WAZIRI WA AFYA AWASHA MOTO OCEAN ROAD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 116

  • @roselugendo6943
    @roselugendo6943 4 года назад +19

    Mama safisha wizara. Hongera rais kutuletea huyu mama. Hii wizara ina shida nyingi sana

  • @jamesmsalilwa8733
    @jamesmsalilwa8733 4 года назад +18

    Ndugu Waziri, Tanzania siyo masikini, bali baadhi ya watu ndio masikini wa kufikiria.

  • @dorndet6179
    @dorndet6179 3 года назад +1

    Mama nimekupenda bureeee, Mungu akutangulie.
    Damu ya Yesu ikufunike.Mumeo should be proud!

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 4 года назад +1

    No cheni no wigikichwani ni vitenge kwenda mbele nywelefupi.... Waogope sana taipu hizo...zinakuwaga kazikazi tuu.... Nakupenda dk doroth gwajima Mungu akulinde saana ....

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 4 года назад

      Huo muda wakwenda kukaa saloon anautoa wapi wanakwenda nimlegelege muagalieni hata mbunge wa MbeyaTulia

  • @vallerinejesse2299
    @vallerinejesse2299 4 года назад +4

    Yaani mimi namkubali Sana huyu waziri yuko vzr na ana upana Sana wa mawazo na uelewa Mama big up💪💪 yaani uko vzr .nakutabiria MUNGU akulinde uje kua waziri mkuu wa kwanza mwanamama!

  • @allyhassan2136
    @allyhassan2136 4 года назад +10

    Safari hii Majambazi wanakiona chamtema kuni kwa kugongwa kweli kweli kwa mujibu wa Sheria.Vile vile na Hawa wakufanya kazi kwa mazoea hawana pakutokea.

  • @katyentyedanny4037
    @katyentyedanny4037 4 года назад +8

    Gwajima nakupenda sana

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 4 года назад +21

    Kuwa na waziri anayejua sekta ni Jambo jema Sana

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 4 года назад +13

    Mama wape elimu waliishi kwa mazoea

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 4 года назад +11

    Mwacheni mama wawatu afanye kazi ajipendekeza nn wakati anawatakia maslahi yenu

  • @alexmbembela4571
    @alexmbembela4571 4 года назад +13

    Huyu kiboko yao ummy mwalimu ulikuwa mpole mno japo kazi uliifanya vema.......ogopa mwanamke mwenye pesa tajiri halafu ananyoa nywele

    • @florangido202
      @florangido202 4 года назад +1

      Hana mda wa kupoteza kwenda Salon
      hapo ni kazi kazi

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 4 года назад

      Hahahaha

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @mamahustru
      @mamahustru 4 года назад +2

      Ummy sio sekta yake, alikuwa mtendaji wa kisiasa sio taaluma. Hivyo hakuwa anajua wanayomueleza kitaaluma kama ilikuwa sahihi au la. As long as wakimpa siasa ya maneno yaliyonyooka, anaridhika.

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 4 года назад

      Barikiwa sana,mama! Hana muda wa kupoteza saloon, hapa kazi tu!!!!!

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 4 года назад +6

    Tatizo mama unaongea bila kuchukua hatua yoyote.chukua atua haraka sana sana. Ndio utasonga mbele hongea sana

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 4 года назад

      Ilondioneno yeye akiongea akitoka wembeuleule

    • @florianmtunzi9899
      @florianmtunzi9899 4 года назад

      Sekta ya afya wasomi wachache uwez kufukuza kila mtu n lazima uwape muda na kuwakumbusha taratibu za kazi,,

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 4 года назад +5

    Safiiii

  • @bindebinde2203
    @bindebinde2203 4 года назад +1

    Wazir upon vizuri

  • @festohaule5968
    @festohaule5968 4 года назад +2

    Mama.hili ni eneo lako sahihi 100%Mawaziri wengi wamepewa vitengo wasivo na utaalamu navyoo.

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 4 года назад +11

    Mama awa watu watakuapasua kichwa. ila ninavyoona hawakuwezi.

