S03E02: - Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii.
    Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii na changamoto zilizopo, kwenye sura hii ya kwanza na mapungufu yaliyopo kwenye sura hii na mapendekezo yao juu ya sura hii.
    Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862
    Subscribe kwenye chaneli yetu: / @sheriapoa
    Sikiliza Podcast yetu kupitia:
    Apple Podcast link: apple.co/3ZwLmSA
    Spotify: bit.ly/40v0UYd
    Google Podcast Link: bit.ly/3zm0irZ
    Audiomack Link: audiomack.com/...
    RUclips Link: / @sheriapoa
    #SheriaPoa #SheriaPoaPodcast #katiba #katibampya

Комментарии •