MANDONGA HUMWAMBII KITU KUHUSU WEMA SEPETU | BIG SUNDAY LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • MANDONGA HUMWAMBII KITU KUHUSU WEMA SEPETU | BIG SUNDAY LIVE
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 633

  • @Farnando338
    @Farnando338 2 года назад +39

    Yani Mandonga nimekuvulia kofia salute baba

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 года назад +39

    Mandonga mtu kazi. Nakukubali mwanangu. Big up💪😀🇹🇿.

    • @saididdy6310
      @saididdy6310 2 года назад

      😂😂😂😂😂mandonga mtu mbadi 😂😂😂

  • @clinton_leen
    @clinton_leen 2 года назад +83

    Jamaa mjanja saana kwa kujibu maswali 😍

    • @iambaizo
      @iambaizo 2 года назад +4

      Ameshajua wanataka kumchonganisha

    • @harunamwaholi6551
      @harunamwaholi6551 2 года назад +2

      Daa jamaa kapigwa lakini atrend yeye mitandaon

  • @danksly5300
    @danksly5300 2 года назад +47

    Mara ya kwanza nafuata kipindi hadi mwisho,Mandonga one love.

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 2 года назад +45

    Daaah, raha sana asee,
    Kwa kweli mandonga ni vibrater
    Analeta vibe kama lote,
    Nimeenjoy sana asee mwamba
    Nimeanza kumkubali sasa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 года назад

    Jamani kama.yupo aliye furahishwa na majibu yamadongo kama mimi naomba like.anajibu kwajiamiini kabisaa

  • @depsmilindi8424
    @depsmilindi8424 2 года назад +2

    Uyu jamaa ana zinguwaga sana.... Shout out kwa Mandonga from🇨🇩 mze wa vituko

  • @OnlineTvGoshen
    @OnlineTvGoshen 2 года назад +63

    Mandonga ntu wa vibes kinouma 🙊🤣the man had no problem for sure. Anajipa raha katikati ya shida

  • @godblessyexaudnkyale20
    @godblessyexaudnkyale20 2 года назад +296

    Kama Kuna aliyee angaliaa zaidi ya mala kumi Kama mm like za mandongaa hapaa 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

    • @stevenmethod228
      @stevenmethod228 2 года назад +2

      Dha jamaaa ameuwa😂😂😂

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 2 года назад +1

      Duh

    • @jan6703
      @jan6703 2 года назад +1

      Mi sikuangalia "mala" kumi nimeangalia "MARA " moja tu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @missmrs829
      @missmrs829 2 года назад +2

      Mimi nimeicheki mara Mia 😁full mandonga

    • @zulfajuma9687
      @zulfajuma9687 2 года назад +1

      Hatareeeeeeeh

  • @DoricasWawire-ff9os
    @DoricasWawire-ff9os Год назад +1

    Matonga mtu kaz never disappoint great love frm kenya

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 года назад +29

    Mandongaaaaaaaa kazi kaziiiiiiiiii,،🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️🌹🌹🌹

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 года назад +17

    Nyiie nampenda saaana uyu Dada hajrah wa Kwa ndaro nimemuona wangapi mmemuona

  • @wamzimedia
    @wamzimedia 2 года назад +9

    Hii ndo BS ya kwanza kuingalia mpaka mwisho, Ahsante MANDONGA 😂😂😂😂😂👏🏾👏🏾

  • @godfreyleka5839
    @godfreyleka5839 2 года назад +106

    Ukiwa na moyo kama wa Mandonga unaweza ukajikuta umeishi miaka 300, no stress hata asipofanikisha Jambo lake yeye shangwe tu.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 года назад +3

      Najikuta namkubali ghafla

    • @pendondossy4181
      @pendondossy4181 2 года назад +4

      Raha kinyama

    • @ramadhanbrayan3158
      @ramadhanbrayan3158 2 года назад +3

      P1 mwana nmekusoma

    • @missmrs829
      @missmrs829 2 года назад +2

      🤣🤣🤣kweli kabisa Raha jipe mwenyewe big up bro mandonga

    • @godfreymsanya2726
      @godfreymsanya2726 2 года назад

      Unajua maisha tunapaswa kuishi kaka hivi ili kila kitu hata kama umekwama hutapata stress