  • @kipesekiaruwamallya3098
    @kipesekiaruwamallya3098 4 года назад +4

    ogopa sana mtu anaenyoa babar shop

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 4 года назад

    Madam upo vzr sana kwa ufatiliaji piga kaz but toka moyoni nakuomba uwe na selfsecurity nawa jua binadamu, ucnywe hata maji uliyoandaliwa na management unapokwenda kwa supervision na MUNGU akutangulie na akulinde kwa kazi unayofanya ya uzalendo kwa kumsaidia Raisi JPM

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 4 года назад +8

    Kweli mama unasafisha nyumba

  • @laurahomine714
    @laurahomine714 4 года назад +3

    Piga kazi waziri

  • @mjinihakuna5550
    @mjinihakuna5550 4 года назад

    Hapa Raisiwetu kapata waziri konki mama anaejielewa anaejiamini mtanyookatu

  • @rupiajane6506
    @rupiajane6506 4 года назад

    Mama asante ocean road hapohapooo walikuaga wanaficha faill LA marehemu baba yangu ,,mkitoa hela mnaletewa ctasahauuu

  • @musasabu6969
    @musasabu6969 4 года назад +5

    Uzuri mh.waziri anafaham ni taaluma alyoxomea hapo hawamdanganyi

  • @yohanesfelix7534
    @yohanesfelix7534 4 года назад +9

    Miongoni mwa mawaziri huyu mama ana kitu cha kipekee.Nimeona comment moja kuwa huyu mama angefaa kuwa waziri mkuu, naunga mkono lakini wacha asafishe hii wizara.

  • @hazelsoko1594
    @hazelsoko1594 4 года назад

    Muhimbili Dr Gwajima Waziri ufike.....wanakimbizwa Mloganzila wakaonokee huko.

  • @deanstephen5232
    @deanstephen5232 4 года назад

    Ummy Mwalimu ana la kujifunza hapa, katoka Alvaro Morata kaingia Christiano Ronaldo😂

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 4 года назад +2

    Mama ningefanikiwa kukuona ningekupa zawadi ambayo hujawahi kupewa

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 года назад +4

    Jamani hivi Tanzania ilikuwa ikiogozwaje? Uongozi ulikuwepo hata tungefanya nini maendeleo yalikuwa ni vigumu kuyatimiza. Baada ya miaka hii mitano, tukitaka Tanzania bora lazima Dr Magufuli na timu yake aongezewe miaka mingine saba kuiweka Tanzania sawa.

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 года назад +4

    Yani huyu mama na Jafo ndo mawaziri bora

  • @bongobongo1755
    @bongobongo1755 4 года назад +4

    Watu walikuwa wanafanyakazi wakitaka hapa kuwa na MTU wa kufatilia, sasa huyu wizara take iyo wata nyooka

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 4 года назад +3

    Huyu mama aje kuwa MAKAMU WA RAIS Awamu ya 6.

  • @shabanfitnesstv3977
    @shabanfitnesstv3977 4 года назад +2

    Huyu mama atakuwa Ana ukoo na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa tabora (agrey)

    • @evelynebwire7684
      @evelynebwire7684 4 года назад +1

      Hahahaha

    • @olivamarunda8318
      @olivamarunda8318 4 года назад

      Hahaha fitness umenifanya Michele Sana umeonaee nn mpk umeaema hivyo anaundg Na agery mwandri hahaaa yaani daah

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 4 года назад +1

      Yule Mzee mwari kwa nn hapewi wizara na yy jamani.Wangekuwa safu moja na huyu mama heeehe!

    • @shabanfitnesstv3977
      @shabanfitnesstv3977 4 года назад +1

      @@olivamarunda8318 anavoongea yaan na jinsi alivo makini misisitizo, ata utendaji wa huyu mama, kama unamfahamu vizuri agrey mwanri, utakuwa umenisoma

    • @shabanfitnesstv3977
      @shabanfitnesstv3977 4 года назад +1

      @@husseinally5550 lazima watu wangetia akili,

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 4 года назад

    Mama toka nao nnje hao wanatesa sana wagonjwa

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 4 года назад +5

    Majambazi qatakiona chamtakuni

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 4 года назад +1

    Safi sana mama mkubwa

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 года назад

    Safi Sana serikali ya magu

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 4 года назад

    DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
    Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
    1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
    2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
    3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
    4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
    5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
    6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
    7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
    8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
    9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
    🔟 Inarutubisha mayai
    NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
    Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
    Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
    Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 года назад

    Jembe la watanzania huyu mama halali hata usingizi nahis, hongera magufuli kwa kuona mbali

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 года назад +6

    Kweli Watanzania wezangu Chadema chini nyamaza Tundu Lissu na Mbowe wangeweza kazi hii kweli?

