CALISAH: Nilitoka kimapenzi na VERA SIDIKA, alinikatia tiketi ya ndege, nimekaa NAIROBI mwezi mzima

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 119

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 4 года назад +7

    Asante calisah kwanzia leo watanikomaaa ntavimbaaa no gd9t no gdmorn sasa kaz ipo kwenda gym😀😀😀😀😀😀

  • @johnco8756
    @johnco8756 4 года назад +6

    He does research 👌🏾 and he brilliant open guy

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 4 года назад +3

    Wow 🤩 600k 💙💙🤩 nawapenda sna Sns 💙🤩

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 года назад +7

    Huyu jamaa ni professional mario

  • @kenethlishela6553
    @kenethlishela6553 4 года назад +4

    Nakuelewa sana blood

  • @ggcrank6264
    @ggcrank6264 3 года назад +1

    Huyu jamaa ni mnyama kweli nakubali anaongea point sana

  • @hadasahqueen4931
    @hadasahqueen4931 4 года назад +25

    Uve said tht white pple dont look old coz they do a lot of exercise, it's not true black skin pple look more younger than other skin types coz we've got more melanin

    • @fabriceingabire8736
      @fabriceingabire8736 4 года назад

      facts

    • @mercykavoo5364
      @mercykavoo5364 4 года назад

      He is saying the truth. White people always look young and healthy because they exercise often and watch what they consume. Melanin is gold but black people mostly dont

  • @chidyboytz48
    @chidyboytz48 3 года назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 года назад +11

    SNS Subscribers 600 congrats 🔥🔥🔥

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +4

    Hii interview itabidi niiwekee muda wa kuitizama kwa mankini 🤩

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 года назад +2

    Calisah ❤️❤️

  • @geoffreyluvanda7801
    @geoffreyluvanda7801 4 года назад +3

    Anaonekana mjanja mjanja u may see him as a play Boy somehow but kuna vi fact fulani ivi anavisema na ni point especially kwenye relationship

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 4 года назад +2

    Sasa wewe kama una sura ngumu msikilize calisah utaumiaaaa 😁😁😁

  • @benjaminsemwenda9035
    @benjaminsemwenda9035 4 года назад +4

    Nnachomkubali huyu jamaa anaishi yeye yan hana muda wa kuwafurahisha walimwengu na ndomaana anachukiwa

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 года назад +1

    Kumekucha uku 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 4 года назад +2

    uyu mutangazaji yuko smart kwa kuriza maswari sns nawakubari sana

  • @nehemiahakonaay9132
    @nehemiahakonaay9132 Год назад

    adui 🔥

  • @agneskamau234
    @agneskamau234 4 года назад +1

    Ooo my God

  • @abdoulfatahibrahimhassan1718
    @abdoulfatahibrahimhassan1718 4 года назад

    We ni mshamba sana

  • @twahamsafi8310
    @twahamsafi8310 4 года назад +2

    Mzee baba Leo umeongea umetupa funzo🙏🙏

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 года назад +3

    Dah! Huyo dada ni Desperate kupita maelezo anadhani Tako lakichina litampa Dill? Wanaume hawatazami matako, ila huruma uzee unawajia jitambueni

  • @bellabakera
    @bellabakera 4 года назад +1

    Kaongea point. Mwanamke ukimpa mbegu anakupa mtt

  • @kahlidkahlid7789
    @kahlidkahlid7789 4 года назад +1

    Sio akili pekeyake bahati mwzi mungu pia

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 4 года назад +3

    Calisah hapo kwenye kujichubua ndio umebugi bro...

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 года назад

    Jamani Calish si chawawa ☺☺☺

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 года назад +2

    We caLisah acha kudanganya wenzio wanawake tumejanjaruka nikupe pesa pengine ukanironge

  • @abdulugama7421
    @abdulugama7421 Год назад

    Huyo mchizi kweli kawa mdudu dah 😁😁😁

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 года назад +1

    👌🏿

  • @khadijakhadija-ve7tv
    @khadijakhadija-ve7tv 4 года назад +2

    Mmmh jmn wanawake wengine wakoje lakin

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 4 года назад +6

    Yaani Vera sidika na urembo wote huo unaokota vitu vya ajabu ajabu visivyo na msingi halafu vinakuaibisha mitandaoni

