala ya abigael, Susan Hana mbaya , kama unakumbalia na Mimi piga like

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de Год назад +2

    Linda imepata mteremko Yani washukisha vidonge wooooow 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ArakazaFridore
    @ArakazaFridore Год назад +5

    pamoja sana tukiua 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤

  • @Ganzaboke
    @Ganzaboke Год назад +1

    Bado namwaga mauwa kazi nzuri

  • @NancySinoya
    @NancySinoya Год назад +4

    Linda mama ❤❤❤❤❤hii yako

  • @alexaleko3220
    @alexaleko3220 Год назад +3

    Aleko from Kenya wap like zangu

  • @Malashi286
    @Malashi286 Год назад

    Ongeza bidi saaana baba Ray kigosi napenda saaana bidi zako kwenye filamu ya bongo muv

  • @NelsonbernardoDaleli-jn6ly
    @NelsonbernardoDaleli-jn6ly Год назад +2

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 te amo, TANDI bom trabalho "kigosi"

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe Год назад +1

    Good nice one job 🎉🎉

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 Год назад

    ❤❤❤❤love you linda....katika hii scene umecheza❤❤❤vizuri

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +5

    Wapili2❤❤❤🇧🇮

  • @Idrisakasimu-s3l
    @Idrisakasimu-s3l Год назад

    Mimi wa mwisho leo naombeni like zangu toka Congo drc

    • @AaBb-q2l
      @AaBb-q2l Год назад

      Hapo congo like munazifanyaga Nini?

  • @mugishanathan4291
    @mugishanathan4291 Год назад +1

    Lakin chande mjaja jamani mwanaume kama chande mungu atuepushie kwa jina la yesu

  • @Lathifa-zl8hg
    @Lathifa-zl8hg Год назад +3

    Wamwisho wapenz like kwa Jordan ambae hana nyota na mapenz😢Jordan gheri ukae single tu na ukae na familia yako na amani kuliko ukae na mtu kumbe mguu nje mguu ndani hubbygirl karudi kwa mume😂😂❤❤🎉🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Год назад

    Maskini Jordan mithihani unayoo pitia nimikubwa sana❤❤

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 Год назад +1

    Joyce nae musimtie ugonjwa wa moyo huyo kigosi wetu bado tuna mihitaji😅😅😅😅😅

  • @EmaDaher
    @EmaDaher Год назад +2

    Polesana jordan kipenzi❤❤❤❤

  • @KevinOpeto
    @KevinOpeto Год назад +5

    Watano like zangu ata kumi

  • @BarakabalumeJean
    @BarakabalumeJean 4 месяца назад

    Gari itatoka kabisa🎉

  • @alexaleko3220
    @alexaleko3220 Год назад +2

    Jordan take care na Joyce asikufayie Kama Abigael

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 Год назад +4

    Ray anataka kuingia kwenye mtego mwingine

  • @YohanaMathayo-d8z
    @YohanaMathayo-d8z Год назад +1

    Jordan unaonaje ukajipa likizo kwanza kwenye mapenzi maana hayakutaki baba

  • @sergesntirandekuranikuki2635
    @sergesntirandekuranikuki2635 Год назад

    Uuuu hii movie akuna mtu watabianzuri woote visirani tu kasolo wakimu

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Год назад +3

    Linda moto wa kuotea mbali 😂😂😂😂

  • @HirweJoyce2066
    @HirweJoyce2066 Год назад +1

    Rinda nakupenda muno❤😂

  • @gloriakadzo6500
    @gloriakadzo6500 Год назад +5

    Jordan chunga Sana Joyce anakunyemelea kwa style mpya mjini😅😅😅

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 Год назад +1

    Kaka Ray nimeshindwa kuvumilia tunaomba utuwekee episode ya 130

  • @dismasmmassy3623
    @dismasmmassy3623 Год назад +1

    Pamojaaa

  • @AnnyMwahamed
    @AnnyMwahamed Год назад +2

    Next ❤

  • @NesfolaPaul
    @NesfolaPaul 5 месяцев назад

    Linda wewe noma

  • @jofreycharles4868
    @jofreycharles4868 4 месяца назад

    Ray unajua kaka

  • @sterbabypaizony4649
    @sterbabypaizony4649 Год назад +1

    Nimempenda lenea

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi Год назад +1

    Mnakera sana mnaoomb like walahiiii😂😂😂😂

  • @hamisisalim
    @hamisisalim Год назад +1

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LucasMmbughu
    @LucasMmbughu Год назад +5

    Zipo nyingi hazijafunguka achieni mbili mbili bas ndugu zangu tupeni hata hii 23 plz

  • @ElishasadikiNakaya
    @ElishasadikiNakaya Год назад +3

    Tunasubiri kwahamu baba😂

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад

    😂😂😂😂😂watu wa tandi mumevurugwaa

  • @bonifaceArisi
    @bonifaceArisi Год назад +1

    Maaana ya hizi like mnaomba Kila saa kama maombi ni za nn

    • @mamasalhat
      @mamasalhat Год назад

      Wanakela Sana wallah nachefukwa

  • @jacksonmakarck9536
    @jacksonmakarck9536 Год назад

    Huyu aliena watoto pemben anamsimamo sana😂😂😂😂

  • @lameckmwembe6581
    @lameckmwembe6581 Год назад +1

    Kwani ata ww huni like👍

  • @yonasytitusy337
    @yonasytitusy337 Год назад

    Utakuta wa kiume anaomba like😂

  • @evanskatile3561
    @evanskatile3561 Год назад +1

    Linda wazimu kweli

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад +2

    Jordan ebu achana na mapenzi kwa sasa achana na joyce tulia na familia yako wanawake wote wako sawasawa 😢😢😢

