Kwa mganga ni lazima tu akukoseshe masharti, ungeomba ukaonane na lusifer mwenyewe au malkia wa kuzimu ziwani umueleze shida zako. Mganga akifeli nenda kwa shetani mwenyewe.
PARTY 16 KAKA MAANA KUNA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WAMAYO KIJANA WA MUNGU. I BELIEVE WAMAYO ATAOKOKA NA KUWA MTU MWEMA BUT ANAHITAJI KUFANYIWA REHABILITATION.
Katika story Kali asee hii noma🎉🎉🎉
maiti bibi fisi jini lo! maisha ya waganga haina faida pole sana tafta yesu atakusaidia
Yooooh🎉 part 16,17,18...Hadi mwisho wa story bro....doing 👍 good job
Kwa mganga ni lazima tu akukoseshe masharti, ungeomba ukaonane na lusifer mwenyewe au malkia wa kuzimu ziwani umueleze shida zako. Mganga akifeli nenda kwa shetani mwenyewe.
Maishaa ya wamayo jaman ni laaana tu.!
Part 16 please, maana story ni ya moto sana
yaan hizi story kwa sisi ambao tumezaliwa mjini tumekulia mjini unaweza kudhani ni vitu vya kufikirika kumbe vipo kweli Aise...
Bwanae,nisaidie phone number ya huyu jamaa tumfanyie interview huku Kenya...nionee😂😂
Davi leta wamayo manze tumalize hii series 😂😂
Wamayo wamayo wamayo, unamaliza bando langu😅 tupe na huo muendelezo
Tunaomba Part 16. Huu ushuhuda ni hatari. Hakuna tena kama huu.
acha ujinga
Leta next nime itatulia sna tokea Nairobi 🇰🇪🇰🇪
Best story ever 💘 davista keep it up
Shetani ni meongo. Na anaweza kukutumia kutekeleza maovu mengi sana. Sasa unaona ulikua mpaka mtoto mdogo. Na shida ya mamako bado ipoipptu.
This guy is funny 😁
😂😂😂nyiie eti mume wangu nakesho tena uje
Jamaa anamoyo mngum Sana Ila mngu nimwema kafunguliwa
Ukute Kuna wanaume wa hovyo wanaotamani kipengere Cha kupiga shoo Kama vile wao wangekuwa wamayo 🤣🤣🤣🤣😛
😂😂
ahahahaaaaa akuna kama wewe kikongwe noma sana brother
Unapenda pesaa sana na unapenda show xaana ndo maana yanakukuta mengi 😂
😂😂😂😂
Kama unamukubali tia laiki hapa
Hii mambo ya kuweka vitu vinusu vinusu, achana nayo ama nitafute hasani wamoyo mwenyewe animalizie hii stori,na wewe nikutoe ndaguu.😅😅😅
Aseee ili baba lina roho ngumu atal
Uuuuuuwiiiiiii😢 nikapiga show uko wapi nikapiga show usingizi sina nikapiga showw
Mimi naona waganga Wana mahitaji Yao binafsi ndio walikuwa Wana kutumia wewe
Waaa! Wamayo umepitia kweli?
👊✌️.
Wewe nawe tamaa zako mbaya sana umepiga 5 mbona uende wa 6
😂😂😂😂 Ila waganga Mungu anawaona
NIKAPIGA SHOW😂😂😂
NIKAPIGA SHOW KWELIII 😂😂😂
Next part please
Sitaki like, sitaki mguse comment yangu.Ntaua
😂😂😂😂kuja uniue
@@fenellalilian4590 wabongo wabishi nakufa hamuogopi
@@butondodavid2105 mm ni mkenya 🤓🤓
@@fenellalilian4590 kumbe ndomana uelewi somo, kweli mbishi ntakufata kenya
@@butondodavid2105 wakenya sio wabishi Ka nyinyi 🤣🤣🤣🤣
Mbn hulet 16
Ninoma Dunia sinia hakika pakua unachoweza
Nasikia haya maruweruwe yako huko kwenye maisha baada ya kifo. Kwa hiyo kila mtu atayashiriki akifa
Mbona part 16 hamna
Hamna story itakayotokea kuja kuipita hii yaan tunaisubiri kwa gan jamn uwe unawahi ku upload kaka
Nguvu hizo za kupiga show ulitoa wapi?
leo mapemaaaaa kitu ichi apa
Part 16 tafadhali.
PARTY 16 KAKA MAANA KUNA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WAMAYO KIJANA WA MUNGU.
I BELIEVE WAMAYO ATAOKOKA NA KUWA MTU MWEMA BUT ANAHITAJI KUFANYIWA REHABILITATION.
Stakiw iishe mzee
Muweke mapema simulizi inayofuata
mbona kama video fupiii davista, weka mzigo wote baba
Ngosha huyu anamoyo wa kutisha
Mzee wa kupiga shooo
Wamayo mnyama
@devistar muulize hayo matukio aliyafanya mwaka gan
Ee kwakwel huwa haulizi mwaka
Mwaka na sehemu husika
J.boys 1999
Office
Mjomba😂,😂😂😂😂,hamna😅
Wamayo unatisha
Nikapiga shooo
Nikapiga show kweli 😂
Duniani huku kuna mambo
Vile anaka pole muone🙄
😘😅
Muone😂
Njoeni wamayo kashawasili leo mapemaaa
Tumekuja wamayo
Mm ni wapeponi❤
Part 16 please, maana story ni ya moto sana