    • @zaitunijuma7831
      @zaitunijuma7831 4 года назад +1

      sikuzote unambiwa uzur wa mwamake so sura wal mavazi bali uzuri wa mwanamke upo ndan yk

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 4 года назад +4

    Jamaa sinoendagi ila leo ameongea vitu kuhus wanawake namie kama mwanaume nimemuelewa sana kabsa🔥🔥🔥

  • @adamnasib7928
    @adamnasib7928 4 года назад +2

    Mbona mrembo tu huyu Calisa wala haingiii kwenye list ya wanaume

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 года назад +1

    Hyu Calisa nae ni tatizo km domo, yaani kila mwanamke Mrembo lazima achovye.

  • @mariajoackim1368
    @mariajoackim1368 4 года назад

    Jinga sana hili

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад +3

    Hatari n'a nusu lol yani wanawake tu najua kujishusha hesha Mungu tuhurumie

    • @freddieelice6377
      @freddieelice6377 4 года назад

      Metrine mbona kama umempenda jamaa, maana wewe ndio ume comment mala nyingi zaidi humu

    • @chainbre275
      @chainbre275 4 года назад

      @@freddieelice6377 hahahaha 🤣🤣🤣🤣I wish unge jua vyenye amenisinya nakupindisha majibu yake Tena anavyo ongea nakumeza matamushi megine ndo kabisa alifanya nikose kumaliza hii exclusive yake yani kiufupi hajaitendea haki hata kidongo hii exclusive ila ndo hivyo

    • @benjaminsemwenda9035
      @benjaminsemwenda9035 4 года назад

      @@freddieelice6377 Mwanangu umeniwahi mm mwenyewe nimeliona hilo, huyu dada kapagawa na mchizi so anahangaika kujibebisha kwenye comment

  • @lizzydiy4590
    @lizzydiy4590 4 года назад +1

    🚶🏻‍♂️🚶🚶

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 4 года назад +2

    Eti alikua dadaangu🤣🤣🤣😅😅😅

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 года назад +1

    Vera jamani

  • @afterx3172
    @afterx3172 4 года назад +1

    Nmejfunz vng xn kiptia huyu mwamb ✊🏿

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 4 года назад +1

    Am muna from tz musimufokee jamani alikula ujana

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 4 года назад

      Muna so you support his foolishness?

  • @blankakecy2464
    @blankakecy2464 4 года назад +1

    Huyu mwanaume bwege sana ieleweke tu hivyo hamna wanaume anaejielewa ataweza kuongea hiv

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 года назад

    Wazungu unawaabudu sanaaa punguza

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 года назад +1

    Huyu Vera nilivyo elewa me nataliwa sana basi

  • @chundabadsingasinga3130
    @chundabadsingasinga3130 4 года назад

    Ila #SKY Unazingua sana haaaahahahaa alikuwa anawakikisha #TAIFA

  • @hhhggg9597
    @hhhggg9597 4 года назад +2

    Well I have learn something from this guy I'm going to read alot

    • @hahmadhabibu2076
      @hahmadhabibu2076 4 года назад

      Hehe what is that

    • @TeacherBoda
      @TeacherBoda 4 года назад

      don't say i have learn, you've to say i've learned.

  • @OmegaThreads
    @OmegaThreads 4 года назад +2

    Sky sky sky sky... Intro ya "chill na sky" Ina saut Kali Sana kaka

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 4 года назад +1

    Huyu jamaa anasoma vitabu vipi hivyo, mbona anaoongea ujinga ujinga sana, ila anaburudisha kishkaji ,no wonder wanampa interviews nyingi 😂.

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 4 года назад

    Yaani wabongo bwana kila mtu siku hizi ktk interviews by the time unaisikia mara kadhaa cha kushangaza hata matumizi yake yanatumiwa isivyo sahihi

  • @JayJay-rt9ox
    @JayJay-rt9ox 4 года назад +4

    Vera sidika🤣🤣🤣🤣🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️jamani kwani ukimwi uliisha mbona kufungua miguu hovyo hovyo..Women let's respect our bodies

    • @officialzu3772
      @officialzu3772 4 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣Inaonekana kabisa ukimwi hakuna Sasa ni corona Dunia I naenda kasi 😂😂😂😂

    • @Esty1248
      @Esty1248 4 года назад +1

      Miguu yake ndio biashara yake, akifunga miguu utamnunulia mawig? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JayJay-rt9ox
      @JayJay-rt9ox 4 года назад

      @@Esty1248 🤣🤣🤣😂😂🤣ni kweli

    • @dikangsimonmori5535
      @dikangsimonmori5535 4 года назад +1

      Esty 1248 But this guy doesn’t have money.

