Highlights | Simba Queens 6-0 Garde Republicaine | CAF Women Champions League Qualifiers 14/08/2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 авг 2022
  • KUFUZU LIGI YA MABINGWA WANAWAKE: Tazama highlights, Simba Queens ilipoiadhibu Garde Republicaine ya Djibouti kichapo cha mabao 6-0 katika mchezo wa kundi B, kuwania kufuzu ligi ya mabingwa Afrika kwa wanawake kutoka ukanda wa CECAFA.
    Mechi imepigwa Agosti 14, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    #CAFWomenChampionsLeagueQualifiers
  • СпортСпорт

Комментарии • 80

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 Год назад +13

    Hadi raha jmn simba woote Raha tupu Kama ww mwana msimbaz na unapenda simba zote nipe like yako

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 5 месяцев назад +3

    Tunakupendeni sana simba queen❤❤❤🎉🎉🎉

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 Год назад +4

    Uyo demu mwenye hijabu noma sana masta croos

  • @alikokayange1089
    @alikokayange1089 Год назад +2

    Hongereni Sana Simba queen kutufurahisha kuliwakilisha vema taifa la tz!.

  • @salekiba8146
    @salekiba8146 Год назад +3

    Honger sana simba yetu

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 Год назад +6

    Fatuma 🥰🥰🥰😘

  • @teesmartguy8829
    @teesmartguy8829 Год назад +2

    Simba ni Simba tu💯✌️😅😅😅😅😅

  • @allykhamisally9077
    @allykhamisally9077 Год назад +3

    Simba raha bwanaaaa

  • @omarkhamis3909
    @omarkhamis3909 Год назад +5

    Kwamakaka Kuna biriyani kwamadada Kuna biriyana safisana

  • @aliyahyaissaissa7423
    @aliyahyaissaissa7423 Год назад +2

    Fatuma issa yuko vzr sana san san

  • @samwelmarty6759
    @samwelmarty6759 Год назад +1

    Asanteni madada zaangu kwa ushind

  • @zehrahaji1566
    @zehrahaji1566 Год назад +1

    Simbaaaa Queens Oyeeeeeee 💪💪🦁🦁🔥🔥🔥

  • @njumamussa401
    @njumamussa401 Месяц назад

    hongera simba mbambane kusaka nafasi ya pili waliosusa hawana mapenzi na timu mtoto akikera huwekwa chini akapewa maneno mazuri ili ajirekebishe ndio kama simba yetu

  • @ibrahimkiondo9899
    @ibrahimkiondo9899 Год назад +4

    Hata Simba ya kiume wajitahidi kuwa na njaa ya magoli Kama Hawa wadada, wanafungwa goli la 6 hawataki hata kushangilia wanataka kuongeza magoli mengine tu😂😂

  • @johnsonmachiya6200
    @johnsonmachiya6200 Год назад +2

    Fatuma ni mchezaj mzuri anajuwa anamwaga Maji yakutosha forward zingetulia wangept magoli meng

  • @ManassehJohnNtandu-qu4xs
    @ManassehJohnNtandu-qu4xs 19 дней назад

    🎉❤❤❤❤

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 Год назад +2

    Am tz 🇹🇿❤peperusha bendera maqeen unanikumbusha mbali wakat nipo class 7 tukishindana na ma boy KUCHEZA mpira wa miguu

  • @sifaomary1490
    @sifaomary1490 Год назад +2

    Wale waethiopia CBE ndio hatari kwenye mashindano haya wanakasi halafu wanapiga xana pasi...simba queens wajipange xana safari hii tupo nyumbani tulibebe kombe hili tukawakilishe kimataifa

  • @amosibarakamjeda7163
    @amosibarakamjeda7163 Год назад +3

    Hakika azamu tv wamefanya soka letu lijulikane kila kona

  • @emmanuelenock6310
    @emmanuelenock6310 Год назад +1

    Simba queens wanajua mno boliii

  • @anifajonathan2146
    @anifajonathan2146 Год назад +2

    ❤️❤️❤️❤️🦁🦁🦁🦁

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад

    Congratulations

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 Год назад +3

    Hawa warembo kilicho waponza ni hizo jezi za njano siku nyingine waulizage eboo!! Huku rangi ya njano imikutana na nyekundu ni vita .

  • @andrewnyasuru2917
    @andrewnyasuru2917 Год назад +2

    huyu Fatuma Issa huyu

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 Год назад +1

    Congratulations girls 🌹ila mngetulia mngewafunga mAgol mengi san hawa wasomal ❤️🫣🫣🫣pas mpapasoi👏👏👏

  • @andrewnyasuru2917
    @andrewnyasuru2917 Год назад +1

    baadi ya wachezaji wa simba queens wawe makini, kuna baaadhi ya maeneo wanatakiwa kutoa pasi na sio lazima afunge mchezaji fulani, wamepoteza magoli mengi

  • @ahmmadaaly5112
    @ahmmadaaly5112 Год назад +3

    Fatma issa uchezaji wake ni wa claoutus chota chama kabisa aise

  • @sadockmathias1171
    @sadockmathias1171 Год назад +1

    🔥🔥🔥

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Год назад +3

    Hawa simba wanasakata kabumbu kama sio pc kali wazee,hatari. Hili pira tamu sana sijui tuliite pira baga au pira chipsi zege.

