PART II: KUHUSU KUACHANA NA KAREN "I DON'T TRUST ANYBODY, YA OMMY DIMPOZ NA KAREN NIMEYASIKIA" -JUX

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 125

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 месяцев назад +34

    Hali aliyopitia jux namuelewa sana hata mimi nilipitiaga iyo situeshen kumuomba mtu msamaha hadi nilichanganyikiwa kimapenzi bila kusamehewa mpaka leo..kiukwer mapenzi nikitu kibaya sana yani nimewahi kufanya nakukiri kitu ambacho sijawahi kufanya katika maisha yng hata mala moja

    • @salamafair1169
      @salamafair1169 7 месяцев назад +1

      Pole sana habibty

    • @hamiszali1434
      @hamiszali1434 7 месяцев назад +1

      Ww fala sana ,,

    • @Mina.15
      @Mina.15 7 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakupa pole kama inauma naku pole 😂😂😂

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 7 месяцев назад +2

      Ila Karen mzuri kwakweli Maa Shaa Allah,, lazma bro aumie kweli 😢❤

    • @Mina.15
      @Mina.15 7 месяцев назад

      @@hamiszali1434😂😂

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 7 месяцев назад +21

    Mungu atakupa mke mwema piga dua

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 7 месяцев назад +4

    Baba Jux alitwisha Mabomuu!!! Yaani msichana wa kibongo unampa hiyo power halafu mambo yawesalama ni kitu hakiwezekani

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 7 месяцев назад +28

    Wewe dada Mtangazaji unajua sana❤❤❤

  • @sumaiyabakary2692
    @sumaiyabakary2692 7 месяцев назад +3

    Jux ni mwanaume mzuri sana na hafai kudate wanawake wa tz hatuko hvyo kama yy anavyowekeza we are selfsh na kama tukimpenda mtu sana ujue ana zaid which money sasa yy jux hajui anamapnz ya kzungu Pole sana sana Jux ila ucrudie tena kudate na caren hakufai anakujua sn na anaweza tumia vby madhaifu yako
    lakin you re best boyfrnd ever Pole sana

  • @Babygirl758
    @Babygirl758 7 месяцев назад +28

    Huyu jamaa ana trauma na ptsd, aliona after kum treat vmoney kishkaji jinsi vanessa moved on less thn 6 months akawa na rotimi and in 2 years after their breakup akazaa nae…. so kwa karen sio kwamba labda alimpenda sanaaaaaaa ila aliona mfano kwa vmapesa akaogopa mara hii pia itakua hivyo ndo kisa cha kujirekebisha na kujishusha kiasi hicho
    staki kuamini kwamba alimpenda karen kiasi hicho after 2 years nae while vanessa alikua nae miaka sita na kuna vitu vingi walipitia and love grows w time.. he just didn’t want to repeat the same mistakes, he was redeeming himself to a different woman

    • @damydee9665
      @damydee9665 3 месяца назад +2

      Unawez ukasema hvy lakn for me Jux is the Victim labd ujuw hzi ni za ndani.. Jux kuachana n Karen Ommy is 100% involved.. matter of fact he fckd karen and was given 5mill.. at first demu aligoma bcz ommy went as a nobody looking for sex and chill... chick akakubal bila kujuw whos the person behind so they booked a hotel in details ilikua Mwanza kufika kumuona its Ommy(shemej) things went on the drinks the wines mwamba akapiga afu akavujisha sex tape kwa close ppos wa Jux and boom jux akaja ziona...😂 NB it was a payback when jux took Vanessa from Ommy thats a 10 year revenge

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 3 месяца назад

      @@damydee9665 ah 😳😲😮 haya makubwa

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 3 месяца назад

      @@damydee9665 kha jamani jux alivyo kua anapasuka kumpeleka paris kuangalia basketball 😀 mbona million 5 ilikua sio shida, angemuomba jux angempa kwasababu sio kwa expenditures zile za kumzungusha europe

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 3 месяца назад

      @@damydee9665 this sounds like a conspiracy theory

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 7 месяцев назад +7

    Frida yupo vizuri kwenye maswali ❤

  • @MoviesAde
    @MoviesAde 7 месяцев назад +14

    Jux bado anampenda Karen🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @Dje-ru9wd
      @Dje-ru9wd 7 месяцев назад +1

      jux nimwanaume ambae anasitahili kuwa na mtu mtulivu mwenye akili na kiongozi wa familiy sijui anaitwaje mwanamke mwenye wanaume zaidi ya wawili sijui tunamuitaje??