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 4 года назад

      Vera ananiudhi sasa

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 года назад +6

    Hana mpango. Anaongea rubbish. Ni mtumwa wa wazungu. Haishi ki vyake anaishi chini ya kuiga ujinga wa wazungu. Ni muhuni tuu

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 4 года назад

      mjinga sana ikisha ana dharao..yupp ovyo sana

    • @margaretobenga710
      @margaretobenga710 4 года назад

      Kweli kabisa, najivunia kuwa African. Sisi wa Africa tuwache kuona eti wazungu ndio watu sahihi, eti kilakitu kizuri ni mzungu. Kwa kweli mzungu ni mtu hivyo kabisa. And I say again, I am proud to be African.

  • @stephenyonah8868
    @stephenyonah8868 4 года назад +1

    Meisubiri hii kwa hamu saaana

  • @adidjaadidja2578
    @adidjaadidja2578 4 года назад +3

    Nimejifunz kitu nd man mupnz wang anavimb ar mm mwenyew muhun nt muonesha

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 4 года назад

      😀😀😀 ye anavimba na ww unataka uanze kuvimba bas mnaenda kuachana.

    • @adidjaadidja2578
      @adidjaadidja2578 4 года назад +1

      @@kazkaz1943razim n mm nimuoneshe ubabe asinicukurie poa

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 года назад +1

    Tembea uone. Mzungu akifika. Miaka 12 kashaanza mchezo akifika 20 uzee ma meke up usiseme bila ya kujipamba No huezi amini uzee akifika 40 ndio mama usiseme wee Huna ujualo bro wafrica shida tu ila hawazeeki haraka

  • @mlongojane8671
    @mlongojane8671 4 года назад +1

    Slay king. And a narcissist. GIGOLO!!!!!!!!!!!!!

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar 9 месяцев назад

    Ili jamaa shoga

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 4 года назад +1

    SUPER MARIO NA TECNICK ZAKE ZAKUDANGA 😂🙌🏼🤮🤮🤮🤮

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 4 года назад +1

    Huu mtambo

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад

    Kuna mtu anaweza uluzwa swali akalijibu kiustaarabu n'a mtu akamuelewa ila huyu mm Ni meshindwa kumuelwa anavyo jibu kwanza anaogea haraka haraka hadi maneno megine haya sikiki ila kma ndivyo ulivyo it's okay

  • @sameerlema9954
    @sameerlema9954 4 года назад

    Eti anasoma vitabu

  • @tunnaika
    @tunnaika 4 года назад +1

    Siamini mtu yeyote mwenye kuongea haraka haraka namna y huyu

  • @judithsidi1087
    @judithsidi1087 4 года назад

    Kwani anatumia mkorogo naona vidole Fanta na cocacola

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 года назад +1

    Jamani ivyo vidole byakalisa ndokitaulo ao

  • @ghulamjuma2883
    @ghulamjuma2883 4 года назад +1

    Umalaya unakusumbua ww

  • @Nyamisango
    @Nyamisango 4 года назад +1

    🙄 waste of time

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад

    Yani unapinda pinda majibu yko
    Hii ni Kati ya interview mbovu yenye hadi imenikatisha taama ya Kuma lizia hayo Ni maoni yangu musinifokee Thafadhili 🤣🤣😜

    • @findinglela
      @findinglela 4 года назад

      Wacha hasira

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 года назад

      @Preetty Shemsa kama unamchukia mtu kiasi hicho usingepoteza muda wako ukaingia hapa. Mbona naona kama hii iko kinyume vile😀😀

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 4 года назад

    CALISA acha kupaka mkorogo kitaulo sijui kwanini ma marioo wa mjini wanapaka mkorogo 🤮

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 года назад

    nani ni mbaya? ona hii
    ruclips.net/video/lbkoaTToIjk/видео.html

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 года назад

    Vua miwani tukuone!.
    Unajificha nini?..