KISIMA _NALINAKI OFFICIAL VIDEO 5K

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 220

  • @godsonishengoma5378
    @godsonishengoma5378 12 дней назад +8

    Japokua sielewi kisukuma ila kwa nyimbo huwa nakukbali.. Keep it up bro.!

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 12 дней назад +6

    Mwambaaaaa🎉🎉🎉❤❤ Huu wimbo ni bora sana kwangu binafsi nauelewa sana basi tu Kisima Majabala Barikiwa ndugu.🙏🙏

  • @Costantinejustine
    @Costantinejustine 12 дней назад +5

    💪 ni Mmoja wa waimbaji anaefariji wataftaji ,,waliotoka makwao kwenda kutafta Mali sehem tofauti tofauti,,,,hongera unaweza kisima ,,,unakonga mioyo ya mashabiki wako pia 👏

  • @MuhammedAbdala-j7f
    @MuhammedAbdala-j7f 12 дней назад +4

    Hakuna msanii wanyimbo za asili ninae mkubali kama wewe kisima ongeza ngomatu bro nakukubali saaaana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Shilekanganotz
    @Shilekanganotz 7 дней назад +3

    Utabaki kuwa juuzaidi kaka mwenyenacho uongezewa nakubali kaka angu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MeshackKubyula
    @MeshackKubyula 12 дней назад +5

    Hongera sana bro nyimbo nzuri sana 👑👑🇹🇿🇹🇿

    • @MeshackKubyula
      @MeshackKubyula 12 дней назад

      Bro hii nyimbo inanikumbusha mbali sana kuna kipindi nilipitia mateso na manyanyaso kutoka kwa ndugu zangu wa damu ilifika kipindi nilikuwa nalia kwa kupitia changamoto ngumu za maisha,hakika nyimbo zako bro napenda kusikiliza zinanitia moyo tupo pamoja 👑👑🇹🇿🇹🇿 kisima majabala❤❤

  • @MusaMboje-p5k
    @MusaMboje-p5k 9 дней назад +1

    Hongera sana kisima majabala hakika wewe ni msanii wa kuigwa na wengine kwa kazi zako mwenyezi mungu akupe maisha marefu usonge mbele zaidi ya hapo ulipo

  • @SaidHuma-p5x
    @SaidHuma-p5x 12 дней назад +2

    Hakika video ni Kali sanaaaa,, hongera sanaaa

  • @paulojanda3617
    @paulojanda3617 12 дней назад +3

    kisima, video hii umejitahidi. hongera sana kaka

  • @Bahati_bugarama
    @Bahati_bugarama 3 дня назад +2

    Kali sana kisima❤

  • @sebastianmahushi9487
    @sebastianmahushi9487 6 дней назад +1

    Moja ya msanii anaeongea nondo za maana kwa nyimbo zake ni huyu mwamba
    Hongera sana bro

  • @LilianSultan-p4r
    @LilianSultan-p4r 12 дней назад +4

    Congulation for you 🎉🎉goodsong❤❤❤❤❤

  • @MashauriMashauri-x7i
    @MashauriMashauri-x7i 12 дней назад +4

    Hongera sana brooo umeupiga mwingi sana

  • @MadalolulyalyaMabula
    @MadalolulyalyaMabula 12 дней назад +4

    Mungu akutangulie kwenye kazi zako ogukaya

  • @raphaelsimba3402
    @raphaelsimba3402 12 дней назад +3

    Jamaa ulipoteaa Sasa naona kumekucha, mwagika ❤🎉🎉 tulikumis sana

  • @KaysonTz
    @KaysonTz 5 дней назад +1

    kazi safi home home boy ,,,,umetishaaa

  • @jumamazengo9604
    @jumamazengo9604 4 дня назад +1

    Kisima you are greater singer. Bonge la nyimbo hongera kaka

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 12 дней назад +3

    video nzri sana na ujumbe pia safi sana lakn bado kuna wacheza show ziwaoni aise

  • @martineyohana-n1m
    @martineyohana-n1m 9 дней назад +1

    Bro ngoma kali sana kaka angu na nimapenda sana nyimbo zako kaka angu

  • @Guzuboy-f3p
    @Guzuboy-f3p 12 дней назад +2

    ❤❤❤legend one in sukuma traditional songs pa1 sana bro

  • @MNYARUALIM
    @MNYARUALIM 7 дней назад +1

    Mwanangu kisima hii ngoma umeua nimekukubli aseh 🎉

  • @MashauriMashauri-x7i
    @MashauriMashauri-x7i 12 дней назад +4

    Nakuelewa mnoo❤❤❤❤

  • @WilliamNhumo
    @WilliamNhumo 12 дней назад +7

    Hongera nyingi bro

  • @makandagregory5977
    @makandagregory5977 5 дней назад +1

    Ifikie mahala bro MIGERA UWAPUMZISHE SASA we ndo director fundiii majabala usimhame mwamba ni creator mzr sana nice location and fantastic picture congratulations more to him