    • @Dje-ru9wd
      @Dje-ru9wd 7 месяцев назад

      pretty sure hampendi wanaume tunajijua tyu

  • @bintimkitosi6187
    @bintimkitosi6187 7 месяцев назад +6

    Jux ndiye msanii wa kwanza kujibu swali la mziki wa Nigeria sahihi. Kabla ya 2000 for every five blacks in the world one was Nigerian. Baada ya hapo ndio wengine tumeongezeka sasa ni for every eight bkacks one is Nigerian. Halafu baada ya biafra war walianza kutoka Nigeria na wako kwa all the commercial capitals.

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 7 месяцев назад +4

    Jux Alichokosea Ni Kukubali Kuishi Kwa sheria Na Masharti Kutoka Kwa Mwanamke , Naturally Mwanamke Anatkiwa Kuwa Obidient Sio Mtunga Sheria , Na Ukiona sheria Nyingi Kutoka Kwa Mwanamke Wako Ujue Hakupendi kiivyo (anakuchukulia Poa Tu) For Granted , Jux alifumbwa Na Mapenz , Mapenz Yalimzidi, aliruhusu Mdada Awe Contoller

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 7 месяцев назад +6

    Careen kazaliwa 1994 , so she is almost 30 years

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 месяцев назад

    Caren ka cuteeeeeee afu bado teenager . Umri huo acha kbsaaa. Jux ww unaichungulia 40 unatakiwa upate mdada aloshiba relationship 😂.mapensi mapens

  • @sendisteve7981
    @sendisteve7981 7 месяцев назад +5

    Jux ulikosea.Mwanamke mgombane leo kesho umkute na mwanaume mwingine halafu uendelee kumwomba msamaha kwa miezi minane😮..Hapo ulijizima tu data Jux.La kuvunda hhalina ubani..

  • @Jowelia
    @Jowelia 7 месяцев назад +3

    Jux bado ana true love maskini May Allah grant him the best wife he deserves🙏🏼❤️

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 месяцев назад

    Jux still is loving caren😂😂😂pole❤❤❤❤Ila caren ataumizwa nae

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 7 месяцев назад +2

    ii situation naijua vzr sn ila nlichojifunza mwanaume hauitajik kumpa uhuru au siri zko zote mwanamke lazma ataku disappoint ata kama unampenda vipi usiruhusu kumpa simu yako kila anapotaka atakuchukulia poa hasa hawa wanaojiona wazuri kwa shape zao🙌

  • @njidekanathan3573
    @njidekanathan3573 Месяц назад

    Please can we get English version of this podcast

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 7 месяцев назад +7

    Jux bado anampenda Karen ile pisi kali sana

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 месяцев назад +1

    Dada uko na questions good walah😂😂😂😂😂sometimes age is a problem in love. Don't say age is like a number... Think twice

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 7 месяцев назад +5

    Nime enjoy Sana ila Frida I love you

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 6 месяцев назад +1

    Jux umepoa sanaa

  • @kudadeki00007
    @kudadeki00007 7 месяцев назад +14

    Safi sana frida unambana mtu hadi aseme kitu anachozuia tusisikie

  • @ElifitiaLyimo
    @ElifitiaLyimo 7 месяцев назад +1

    Kwasasa mshirikishe mungu akupe mwanamke sahihi wa maisha yako ❤usiumie kwa maneno yawatu 😮

