ROBOTI EUNICE ANAYETRENDI - NI HATUA KUBWA KWA TANZANIA - MAJIRANI HAWANA ROBOTI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • ROBOTI EUNICE ANAYETRENDI - NI HATUA KUBWA KWA TANZANIA - MAJIRANI HAWANA ROBOTI...
    Alhamisi ya Mei 16, 2024, gumzo zito lililoibuka na kugonga vichwa vya habari ni roboti wa kwanza kutengenezwa na wanateknolojia nchini Tanzania kisha kutambulishwa katika majengo ya Bunge jijini Dodoma.
    Roboti huyo aliyepewa jina la Eunice alifikishwa bungeni majira ya asubuhi na kuonekana akifanya mazungumzo na baadhi ya wabunge kwa mshangao wa wengi.
    Roboti Eunice alikuwa ikiwakaribisha wageni waliokuwa wakiingia bungeni kusikiliza makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 11

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  14 дней назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 8 дней назад +1

    Hii nchi hiii sijui tuu angelikiwepo anko magu huu urobiti tusingeli uona kwanza robhot lenyewe zungu mpaka hapo tuna mtukuza mzungu

  • @Lionboi600
    @Lionboi600 13 дней назад +1

    Sasa 😂😂😂😂😂hii Nchi yetu jamaani sasa roboti mwenyewe Hana miguuu

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc 5 дней назад

    Hilo sanamu limegharimu sh ngapi kwa fedha ya Tanzania tuanzie hapo kwanza 🤔

  • @SophiaMoses-jk4cv
    @SophiaMoses-jk4cv 5 дней назад

    Mh yaani hii technology itatuua sasa robot anatisha hivo

  • @irenemillinga6484
    @irenemillinga6484 11 дней назад

    Robot Unisi

  • @YohanaNkhambi
    @YohanaNkhambi 11 дней назад

    Robot hachezeshi lipsi za mdogo kuongea au amefungiwa microphone na Hana miguu ulinganisha na robot Sophia tunapaswa tumshinde robot Sophia Kwa ubunifu

  • @user-nq4hs1lb6p
    @user-nq4hs1lb6p 9 дней назад

    Ila nyie munguuuuu

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 11 дней назад +1

    Upuuzi tuu huu, maviongozi wote 🚮

  • @IsackEvancy
    @IsackEvancy 13 дней назад +1

    Anaongelea matakoni😊😊😅😅😅😅😅😅

  • @AishaNassor-lm6eq
    @AishaNassor-lm6eq 3 дня назад

    Utoto utoto