Dogo wa mwanzo kaua sana, lakini c.e.o kidgo, na yule dogo mfupi mweupe mm simjui jina hata yeye anajua....... lakiniHawa wengne chenga wamezngua hawana mashairi wanarudia sana maneno haraf yakawaida..... Hyo imenikata sana, Bit Kali kinYama melody yamoto asikwambie TU, Dogo wa mwanzo ndo nyota wa mchezo, narudia tena mm ndo shabiki wake namba Moja.
Kwenye kundi la CBO hyo jamaa anaeanzag kuimba hyo atatoboa maana miondoko ya Joeboy likee Uuuuu yeaah all wanna tolk Vile unanifanya unanifanya niwe top like Uuu yeaah All wanna tolk yeeah 🤣🤣UKIENDA KWA JUU YEAH ME YANGU TIME😋😋😋
Kikubwa Ni pongezi kwa Christian Bella kwa ulichofanya...vijana Kutoka BSS Season 11,mpk kuwa stars,kazi nzuri.*. Bruce,Ezael,mavoice,na huyo tall nawakubali sanaaa
Unae mkubali bluece gonga like
uyu dogo alooanza 💥💥wa kuotea mbali asa mtaftien kolabo na omah lay ndo wanaendana sio hao😍😍😍
One love my gang❤❤
BRUCE BSS 2020 heshima kubwa sana kwako JUDGE CBO
Kama una mkubali Christian Bela gonga like
Dogo wa mwanzo kaua sana, lakini c.e.o kidgo, na yule dogo mfupi mweupe mm simjui jina hata yeye anajua.......
lakiniHawa wengne chenga wamezngua hawana mashairi wanarudia sana maneno haraf yakawaida.....
Hyo imenikata sana,
Bit Kali kinYama melody yamoto asikwambie TU,
Dogo wa mwanzo ndo nyota wa mchezo, narudia tena mm ndo shabiki wake namba Moja.
Jamani nimefurahi umeviinua vipaji hongera
Zana ukifnya video nichek nikununulie nguo I 💕
Kwanza Bella acha tukupongeze kwa hatuwa umechukuwa kuwasaidia vijana hawa, so proud of you, for sure you the king 🤴 respect from 🇺🇸
Wa pili kutoka mwisho umeuwa kudadeck ✨✨✨✨✨✨✨
Dogo anajua Hadi anaboa🔥🔥🔥
Uyo wa verse ya kwanza kaua sana💥💥💥
sikupingi kaka
Huyu bruce🔥🔥
Yean nyie mnanifanya kuupenda music kbsa nilikuwa spend but cbo mnaniuwa
Kwenye kundi la CBO hyo jamaa anaeanzag kuimba hyo atatoboa maana miondoko ya Joeboy likee Uuuuu yeaah all wanna tolk Vile unanifanya unanifanya niwe top like Uuu yeaah All wanna tolk yeeah 🤣🤣UKIENDA KWA JUU YEAH ME YANGU TIME😋😋😋
Kazi safi Frere ... Courage makila ya BA shampion
Bruce ,Bruce ,Bruce welcome to the industry....
