Kuna lugha ya picha tumeielewa wana fasihi tu , huyo dada aliyeitaka nusra kwa dongo amebeba BILINGANI mbili akiwa na maana kubwa sana , wezangu mliyomgundua MAU MPEMBA kuwa fasihi anaijua naomba like kama 200 tu
😂😂😂 ebwana we wacha kujikuta Nyangwine uyo alikua anatoka gengeni kwa dongo bana kununua bidhaa za mchuzi kisha akakaa pembeni akimsubiri Warda amalize kutumia, wacha kuhakiki fasta sn ivo😂
@@ALIALI-es3euTatizo fasihi hamuijui nyinyi , hapo kila kitu kina maana yake , pili ktk kuhakiki kila mmoja ana uoni wake , Hivo hilo ni langu nawe utachagua lako KWISHA HABARI
@@Suleimansalum ndio inaingia.ila huyu dada ndo anasema anataka zamu zake, na makubaliano yalifanyika kabla ya ndoa,mda ule huyu alikua hana haki il kwa sasa haki zote zinamstahikia.
Wanawake wenzangu subra ina malipo usilazimishe ndoa rizki kama ipo ya kuolewa utaolewa t bora mtu akufate mwenyew anataka kuogez mke tena mwambie sitaki siri hawezi bc utafichwa km bangi mpk lini mwisho w siku ndo unaolewa ukiachwa tu
Nyie munaendekeza akili za wanawake mana wanajifanya akili zao finyi unaowa akileta upuuzi unaacha wiki Tu.bora usingee muowa umepata ngekewa bora ungekuwa unapiga piga tu
braza haya ni mafunzo so yachukulie kama mafunzo twende pazuri zaidi, naomba hyo comment yako lau utakua radhi uifute imeandikika vibaya huko mwisho na lengo ni mafunzo(piga piga tu)NO brother
Ebwana ndo mulemule nlimosema haya yote yapo sana saiv kwa jamii. Ujumbe mzur umefika. Nafkiri kuwe na filamu hasa nzima ya ujumbe huu. 🎉
Leo nimewahi wa kwanza
Kuna lugha ya picha tumeielewa wana fasihi tu , huyo dada aliyeitaka nusra kwa dongo amebeba BILINGANI mbili akiwa na maana kubwa sana , wezangu mliyomgundua MAU MPEMBA kuwa fasihi anaijua naomba like kama 200 tu
😂😂😂 ebwana we wacha kujikuta Nyangwine uyo alikua anatoka gengeni kwa dongo bana kununua bidhaa za mchuzi kisha akakaa pembeni akimsubiri Warda amalize kutumia, wacha kuhakiki fasta sn ivo😂
Asifikirie huko jamaa yngu
@@ALIALI-es3euTatizo fasihi hamuijui nyinyi , hapo kila kitu kina maana yake , pili ktk kuhakiki kila mmoja ana uoni wake , Hivo hilo ni langu nawe utachagua lako KWISHA HABARI
Hhhhh hongera kwa kugundua kilichojificha
Wakwanza leo mie
Hatupoi
😂😂 hongera muuza genge😅
Wa kwanza leo naomba like
Kazi nzur
Dongo mwambie kake mau mm nina mtaka uyo mwanamke
Wapembaa tatizo lao wanaona hayaa kwenyee kuigizaaa sanaaa
Big up , tumeona mabadliko yenu, hongereni sana
Kazi nzuri na tujitahid tusiyache mila zetu za kizanzibari katika mavazi ❤❤❤❤❤❤
Jamani wanawake navitimbi kama kawaida 😂😂😂
Wa kwaz Leo nipen like zang
Ma'shaallah Ma'shaallah nzuri kweli
hapo kwa sheria ya dini dongo ana makosa kukubali kuoa then asilale zamu.huyu mwanamke yupo juu ya mstar.ujumbe mashallah
Ndoa makubaliano. Akikubalia masharti imepita
@@Suleimansalum ila makubaliano yasivuke sheria za allah
@@Allybinamour sawa sawa. Na sheria yakusema ulale usiku kama umelala huku siku mbili na kule mbili iyo sio sheria inaingia kwenye makubaliano
@@Suleimansalum ndio inaingia.ila huyu dada ndo anasema anataka zamu zake, na makubaliano yalifanyika kabla ya ndoa,mda ule huyu alikua hana haki il kwa sasa haki zote zinamstahikia.
