Itoshe kusema tuna kikosi bora saaana msimu huu,,,Allah atufanyie wepesi tuweze kutetea mataji yetu na kufika mbali kwenye mashindano ya CAF. Kila la kheri wanajeshi wetu pamoja na benchi la ufundi, Ukawe msimu bora saanana wenye mafanikio
Pia kocha afanyie kazi makosa yaliyojitokeza kwenye goli la kwanza Aziz andambwile alishindwa kuruka na ikawa rahisi kwa mfungaji kupiga kichwa pila shida
Acha zako unazifahamu sheria za mpira wewe, mchezaji ukiwa nje ya pitch na madaktari wamefika hutakiwi kuingia uwanjani mpka akuruhusu refa ndo maana hata madaktari hawaruhusiwi kuingia uwanjani kabla hawajaitwa na refa wakiingia wanapewaga kadi nao, we husikii watangazaji wanasema hii kadi kajitakia, ilitakiwa aombe ruksa aingie ndo akae sasa yeye kaingia wakati refa karuhusu mpira
Hujui mpira, huyo mchezaji alipewa njano mara ya kwanza baada yakupata hasira na kuudundisha mpira kwa nguvu, pili aliumia akiwa nje ya kiwanja, kwa kujifanya refa haoni akabingirika uli atibiwe uwanjani kitu ambacho siyo sahihi hivyo kadi ya pili na kilichofuata ni red card. Sasa wewe unayejifanya shabiki wa yanga unapinga nini? AU WEWE KOLO?.
Professor Ni mmoja Duniani Fundi wa Ball PACOME
Itoshe kusema tuna kikosi bora saaana msimu huu,,,Allah atufanyie wepesi tuweze kutetea mataji yetu na kufika mbali kwenye mashindano ya CAF. Kila la kheri wanajeshi wetu pamoja na benchi la ufundi, Ukawe msimu bora saanana wenye mafanikio
Ameen
Na wachezaji wetu wasipate majeraha
Amina
Amin
Mungu akaliongoze benchi letu la ufundi lowezi kukitumia kikosi vizuri. Mzize mwenye kipara anakuja vizuri... 🎉🎉🎉
Abuya ameleta kitu kipya kabisa Yanga ambacho hakijakuwepo kuanzia alivyokuwa Nabi. Jamaa ni Attacking Midfielder
Na anajiamini kupiga mashuti ya mbali, na akikutana na dead ball anaweza kupiga kama Azizi Ki. Msimu huu mambo yatazidi kuwa 🔥
Kwlei kaka wewe unajua mpira
Kikosi kiko vizuri ila utulivu unahitajika sana umaliziaji nafasi ya mwisho ,love u yanga...daima mbele.
Nimeangalia mpka mwisho itoshe tu kusema golkipa wao ndo alistahili kuwa man of the march dah vinginevyo hasingekuwa imara wangeoga goli5 na zaid
Kweli kabisaa
Andambwile ajue yupo yanga
Amn inshaallah mungu atusimamie atupe wepesi timu yetu na atupe nguvu tuchukuwe makombe yote
Si hitaji laik wananchi wenzangu tununue jezi tuichangie yanga yetu💚💛💚💛💚💛💚💛💪💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💪💛
Noma sana yanga hih👍💚💛
Yanga bingwa 🎉
Boka🙌🙌🙌
Prosser n mmoja tu
Pacome hatari sanaaaaa
Tunaomba highlight iwe ndefu jmn 😊
Pacome anajua mpira jaman
KAZI nzuri
Great performance my team
Game lilipigwa wananchi tuliitika kila la heri Yanga 💚💛🏆
Fantastic goal
Nipo nausubiri Alhamis 😊
Yanga tamu
Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆
Yanga ni 🔥 alihamia linakufa jitu
Kwa hii tim kuna siku watu watatokey mlango wa nyuma na wasiludi😅😅😂
Jamaa wanakipa sio pow
Hatuna baya!
