Vanessa Mdee: Bado nampenda Jux, nitampenda daima (Exclusive)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 июл 2017
  • Vanessa Mdee alipitia Dizzim Online kuzungumza na Skywalker kwenye Chill na Sky na kufunguka kwa undani kuhusiana na kuachana na mpenzi wake Jux. Amezungumza jinsi ambavyo alirekodi wimbo wake Kisela akiwa analia kutokana huzuni kubwa aliyokuwa nayo moyoni kipindi hicho. Nenda hadi dakika ya 13:23 kusikiliza issue ya Jux.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 348

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад +81

    Mtu akihojiwa anatakiwa awe hivi sio mtu unarembua kama unatolewa mahariii....Salute Vee Money.

  • @neemamollel1318
    @neemamollel1318 5 лет назад +11

    If you are interviewing Vanessa you will want her to be in the studio all day. I love this girl

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 6 лет назад +40

    Ukaka mtangazaji ana hekima sana mungu ambariki

    • @mbaroukomary4894
      @mbaroukomary4894 5 лет назад +2

      The Boss Lady IPUPA hakika mtangazaji yupo vizuri sana

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 6 лет назад +16

    hongera vanes ilike your Music when you put God first in everything he will lift u more high much blessing

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 6 лет назад +72

    Hizi comment mpaka nasikia raha kuzisoma.. So much positivity, No hate No majungu

  • @rocktravel9851
    @rocktravel9851 6 лет назад +59

    Sky Umempa Nini Vanessa hii interview Amejiachia mpaka Raha yaani she's Happy, We love you Vee 💜💜

    • @rehemasalum2428
      @rehemasalum2428 6 лет назад +4

      Huyu kaka amemuuliza kwa hisia angalia vizur wameongea kimasihara mambo mengine lakn alpofika kwa jux amebadlsha hata saut na jinsi ya kuuliza so kacheza na hisia za vanessa

    • @dorislyimo8621
      @dorislyimo8621 6 лет назад +2

      lilian samuel no no piene no gen

    • @babyzuuu1449
      @babyzuuu1449 4 года назад +1

      rehema salum

    • @dorasamwel3068
      @dorasamwel3068 4 года назад

      @@rehemasalum2428 mmh

  • @hajisimba4706
    @hajisimba4706 6 лет назад +8

    Vanessa she's cute....nakupendaga sanaaa ningekuwa na uwezo ningekuweka ndani nakukubali na nakupenda

  • @jacquelynkemmy6190
    @jacquelynkemmy6190 6 лет назад +53

    Am a kenyan and am Vanessa's BIGGEST FAN.I really love u Vanessa.I wish you the very best in life.Just wanna see u happy forever.May God keep on blessing u abundantly VEE. #MobLove 💓💓💓💓💓

  • @wemajuma5148
    @wemajuma5148 6 лет назад +37

    i love vanessa she is real and truth.

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 6 лет назад +5

    Kazi nzuri kutoka Tanzania keep it up and Nina appropriate mambo ya vee kua in low key so God bless you, Love still is there Kuna wengi wanaokupenda hope soon utapata anayekupenda

  • @honestkvo4711
    @honestkvo4711 6 лет назад +29

    Best interview so far..... So natural

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 6 лет назад +40

    so nice interview wabongo wapo care kweny kukosoa kuliko ku appreciate kazi za wabongo wenzt. mfn Diamond akitoa ngoma atikosolewa always

  • @shadiashadia4701
    @shadiashadia4701 6 лет назад +6

    Nakupenda sn vanessa pole xn mapenzi yana umiza mtasameana msijali

  • @chenzhen7772
    @chenzhen7772 6 лет назад +7

    Nakulike sana v ur da best of best out of this world realy

  • @TheJuvenyl
    @TheJuvenyl 6 лет назад +9

    this guy is good... he makes u comfortable.. and u spill all the beans... ni nzuri sana for a presenter... good interview bro

  • @InnocentPMMungy
    @InnocentPMMungy 6 лет назад +15

    Very good interview! Very calm atmosphere! Good interviewer and collective information! Hongera sana DO

  • @khatibujuma8880
    @khatibujuma8880 6 лет назад +7

    yupo vizur vee#i like you much much

  • @byamunguayunva5116
    @byamunguayunva5116 6 лет назад +13

    Man!!!this girl is so mature!i really love and respect her.she is such an inspiration!
    #beautywithbrain

  • @felisterwilson7325
    @felisterwilson7325 6 лет назад +5

    I real love her jaman..and the song kisela is real touching

  • @knourisgalis2165
    @knourisgalis2165 5 лет назад +3

    waaaaooou I real love u Vanessa .... keep on moving bebe gal...

