PART13:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 73

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 Год назад +4

    Bila Yesu huvuki bro.

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад +3

    Story tamu kweli ❤️ bonge la story, story of the year😊

    • @LEO-uq6el
      @LEO-uq6el Год назад

      Weee kuna story kwa davista hii sio story labda hii ni story inayoongoza kwa ukatili

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 Год назад +4

    Kweli shetani kakutumia kiswa sawa......Neema ya Kristo Yesu iwe juu yako Ndugu Yangu 😭

  • @adamjonasi8078
    @adamjonasi8078 Год назад +2

    Jaman hapo anapoitikia Ivo anampa nguvu mzungumzaj kwa sababu huyo mzungumzaj haongei kama yupo kweny kipindi ila anaona ni kama anapiga story na mshikaj wake tu kitaa kwahy akisema akae sawa itamboa huyo mzee

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Год назад +4

    Nyie mnao sema aache kuitikya tikya Naisi hamjuwii maana ya stori na niwaulizetu mtajiskyaje ukiwa unamsimulya mtu kitu alafu akae tu kimya

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Год назад +2

      Hivi watu huwa wanataka nini akikohoa davistar unakohoa Sana akiuliza maswali, unaluliza Sana akikubali watu wanakasilika akinyamaza Davistar umenyamaza Sana hivi watu wanataka nini🤔🤔🤔

    • @babaalex5062
      @babaalex5062 Год назад

      @@Irenes_Kitchen 😂😂😂

    • @jonasynyasika6391
      @jonasynyasika6391 Год назад

      Watu sijui wakojemo???

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад +1

    Napenda jinsi davistar usema eeyie😅😅😅

  • @mohammedkitcarson697
    @mohammedkitcarson697 Год назад

    Pole sana ndugu yangu mrudie mwenyezi mungu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Год назад +2

    Dah we jamaa yani umepitia mishe kibao😳😳😳

  • @thomasardoph
    @thomasardoph Год назад +1

    Duh!! Samahani Kaka Davistar, hivyi hii simulizi sio kwamba inahatarisha Usalama wa huyu mzee.?? Maana kwa maelekezo yake vipi Kuhusú alio wafanyia haya Mambo.? Kuanzia kule kwa wavuvi. Je haiwezi kusababisha akaingia kwenye mikono ya dola.??

  • @gmanyota1
    @gmanyota1 Год назад +3

    Davista acha kuitikia itikia kwa sauti itikia hata kwa kichwa tu muda wote wewe ni ee ee ee yes yes unatukata wasikilizaji,we uliza maswali kma kama huna swali itikia kwa kichwa unatukata na eee eee mmm mm yes yes yesss

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад +1

    Mmmh Waganga ni waongo sana 😢😢😢

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Год назад

    Damu ya yesu inanena mema😄

  • @Patience.67
    @Patience.67 Год назад

    Hizo ndoto za watu waliokufa uwa aziishi mara Moja continuous prayer

  • @espoirmlondani-ue2fm
    @espoirmlondani-ue2fm Год назад +2

    Mpokee bwana yesu ili upone

  • @madamtemu4167
    @madamtemu4167 Год назад

    Davistar,jhuyu jamaaa ungeficha sura yake nahic hiiinaweza hatarisha maisha yake,cjui Kwa Nini umemuweka wazi hivi ili Hali ana matukio ya kutisha???

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Год назад +7

    Davistar mbona una itikia itikia sana yaani hadi simulizi ina kosa ladha halafu Wafanya kusudi maana maoni una ona

  • @mainermgunga1952
    @mainermgunga1952 Год назад

    Sema nin uyu mjamaa roho yake ni yaaniyake 😂Dash sema mungu amsamehe na samsafishe nafsii mana ni shetan amemvaaa aisée Bora angekuwa illuminat Tuu ijulikane moja apate faida

  • @josephkelvin3376
    @josephkelvin3376 Год назад

    Kazi Kaz

  • @SamwelTibalengesa-ky4dq
    @SamwelTibalengesa-ky4dq Год назад

    Dah hii story inatisha Yan nahisi mpaka kuogopa pale aliposema kua aliens kumkata marehemu viungo na alikua mlokole hapo ndo najiuliza tufanyeje ili namimi wasije wakanikata wachawi viungo jaman make inatisha!

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Год назад

    Shetani hana shukurani😃

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 Год назад

    Hiyu jamaa noma. Tunaomba part 14.

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад

    Mimi nionavyo mweche ile hoteli alifanyiwa dawa ya kumtoa mamako kwa hotel yake

  • @HopeShirima-tf5du
    @HopeShirima-tf5du Год назад

    We mtangazi hujaota kweli maana mi nimeota

  • @ahmedsamir9814
    @ahmedsamir9814 Год назад

    Wamayo ni bishoo sana 😂😂😂

  • @robinsonmasai7690
    @robinsonmasai7690 9 месяцев назад

    Uyu mtu amepitia mengi kweli

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod Год назад

    Tuko pamoja davistar.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    ✌👊

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Год назад

    Yaani mimi hapa masikilazi mpka naogopa kulala mwenyewe 😢😢😢😅

  • @yadasilas5385
    @yadasilas5385 Год назад

    Waiting part 14

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc Год назад +1

    Duh

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    Wakwanza leo 😂😂

  • @isaakjumbo9826
    @isaakjumbo9826 Год назад

    Wamayo hicho kituo Cha sisiem kirumba nakijua na mimi nilisha pelekwa humo

  • @tinarmanka1550
    @tinarmanka1550 Год назад +2

    Yaani kwakwel ingekua vizur huyu jamaa angekua ameficha uhalisia wake tangu mwanzon sabab Kwa sah hata majiran na ndugu zake wa karib watamtoroka so kw matukio hayo🤔

  • @ibrahimngokoe2102
    @ibrahimngokoe2102 Год назад

    Ameishia darasa la pili 😂😂

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 Год назад

    Duuuh 😢

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Год назад +1

    Hata tiki TV ana sikiliza tu msimuliaji anavyo simula hiyo itikia hana ila ww sasa una boa kiukweli mi nisha biki yako sana lakini kwa hili loo hapana

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 Год назад +1

      @@luchirimusa231 na akiambiwa wala hataki kusikia

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen Год назад

      ​@@luchirimusa231 😂😂😂😂😂 Kwani watu mnataka nini akikohoa davistar unakohoa Sana akiuliza maswali mnaanza kulalamika 😂mnataka nini

    • @happyatonga2618
      @happyatonga2618 Год назад

      Wana matatizo utafiri wamelazimishw kusikiliza simuache kama mmekereka

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 Год назад

      @@happyatonga2618 acha makasiliko kwani ww ndo Davistar au wapi umeguswa

    • @heritier5119
      @heritier5119 Год назад

      Ndo ananogesha

  • @masakakambesha4521
    @masakakambesha4521 Год назад

    Mjombaaaa!

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Год назад

      Daah mpk huruma sasa unapokwendea daah kikubwa tuache tamaa na mali za kutokumia nguvu😢

  • @omayiogeoffrey6155
    @omayiogeoffrey6155 Год назад +1

    Punguza kuitika itika

  • @divinahobiri4999
    @divinahobiri4999 Год назад

    Like seriously 😳I this real??????

    • @GREGORYOCHOLLA01
      @GREGORYOCHOLLA01 Год назад

      You might be a Kenyan like me😂 am also shocked

  • @godymynga3029
    @godymynga3029 Год назад

    Eeeee ok ok mmm mmm ok 😃😃😃

  • @GLORIAHAROYAL
    @GLORIAHAROYAL Год назад

    Muone😂