BASI LAKAMATWA LIKIWA NA MAGUNIA 15 YA BANGI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 76

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 18 дней назад +6

    Sema hao masnitch wanakuaga jau kwelikweli aisee All in all kudos Kwa serikali.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 18 дней назад +1

      Sasaivi wengi usalama wanajifanya wanauza bangi ao ndio shida wanakamata kweli

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 18 дней назад +2

      @rogerabdallah439 duuuuuh kumbe ni mbinu mkakati izi daah😳

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 18 дней назад +1

      @habarinamichezo6427 kama South ndio wapo wengi sana uoni bangi kutoka South zinavyo kamatwa? Kaka wamepandikizwa sana wanajifanya wauza bangi

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 17 дней назад +1

      😂😂😂Ebu mtuachie Bang yetu watu wa MARA ndo inatuma amsha amsha yakaz

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 17 дней назад

    Afande, sema hivi, "Tumepenyeshewa mtonyo.........."

  • @GilbertKhitambala
    @GilbertKhitambala 17 дней назад +1

    Huko lilikopita miji yote mpaka linafika Dodoma hakukua na asikari wa ukaguzi, kuna uzembe ndani ya jeshi la polisi ingelikua limebeba vilipuzi na magaidi tupo kwenye atali.

  • @JuliusMputi
    @JuliusMputi 18 дней назад +6

    Msisahau wananchi ndio wanaona matukio mengi kuliko polis mtushukuru wazee😅😅😂

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 18 дней назад +5

    Safi Sana vijana wanangamia kwa madawa ya kulevya

  • @MalcolmAbdallah
    @MalcolmAbdallah 17 дней назад

    Basi la kampuni gani sasa ..😂😂😂😂😂

  • @salehattas5166
    @salehattas5166 16 дней назад

    Askari sasa ni waaminifu sana

  • @RAKIIMRAKIIM
    @RAKIIMRAKIIM 18 дней назад

    Wapiii Kalapina !!!!!!

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 18 дней назад

    Hamna uweredi wowote, hao wamechomana tu bila hvyo yanapita shwaaa

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 18 дней назад

    Amna Kes apoo...
    Inshu za Wakubwa hizo...
    Labda ubadilishwe muund wa Jeshi la Police

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 18 дней назад +1

    Mmetilia wasiwasi au show imeuzwa io

  • @PendaelJames
    @PendaelJames 18 дней назад +1

    Mwaikokesya

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 18 дней назад +1

    Aina ya haya ndio nini Sema HIGER 😂😂

  • @sadalahsadalah6661
    @sadalahsadalah6661 18 дней назад

    Kwa vile awajapewa pesa hao waliokamata kama mirungi inalimwa kenya lkn Tanzania kila siku watu wanakula

  • @GidionMarijo
    @GidionMarijo 18 дней назад +5

    Pale Kirumi pana Kizuizi basi lilipitaje hadi wamefika mkoani Dodoma

  • @greysonmlowosa9551
    @greysonmlowosa9551 18 дней назад +1

    Ila watekaji ndo hamjapata weredi muonyeshe weredi na huko jaman tusiishie kusema ni watu wasojulikana kila siku.

  • @alisharia6831
    @alisharia6831 18 дней назад +1

    Wamechomana hao wenyewe Kwa wenyewe hao

  • @SaidiChande-p4l
    @SaidiChande-p4l 18 дней назад +1

    Kwani basi mizigo wanapakia kwenye vituo vyao au barabarani

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 18 дней назад +8

    Mmetilia mashaka au mmetonywaaa??
    Mpaka waandishi wa habari 😂😂😂

  • @LilyKoba-wx2pj
    @LilyKoba-wx2pj 18 дней назад

    Safi sana mueshimiwa ila mkuu tunaomba siku moja mje na ufafanuzi mkizikamata mnazipelekaga wapi

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 17 дней назад

    😂😂 ni kwere ahsee 😅

  • @NajmaMgallah-g8x
    @NajmaMgallah-g8x 18 дней назад +2

    Yaaan Hy alowachomaaa mungu anamwonaaa, kafaidik nn , n shidaa tuuu

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 18 дней назад +1

      Khee😂, kwel afya ya akili ni tatizo 😂

    • @bennylove6021
      @bennylove6021 18 дней назад +2

      Ko ww unasapot watu wavute

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 18 дней назад

      Mbona unatetea au gunia Moja ni lako yaani unatetea ujinga

    • @abdulkadirmbarouk5634
      @abdulkadirmbarouk5634 18 дней назад

      Kaokowa vijana wengi leo Kwa watoto wa wenzetu kesho yke hatujui kma ni watoto wetu au ndugu zetu