  • @daniyotv4947
    @daniyotv4947 2 года назад +4

    Naomba Diamondi Platnumz afanye kitu kwa mandonga 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👽👽

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 года назад +33

    mandonga umenitoa stress mie nimecheka wallah 🤣

  • @easydatatanzania2357
    @easydatatanzania2357 2 года назад +22

    Picture challenge ya leo imekuwa na vibes sanaaa. Mandonga mtu kazi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jamjam8734
    @jamjam8734 2 года назад +77

    Team madonga😂😂npeni like

  • @omarsaid4702
    @omarsaid4702 2 года назад +13

    Jamaa afurahisha sana mungu amempa kipawa

  • @simbamtoto7530
    @simbamtoto7530 2 года назад +4

    Jamaa anajuwa kujiblandi yuko vizuri anashawishi watu kumpenda

  • @jamesmuthee6894
    @jamesmuthee6894 2 года назад +1

    I love this guy apart from boxing he is a comedian....mandonga Mayweather mtu kazi tunakupenda Kenya nzima

  • @winnieamanya1550
    @winnieamanya1550 2 года назад +31

    🤣🤣🤣..I feel living this mam...mandonga 😀😀😀😀😀😘😘😘😘

  • @mbwanarickson5921
    @mbwanarickson5921 2 года назад +1

    Mandonga ni Bondia wa kipekee kdg, kwanza anajua kujieleza, sauti ya kuhamasisha na na kuteka hisia za mashabik. lakn pia hapanick anapopoteza pambano .big up sana broo

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 2 года назад +8

    This guy is a comedian thus why he is shining!

  • @dominicmakamba4259
    @dominicmakamba4259 2 года назад +5

    Mandonga ni nomaaa tupo naww mwanzo mwisho

  • @madahaimani1258
    @madahaimani1258 2 года назад +2

    Mandonga ataendelea kuingia hela tu Kwa vibes lake

  • @angelmumy1178
    @angelmumy1178 2 года назад +3

    Madonga weweeeeeeeee🥰hata upigwe Mimi nakupend2 jmni unavibe Sanaa🤣🤣🤣

  • @samaamin2501
    @samaamin2501 2 года назад +5

    mandonga ngumi nyundo. Tupo pamoja toka Oman. fundisha watoto hao vikojozi

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 2 года назад +3

    Oyaaa mandonga nimemuelewa ana vibe Moja Atareee!!😂😂😂 Ndonga mtu kazi ulali njaa😂😂😂

  • @ramadhandiwani2122
    @ramadhandiwani2122 2 года назад +6

    Sio mandonga Tu anaependa wema sepetu
    Lakini wema kuna wazee wengi wanampenda sepetu
    Milioni na million

  • @laulentsimon8639
    @laulentsimon8639 2 года назад +1

    Najivunia kufatilia komedi zamandoga anavutia sana😁😁😁😁

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 года назад +5

    Mandonga Nakupenda sana mm shabiki wako

  • @catherineallen2538
    @catherineallen2538 2 года назад +3

    Jamaa lin vibe kweli kila mtu na liziki yake

  • @mnyamapaslee
    @mnyamapaslee 2 года назад +7

    Nimecheka kizembee mandongaforeveryone

  • @ndamugobaflorian7763
    @ndamugobaflorian7763 2 года назад +23

    The guy is so talented.....

  • @modysultan6170
    @modysultan6170 2 года назад +12

    anachekesha sana huyu mandonga yani commedi kweli

  • @kibafteshadau222
    @kibafteshadau222 2 года назад +1

    Mandonga ana vibe kama lote...jamaa kachanjwa ulimi mamaeeeeee

  • @anton6540
    @anton6540 2 года назад

    Uko sawa kaka asiyekubali kushindwa si mshindanl Mandonga ulipigwa ukakubali.

