Inafaa tumtafute YESU shetani Hana huruma na binadamu kwenda kwa mganga ni kuzidisha matatizo juu ya mengine wamayo omba toba Bwana YESU angali anakupenda
Wachawi wangetufundisha tu technologia ya usafiri tusingekuwa tunapanda mabasi.....safari za ulaya mikoa ndani ya dk 2 umefika,,,kuliko tunavyokaa kwenye basi mpk migongo inauma....iyo tu ya usafiri ungekuwa better
Naanza kuhisi kama hii story ina mwandishi mbona anatiririka tu.nnavyojua story ya kweli huezi kwenda kipengele baada ya kipengele hivi.mhhh so sawa na yule wa mali za wazazi
SASA.WAMOYO WW HAKUNA ULICHOBAKIZA KAMA NI SHETANI UMEMTUMIKIA SANA. UMEUA WATU ZIWAN,UMEUA MAMAKO NA UMEFUKUA MAITI NA KULALA NA MIZIMU NA BADO UPO HAI. NAAMIN BADO UTAFANYA TU HAYO USHAPANDIKIZWA USHETAN MKUBWA SANA.
Yesu ndio kimbilio
Mungu wangu zidi kutuzingira na damu yako takatifu
Tukae na Mungu vizuri shetani hana huruma 😢
Kabsa tna anafanya kazi yuko bize sana na mambo ya kuipoteza dunia tuombe sana mungu
Shetani ana huruma kabisa
Hana kabisa
Shetani hana shukurani
Kuna
✓ wanaodanga
✓ Malaya
✓ mashoga
✓ wasagaji
✓walevi
✓ wala rushwa
✓ waganga
✓ wachawi
💕lakini yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima
Inafaa tumtafute YESU shetani Hana huruma na binadamu kwenda kwa mganga ni kuzidisha matatizo juu ya mengine wamayo omba toba Bwana YESU angali anakupenda
Damu ya yesu inanena mem
Jaman wa wamayo wamayo unanukaa damu... 🔥🙌
mafya wamayo😀
Kunuka damu kawaida
Damu ya yesu inanena mem
Allaah Akbar
Nimecheka sana et walikua
wana tutaman 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 aweeeeh!!!!! et nyama ni tamu yani nikuakata tu kaugari ni h8vi tu😅😅😅😅😅
Namsubiri irene aje nimwambie Nampenda
Damu ya yesu inanena mema
Daah! Pole sn
Tatizo la dev anacherewesha sana hii stoli unaweka ambazo mi czierewi
Nikasema uuuh😮hiki si nikidole Cha jamaa hiki yesu tuokowe
Chini ya jua sote ni wenye dhambi lakini tukumbuke kumtanguliza mungu na kutubu dhambi zetu
Huyu jamaa amemshida Shetani matokeo😂😂
Nafikiri hadi shetani anamuogopa
😂😂😂😂
Next part brother it's really interesting
Kwa yesu kuna rahaa
Na watch from Kenya Joh...
Safi Sana wacha utuleteye haraka
Wachawi wangetufundisha tu technologia ya usafiri tusingekuwa tunapanda mabasi.....safari za ulaya mikoa ndani ya dk 2 umefika,,,kuliko tunavyokaa kwenye basi mpk migongo inauma....iyo tu ya usafiri ungekuwa better
Usioende shirtcut
Mikoani ndio wapi
@@leaherasto929 muache aende na akija atatoa ushuhuda
😄😄😄ati watu wanaishi vizuri wanakula nyama kila siku kumbe ni nyinyi mnakuliwa
Nilkua nimekumic wamayo❤
Kwanini unammiss chinjachinja wakati sisi wengine smart tupo pouwaaa
Wanawake huwa wanapenda washindi hata kama aweje.yaaani hakuna mtu wa kueleza upendo wa mwanamke
KAMA HUNAMUONA WAMAYO MAFYA GONGA LIKE TWENDE SAWA
Mafia number one.
