JIFUNZE KUSOMA KIARABU SEHEMU (25)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @zuhuraamad9448
    @zuhuraamad9448 3 года назад +1

    Akuzidishieni ilmu naujuzi na awape pepo ya fir dausi aamiin

  • @zumofaki7085
    @zumofaki7085 5 лет назад +2

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
    شكرا لك
    جزاك الله خيرا
    بارك الله لك في أهلك ومالك
    Samahan mwalim wetu kwanza twakushukuru sana sana kwa kutufumbua macho
    maana kama hujui kiarabu ktk masomo ya dini yetu ya kiislam wewe ni kipofu hata kama unatazama
    maana quran kiarabu ,hafidhi za mtume kiarab , sira kiarabu, qauli za ahlul ilmi kiarabu
    Wengi wanaosoma dini wanaishia njiani kwa sababu wamekosa misingi (lugha ya kiarabu)
    Allah amlipe kila la kheri mwalim wetu
    Na amlinde na kila la shiri
    Ampe moyo huu huu andelee mpaka kieleweke
    Samahan ustadh ninaomba jina la kitabu unachotufundisha nataka nikinunue
    AHSANTA

    • @zumofaki7085
      @zumofaki7085 5 лет назад

      Samahani ustadh nitumie jina la kitabu unachotufundishia ktk whatsapp 0653697912
      AHSANTA

    • @sofiachihuluma4118
      @sofiachihuluma4118 4 года назад

      Samahan mwalim naomba nifahamu namna ya kupata darasa zilizopita zote kwa mtiririko na namna ya kupata hicho kitabu namb Yang ya WhatsApp no 0673403763

  • @aishamusabakhwa5032
    @aishamusabakhwa5032 4 года назад

    Kazi nzuri Ila ungetumia pointer kuonyesa manenos wakati uaposoma na kutafsri

  • @zuhuraamad9448
    @zuhuraamad9448 3 года назад

    Mwenyezimungu akupe taufiqi

  • @abuumansour6307
    @abuumansour6307 7 лет назад +2

    Allaah awabariki japo darsa hii imechelewa kuliko kawaida.

  • @bhaihamza1465
    @bhaihamza1465 3 года назад

    Na penda darsa zako zaeleza vizuri sana

  • @hamadkhamis7311
    @hamadkhamis7311 3 года назад

    شكرن جزل

  • @mahadimatsawily5809
    @mahadimatsawily5809 5 лет назад

    video ni nzuri. mimi ni mdau wa darsa zako

  • @bhaihamza1465
    @bhaihamza1465 3 года назад

    Assalam aleykum warahma tu llah wabarakatu. Please nitumie hio down load ya kitabu

  • @shabanikasele2861
    @shabanikasele2861 7 лет назад +1

    Masha Allah sheikh wangu

  • @lemmyfondo4029
    @lemmyfondo4029 7 лет назад

    MashaAllah sheikh twashukuru kwa juhudi zenu ,na mola awabariki na awape wepesi wa kuaelimisha waisilamu wenziwenu kwa njia rahisi.

    • @luheta
      @luheta  7 лет назад

      Amiin

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 4 года назад

      @@luheta asalam alykum. Sheikh soud naomba jina la kitabu. Nataka kununu lakini naogopa nisijenunua wrong book. Au volume iliokuwa sio nimeona huyu mtunzi ana more than one volume.
      Namba yangu 07984494315. Ya Whasup.

  • @zuhuraamad9448
    @zuhuraamad9448 3 года назад

    Assalamualaikum

  • @tarimotarimo6974
    @tarimotarimo6974 4 года назад

    Ahlan wasahla maghallim hebu nipatie somla25 kwatafsr

  • @mariamnshimirimana7956
    @mariamnshimirimana7956 7 лет назад

    Shukran Nam mwalim wetu waweza kututumiya hicho kitabu

    • @luheta
      @luheta  7 лет назад +1

      MARIAM Nshimirimana naam

    • @ayubummakua5247
      @ayubummakua5247 2 года назад

      انا احتج ذالك كتاب

  • @allyzakuwany7285
    @allyzakuwany7285 4 года назад

    Mashaallah

  • @rahadobe4713
    @rahadobe4713 7 лет назад

    ssalamu halaikum naomba unutumie jina la kitabu

    • @luheta
      @luheta  7 лет назад

      القراءة الراشدة

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 лет назад

    Napenda sana darasa zako naomba niwe nazipata kwa mtiririko ya kwanza hadi hii ya 25 kwa what's sapp yangu 0682763680 Allah akuripe khairi sheikh

  • @jumarajabu6827
    @jumarajabu6827 5 лет назад

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Baarakallah fiika naomba hicho kitabu namba yangu
    0652333480