  • @wanyanchacolethajohn1941
    @wanyanchacolethajohn1941 6 лет назад +7

    V is supercool namkubal sana wishn her all the best

  • @glorialaizer2310
    @glorialaizer2310 6 лет назад +4

    for God sake i cant stop loving you..i love this beautiful faced girl..kazana girl

  • @charlesased
    @charlesased 6 лет назад +21

    GOD bless you Dada Vee. Sky ur baddest bro, una busara sanaa kaka nafurahi upo kwenye entertainment.

  • @irenemrema9776
    @irenemrema9776 6 лет назад +7

    ipo vizuri V achana na wanafiki

  • @naomybaby23
    @naomybaby23 4 года назад +1

    Nice v money nakubali San nyimbo zak love u my sister 😠😍💖💝

  • @zeinabguthera1299
    @zeinabguthera1299 6 лет назад +16

    Venessa u r so cool gal nyc interview

  • @jeanpierrekwizera6400
    @jeanpierrekwizera6400 5 лет назад +4

    no one like Vanessa in interview. 🔥🔥🔥

  • @anethvedastus1120
    @anethvedastus1120 6 лет назад +11

    unapendeza sana ukiwa na jux me nawapenda sana asee

  • @esterkweka8267
    @esterkweka8267 6 лет назад +5

    Nakupnda sana vanessa mpk neno nakupnda naona halina nguvu

  • @theresechristensen8190
    @theresechristensen8190 5 лет назад +6

    You’re beautiful Vanessar💖💖💖🌹🌹

  • @shaidigital_tz
    @shaidigital_tz 6 лет назад +3

    aiseee inauma sana pole sana vannesa me bnafsi nkupenda sana ww pole kwa yaliyo kukuta ma ccter

  • @frankzakali6367
    @frankzakali6367 6 лет назад +2

    I really lov hamjui its ma fav song

  • @ellen__2
    @ellen__2 6 лет назад +8

    i love u vee u sooooooo gud

  • @sayunhizza8623
    @sayunhizza8623 6 лет назад +3

    Utampata tu akupendaye! Inatokea kwa wanawake wengi sana c vee money pekeako! Kuwa mtu unaye mpenda saaaaaaana ndie akutendaye but ucye mzania ndie hakuoae be blessed vee

    • @alisiagodfrey8440
      @alisiagodfrey8440 6 лет назад +1

      mm nakupenda sijali wanachosema juu yako piga kazi mtani wangu

  • @issaabdallah8818
    @issaabdallah8818 6 лет назад +6

    vanesa u alwaz amazing woman

  • @lavinaburhani5446
    @lavinaburhani5446 6 лет назад +3

    I adore her Vanessa.....my fn npnd kaz zake alwyz

  • @neemajilo4012
    @neemajilo4012 6 лет назад +8

    Go go baby vee goma yako kali sana

  • @julietmungure4226
    @julietmungure4226 6 лет назад +3

    I love you and your music

  • @freshpickmusic3941
    @freshpickmusic3941 6 лет назад +1

    big up Vanessa Mdee usijali maneno fanya kazi kiukweli unaweza

  • @saginikeith5942
    @saginikeith5942 6 лет назад +2

    waah v money my all time crush kizungu dah ananiua 😍😍😍😍

  • @givenmcdonardmkolwe7754
    @givenmcdonardmkolwe7754 6 лет назад +3

    amazing Sanaaaa MA friends

  • @ruru1232
    @ruru1232 5 лет назад +4

    ILOVE YOU Vanessa ukosawa sana

  • @Safariking2010
    @Safariking2010 6 лет назад +16

    I understand that, ...It was not Jux and vanessa, it wasJux, Vanessa and everybody!!!..... THAT IS INDEED A PROBLEM nimemuelewa sana Vee

  • @markmwambaji2937
    @markmwambaji2937 6 лет назад +10

    Great interview luvn it.. Vee money bado mwapendana na jux wacheni kujitesa na rudianeni tafadhali.. Napenda iyo couple.