  • @daudichoghoghwe5035
    @daudichoghoghwe5035 7 месяцев назад

    Jux unajua kujieleza nakujibu nenosijui limekaapoa sana

  • @righitkileo
    @righitkileo 7 месяцев назад +1

    Jamn kama uukitaka kuenjoy maisha achana na hao mastar hawanaqa mapenzi ya kweli.tafuta mlalahoi mwenzako enjoy

  • @EmmanuelPaulo-zf1xk
    @EmmanuelPaulo-zf1xk 7 месяцев назад

    Jux Kama kasepa pw tuu mama Shazii awaridhikii hao uwa njoo R mama shazii

  • @MillyOwnio
    @MillyOwnio Месяц назад

    Karen 1994 Feb 15th, she's now 30 ila huyu ulie naye sasa ni 23 mtoto mdogo sana. Kila la kheri Jux

  • @bintimkitosi6187
    @bintimkitosi6187 7 месяцев назад +1

    Mtu ako.palepale. anatumia WiFi ya kazi halagi ana skip ads kwa video. Nkt. Jux alijaribu sana lakini caren alijua hayuko tayari kuwa mke wa mtu tena kubadili dini.

  • @rebbywealth9869
    @rebbywealth9869 7 месяцев назад

    Anaehojiwa na wanaoohoji wote mmetisha... noma sana

  • @gloryprotas1043
    @gloryprotas1043 7 месяцев назад +3

    Jux njoo kwangu ninambegu za mapacha utafurahi😂❤

  • @SelemaniAbdallah-t7r
    @SelemaniAbdallah-t7r 3 месяца назад +1

    Wewe ni falaaaaaaaaa😂😂😂

  • @HansonShaaban
    @HansonShaaban 7 месяцев назад +1

    wasanii wakubwa sana bongo lakini bado mnasikitisha sana katika upande wa matumizi ya lugha ya kingereza ambayo mnaipenda kuitumia sana na nukuu "i have never do that"hivi huyu jamaa aijua kweli lugha ya watu au anaipenda kuitumia tu.jiongezeni INTERNATIONAL ARTIST SIO KWA NJIA YA KUPELEKANA PELEKANA KIBONGO BONGO

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 Месяц назад +1

    Jux unafeli wapi, kama alikuwa anazingua piga makofi na vibao.

  • @HawaSaid-ru4zq
    @HawaSaid-ru4zq 7 месяцев назад +1

    Pole juma 😊

  • @Siasa-k7v
    @Siasa-k7v 7 месяцев назад +1

    Eeenh,lkn Jux banae?
    Yaani kudate kote haujai jua tu wanawake wakishachoka bloody
    Hata hiyo reason,alikupatia mzee baba... Shida unapenda sanaa,madem hupenda watu hawaeleweki kaka.
    Ww alikua anakuona kaa bwege flani tu vile.. Utakuja jinyonga ww kabogoro 😂😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 7 месяцев назад

    Frida Kwa Hili Umehuwa Kichizi Yaniii🔥✌️🔥

  • @catherinefrance3642
    @catherinefrance3642 7 месяцев назад

    Ni vile tu hizi ni stori tu, men haleluya mnajuua kuigiza muv nying ila majuto ndio mapenz yenu hushtuliwa afu , ukipimia maoenzi kijiko lazima ukome kuyajua😂

  • @ivosunde3160
    @ivosunde3160 3 месяца назад +1

    What are they saying, can someone translate pls

    • @chidimmachimezirim9252
      @chidimmachimezirim9252 3 месяца назад

      😅😅😂

    • @HannahBee1891
      @HannahBee1891 Месяц назад

      He was speaking about what he went through in his past relationships.This interview was five months ago

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 7 месяцев назад

    Wasanii wa bongo ?

  • @ramseychobaliko1002
    @ramseychobaliko1002 7 месяцев назад +9

    I have never do that in my life 😅😅😅 na alisoma chuo china ..... I HAVE NEVER DONE THAT sio DO😅😅😅😅

    • @annytahadrehem3819
      @annytahadrehem3819 7 месяцев назад +4

      Ukijua wewe inatosha bhana😂😂😂😂

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 7 месяцев назад +7

      Mbwa kama nyie mnafanyaga nini mtandaoni....
      Interview nzima umeona hicho tu?
      Ukijua wewe na kizazi chako inatosha

    • @rosejulius7756
      @rosejulius7756 7 месяцев назад +4

      Kwani China wanafundisha kingereza??

