JIFUNZE KUSOMA KIARABU SEHEMU (23) UKAMILISHO WA DHAMIR {أنا}

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 25

  • @loolaa1783
    @loolaa1783 4 года назад +3

    Shukran jazillah sheikh soud luheta allah akupe ya kheri fi dunyaaa wa fil akher inshaallah! Unatuelimisha buree kabisaa hatukulipii hata 100 ila rabunah rab nasi jamiah atakulipa

  • @bakaribakari6444
    @bakaribakari6444 4 года назад +1

    Jazakallah khair.. Sheikh akujalie uwe miongon mwa watu Wa jannatul Firdausi

  • @abdallahismael4221
    @abdallahismael4221 6 лет назад +2

    masha ustadh Luheta nafrahi sana kukutana na darsa zako za kiarabu Allah akujaze kila la kheri kwa Rehma zake

  • @bhaihamza1465
    @bhaihamza1465 3 года назад

    Ma sha llah Shukran wa Jazaka llah kheir

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 года назад

    Baaraka LLAHU fiiqu

  • @mwanaikiswalehe4265
    @mwanaikiswalehe4265 2 года назад

    Amiin nawe akupe nguvu uzidi kutuzindua

  • @rukkyxarat
    @rukkyxarat 4 года назад

    Tunafaidika alhamdulillah

  • @BilkaisHarith
    @BilkaisHarith 7 месяцев назад

    Naomba uniandalie vitendo japo 30 vya kiarabu tfzal tunafatilia sana vdeo zako

  • @adammasero
    @adammasero 7 лет назад

    Marshallau mwenyazi mungu awazidishie

  • @hassanwaswa4675
    @hassanwaswa4675 5 лет назад

    Allah akulipe kila lakheri kwakutuilimisha
    Ila ivi tunafika sehem ngum habieleweki kabisaa yani nibigumu san kabisaa

  • @mngelezaabdalamani6460
    @mngelezaabdalamani6460 4 года назад

    Allah akulipe sheikh

  • @hamisasalma6334
    @hamisasalma6334 4 года назад

    Shuqrani sana

  • @nuratysakoro3160
    @nuratysakoro3160 6 лет назад

    maasha Allah jazzaka llahu khaira

  • @saumumashaallahrashid4477
    @saumumashaallahrashid4477 7 лет назад

    Masha Allah Mungu awalipe duniani na aghera insha ALLAH

    • @luheta
      @luheta  7 лет назад

      Saumu MASHA ALLAH Rashid amiin

  • @malususiri4889
    @malususiri4889 4 года назад +1

    Unazo cd zake maalim

  • @kiangikibacha2346
    @kiangikibacha2346 6 лет назад

    Mungu akubariki sana

  • @lemmyfondo4029
    @lemmyfondo4029 7 лет назад

    Shukran Sana kwa juhudi zenu tunafurahi Sana na mola awepe kheri kwa kila jambo mnalofanya,na awape barka .

  • @MassoudAlazry-oq8vq
    @MassoudAlazry-oq8vq 3 месяца назад

    Yyy

  • @hajistivin8121
    @hajistivin8121 4 года назад

    Maashallah nimefulahi saana.Nakuomba saana tena saana unitumie darasa zote Kwenye WASAP yangu hii 06 75 29 90 23 Allah atakulipa kwakila nitakae mfundisha

  • @mussahussein3583
    @mussahussein3583 6 лет назад +2

    بارك الله فيك يا أستاذ الكريم.
    Na kwa yuke anohitaji kufanya mazoezi yakuongea kiarabu anaweza kunitafuta kwalengo lakufanya mazoezi pamoja. +255776390038

  • @JumapiliMsafiri
    @JumapiliMsafiri Год назад

    .

  • @malususiri4889
    @malususiri4889 4 года назад

    Mungu akubariki sana