🥺🥺🥺 yote haya yanatokana na umasikini, eeh mwenyezi mungu tusaidie sisi tuliotoka katka familia za kimaskini, daaaah inauma sana huenda ata alikua anaulizia mshahara wake labda ndo maan haya yametokea 😢😢😢😢😢
@@DeboLaizer-m4c ni unachoongea lakini hata mwajiri na yeye ni manikini kwakuwa nayeye ameajiriwa ili kujikwamua kimaisha yeye analipwa na binti analipwa ni roho mbaya tu za kujitoa ufahamu.
Niuwongo iyo story so yakweli ndugu wa mfanyakazi wametoa taarifa sizo uyo mfanyakazi ajamwagiwa maji wala nini niugonjwa uwo na istoshe uyo dada ambae ndo boss wake ndoalokuwa anamtibia na kila kitu cha matibabu ya hospitali kipo iyo habari sio na upande mwingine ndugu wa mfanyakazi wanaimani za kishirikina😢
YANI HAWA WA DD WA NDANI WANAPITIA CHANGAMOTO SANA MPAKA KUNYIMWA MSHAHARA NA CHAKULA TENA NYAMA WANASHIBA HARUFU TU MASIKINI YA MUNGU, MABOSI TUNAHATARI.
@nasrachaya hapana dar nimemaanisha yaani niudhuni au ni masikitiko kwanin inakuwa hivi ukatili huu ndio hili tukio ni moro ndiko limetokea nilivyo sikiliza
WAAJIRI,WAAJIRI,WAAJIRI TUACHE KUJIZIMA DATA,KUJITOA UFAHAMU NA KUKOSA NETOWEKI HIVI LEO WEWE UNATESA NA KUNYANYASA MTOTO WA MWENZIO UNA AKILI KWELI.KAMA NI PESA NIZAKO KESHO MTOTO WAKO ANAWEZA KUWA MASIKINI KWASABABU YA MACHOZI YA WATOTO WA WATU AKASHINWDWA ENDELEZA ULICHIOKIACHA KWASABABU YA LAANA KAA KWAKUJIYAMBUA
Mkurugenzi mwili hauendani madini yaliyoko kichwani daaah big up 💪💪💪
🥺🥺🥺 yote haya yanatokana na umasikini, eeh mwenyezi mungu tusaidie sisi tuliotoka katka familia za kimaskini, daaaah inauma sana huenda ata alikua anaulizia mshahara wake labda ndo maan haya yametokea 😢😢😢😢😢
Nikweri yani we açha tu ila but nadam wengine wanaroho mbaya
@@DeboLaizer-m4c ni unachoongea lakini hata mwajiri na yeye ni manikini kwakuwa nayeye ameajiriwa ili kujikwamua kimaisha yeye analipwa na binti analipwa ni roho mbaya tu za kujitoa ufahamu.
@agneskiwiaagneskiwia hatarii sana daaa
Habari sio ya kweli uyo boss ni shemeji yangu na najua kila kitu
@official_nansty1896 mmmmmh kwahy tumeletew taarifa ya uongo ama 😎😎
Mungu wangu maisha haya😢😢😢
Pia huyo amwagiliwe maji ya moto kabla apelekwe huko mbele akae na kovu kama vile mwenzake atakua na kovu 😢
Mwenye msichana wa kazi ambaye hajafika umri wa miaka 18 amrejeshe kwa wazazi wake
😁😁😁😁😁 umeongea Kwa uchungu ila umenichekesha
Kila siku mnatukana waomani na wasaudi Tu Tanzania pia kuna ukatili zaidi ya uarabuni
Jaman nauliza huyo mfanyakazi kafanyiwa ukatili tanzania au gulf
Maana kila siku mnasema wanateswa gulf mbina huko wameshikia namba 1
Huyo mama shida nn hadi kufanya hivyo mhuuu Bora angemrudisha kwao kuliko ukatili
Pole sana
Ukute alidai mshahara wake boss wake akaona jau na hivi tunaenda january mhh! inaskitisha sana
hayamambohayo kilasikumnasema warabuwana. Watesawafanyakazi sasahuyo kafanyiwaukatili uwarabuni
Niuwongo iyo story so yakweli ndugu wa mfanyakazi wametoa taarifa sizo uyo mfanyakazi ajamwagiwa maji wala nini niugonjwa uwo na istoshe uyo dada ambae ndo boss wake ndoalokuwa anamtibia na kila kitu cha matibabu ya hospitali kipo iyo habari sio na upande mwingine ndugu wa mfanyakazi wanaimani za kishirikina😢
Inauma nainasikitishasana2 achukuliwe atua zakisheliya ili hiwe fundisho kwawengine kamayeye from tz😮😮😮😮😮
Duuuh😢😢
YANI HAWA WA DD WA NDANI WANAPITIA CHANGAMOTO SANA MPAKA KUNYIMWA MSHAHARA NA CHAKULA TENA NYAMA WANASHIBA HARUFU TU MASIKINI YA MUNGU, MABOSI TUNAHATARI.
Mpaka nguo za ndani za maboss wa kiume
Inaumiza jamani watoto wetu wanapitia magumu xn
Dur baraaa hilo jamani dar ukishindwa kuishi na mfanyakazi nibora umrudishe kwao tu jamani umeanza tena ukatili kwa wafanyakazi
DAR tna😮n morogoro au umemaanisha daah
@nasrachaya hapana dar nimemaanisha yaani niudhuni au ni masikitiko kwanin inakuwa hivi ukatili huu ndio hili tukio ni moro ndiko limetokea nilivyo sikiliza
Asilimia nyingi wafanyakaz wanateseka sana hawawchukulii kama familia
Wee kamanda sura km Muroto , bb yako?
😭😭🤲🙏🏽