  • @cripsonkazinja7171
    @cripsonkazinja7171 4 года назад

    DAWA YA KUJENGA HESHIMA YA NDOA. kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
    Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
    1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
    2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
    3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
    4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
    5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
    6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
    7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
    8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
    9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
    🔟 Inarutubisha mayai
    NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
    Epuka aibu hii na rejesha furaha " dawa hii ndio kiboko yao
    Karibuni sana ofisini kwetu
    Wasiliana kwa 0764581267/0623270820

  • @reubenbuchege8577
    @reubenbuchege8577 4 года назад +1

    Njooni huku tujifunze neno na tumwabudu Mungu ktk Roho nakweli bonya link hii chat.whatsapp.com/Cio1IeWyfsHE9miJz12oZv

  • @omanabcd9249
    @omanabcd9249 4 года назад +3

    Wabane

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 года назад

    Mh Waziri njoo na huku Sumbawanga ni shida tupu.

    • @topaviator
      @topaviator 4 года назад

      Uko haji mana kuna wachawi watupu

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 года назад

    Kwa hyo ocean road yote imeungua moto? Alitumia kiberiti au moto wa kawaida?Zima moto walichelewa au waliwahi ndugu mtangazaji?

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 4 года назад

    Hivi haya matatizo ya Tanzania tatizo ni wananchi au serikali

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 4 года назад

    Jaman nasikia mama gwajima ni mke wa mbunge gwajima

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 4 года назад

    Safisana

  • @doricaemmanuel2674
    @doricaemmanuel2674 4 года назад

    Mama njoo na kishapu kuna madudu mno

  • @reaganndunguru3927
    @reaganndunguru3927 4 года назад

    Chukua mahamuz mama kwenye afya ni shida

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 4 года назад

    Doooò mpeleke china pale tazara temeke fundi mzuri tu????M South Africa ja

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 4 года назад

      Tatizo atuaminiani unakumbuka yakuhusu ndege kuchoma Twiga wamechora wazawa

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 4 года назад +2

    Vp

  • @valentinekitogo5151
    @valentinekitogo5151 4 года назад

    Kazi inaendelea.

  • @rogerbackful
    @rogerbackful 4 года назад

    Mama huyo

  • @johnnonyarungwa255
    @johnnonyarungwa255 4 года назад

    HONGERA MJOMBA MAGU KWA KUTULETEA HIKI CHUMA WIZARA HII. ARAFU KUNA WIZARA FURANI NATAMANI UTULETEE CHUMA KAMA HIKI ILE WIZARA AIJAKAA SAWA.

  • @mosesndahani243
    @mosesndahani243 3 года назад

    Ila huyu amefichua uvundo mkubwa sana.

  • @bilalikambo7202
    @bilalikambo7202 4 года назад

    H h h hao ni hasara kwa taifa

  • @eliachacky7562
    @eliachacky7562 4 года назад

    Yani wewe mama ningepata kuonana na wewe ningekupa zawadi ambayo hujawahi kupewa

  • @samsonzacharia2329
    @samsonzacharia2329 4 года назад

    Kweli kbsaa madaktari walifanya madudu ya kijinga kbx

  • @shamsishaaban6695
    @shamsishaaban6695 4 года назад

    Huyu mama watoto wake wanakazi sio kwa kuongea huko

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 4 года назад

    Huyu waziri sidhani kama mme wake anamuheshimu

  • @sadikingonyani315
    @sadikingonyani315 4 года назад +1

    Hii ndio awamu ya tano, mtapiga maneno mpaka miaka kumi itaisha. Matatizo ya wanyonge yanaendea

  • @jasperasave6173
    @jasperasave6173 4 года назад +1

    The problem with my beloved Tanzania every public officet will carry song cameras anywhere they go to prove that they are working.