  • @FikiriFanuel
    @FikiriFanuel 12 дней назад +4

    ❤❤❤ Haya ngoma ten iyo

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 12 дней назад +3

    Uhakikaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 bro
    MNANGE TABORA

  • @CNM-u3c
    @CNM-u3c 12 дней назад +2

    Hongera Sana kaka mungu akuzidishie baraka

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 12 дней назад +3

    Wa kwanza kisima like zangu Sasa dj big time manzese

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 12 дней назад +4

    apaa kwa sisi wapambanaji kisima ni funzo sanaa, huyu Mwamba kaanza kuhaso long time sanaaa, lakin kaja kutoboaa hivi karibuni, kikubwa kutokataa tamaa kwa unachofanya🌎🌎🌎🌎🌎💯

  • @KingMajumbeLibraly
    @KingMajumbeLibraly 9 дней назад +1

    Piga kazi Huna mpinzani labda Majungu ,💪💪👏👏🤝

  • @abeljoseph4300
    @abeljoseph4300 3 дня назад +1

    Hongera sana kaka, nyimbo inatufariji watafutaji 🙌🙌🙌 keep pushing bro

  • @Balele-m6u
    @Balele-m6u 12 дней назад +3

    Kazi nzuri sana ❤

  • @NaomiEdward-ef2cp
    @NaomiEdward-ef2cp 4 дня назад +1

    bigup brooo uko 🔥🔥 saana 🎉🎉🎉🎉 yakooo❤❤❤

  • @BakaryAlly-i1z
    @BakaryAlly-i1z 11 дней назад +2

    @Kisima nyanda majabhala Toa na bhazunije video kaka naipenda sana 💯💯💯💯💯💯💯

  • @alphoncelaurent4680
    @alphoncelaurent4680 12 дней назад +5

    Tuko pamoja na wewe Tu mpaka waseme ww ndo King 👑 wao🎤🎤

  • @bhuyenzenyandamagoma-p2r
    @bhuyenzenyandamagoma-p2r 11 дней назад +1

    Hakika kaka angu kwahuu wimbo umenipa nguvu acha nijitaidi naupenda sana muziki

    • @bhuyenzenyandamagoma-p2r
      @bhuyenzenyandamagoma-p2r 11 дней назад

      Naitwa bhuyenze Mimi kwako nikama mudogo wako napenda sana kuimba ila kitu kimoja sipigi hatua kaka nitumie namba Yako ya wap nikucheki kaka uwe unanipa naushauli

  • @AmosMathias-f8b
    @AmosMathias-f8b 12 дней назад +2

    Nimekulewa sana bro by msanii mchanga nyanda msangwa

  • @makandagregory5977
    @makandagregory5977 5 дней назад +1

    The MTC 🔥🔥🔥🔥🔥 uish miaka 1000 utuimbiee kijana wa tungo tata

  • @maduhumanyangu1544
    @maduhumanyangu1544 11 дней назад +2

    Hakika Maisha ni Kitendawili huwezi jua ya Kesho yako kupitia kazi unayoipigania.
    Hongera sanaaa Brooo❤❤❤❤❤

  • @HamisiMasesa-sb9vi
    @HamisiMasesa-sb9vi 12 дней назад +3

    Sana kaka ujawah kutuagush🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PaulMwagatalaofficial
    @PaulMwagatalaofficial 9 дней назад +1

    Bro umetisha sana mungu akuongoze me naomba muziki wa injiri ila naipenda mashaili yako