  • @barakamasai2397
    @barakamasai2397 2 года назад +2

    Ndonga mutu kazi namkubali sana ndoka

  • @nahmichaely9923
    @nahmichaely9923 2 года назад +4

    Nampendaa manddongaa hataa kamaa ulikandwa

  • @frankkikambako9281
    @frankkikambako9281 2 года назад +7

    Mandongaaaaaaaa your smart too much

  • @charleskingamkono2855
    @charleskingamkono2855 2 года назад +2

    Mandonga m2 kaz💪

  • @miketimejah4280
    @miketimejah4280 2 года назад +6

    🤜🤛mandonga umetisha Sana brother.. maanake nicheke Kwanza.. nimeangalia Mara %

  • @hosea8296
    @hosea8296 2 года назад +58

    MANDONGA hat wakuuwe tuko pamoja 😂😂😂😂😂

    • @kiilyband6454
      @kiilyband6454 2 года назад

      Kama Kawa

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 года назад

      Na watamuua kweli, nyie endeleeni kumjaza upepo

    • @sabatoelia312
      @sabatoelia312 2 года назад +1

      😂😂😂😂😂pamoja na amekufa 😂😂😂

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 года назад +16

    Ndonga kasema hata bure fresh ujue😂😂😂

  • @lovecutetz9668
    @lovecutetz9668 2 года назад +6

    Oooh my he made my day 🤣🤣🤣tupo na ww mpaka wakuue broo

  • @mchokamchoka5744
    @mchokamchoka5744 2 года назад +23

    mandonga forever, alafu alivyocheza balaa😂😂😂

  • @babuukashmir4584
    @babuukashmir4584 2 года назад +4

    Mandonga mtu kazi hafai😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 2 года назад +19

    Mtu kazi dah 🔥 nampenda huyu yaani anatufundisha kujiamini ata kaamaa huna😅

  • @cdezegangxta1514
    @cdezegangxta1514 2 года назад +9

    One love Mandonga mtu kazi...

  • @denniskiama3717
    @denniskiama3717 2 года назад +2

    Madonga Kenya loves u 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 года назад +1

    Mm ni fan wa Mandonga

  • @nibiziaudreille3686
    @nibiziaudreille3686 2 года назад

    Yaaani nime sha angalia kama Mara kumi haaaa mandonga umechangamka sana👍👍

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 года назад

    nikweli kabisaa Mandonga mtukazi tena huna kisirani unafurahishatu kwenye ndio nifuraha kwenye hapana nifurahatu yaani nimarayakwanzaa kuona mwana ngumi kama wewe mungu akufanikishiye mamboyako

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 года назад +15

    Nchi ilipoa sana Ila mandonga katuchangamsha 😂😂😂😂😂

  • @abisinamustafa3118
    @abisinamustafa3118 2 года назад +9

    Milango ya mandonga ishafunguka.kweli rizki mafungu saba kubigwa kwa mandonga ndio umaarufu wake.

  • @privadinhodomician6661
    @privadinhodomician6661 2 года назад +3

    One day yes never give up

  • @rubytz7395
    @rubytz7395 2 года назад +4

    Nampenda mandonga mpk naumwa🥰

  • @maikowilla6084
    @maikowilla6084 2 года назад +1

    Ili jitu nomaaaa jaman

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 2 года назад +2

    Dunia hii haipo fair mtu kapigwa lakini ndio kawa maarufu sana safi sana

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 2 года назад +1

    Mimi namkubali sana huyu mwamba ana shombo balaa

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 года назад +13

    Mandonga ni baba levo aliechangamka 😂😂😂😂😂

  • @datiusmartin6040
    @datiusmartin6040 2 года назад +2

    Unajua Sana madonga!

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 года назад +1

    hatamimi.nakupenda kwamaneno yakoo

  • @fauziashabibu1467
    @fauziashabibu1467 2 года назад +1

    Kiukweli mandoga ni mtu wa tofauti sana

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 2 года назад +2

    Nani anaamini Mandonga atasababisha mchezo wa ngumi uwe mkubwa Tz??? Twende sawa kwa likes 😁😁😁

  • @agathaaroni7783
    @agathaaroni7783 2 года назад +3

    Jamaa ndo keshakuwa star ⭐️ kuliko aliyempga😂😂

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 2 года назад +1

    Kamkubwa nakukubali sanaaaaa piga kazi

  • @aubreychuma5449
    @aubreychuma5449 2 года назад +12

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mandongaaaaaaa!!!! Kaz kaz

  • @izakngara7237
    @izakngara7237 2 года назад +2

    Now I know why Mandonga vs Wanyonyi fight in Kenya was so hyped this guy is a celebrity for real