    • @caristomwango937
      @caristomwango937 4 года назад +5

      It's just common every for any leading goverment official to be followed by cameras when out on assignment so doesnt it hurt you to see how those goverment officials were signing useless contracts

    • @eastafricarising2020
      @eastafricarising2020 4 года назад +1

      Bora hiyo kuwatia hofu kidogo tutasonga

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 4 года назад +3

      Mention one or two countries where gov officials are not followed by the media? Stop talking if you dont have facts😀😀
      Just give us

    • @shangwehalisi7659
      @shangwehalisi7659 4 года назад

      @@makongorowassira6593 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jaalabenterprises6744
      @jaalabenterprises6744 4 года назад +1

      @@makongorowassira6593 I real like your comment.

  • @nelsonchivaula6574
    @nelsonchivaula6574 4 года назад

    Uongozi wa afrika bhana mtu akiingia hutaka kuonesha Kama waliopita walikuwa hamnazo🤣🤣🤣🤣 ila watu tumezoa ndio maana tupokimya tu😁😁😁

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 4 года назад

      Nelison akili huna wewe,, na kinachokutesa ni wivu na roho mbaya ndo vinakusumbua

    • @nelsonchivaula6574
      @nelsonchivaula6574 4 года назад

      @@katwigayona8041 Acha mihemuko bro swala la akili limetoka wapi ? Kumbuka maisha yako hawezi kwenda kwa kumtegemea mtu bali ni wewe mwenyewe .Fikilia zaidi unavyo jibu comments zako coz bundle ni langu na simu ni yangu huwezi nipangia chakucoment .

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 4 года назад

      @@nelsonchivaula6574 acha ujinga hata kama bando ni lako na simu ni yako uchangine upuuzi rukuuangalie tu,,acha zako bhana

    • @nelsonchivaula6574
      @nelsonchivaula6574 4 года назад

      @@katwigayona8041 kumbe una matatizo weweunamihemuko Sana Ila tambua wenyeakili timamu huwa hawahemuki hivyo ndio maana ukiangalia comments za watu ni chache hii inamaana wanatazama facts sio nani kasema bro !! Jiheshimu kwani anachoongelea ni Cha Taifa sio Mimi wala wewe .Wenye akili hawatumii akili kukashifu watu wewe ndio wale wanao ishi kwakusuport watu ili mkono uende kinywani wengine tunashi kwa akili zetu.

  • @paull8659
    @paull8659 4 года назад +1

    AnajIpendekeza tu kwa JPM kwa kuiga style yake.

    • @kaundajulieth1741
      @kaundajulieth1741 4 года назад +10

      Kwa hiyo anayosema ni uongo?Tumia akili unapocomment !Acha ushabiki usiokuwa na tija

    • @paull8659
      @paull8659 4 года назад +2

      @@kaundajulieth1741 , Simply hii style ya kuumbuana mbele ya Camera siipendi. Hii ni style ya 'populism" aliyoianzisha JPM ili kujionyesha anafanya kazi na yuko upande wetu sisi walala hoi, kumbe anajitengezea jina tu. Anahitaji makofi. Hawa watendaji wadogo siyo rahisi na vyema kubishana na boss wao mbele ya camera.Hapa mama ananguruma peke yake na wanamsikiliza na kukubaliana naye tu. Mambo mengine yanahitajika vikao maalum, halafu maamuzi ndiyo kiongozi anayotoa hadharani. Mkubali msikubali hata mnitukane, nchi haindeshwi kwa kuzomeana, kuumbuana au kutumbuana hadharani. Hizo ni tabia za kishamba, kidikteta na kijinga.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 года назад +6

      Basi wewe labda ndo unamsikia,miaka yote yuko hivyo huyo hanaga mchezo bro.Unafikiri kapewa uwaziri bure?? Huyo ni hands on..subiri uone atakavyoinyosha wizara.

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 4 года назад +9

      Sasa wataka ajipendekeze kwa Mbowe? Kuiga vitu vizuri toka kwa wengine sokujipendekeza.

    • @andrewsam364
      @andrewsam364 4 года назад +7

      Unapotumwakaz lazima ufanye kaz.hao wanaosema anajipendekeza fwatilia kazizao.niwavivu wazembe nawanao subir kusimamawa.nandomaana hatuendelei.kila anapojitokeza mwafrika mwenzetu anaeweza kutuvusha bas sisi ndowakwanza kumbeza. Tutakua watumwa wafikra had lin?waafika tuamke