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 17 дней назад

      ​@@bennylove6021Bang tumeikuta hat hao police wanavut

  • @JamesMahundi
    @JamesMahundi 18 дней назад

    Wamechomana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 18 дней назад

    Picha limeuzwa

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 18 дней назад

    Maishaaa hayo

  • @amielraphael2927
    @amielraphael2927 17 дней назад

    Tayari Yuda kafanya yake

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 18 дней назад +1

    Mnapeleka wapi kama sio polic wenyewe mtazuuza? Chomenimoto mbele yao tujue kweli hamzitaki siombatudanganya kumbe mnauza wenyewe

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 18 дней назад

    Basi aina ya HAYA

  • @HassaniNyamunga
    @HassaniNyamunga 18 дней назад +2

    Kuna kundi la watu limeingia tamaa ndomana ila lilikuw lishafika dar 😅

  • @jumakilongo-qz1jb
    @jumakilongo-qz1jb 18 дней назад

    Sawa yamefungwa na nilon juu wameandika nini ili cku nyingine tukichezwa na machale tuwajulishe

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 17 дней назад

    Et weleed sema imechomw,

  • @bovickpascal6554
    @bovickpascal6554 18 дней назад +1

    Hacha watu wa vute bangi ni dawa hiyo

  • @BarakaDavid-t5i
    @BarakaDavid-t5i 18 дней назад

    Bora wali tembele

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 18 дней назад +3

    Sasa mbona pombe pia kilevi na hawakamatwi bora bangi kuliko pombe

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 18 дней назад

      Pombe ina chemical formula ya alcohol na inakaa 24Hrs kichwani, bangi ina chemical ya THC (tetra-hydro-cannabinol) na inakaa 3 years kwenye ubongo na dam kulingana na aina na ukali wa bangi yenyewe

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 18 дней назад

      Ingekuwa na akili ungrjikita kujua tofaut ya pombe na bangi ili ujue kwann dunianian kote bang inakatazwa kuliko ionekane huna elimu Wala akili

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 18 дней назад

      Kweli tz elimu bado harafu unajiita baba wa familia wakati akili huna

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 18 дней назад

      @IkoUwasi-it6qy nikwel tz elimu bado ,Huna Hujui Kama huna elimu.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 18 дней назад

      @IkoUwasi-it6qy yaan unajidikia unaelimu kumbe una Ila hujui

  • @JanethMushi-m8t
    @JanethMushi-m8t 18 дней назад

    Tatzo letu wabongo n masnitch mno

  • @BattoSam-bp3sk
    @BattoSam-bp3sk 18 дней назад

    Ki2 cha home 😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 18 дней назад +1

    Ila pombe hailevi bangitu ,kamavp chukueni ushuru

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 18 дней назад

    Miyeyusho tupu mmepewa pin number 😅😅😅😅

  • @KisaMax
    @KisaMax 18 дней назад

    Basi la kampun gani

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 18 дней назад

    Angalia wanao fanya matukio makubwa kama kuua, kukaba, kuiba ni wavuta Bangi, mtu mwenye akili yake timamu hawez fanya huo ujinga

  • @hansharuna
    @hansharuna 18 дней назад +1

    Sasa dereva anausika na nini wakat mizigo inatokea ofisin

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 18 дней назад

    Hivi kuna bangi kumbe tofauti na cha Arusha

  • @thegoatapocalpse63
    @thegoatapocalpse63 18 дней назад

    Nilikua ndani ya hili gari

    • @FestoMadumba
      @FestoMadumba 18 дней назад

      Wew ndio ulie let'a umbeya kwa police

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 18 дней назад

    WANAPATIA WAPI? VIPI INALIMWA KATIKA NCHI ISIJULIKANE?? Kila kijiji wajue wajujue

  • @storytownTv
    @storytownTv 18 дней назад +1

    Kunausnich apo hakuna cha kutilia mashaka kenge nyie

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 18 дней назад

      Mnateseka sana mkiona.Serekali ya Mama Samia inafanya vyema ikiwemo kama haya mtaumia sana mahasidi nyie msijuwa kuchamba na udini unawasumbuwa

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 18 дней назад

      we lazima uteseke maana inaonyesha gunia Moja ni lako 😂

  • @MichaelPaulo-k1c
    @MichaelPaulo-k1c 18 дней назад

    Mukamate wasiyo julikana, ndiyo nitajua kweli manafanya kazi kwa weledi, watu wapotezwa, mnakwenda kukamata bangi,usalama waraia uoo wapi?

  • @Bongo-g1f
    @Bongo-g1f 18 дней назад

    Shit is getting intense 💔

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 17 дней назад

    Ona zaidi ruclips.net/video/5SBkQVQ6Xmw/видео.htmlsi=h0S-hrw_jCe23ZJR