  • @kalou-td6pp
    @kalou-td6pp Год назад +2

    Nko ndani

  • @AmanSam-o6f
    @AmanSam-o6f Год назад +1

    Jordan Joyce ndo Chaguo lako kula chuma iko😂😂😂

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад

    😂😂😂😂😂jordan ww watekwaa tuu na wanawake

  • @MaryAyunga-m2d
    @MaryAyunga-m2d Год назад

    ❤❤❤ Tandi

  • @jovithakawimbe7472
    @jovithakawimbe7472 Год назад +2

    Wow My No 1🎉🎉🎉❤

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +1

    Ndafika sehemu yamaumivu😢

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr Год назад

    Waaa wivu nimbaya aki kwani makosa ukowapi watoto wakirudi kwa bbke

  • @MwanamisiJuma-f8l
    @MwanamisiJuma-f8l Год назад +3

    Wa 7

  • @kijanamwepesi6997
    @kijanamwepesi6997 11 месяцев назад

    Duu huyu chande balaa akitengeza huku anahsribu kule mtto n kivuruge

  • @RamadhanKitonga-gh2oq
    @RamadhanKitonga-gh2oq Год назад +3

    Wa salasini na tatu mie

  • @UbaNsineno
    @UbaNsineno Год назад

    Hy hakimu nlijua ana roho mbovu tng kesi y jordan kaniudhi anachukia hata watoto waso makosa

  • @salamaasalamaa-yo3ju
    @salamaasalamaa-yo3ju Год назад

    Jamani huyu Linda moto wakuotewa mbali

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 Год назад

    Aya joadan jitumbukize kwenye mapenzi tena,mana naona joice anajileta tu polepole😅😅

  • @modewilley1942
    @modewilley1942 Год назад

    Leo nimempenda Linda

  • @juma3049
    @juma3049 Год назад

    Kwani jamani mtu anachukua gari ata hana umiliki wake😂😂hapo chande na huyo dada walicheza kma watoto wadogo

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr Год назад

    Nakwabia liny amefurai😂

  • @najmaawadh510
    @najmaawadh510 Год назад

    Chande kazi unayo😂😂😂

  • @ElishasadikiNakaya
    @ElishasadikiNakaya Год назад

    Hatari 😊😊

  • @MohamadSimba
    @MohamadSimba Год назад

    dereva tukutuk up vizuri

  • @RukiyaButoyi-sk5nm
    @RukiyaButoyi-sk5nm Год назад +1

    Jordan kuwa makini saana na Joyse sohuruma hizo niza mamba😂 alafu Linda wewe utasema Chande alikupakaga dawa😂

  • @josephmgovano3892
    @josephmgovano3892 Год назад

    Jordan a.k.a Ray mtego huo 😂

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 11 месяцев назад

    Linda hapo nakuunga mkono mia mia

  • @evansjayuga
    @evansjayuga Год назад

    Sometimes mnatubeba ufala yaani abigael ashaenda ila ray bado Jordan yupo na gari lake

  • @BenedettaSiayi
    @BenedettaSiayi Год назад

    Muache mambo ya likes ebu mu subscribe kwa Edwin Siayi

  • @niceboyelijah
    @niceboyelijah Год назад +1

    Wake warudi kwa waume zao

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v Год назад +1

    Joyce kaja moto

  • @fgfvgggf6993
    @fgfvgggf6993 Год назад +1

    Utajuaje labda huwa wanazipeleka chooni

  • @mugishanathan4291
    @mugishanathan4291 Год назад

    Mpen haman like ray wetu bwana sanatupavituvizzu kwan tufanyen Shure like and comment please ❤❤

  • @yanshuking
    @yanshuking Год назад

    Akili ni nywele ila za jordan hazija kamilika cause hafikirii yaliopita na yametokea kwa nini🤔🤔

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Год назад

    Next plzz ya miya 124

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад

    Naomba lakes sijawah pata nione kama zinafaida

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr Год назад

    Joice aki walazimisha mapenzi kweli

  • @HUDAAAWADH
    @HUDAAAWADH 11 месяцев назад

    Wote hawafai

  • @rosàriomanuel-t1s
    @rosàriomanuel-t1s 4 месяца назад

    ❤❤

  • @SolangeOvera
    @SolangeOvera Год назад +3

    ❤❤😢😢5

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 Год назад

    Jordan chunga joyce asije akaziteka hisia zako baada ya kuondokewa nà Abbygael

  • @nayyarnassor762
    @nayyarnassor762 Год назад

    Isee wanaume wanabadilika hark kwa wazaz wao kuliko wanawak kama justine alivyo now duh

  • @queensiku
    @queensiku Год назад

    Weeee joys wwww Unataka nini?

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww Год назад

    Lakini huyu Jordan Mbona anakuwa mwepesi wakuingia kwenye mitego rahisi hivi

  • @Natalia8806
    @Natalia8806 Год назад

    Linda 😅😅😅😅😅😅😅

  • @KHADIJAMIRAJI-i3e
    @KHADIJAMIRAJI-i3e Год назад

    Apo Leo umesema kwer wanapeleka wapi

  • @bravoh1705
    @bravoh1705 Год назад +2

    😂😂❤❤3

  • @ntungwanayoodette752
    @ntungwanayoodette752 Год назад +3

    ❤🇧🇮🇸🇦

  • @AliceHaluwa
    @AliceHaluwa Год назад

    jordan mbona unaingia kwa mtego ivyo kijana wawatu jamani

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu Год назад

    I'm telling you guys this movie no more lekker like this one

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 Год назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Год назад +3

    Tuma ya miya na 121

    • @munamuna3921
      @munamuna3921 Год назад

      X ilikua jana mm nilishaiyona search itakuja