  • @magdalenamakawa8772
    @magdalenamakawa8772 6 лет назад +4

    keep on the energy Vee...we love u

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 лет назад +12

    Yupo real.. I like the Interview

  • @alabamaliyeko9442
    @alabamaliyeko9442 6 лет назад +2

    love Ur works vee n Ur personality,wsh u abundant blessings from God,love u Sana,u really r inspiring me my dada😇😍😘

  • @mcloudhoward
    @mcloudhoward 6 лет назад +2

    Keep it up cash madam I love your music

  • @user-wf7tm8qg5g
    @user-wf7tm8qg5g 8 месяцев назад

    Vanessa napenda kazizako utafika mbalisana mungu akulinde❤❤❤

  • @sophiagodfrey5184
    @sophiagodfrey5184 6 лет назад +1

    me nilipenda sana bond yenu,yaan ww na jux. natamani sana ijirudie na iish forever.....

  • @ericamyra1207
    @ericamyra1207 6 лет назад +20

    Today seems your so happy vee Hahahhh ur so high oh !!

  • @mariqsamwel6049
    @mariqsamwel6049 6 лет назад +4

    good work v tunakupenda just keep it sis

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 лет назад +40

    jmani nampenda huyu dda mpka basi na naupenda sna wimbo wake wa kisela maan hata mmi mpenzi wang anamapenzi ya kisela 😂😂😂

    • @jackyjoseph1652
      @jackyjoseph1652 6 лет назад +1

      😂😂😂😍hawa wanaume shida tu mae

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад +2

      Khadija Mbuta kasoro mieh

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад +1

      Jacky Joseph pooleni jaman

    • @soudmbaga1044
      @soudmbaga1044 6 лет назад

      Khadija Mbuta kubabbake we mwongo(utani)....

    • @cecymaro1374
      @cecymaro1374 5 лет назад

      Khadija Mbuta hahaha hadija tafte watsp tucheke wotee

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 4 года назад +1

    I love you nakupenda bule dada uko vzr mchangamfu

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 6 лет назад +8

    waache waseme Vanessa ngoma Kali hiyo

  • @mkasibby6235
    @mkasibby6235 6 лет назад +2

    Yan Vanessa nakupenda adinaumwaaa

  • @husnasourav7024
    @husnasourav7024 4 года назад +2

    One love dear vee ,only onething I wants to tell u my if people talk non sense let them talking coz wanakuweka up so loveee u maendeleo yako kila siku Allah akuongoze Sana'a.

  • @pendomassao3799
    @pendomassao3799 4 года назад +1

    Love u so much Vannesa😘

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 6 лет назад +3

    l can listen to her everyday. she's awesome. but I wanted their relationship to last 😢😢😢anyways kama ni kisela style kila mtu ajipange😏.all the best gal.

  • @ikupaemmanuel1304
    @ikupaemmanuel1304 6 лет назад +6

    Nice love you

  • @royalfashiontz
    @royalfashiontz 6 лет назад +4

    Dizzim online Napenda Quality ya Studio yenu.Graphics kali,Vidoes zina quality nzuri pian na Yani mtu akizungumza unamsikia very Clear. Mko vizuri sana aise.Big up.

  • @modestchalli2712
    @modestchalli2712 6 лет назад +14

    Kisela is one of the hit yako naikubali after Nobody But Me! Keep it up Vanessa!!!

  • @ruthmelkiory6989
    @ruthmelkiory6989 6 лет назад +2

    vannesa so kwa 😍

  • @ingitypes4778
    @ingitypes4778 6 лет назад +5

    big up xn dada vp..... nazikubal xn Kaz zak

  • @deogratiussemu3114
    @deogratiussemu3114 6 лет назад +3

    much appreciate u vee but am always be happy to see en jux together........ it's good couple

    • @ednariselias9911
      @ednariselias9911 6 лет назад +1

      nice couple by the way I wish mrudiane na jux love you vee be blessed exceedingly

  • @lydiawanjiku262
    @lydiawanjiku262 6 лет назад +1

    AM PASING THE SAME THIS WOWO WANIPA MOYO VEE I LOVE IT

  • @zamaradikawambwa9692
    @zamaradikawambwa9692 6 лет назад +1

    hongera nakupenda bure nice couple

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 4 года назад +2

    Thank u sky. Love u v. Money

  • @mariammbade9625
    @mariammbade9625 6 лет назад +2

    nakupendaga SNA vanesa but rudiana na jux mm km shabiki yko utanifurahxha sna

  • @hebukija2249
    @hebukija2249 4 года назад +1

    love Vanessa napenda mwili wako sanaaaaa

  • @bravodaccota5934
    @bravodaccota5934 6 лет назад +4

    vanessa kwann usirudi kwa jux, because I was happy to saw yor relationship with juma jux yani mmeendana..!