Mungu atakusaidia Bella, kazi nzuri sana .. twendeee mbele vijana hadi tufikie malengo……. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umetisha sana janja @Bruce africa 🙌🏾🙌🏾
Kikubwa Ni pongezi kwa Christian Bella kwa ulichofanya...vijana Kutoka BSS Season 11,mpk kuwa stars,kazi nzuri.*. Bruce,Ezael,mavoice,na huyo tall nawakubali sanaaa
KAZI nzur MUNGU AWABARIKI SANA na Kazi iendelee
Tuiwashe mishumaa anajua sana big up cbo kea kukuza vipaji
Boye nde ezalaka soki Zambe apesiyo eloko pambola pe baninga Mungu ata kusaidiya
from kenya am a fan of this jamaa wa kwanza kuweka verse i love his flow ata kwa mariana aliuwa kabisa mob love from 254
Ki2 cha kizr kusifiwa nijadi ye2 hongera sana cbo 4life
Again its bruce for me......💥💥💥💥💥
Noma sana bella 💪
Daaah Bella ubarikiwe sana kuwachukua hawa ndugu zetu wa bss ...natumaini watafanya makubwa
Bruce na mavoice wanajua kuandika hao wawili wafundishwe kuandika naamini next time itakuwa ngoma kal zaidi
Brucee kama mnigeria, bravoooo
For Bella🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Keep pushing bella umeona vipaji kwa madogo ukaamua kuwapushi kwa hela zako binafsi
Bella asante kwa mziki mzuri sana I like it
Bruceeeeeeee noma
Tokoss mwana mboka🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🤗😘😘😘🇨🇩🇨🇩cbo
am not these artists fan but this song made me become one,,Salute Bella,Salute Bruce...sweet melody👊🏻
Heshima kwako king of best melody umetisha sana uwezo wako nimkubwa sana mnaweza sana nimependa from Bujumbura
Bonge la wimbo... Wanajua sana
Bruce 🔥🔥
Kuna maskan nikikaa lazma niweke hii song, ntakwambia inaletanga results poa sana💕💕💯
Nakubali hii😘😘
Alieona kipaji cha Bruce like hapa
Nzambe apambolayo mingi yaya🎼🎼💪💪💪 teamo ❤️💪🎼🎼🎼🎼
Wayoooooo......CBO Music..like Kings music
nimesubiri sana video yake mashallah hi nyimbo naipenda sana
I loveeeee this song 💋♥️ Bruce’s voice is killing me 👌🏾😩❤️
oooh yesssss bruce ni nomaaah
Team CBO give me like here👏
Propre fort ndeko🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪🇨🇩💥
Mwana mboka force à toi🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bruce for me 🔥
Sauti Mziki Ni Sauti let's Go Yo Bellah🇰🇪❤️💥
Christian Bella 🙌🔥💯🔥🔥🔥🔥
MORE THAN HOOOOT......#CBO.....
Kazi nzuri
Bonge langoma
Bella is number in Tanzania good music 🇰🇪🇰🇪
Dah namuona mwanangu wa BSS fundiiiiiiii wa muziki huyo kaka CBOOOOOOO
Bruce you killed so much ❤️❤️❤️❤️ nomaa sanaaaaaa
Noma sana clss mate🙏🙏
Hatari sana sana sana hawa vijana wameua kwa kweli
Romantic wa varse 2 anajua sana so handsome
Mafundi wa muziki ✌🏿🤞🏿
Am super fan of mavoice can't believe you this far keep it up💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
this is a song to sleep and wake up with it fans from America 🇺🇸
CBO juice melodies 😋😋😋🔥🔥🔥
Bruce🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tokoos bella🔥🔥🔥🔥
Nomaaaaaaaaaah
Uko juu kaka wewetu usichoke
Bruce🙌🏽
Verses of Bruce is so hot 🔥 for sure BRUCE is so good artisti of sounds and verses . you kill it in this song🙌🙌
Salut christian Bella kwakutimiza haki yako
CBO to the World, much love from Mombasa Kenya, kazi nzuri sana kak
Thats why we call you bruce melody.....am your fan since bongo star search. We love you from our motherland kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kali kinomaaa
Kazi nzuri san
Felicitation artistes une très belle chanson 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Love team I teamo
The first guy. 👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥
Bella mungu akuweke umewatoa bss mpaka huku
Baada ya kings music naipenda CBO
Fireeeee
Nimefurahi kuwaona Wana bss humu
Big up sana,,ujio wenye sura tofauti na matarajio,,,,mnajua sanaaa,,,versatile hatari
Last one singer💥💥💥💪🙌👏👏👏👏👏👏👏👏🤭
🔥🔥🔥💯🇰🇪
after listening to Christian Bella old song with Alikiba and run Here just 2check...This guy still hits hard🔥️🔥️🔥️,,,he's a goat🐐️by himself
Belaaaaaaa you are the first and last Happy New Year🤗🤗🤗🥳🥳🥳
Goma lakwenda
CBO............👏👏👏🥂
bella motooo
Napenda sana ile kitu vijana wana weza saana
Bruce ni motooo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nous sommes arrogant d'être congolais du sang !Another banger hujio mkali mpya
Fresh sana
CBO nomaaaaah
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌CBO Obama
Bruc nooma mwanagu
I love thé jacket 😜😁
C depuis Congo Kinshasa en tout cas cette chanson il y'as talent
Bruceeeeeee
safi sana