Mafundisho mazuri sana. Hongereni Timu Mau
Kazi nzuri maashaallah
Wa nane leo😂
Hahahaha dongo talaka hizo hazipo
Asant kazi mzur
Warda kama anataka Nusra tupo. Likes kwa Warda.
**💘**
😂😂😂hamri limegeuka kaa❤❤
Hongereni sana team mau
Assalam alykum vipindi vizuri va anza vizuri walakin mwisho humalizika vibaya
shukran
Dongo genge wataka liua
Good Good 👍
Well done
Mng aninusuru kumfata mwanaume mwenyew eti nioe siri siwahi na nikae ujane miaka 10 akitaka kunioa mke w 2 bc sitak siri 🙌
Kz nzr dongo❤❤
Sapna mzuri sema kazidisha mkorogo.
jmn hamjatoa move mpya
Nice❤❤❤❤
MUNGU amesema tuishi nao kwa akili hawa viumbe
Hizi mambo zipo sana maishani mwetu
Samaki bila ya chambo 😂dongo hunakosa❤chombo hichooo
🎉🎉
Wanawake wanajua hawa sasa tunataka mtuengezee mda please
❤😊😊😊😊😊😊
Good job
Kumekucha
Congratulations for good job
good
Hhhhhhhh dongo katiliwa chambo kanasa
Wanawake wenzangu subra ina malipo usilazimishe ndoa rizki kama ipo ya kuolewa utaolewa t bora mtu akufate mwenyew anataka kuogez mke tena mwambie sitaki siri hawezi bc utafichwa km bangi mpk lini mwisho w siku ndo unaolewa ukiachwa tu
Dongo kazi unayo
waooo😅😅
Nakupend warda
Dongo hukuenda ht kibegi kidogo
Jamani mm nampenda sana huyu dada anaitwa warda . Naona nishakuwa chizi kwa ajili yake sijui keshaolewa. Mau Kama unasikia naomba lifanyie kazi
Kashampenda dongo huyo kwani huoni hapo? Na ww fungua genge sasa
tafta hella ww acha ujingaaa mke hatafutwi youtube
@@habibubinmoss72hapo sasa kaka hupo sahihi yaani
@@habibubinmoss72😂😂😂
Hawa watoto wazuri mwawatoa wapii
Naomb muendelezo wa hii imeishia vibay please muendelezo
yani nyie munanichekesha kweli
Sapna hongera ❤❤❤
Bado bibi wa Oman nae kama hana Nusra
❤❤❤❤
Panga zamu hayo yapo sananaa tu
Safii sana lkn umechelewa kutoa talaka
Walikubaliana then imetokea mke kabadilisha makubaliano lazima atapewa talaka kama alivyoitisha
🏃🏃
Mbona kimya😣
Muendelezo pleas
Amakweli ndio ukaitwa dongo haliaminiki mara humong,onyoka😂😂😂
Warda scenes za umbea anaziweza asaa ukiacha kua anajua ila umbea anauweza
Ye yu navituve
Hatimae msimu umemaliza 😢😢
Hahahahaaaaa malizia usiku dongoo
Heeee mbona umeishia vibayaaa
Mbon hamtoi nyengine
Hhhhhhhhhh dongo kapatikana leooo
mi naomb namba za warda
**Mashaallah**
Nyie munaendekeza akili za wanawake mana wanajifanya akili zao finyi unaowa akileta upuuzi unaacha wiki Tu.bora usingee muowa umepata ngekewa bora ungekuwa unapiga piga tu
braza haya ni mafunzo so yachukulie kama mafunzo twende pazuri zaidi, naomba hyo comment yako lau utakua radhi uifute imeandikika vibaya huko mwisho na lengo ni mafunzo(piga piga tu)NO brother
Huyu warda vp ashaolewa
Kazi nzur
❤❤