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 лет назад +10

    i can see it in her eyes...she still loves the guy...

  • @cecymaro1374
    @cecymaro1374 5 лет назад

    Vanessa nakupenda bureeee ata me namaindigi sanaaa tupo pamojaa sana v...money wangu mtu unamtext sa moja anakujibi sa 11jion we inaumaa kichizii

  • @traicebenjamin3930
    @traicebenjamin3930 6 лет назад +1

    waooh love u vannesa

  • @youngdonnyhalf-life9175
    @youngdonnyhalf-life9175 6 лет назад +4

    Excellent lady!

  • @monakalinga7623
    @monakalinga7623 6 лет назад +1

    love ur song v

  • @officialaizak698
    @officialaizak698 4 года назад

    I love you my favourite artist vanessamdee

  • @kimeazy3085
    @kimeazy3085 5 лет назад +3

    Really love Yoh

  • @latifamtanda6312
    @latifamtanda6312 6 лет назад

    Napenda Sana nyimbo zako na jins unavyo jiamin ktk vidio

  • @marcben2268
    @marcben2268 6 лет назад +2

    Lop u v mapesa aisee 💝💝

  • @tausak4568
    @tausak4568 6 лет назад +2

    I like the way you said please 😂🔥🔥, I'm the one who loves your songs 😍😍🔥🔥

  • @sara3nice3sara87
    @sara3nice3sara87 6 лет назад +4

    noma sana

  • @iggiejames4441
    @iggiejames4441 6 лет назад +3

    vanessa umenichekesha wallah....message inatumwa saa kuminambili inajibiwa saa sita

  • @elizabethmelkiory9811
    @elizabethmelkiory9811 6 лет назад +1

    wow I love u Vanessa

  • @shaniaosman4862
    @shaniaosman4862 6 лет назад +2

    i love your accent bbygal

  • @lindabartai2346
    @lindabartai2346 4 года назад +2

    Ushaweka mahusiano yako wazi Mami. . but anyway it's good you said never say never.,❤️🇰🇪

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 6 лет назад +3

    Ulionyesha na nikaona kiudaku udaku tu nasijutii pale niliposema V.money ndiye atakayevaa viatu vya mond... Ninaimani na bado chance ipo kubwa tu.. Kwani ww ulikuwa no 2 yangu kimziki kujitangaza kitaifa... No 3 yangu uko kimya sana sijui kwa nn chance anayo ila sijui kwa nn yuko kimya jamani na ktk list yangu yupo #Shaa

  • @mathayokaaya5803
    @mathayokaaya5803 6 лет назад +1

    uko smart sana Vanessa Mdee

  • @aloycenhokomba447
    @aloycenhokomba447 6 лет назад +4

    love you vanes

  • @eidshamirah9442
    @eidshamirah9442 6 лет назад

    Nice vee money ilike your music and videos

  • @caniciusmary7619
    @caniciusmary7619 6 лет назад +4

    keep it up hny

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 5 лет назад +1

    Aki she is so really love you vee.

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 6 лет назад +2

    nakupenda veee songa mama achana na wabong

  • @hafifabahfif3880
    @hafifabahfif3880 6 лет назад +21

    Upo vizuri,achana nao hao washamba wanao criticize vitu vya kijinginga. Ur the best

  • @nusraissa3678
    @nusraissa3678 4 года назад +1

    always Ur loved here Vanessa

  • @zulfaabdallah5110
    @zulfaabdallah5110 6 лет назад +10

    ilove you Vanessa

  • @joyceheaven8297
    @joyceheaven8297 6 лет назад +1

    Nice vannesa

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 лет назад +17

    dahhh nampenda sana vanesa wa jux yan sichoki kumwangalia

  • @josephmngatwa6241
    @josephmngatwa6241 6 лет назад +5

    vanesa ka huwez kurudia penzi la jux njoo kwangu mi nakupenda kinyaMa ani ndoa siku iyoiyo😂😁😀😤

  • @arturmgatha7858
    @arturmgatha7858 6 лет назад +1

    Be blessed Vanessa