Bwana asifiwe samahan mtumishi was bwana mm naomba kusaidiwa natamani nijue kuomba kwa uturivu na Nina tamani kujifunza neno nakula bwana naninataman kua naiman na niweze kukaliki mafungu na yanasemaje mafungu Niya Kalli kichwan ila ninashindwa Nini nifanye?
Amina mungu ananena nas
Hakika nimebarikiwa na hili fundisho
Mungu akuongoze pastor
Na tunaosikia haya pia🙏🙏
Amina barikiwa zaidi
Amen
Naomba ufundishe, tafsriya Unabii alafu utimilifu wa Unabii,
Barikiwa sana pastor
Asante ninatamani nikawe miongoni mwawatakao kuwa upande wa yesu.
Mungu akubariki pastor
Dah mm pia mihuri sikujua
Amen mchungaji ubarikiwe
Ukweri umesema mwenyesikio ameskia
nabairkiw sanaa pastor na mafundisho hayaa mungu azidi kukubariki
Amina ubarikiwe
Pastor nabarikiwa Mungu akulinde Hadi tufike nyumban mwa Bwana
Asante sana pastor mungu akusaidie sana.
Ameni kubwa
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu
Amina sana
Barikiwa sana
Tunabarikiwa sana pastor
Ila kulikuwa na maswali sijui utatusaidiaje
Unaweza ukatuma swali kupitia barakatossy@gmail.com
Kwa wakati Huu tulio nao,
Ulichofanya ni kukanusha fundisho la kweli ili kusadikisha fundisho lingine la kweli. Yote yapo sawa
Nitakutafuta nikuulize, maswal
Kwan ufunuo ni Unabii,
Hiyo Ndiyo Injili pasta umesomea wapi,
Unaendeleavkutufungua macho
Amina Barikiwa
Pastor katika ufunuo 20 sura ya sita inaongelea kuhusu ufufuo wa kwanza je kuna fufuo ngapi?
Huondiyo ukweli wa kitabu Cha ufunuo,
Munisaidiye number zenu kuna swali ninalo taka kuwauliza mimi binafsi
Unaweza ukatupata kupitia +255629564319
Bwana asifiwe samahan mtumishi was bwana mm naomba kusaidiwa natamani nijue kuomba kwa uturivu na Nina tamani kujifunza neno nakula bwana naninataman kua naiman na niweze kukaliki mafungu na yanasemaje mafungu Niya Kalli kichwan ila ninashindwa Nini nifanye?
Unaweza ututafuta kwa 0754564319
Amen