Hakuna kitu hapo umepotea sana chuma cha mjerumani. Sheria Ngowi ni kiboko. Watu wanahistiria yao walikotoka. Yanga ilivaa jezi ya dhahabu huko nyuma. Ni historia yenye maana sana. Wewe bado mdogo sana. Kawaulize kuna sababu
Tatizo chuma cha mjerumani haujui rangi ya njano imegawanyika mara ngapi? Hilo ndilo tatizo lenu Ambokile Nikuulize Swali Ambokile Dhahabu Ni jiwe Swali? Dhahabu ni Rangi Gani? Chungwa ni tunda Je? Chungwa ni Rangi gani? Na RANGI YA NJANO INATOKANA NA NINI?
Sema umeongea point
Unatuboha Bwana Unatukera Unatuudhi Nyie Ndio Wale Mnaowaona Watoto Wa Wenzenu Malaya Kumbe Na Wako Anajiuza
Sema kweli
Ambokile we mkwer sana😅😅😅😅😅😅😅
Yani huyu jamaa YANGA inampashida sana.
Huyu jamaa kuna muda anapiga polojo ila mchambuzi Tanzania ni mwaduke na muro nawakubali Sana wana uchambuzi wa kitaalamu
Wewe Jamaa Mbona Unaisakama Sana Yanga Unamsakama Kocha Unajifanya Wewe Unajua Sn Unajifanya Wewe Unajua Huyo Kocha Vizuri Wacha Hizo Broo Fanya Yanayo Kuhusu
Jamaa namkubali
punguza uongo simba wanazo jezi za bluu kama za azam
Swali langu lingine ni hivi?
Wewe ni mchambuzi wa mpira au
Wa jessy
Na MAKOCHA
Hakuna kitu hapo umepotea sana chuma cha mjerumani. Sheria Ngowi ni kiboko. Watu wanahistiria yao walikotoka. Yanga ilivaa jezi ya dhahabu huko nyuma. Ni historia yenye maana sana. Wewe bado mdogo sana. Kawaulize kuna sababu
Wewe bado mdogo, yanga iliwahivaa dhahabu, kaangalie jezi zao walipo cheza Uganda 1993, kina marehemu kizota, lunyamila, huna unachojua , wewe pua Tu,
Tatizo chuma cha mjerumani haujui rangi ya njano imegawanyika mara ngapi?
Hilo ndilo tatizo lenu Ambokile
Nikuulize Swali Ambokile Dhahabu
Ni jiwe
Swali?
Dhahabu ni Rangi Gani?
Chungwa ni tunda
Je?
Chungwa ni Rangi gani?
Na RANGI YA NJANO INATOKANA NA NINI?
Khaaa, wewe unampa kocha onyo kama Nani? Wachambuzi wa hii nchi wanajifanya wanajua kuliko hata makocha wa timu husika.
Nashangaa