  • @Lugiko-o2j
    @Lugiko-o2j 10 дней назад +1

    All the best Mr kisima the product of bhudagala mwanamalonja🎉🎉

  • @AmosiSayi
    @AmosiSayi 12 дней назад +5

    ❤❤❤ majab moja kka

  • @techtribe-t3t
    @techtribe-t3t 11 дней назад +1

    naisikiliza nikiwa lugomgo singida broooo big up

  • @DanielJoshua-v9h
    @DanielJoshua-v9h 12 дней назад +5

    Umetiahaa kaka

  • @Edger-fp4qc
    @Edger-fp4qc 12 дней назад +3

    Kazi Kali sana kaka Mimi Mafuvu Dancer Wa Saida Karoli nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElishaJoseph-d9h
    @ElishaJoseph-d9h 12 дней назад +1

    Sema jamaa anajua wanaokubali tia like

    • @ElishaJoseph-d9h
      @ElishaJoseph-d9h 11 дней назад

      Keep it up my brother ,,may God bless ue over there

  • @LucasBusagala
    @LucasBusagala 12 дней назад +2

    Sawa ngika nakukubali sn nasubili bhazunije ❤

  • @FrancisFelisian-f8y
    @FrancisFelisian-f8y 12 дней назад +1

    Kazi nzuri sana kaka, wimbo wenye ujumbe mkubwa sana 🙏 na unafunza,congratulations brother

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 12 дней назад +3

    Hapa Ulikuwa Umetulia sana katika kuuimba huu wimbo Hongera sana

  • @Isackmanyonyi
    @Isackmanyonyi 12 дней назад +2

    Nakubari broo the best of songs

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 12 дней назад +3

    Wa KWANZA Mimi Leo 🔥🔥🔥🔥

  • @Chachacarbon-q8g
    @Chachacarbon-q8g 8 дней назад +1

    Hongera nyimbo Yako chacha karboni usikate taaa

  • @MussaLugendo
    @MussaLugendo 5 дней назад +1

    Nakupa mauwa 🎉yako kisima

  • @MrishoMakelemo
    @MrishoMakelemo 11 дней назад +1

    Piga kaz bro nakubal sana BTM Africa ❤❤

  • @JosephKazungu-bo2iq
    @JosephKazungu-bo2iq 12 дней назад +1

    Hongela sana kaka ❤❤❤❤

  • @musashaban4309
    @musashaban4309 12 дней назад +3

    Niko kugoma nakukubali kisima

  • @issaLamadhan
    @issaLamadhan 10 дней назад +1

    Kaz nzurii kaka maua ako 🎉🎉🎉🎉

  • @nongajlumala-t5j
    @nongajlumala-t5j 9 дней назад +1

    Kazi nzuri kaka

  • @ValentinaPeter-z3n
    @ValentinaPeter-z3n 12 дней назад +2

    Ngw'andulu dwimane,,, unajua iduguye🎉❤🎉🎉🎉

  • @Asilitamutv
    @Asilitamutv 12 дней назад +2

    Uhakikaaa 🎉🎉🎉🎉

  • @shabyboy4802
    @shabyboy4802 12 дней назад +1

    Niko uingereza mimi ni msukuma wa mkula dah nafatilia sana nyimbo zako napenda sana nyimbo zako yaani hadi naziwekaga huku wanzungu wanaanza kucheza wanakukubali sana one love my best friend ❤

  • @MalongoMohamed
    @MalongoMohamed 12 дней назад +1

    Hongera sana msanii wetu wanaokubeza watasubili sana.

  • @JEREMIAHLUSANIKA
    @JEREMIAHLUSANIKA 12 дней назад +3

    Nilikuwa nasubiri kwa hamu kubwa🔥🔥🔥

  • @Ngwanasamaka
    @Ngwanasamaka 12 дней назад +3

    Nice Job 👍❤🎉

  • @onestartz
    @onestartz 12 дней назад +2

    Majabala ❤

  • @mathsngasadm3093
    @mathsngasadm3093 7 дней назад +1

    Umetisha kaka, hatari sana

  • @SimonCharles-p9q
    @SimonCharles-p9q 12 дней назад +3

    Hongera ❤❤❤

  • @WakudekaMuwao-n1s
    @WakudekaMuwao-n1s 12 дней назад +5

    Nyimbo kali sana

  • @williamjames5267
    @williamjames5267 12 дней назад +5

    Mapema sana shabiki yako hapa maana nili nunua frash kwaani ya nyimbo zako asirimia kubwa

