JUX: "UADUI, BORA NIFE KULIKO NIMWAMBIE, SIJATESEKA, HAKAI MEZA MOJA NA MIMI, THE LOVE ALBUM"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2019
  • Mwimbaji Staa wa Bongofleva Jux amekaa kwenye On AiR with Millard Ayo... kama kawaida Jux akikaa na Millard huwa anafunguka bila kusita, hutotaka kupitwa na hii EXCLUSIVE INTERVIEW ambayo kaongea mengi bila kuficha, penzi lake lililopita na penzi jipya, alivyovunja simu, moments za hasira zake, matokeo ya THE LOVE ALBUM, ngoma inayomuhusu Vanessa kwenye album, anajisikiaje wanapomuita Mpenzi wake "Mchina wa Jux" na mengine.

Комментарии •