Dah.. Hii nyimbo imejaa utakatifu sana.. Yaani imepikwa vyema..from Harmonization, Organ, message, performance (staili zimetulia, ndizo staili njema za kiibada ), Asanteni sana Kwa Utumishi wenu.. Nturama : Big up sana Kwa utunzi mzuri , u r the best Karama : Kinanda huwa kinaogopa sana vidole vyako.. Maana sio kwa kulia huko.. I've gat more to learn from you. Wanakwaya Kwa ujumla : mmpendeza sana na mmecheza vyema kiliturjia .. Nawaombeeni Baraka Kwa Yesu Wa Ekaristi,.. Awashibishe Mema yake yote
Hongereni sana wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana
Nabarikiwa sana nikiusikiliza wimbo huu.!
Mungu awabariki sana huuuu wimbo mzuri sana ❤❤❤❤❤
Kazi njema sana
Wimbo mzur sana
Safi Sana Wana kmc kahama mjini. Endeleeni kumtukuza Mungu
Safi sana nyimbo zako mwl Ben Nturuma Zina hisia sana ubarikiwe mnooo
Hakika zinabariki
safi sana,mbarikiwe na kristo
Amina nawe pokea baraka kupitia huduma hii
Well done!!
Hongereni sana kazi nzuri sana, Mungu aendelee kuwatumia
Aminaa
Nimebarikiw haswaaaa 🥰🥰
Amina
Good, Mbarikiwe sana kwa uinjilishaji
Asantee
Kazi nzuri sana
Amina Mungu atukuzwe
Nyimbo zuri sana hongera
Asantee
Hongereni Sana, nyimbo nzuriii ya kumtukuza Mungu wetu
Atukuzwe Mungu
Nashindwa kujizuia.! kila nikiutazama wimbo huu machozi ya furaha unitoka😂
Woooooyo! Saaafi
Amen
Duh kmc Asanteni Sana kwa ujumbe mzuriii Tena ni mzuri Sana wimbo unatia Matumaini hasa ukiwa umekata tamaa
Aminaa
Wimbo mzuri sana una ujumbe mzuri na tafakari njema mno. Mungu aibariki kazi ya uimbaji wenu
Amina
Hongereni sana kwa wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua zaidi na awajalie afya ya mwili na roho
Asantee sana
hongereni sana
🙏
Wimbo hatari zaidi 🔥🔥
Asantee karibuuu
Alooo safi sana🔥Hongereni sana sana✨Nimewamis pia sana jaman😓..Hongera Kaka Karama umeupiga mwingi🙌
Asantee
Dah..
Hii nyimbo imejaa utakatifu sana..
Yaani imepikwa vyema..from Harmonization, Organ, message, performance (staili zimetulia, ndizo staili njema za kiibada ), Asanteni sana Kwa Utumishi wenu..
Nturama : Big up sana Kwa utunzi mzuri , u r the best
Karama : Kinanda huwa kinaogopa sana vidole vyako.. Maana sio kwa kulia huko.. I've gat more to learn from you.
Wanakwaya Kwa ujumla : mmpendeza sana na mmecheza vyema kiliturjia ..
Nawaombeeni Baraka Kwa Yesu Wa Ekaristi,.. Awashibishe Mema yake yote
Amina,, 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏👏👏👏👏❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Asante
🙏🙏🙏
Hongereni sana kwa wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua zaidi na awajalie afya ya mwili na roho
Asante sana, karibu sana kuendeleaa kutusapoti na kuendeleaa Juhudi za kueneza Injili ya Kristo
Asante 🙏🙏