  • @RobertMagazi
    @RobertMagazi 12 дней назад +4

    *Very nice Nsumba ng'wichane!*

  • @LucasPangarasi
    @LucasPangarasi 12 дней назад +3

    Iringa imetufikia ong'wise ❤❤

  • @DendeaLutelemla
    @DendeaLutelemla 12 дней назад +2

    Video Kali sanaaa

  • @BenardMakoy
    @BenardMakoy 9 дней назад +1

    Iko og sana mzee

  • @Ndimu.29_tv
    @Ndimu.29_tv 12 дней назад +5

    Brother migera utawauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @MagaliMayuma-e5n
    @MagaliMayuma-e5n 11 дней назад +1

    Hongera bro hakika umetoa funzo kuna watu wanakuchukia bila sababu ila hutakiwi kukata tamaa🙏🙏🙏🙏

  • @Vematv248
    @Vematv248 12 дней назад +3

    🎉🎉🎉sjachelewa sana

  • @Amoah7jtz
    @Amoah7jtz 4 дня назад +1

    Hahaha namuona anae jiita lya bhajerumani noma sana kaka upo vizuri japo kitambi kinakuja 😂

  • @YohanaIsaya-vs7ty
    @YohanaIsaya-vs7ty 12 дней назад +2

    Safi sana mtalamu

  • @SahaniKihongwe
    @SahaniKihongwe 10 дней назад +1

    Safi sana ndugu yangu MUNGU Yuko PAMOJA na wewe

  • @NyandaSheto
    @NyandaSheto 12 дней назад +1

    Kaka kisima kazi nzur san

  • @officialpaulmabula8346
    @officialpaulmabula8346 7 дней назад +1

    kazi nzuri sana

  • @ngwanaedina9070
    @ngwanaedina9070 11 дней назад +1

    Kaka mashairi safi sana

  • @RajabuMasanjatz
    @RajabuMasanjatz 12 дней назад +2

    🎉🎉🎉 Kaz ndo imeaza ss kumekucha 😢😢😢😢😢

  • @SosipeterGeorge
    @SosipeterGeorge 12 дней назад +2

    Very nice my brother welcome at segese town

  • @MajabaKija
    @MajabaKija 7 дней назад +1

    Nakubali.kaka.yangu

  • @maleyboyjrjunior
    @maleyboyjrjunior 11 дней назад +1

    kazi nzur kamanda 🎉🎉

  • @AminaMahelenda
    @AminaMahelenda 7 дней назад +1

    wasukuma ni wa2 wanaojitambua na wana upendo wanatumia sanaa vizuri fufikisha ujumbe kwa jamii inayojielewa

  • @DJVIBETZofficial
    @DJVIBETZofficial 11 дней назад +2

    bulungwa ushetu kwapa1 tunasema hongera Sana na 2nasubiri hizo zingine.

  • @kachelengwa
    @kachelengwa 11 дней назад +1

    Ngoma kali sana hii kaka

  • @benedictoLukanyima-ig8mm
    @benedictoLukanyima-ig8mm 12 дней назад +2

    Nyimbo nzuri sana

  • @witnessmtawa3403
    @witnessmtawa3403 5 дней назад +1

    Kisima Maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MUHOJAMAIGE-gj4nq
    @MUHOJAMAIGE-gj4nq 9 дней назад +1

    Kama ni mimi Rafiki yako muhoja Hongera ngoma kari muno

  • @mrishoamani-tz8qp
    @mrishoamani-tz8qp 12 дней назад +2

    Kisima unajua na utaendelea kujua sana kaka ila video Director kazingua pakubwa haijawa quality kama video zingine ,,, msalimie mze kasuka ❤🎉Tunawapenda wote

  • @IDDYSTUDIO
    @IDDYSTUDIO 12 дней назад +3

    Good job

  • @MALABABULASHI
    @MALABABULASHI 2 дня назад +1

    Wewe ni moto !!

  • @sululukasaguda
    @sululukasaguda 12 дней назад +1

    Kaz nzury kaka

  • @TumainManeno-m5n
    @TumainManeno-m5n 11 дней назад +1

    Hapo saw kaka🙏🙏🙏

  • @SaidyLuway-i8l
    @SaidyLuway-i8l 12 дней назад +2

    Kaka TUPO na wewe bega kwa bega mpaka mwisho jamn chukua ❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KingMsukuma-z1f
    @KingMsukuma-z1f День назад +1

    Jamani Manisha nifoleni kisima nizamani umeaza kak nashukulu kwaujumbe wako