  • @khairatsaid7634
    @khairatsaid7634 Год назад

    Simba rahaaaaaaaaaaa

  • @davidodondo9772
    @davidodondo9772 Год назад +1

    Mpaka goli la 4 wakifunga wanakimbiza mpira Kati Kama vile wanataka kushinda mia

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 Год назад +1

    Simbaaaaa

  • @ahmedtaribo6352
    @ahmedtaribo6352 Год назад +1

    Wanamuangalia tu na macho Fatma Densa akitoa krosi zake

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Год назад

    ❤️❤️❤️❤️

  • @fredykajinga2569
    @fredykajinga2569 Год назад +1

    Yan jana wote wametupa laha

  • @saidabdallah4621
    @saidabdallah4621 Год назад +1

    Huyu refa si kwa hizo kadi

  • @bital240
    @bital240 Год назад +2

    Corazon 💥💥💥

  • @paschalurassa6648
    @paschalurassa6648 Год назад

    Daah mbn mech hii promo ndogo jaman

  • @ahmedtaribo6352
    @ahmedtaribo6352 Год назад

    Wasomali mpira bado yaani kina Densa ni man of the match

  • @amehassan8792
    @amehassan8792 Год назад +1

    Huyu refa anapenda kadi Sana anaonekan anapanik san

  • @eliusngereza156
    @eliusngereza156 Год назад +1

    huyu opa Clemente cku hizi vip

    • @sonjon7483
      @sonjon7483 Год назад

      Hana utulivu kwa kweliii sijui nini shidaa

  • @ngoshaunyama9694
    @ngoshaunyama9694 Год назад

    Yanga

  • @samsonobadia4859
    @samsonobadia4859 Год назад +1

    Sasa twendelee hivi hiv tutafika mbali

  • @Rastaztz
    @Rastaztz Год назад +2

    Pita kwenye channel yng Nina jambo na nyinyi

  • @shafibenda6297
    @shafibenda6297 Год назад +2

    ANAYE UJUA MPIRA SIMBA QUEENS NI PAMBANI TU WENGINE WAPO NUSU YA UWEZO WAKE AKILI NYINGI SANA KWE BALL

  • @paulhollela9493
    @paulhollela9493 Год назад

    Lile goli la tano beki alikua anafikiria nn?

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 5 месяцев назад

    Kwa nini mashabiki wa Simba hawana uzalendo wa kushiriki mashindano ya timu zao, bali maneno mengi na lawama kila mahali. Hii haiisaidii timu na wachezaji wake, lazima kukubali kila kitu, kushinda, kushindwa, na kutoka sare. Siyo timu inapofungwa zinakuwa lawama tu! Washabiki kuweni wazalendo, jazeni uwanja ili kuonyesha mapenzi yenu na Club!

  • @felistianlaurian391
    @felistianlaurian391 Год назад +2

    Mpira wa wanawake bhana hahahahaa...!😂😂😂😂 Mtu anakaba anageuza makalio mpira upige😂😂😂😂

  • @ryamhassani1441
    @ryamhassani1441 Год назад +1

    Hakuna commentaor apa🙄🙄🙄🙄

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад

    Mtuanayekufa hata dawaikiingia kwenyedamu hufatuu,haowanavyocheza mwenyeakilitimamu kaelewa niliyosema isipokuwa kwa taahiratu

  • @kastomwenda5242
    @kastomwenda5242 Год назад

    KASTO

  • @ridhwanrashid6473
    @ridhwanrashid6473 Год назад

    Halafu Ma_referee wa kike mbona sio wavumilivu sana foul kidogo kadj ya njano mhmhmhm

  • @jumaatown5315
    @jumaatown5315 Год назад +1

    ²

  • @Simon-rj3rp
    @Simon-rj3rp Год назад

    Kadi nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад

    Haowasichanawa ,shule hwajui mpirawanachezakulindatuuu

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад

    Subiriwakutane na wanoujua mpira

  • @paschalurassa6648
    @paschalurassa6648 Год назад +1

    Ila wapinzani wanawake kwel sio wetu kijiweka kiumekiume had muonekano ushamba sanaaa

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад

    Wanarukarukatuuu

  • @atanazimakingu78
    @atanazimakingu78 14 часов назад

    atanazi makungu

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Год назад

    Wamechezana vibonde wapishi wa shule

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 Год назад

    Gusa maandish ya blue ukatazame video yangu nilivyomkalisha DOGO BALAA ruclips.net/video/ZXoVZuZFMy8/видео.html.

  • @darprprime3492
    @darprprime3492 Год назад +1

    Ushind mnono nimekubali kazi ya captain anamwaga maji mnooo

  • @ramadhaninangundu
    @ramadhaninangundu Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 Год назад

    Gusa maandish ya blue ukatazame video yangu nilivyomkalisha DOGO BALAA ruclips.net/video/ZXoVZuZFMy8/видео.html