Kwa Kikosi chetu kwa ujumla hatuna mpinzani mwaka huu
💚💛💚💛💥💥💥
Wapiga faulo Sasa 😂AZIZ KI ,CHAMAJR ,BOKA mamae SHEKHAN
💚💚💚💚💛💛💛💛
Yanga bingwa tena
Allaah Akbar
Pia kocha afanyie kazi makosa yaliyojitokeza kwenye goli la kwanza Aziz andambwile alishindwa kuruka na ikawa rahisi kwa mfungaji kupiga kichwa pila shida
Hii nmeangalia 😂😂utafikili live
MUDATHIR ANGEFUNGA 3 .MLINDA LANGO WAO AKO SAWA
Simba atapigwa nyingi saaanaaaa
Na tunajua hawana kipa wa kutoa michomo ya hatari kama hii sasa tarehe 8 wanaweza kula 11 au tisa maaana kipa kacheza hasa
😂😂😂😂😂duuuh 11
@@blackvirus8740 kwani uongo
noma
Waaaaoooo
Huyu goll kipa hakuna namna yoyote rais 😂😂😂, ye ndo kawaokoa wangekula nyingi sana
Pacome 1 ni sawa na viungo wote wa mpira tz😂😂😂😂
Daah.. goli 7 hizo tumekosa
Mimi Yanga ila hii card ♦️ hapana aisee sijalubaliana nayo kbs aisee
Acha zako unazifahamu sheria za mpira wewe, mchezaji ukiwa nje ya pitch na madaktari wamefika hutakiwi kuingia uwanjani mpka akuruhusu refa ndo maana hata madaktari hawaruhusiwi kuingia uwanjani kabla hawajaitwa na refa wakiingia wanapewaga kadi nao, we husikii watangazaji wanasema hii kadi kajitakia, ilitakiwa aombe ruksa aingie ndo akae sasa yeye kaingia wakati refa karuhusu mpira
Khomeni khomeni 😅😅😅😂😂😂angelia
Aliefunga goli la arrows ana miaka 23 kweli 🤔🤔🤔😅😅😅😅.
😮 mkjkk
Duke 😂😂duke
Game ya nguvu ila mtangazaji iyo saiti atukusomi kasauti laiiiiiniiiiii
Huyu goalkeeper alibeba timu sana ila wangefungwa hata 8
😂😂😂 yeah,ni kweli kabisa gk alijitahidi Sana.
@@ramakinjoi4063 labda hio siku alilala mgonjwa 😆😆😆
@@hamisiomari6181 🤣🤣inawezekana,mana sio Kwa mashuti Yale Moto moto 🤣🤣
🎉🎉🎉🎉
Pacome kwanza namkubali naogopa mchezaji anadesign fulani ya uwekaji mikono nyuma ogopa😅
💛💚🖤💛💚🖤💛💚🖤🔥🔥🔥🔥🏅🏆💪
Kwa jezi tu mmeuwaaa😂😂😂utafikili vidude mmetupa Kwa mkapa
Ushindi wa makubaliano😅😅😅😢
Tunaomba mtangazaji wa mechi awe anachangamka akua kama anatusimulia hadisi ilitakiwa mzinga
Ongeza dakika 30 au saa1
Kabisa wanaweka fupi mno
Kila hatua dua
Ila azizi ki Sasa 😂😂😂alishangiliaje ivo
Hii tabia ya matoboo
Tarehe 8 sio poa😂😂😂
Timu zfanyeee mazoez mamaaaee😂😂😂yaan BOKA kamgusa tu jamaa kafa ghafla
Utopolo walikamatwa kooni ikabidi wajadili ili ushindi upatikane😅😅
Hujui mpira, huyo mchezaji alipewa njano mara ya kwanza baada yakupata hasira na kuudundisha mpira kwa nguvu, pili aliumia akiwa nje ya kiwanja, kwa kujifanya refa haoni akabingirika uli atibiwe uwanjani kitu ambacho siyo sahihi hivyo kadi ya pili na kilichofuata ni red card. Sasa wewe unayejifanya shabiki wa yanga unapinga nini? AU WEWE KOLO?.
Komen cjakuelewa acha asihala
Pacome hatari sana asee
Hii red card... ?😂😂
N
Fundiii
Ucmfananshe pacome na vtu vya ajb
BOKA ni beki???
Hao hata hawajulikani😂😂😂 maans diarra anataka nafasi ya mzize😂
Uyo boka hatar
💚💚💚💚💛💛💛💛
Duke 😂😂duke
Khomeni khomeni 😅😅😅😂😂😂angelia