  • @bluechawa3492
    @bluechawa3492 2 года назад +40

    Hakuna picture challenge iliyo nikosha kama hii 🔥🔥🤣🤣🤣

    • @naah_iqram22
      @naah_iqram22 2 года назад +1

      Imechangamka 😆😆😆😆

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 года назад +4

    Mimi team mandonga😍😍

  • @paulkazonde2940
    @paulkazonde2940 2 года назад

    Mandonga ntu mbad nakubali👍👍👍👍👍👍

  • @abdussalaamisaalim9257
    @abdussalaamisaalim9257 2 года назад

    Mandonga wee kiboko aisee nimekubali

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 года назад +2

    Mandonga ni mshehereshaji na ni mtu roho safi.

  • @zulfajuma9687
    @zulfajuma9687 2 года назад +1

    Ila huy jmaaaa daaaaah anakeraaaaaaaaaaaaah

  • @adamzakariazakaria578
    @adamzakariazakaria578 2 года назад +3

    Mbavu zanguuuu duuu nmecheka Sana leo

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 2 года назад +4

    Mandonga Yuko vizuri ni muwazi,ni mcheshi.

  • @africrowd4559
    @africrowd4559 2 года назад +3

    Madonga kiswahili kingi😂😂 lakini namkubali sana

  • @remmysanga9093
    @remmysanga9093 2 года назад +16

    aiseee nimekupenda pia mandonga

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 2 года назад

      #mandonga noom San anaupiga mwingi ajawai kukosea

  • @mudirachu9587
    @mudirachu9587 2 года назад +1

    Mwambien mazoezi bb watatuangushia kweli wana asira nae mjue

  • @mossesmuhanuzi5154
    @mossesmuhanuzi5154 2 года назад +2

    Tupo nawewe adi kaoneka akuuuwe😃

  • @mellodyfunsog6639
    @mellodyfunsog6639 2 года назад +2

    Nakuelewaaaa mandongaaaaaa

  • @damarygaratulu9135
    @damarygaratulu9135 2 года назад +2

    Una mzuka sana unafaa kwa matangazo

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 2 года назад +3

    Timu mandonga bado tupo imala na bondia wetu 🤣🙌🏻

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 2 года назад +12

    😆😆😆😆😆😆.... Mandonga katisha🙌🙌

  • @mohamedimwingwa4104
    @mohamedimwingwa4104 2 года назад +2

    Mandongaaaaaa😂😂😂😂😂😂huyu jamaa namkubali sana

  • @lucksonkabwe2662
    @lucksonkabwe2662 2 года назад +4

    Big love mandonga from DRC Congo

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 года назад +6

    Irudiweeeeeeeeeee👌👌👌😃😃😃😍😍😍😍😍😍

  • @meckesedesnchimbi2447
    @meckesedesnchimbi2447 2 года назад +1

    Mandonga mtu kaz naqbal sana

  • @robertmyaba6182
    @robertmyaba6182 2 года назад +3

    🤣🤣🤣Unaweza kuogopa maneno tu ya mdomoni🤣🤣🤣piga kazi Mandonga,tupo pamoja mpaka tone la mwisho😂😂😂

  • @tonybrighter3878
    @tonybrighter3878 2 года назад +1

    Show Kali Sana

  • @yunusimdoeyunusimdoe1192
    @yunusimdoeyunusimdoe1192 2 года назад +1

    Mandonga utspata aibu humuwezi mwakinyo hayo maneno tu

  • @punchboy3136
    @punchboy3136 2 года назад +6

    Leo ndo nmegundua huyu ni comedian

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 года назад +6

    Mandonga mjinga sanaaaaaaa

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 2 года назад +3

    Michael Tyson hatari
    🙌🙌🙌

  • @hassantabasam6632
    @hassantabasam6632 2 года назад +5

    Kareem Mandonga mtu kazi👊

  • @safari3459
    @safari3459 2 года назад +19

    Mandonga mtu kazi mtu wangu

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад +3

    Kumb ili li Mandonga ni lichekeshaji aah

  • @vascomaguku2605
    @vascomaguku2605 2 года назад +1

    Nimecheka sana sana