From kenya huyu jamaa ni hatari. Jeshi huyu aseee
@@lawrencemalika9687 kenya wewe ni Odinga au rutu
Wamayo karudiiiiii njoeni faster
Kwani wewe hukufunzwa hata kuita jina la Yesu
HUYU JAMAA ANACHO KIONGEA NI SERIOUS KABISA 😮😮😮😢😢
Damu ya yesu inanena mema
Part 17 plzzzz
Yeye mwenye anajiogopa
Wa moyo miss u ❤
Kwanini unammiss chinjachinja wakati sisi wengine smart tupo pouwaaa!?
Tuletee part 17😢😢story inatisha iyi
Me too waiting
Tunaendelea na wamayo KAZI KAZI.
Karibu tena
Sema tumengoja sana
Wamayo unakitu utafika mbali 😂😂😂
Oyooooo 😘😘😘😘😘
Jamani nimewahi 😆😆😆
Tulio rud kuingalia kwa Mara nyngne tujuane
Aki watu walikua wamemiss wamayo😅
Kuna watu wanajaribu kitu fulani ila kaka usiwafatishe kila mtu ana mfumo wake na jina lake
Yeah ata mmi nimeona nikaa kimya
@@bakari-si1pw kabisa
🙏✌️
mbona anatoa sili bwana davista hao watu wako seheem nyingine waambie waluke bwana
Kwa kweli nimekuwa muoga na hawa matajiri
Wamayo ana sura ya upole lkn ni shetan wala afai😢
Wamayo kweli tulikumisi
Mganga kaamua kumtumia jamaa atar kweli
Et wanatutaman 🤣🤣🤣🤣
Dah😢
Sasa wamayo Kama ulikuwa tayari umestukia issue kwanini ukuwaokoa wenzio?
Jmn we kaka😢😢😢
Je baada ya wale watatu kuliwa Wamayo ataliwa au atanusurika, tunasubiri
😂😂
Nadhani ataliwa
@@emojongtv3995 😀😀😀 ngoja tuone.
Acha tusubiri ila kivyovyote aliliwa tu
Shetani hana shukurani
Lete 18 wamayo sio poa
Davistar hembu msikilize mwenzio Tik TV yaani haitikii itikii kama wewe una boa
Sasa we una kereka nini anavyo itikia🤣🤣🤣🤣
Uwo mtazamo wako
Umesha sema Tik Tv na huyu ni davistar tiv kila MTU na style yake.
Inasaidia kumuonesha msimuliaji kwamba kuna mtu yuko makini anamsikiliza muache bana afanye kazi yake anajua huyu jamaaa
Huo mtazamo wako
Wamayo asi ninyingi sana
Shetani alikutumia kujiridhisha
Huko kukatishakatisha unatunyima raha ya story
Ila davista unatutesa huku unachelewa sana
Poleni Wamayo alisafiri ndio maana ukaona kimya
17 inashika kweli
Wamayo, unatoa siri za kambi.
Wamayo
Mbona unatuletea vifupi vifupi sana?
Yule jamaa wa J Boys leo wapi alipo
Hana ellaa ya bando
Umemmiss nini
@@lizzybeth6344 yeah nime-mmisi bhana maana jamaa yupo fasta
@@Teacher_01 aseme anatumia mtandao gani nimnunulie
Damu ya yesu inanena mem
Naanza kuhisi kama hii story ina mwandishi mbona anatiririka tu.nnavyojua story ya kweli huezi kwenda kipengele baada ya kipengele hivi.mhhh so sawa na yule wa mali za wazazi
Hadithi haina fomul
Wamayo umetsha
Wa maayo uludi
Story tunasubir mpaka tunasahau ilipo anzia
Hahaha 🤣
Wamayo yuko bize anasimulia kwa awamu
@@joshuamakota6714 sema jamaa anamatukio utafikir mjukuu wa shetani
@@butondodavid2105 atari sana brother
Gantwale
SASA.WAMOYO WW HAKUNA ULICHOBAKIZA KAMA NI SHETANI UMEMTUMIKIA SANA. UMEUA WATU ZIWAN,UMEUA MAMAKO NA UMEFUKUA MAITI NA KULALA NA MIZIMU NA BADO UPO HAI. NAAMIN BADO UTAFANYA TU HAYO USHAPANDIKIZWA USHETAN MKUBWA SANA.
Nouma huyu Mtu
@@salukisendi9333 damu ya yesu inanena mema