Hivi nchi waziri msomi ni mwigulu tu,mtu ameshindwa,Kuna Siri Gani mbona kina makonda wanaondolewa huku Kule,mwigulu aaaa jpm alimtoa ila mwigulu anajua nini kinaendelea
Biashara moja Kodi nyingi mfano duka la dawa dldm inatozwa tea mapato, leseni,ushuru wa huduma, kibali Cha bodi ya famasi leseni ya Cheri Cha kutoa dawa hayo yote Ni matozo. Bado hujalia pango, zuio la kwenye nyumba pamoja kulipa mhudumu.
Paka nyauu nyauu panyaa nN amfunge kengelee ? 🎉🎉
Fisiyemu. Ni janga la tanganyika
ccm ndio baba ndio mama 😂😂😂 kidumu chamapinduzi kidumuuuuu😅😅mama samia oyeee
Huyo mama unaye mtaja.unafikiri hajui kinacho enderea! tusidanganyane.anajua.na hii wafanyabiashar nikuriamsha TZ.nzima iri wanyooke
Waarabu watatuua jamani tunataka tanganyika yetu
Wezi watupu viongozi wetu na wameuhalalisha wanasaidiana ila ipo siku kitawaka na watakimbia wote nchi hii wakaishi ugenini kama panya ndani ya nyumba
Wfnbiashara ni wajanja
Hii serikali ya ccm imekataliwa na aliyeumba sunia
Hivi nchi waziri msomi ni mwigulu tu,mtu ameshindwa,Kuna Siri Gani mbona kina makonda wanaondolewa huku Kule,mwigulu aaaa jpm alimtoa ila mwigulu anajua nini kinaendelea
Ccm haiwezi to kuongoza nchi Tena wananchi tujipange tu na mungu atusaidie kuiondoa waovu ikilu
Wanasiasa wao wanawakazia wanawasemea
Mnaongea kwa machungu na hamuoni hata aibu ya kutaja Mama yetu !
Hivyo mama zenu hamuwatambui tena?!???
Mama tunaomba mwondoe mwigulu kwenye uwaziri wa fedha amekuwa tatizo kwa wafanya biashara yaani sera yake ni tozo.tozo
Na yy arudi kwao
Biashara moja Kodi nyingi mfano duka la dawa dldm inatozwa tea mapato, leseni,ushuru wa huduma, kibali Cha bodi ya famasi leseni ya Cheri Cha kutoa dawa hayo yote Ni matozo. Bado hujalia pango, zuio la kwenye nyumba pamoja kulipa mhudumu.
Tukilianzisha kama Kenya mutalaumu nyinyi kujiita chura ngoja tuungane wafanya biashara,,wakulima,,wafugaji,,na waliokosa ajira afu tubanane huko kwenye office zenu hapata tosha