    • @bintimkitosi6187
      @bintimkitosi6187 7 месяцев назад +2

      China alijifunza kichina

    • @NtemiJoseph-v6u
      @NtemiJoseph-v6u 7 месяцев назад

      China na kiingereza wapi na wapi

  • @SelemaniAbdallah-t7r
    @SelemaniAbdallah-t7r 3 месяца назад

    Jux ni falaaaaaa😂😂

  • @msakadoobongeladada-uh3sk
    @msakadoobongeladada-uh3sk 7 месяцев назад

    mapenzi shikamoo 🙌🙌
    yalonikuta sisemi niliomba msamaha mwaka kwa mtu alonikosea na nisisamehewe ila nilivyomaliza kupona depression saiv naenjoy alaf jamaa hoiiiii saiv anaomba msamaha kila saa

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 7 месяцев назад

    Dimpoz bana😢

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 7 месяцев назад

    Tanzanian music ni worldwide now ila wasanii wapendane na wasaidiane kufika mbele

  • @calvinmushi6240
    @calvinmushi6240 7 месяцев назад

    Don't forget to subscribe.

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 7 месяцев назад +2

    Nyota yake mashuke na tabia ya mashuke si rahisi kumpenda mtu huwaga ni wazito ila wakikuamini na wakiona vile wanavyovitaka kwako huwa wanaangukaa kama trenii na inawachukua mda sana kupona na wakishakutoa moyoni huwa hawarudi nyuma 🚶🚶 anyway we are so honest

  • @maryamenities653
    @maryamenities653 3 месяца назад

    Assamalekun from u a e

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 7 месяцев назад +4

    Mapenzi shikamoo

  • @jumaorido2532
    @jumaorido2532 7 месяцев назад +4

    Ondoa mazoea ya dem wako na watu wa industry tunza heshima yake nilijua hamtakaa sana kwa yale mazoea ya wasani na kumtumia kwenye ma promotion wasanii wanashinda nyumbani kwako . Mfiche Kama Kizz daniel

  • @bryanzeconfesor5476
    @bryanzeconfesor5476 7 месяцев назад

    Jux wengi hawawezi kukuelewa lkn sisi wanyawezi wakali wa hizi kazi tunakuelewa hata Nengatronix lazima akuelewe

  • @seiphomary834
    @seiphomary834 7 месяцев назад +5

    Ww ukiachana na mtu umpendae ujue umemuacha huru na yoyote yupo huru kumuoa au kuwa naye kimahusiano # hapo kitu cha kujifunza n faida ya ndoa kwenye jamii #
    1. Ina kuweka huru na uhasama na watu kwa njia ya shetan #
    Muhimu jiulize je mtu ameingia kwenye mahusiano yako wakat gan awe rafk au nan katika kuharibu mahusiano yenu wakat wa ndoa au nje ya ndoa .
    Penda kutengeneza stress zenye uhusiano na allah jitahd kukimbia stress zenye husiano na shetan #

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 7 месяцев назад

    Omy huyo bana wamtetea bure

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 месяцев назад

    C uoe jux?

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 7 месяцев назад +3

    Kifupi uyu jux aliekewa masheria mengi magumu ili ashindwe mahusiano yaishe

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 7 месяцев назад +1

    Jux?? That so cheap bro.. unasubiri demu toke kwenye mausiano ili uhingie??😂😂😂😂

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 7 месяцев назад

    Sikutegemea kuwa huyu dogo ni mwepesi kiasi hiki kwenye mapenzi kama nyoya.

  • @SumaiyaIbrahimuMayyah
    @SumaiyaIbrahimuMayyah 7 месяцев назад

    Frida i seee you😂

  • @sabinibra3513
    @sabinibra3513 7 месяцев назад

    3

  • @stellaMwakatulie
    @stellaMwakatulie 7 месяцев назад

    Jux usikate tamaa wanawake wenye upendo bada wapo utapata tu mtu sahihi

  • @samirbenito
    @samirbenito 7 месяцев назад +2

    Jux is the problem, he lost his frame and little did he knew that, genuine desire cannot be negotiated. The price of a simp is dust.

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 7 месяцев назад

    Kwani lazima ulazimishe mapenzi babu. Kwani wanawake ni huyu tu wewe Mtoto wa kiume unatakiwa ujiamini sio kudandia dandiaa tu. Kuwa mtu wa kujiamini as a Man Sasa kugombania mwanamke unajidhalilisha bwana. Wacha huo utoto.

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 7 месяцев назад

    Juma kwa kujieleza.. Yan kelele kama zote

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 7 месяцев назад

    Frida 😂😂😂😂😂 duh wifi mshakunaku 😂😂😂😂 unavyomchimba J 😂😂😂😂

  • @silverman6930
    @silverman6930 7 месяцев назад +4

    Take them shades off man … where are the sun rays 😂

  • @edisonbingu5660
    @edisonbingu5660 7 месяцев назад +1

    Kumbe Jux ni kinuthia

  • @ALNAVSINKINDOLE-tr9qs
    @ALNAVSINKINDOLE-tr9qs 7 месяцев назад +11

    Jux wape mimba mademu wew mchizi.

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 7 месяцев назад

    Tatizo unarudisha ball kwa kipa, weka ndani usafishe nyota dingi.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 7 месяцев назад +2

    Mimi wanawake wa kitanzania hapana hawana mapenzi ya kweli ni gold diggers yaani huyo demu Karen ana bwana wake Na huku anataka kuwa Na Jux

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 7 месяцев назад +1

    Mnatesemaa na umarufuu wenu woteee bado mnaniginizwa tuu ndoman mnakula bangi sanaaa pumbavu wewe piga shoo za maana acha ujinga wee shoo zirooo unachwa Kila ckuuu

    • @HajiSaid-y6q
      @HajiSaid-y6q 7 месяцев назад

      True

    • @Hamidkaran
      @Hamidkaran 7 месяцев назад

      Unashindwa kuelewa kuna videmu na demu unahisi huyo ni wa chpis kuku 😂😂😂

    • @Hamidkaran
      @Hamidkaran 7 месяцев назад +1

      Ulishwai kumili hata demu mwenye gari 😂😂😂

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 7 месяцев назад

    Ulichenje na ulituma pic unachezea dudu yako nasabuni yani unachukua sheria mkononi

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 7 месяцев назад

    Wee unaongea ujinga tuuu chali yangu unafeli sanaaa

  • @UjaniHerbals
    @UjaniHerbals 7 месяцев назад

    Kama huzalishi watoto wazuri kama jux karibu ujani tukupe dawa

  • @LynSaeed-j3l
    @LynSaeed-j3l 7 месяцев назад

    Huyu jamaa mjinga sana unamsubiri mwanamke kakuacha kuwa na bwana mwingine na unamsubiri😂😂😂 anatatizo huyu nani sababu huyu demu amchezea.

    • @Ndondiafrika254
      @Ndondiafrika254 7 месяцев назад +1

      thinking the same thing.....huyu jamaa bwege

    • @Hamidkaran
      @Hamidkaran 7 месяцев назад

      Hiyo ni kawaida mmezoea vidmu vynu vya kichangani ujawai miliki hata demu mwenyewe gari

    • @AmelitaKadudu
      @AmelitaKadudu 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂hii ilinipita😂😂 kumbe zwazwa huyu

  • @MaishaYaUlaya
    @MaishaYaUlaya 2 месяца назад +1

    Watanzania nifateni kwenye RUclips yangu

  • @daudichoghoghwe5035
    @daudichoghoghwe5035 7 месяцев назад

    Jux unajua kujieleza nakujibu nenosijui limekaapoa sana

  • @Mshuta
    @Mshuta 7 месяцев назад +17

    Mapenzi shikamoo