Amen Apostle 🙏 nimejifunza sana leo jinsi ya kuelekeza maombi kwa my destiny helper. Kila kipindi kuna ufunuo wake. Mungu wa Baba yetu Major 1 azidi kukuinua zaidi na zaidi ili ss nasi tuponywe na tuinuliwe kwa Jina la Yesu.
Thanks so much for the video. It been 16 years I havent been in Congo but so many memories about this place. We appriciate the work you guys do for us especially to us that lives in ouy sidw countries. We love Bukavu and would likw more videos like ships, churches, markets, hospitals, football and other thibgs that are happening in Bukavu. Naishi Ulaya lakini tunawafwatitiliyaka saaana nju tunapenda saana Bukavu. Asante
Amen Chief Apostle Hili somo limenifundisha sana. Kuna wakati niliwekeza kwenye kulima Mpunga Hekari 4 nilishafanya maandalizi na kila kitu katika hatua ya mwisho kabisa nikapewa taarifa ya kwamba lile eneo limebadilishwa halipaswi tena kulimwa bali limetengwa kwaajili ya Wafugaji. Nilipoteza pesa na gharama nyingi. Asante kwaajili ya huu ufunuo Man of GOD.
Amen,nimemkunguta shetani na ndugu zake, habari ndo hiyo usimuonee mchawi huruma wakati yeye anataka akuangamize,t Toka nenda kuzimu na usiinuke mpaka sku ya hukumu 💪
Amen 🙏 baraka tele tele WOW pastor umenifunza mengi kila wakati ninapofuatilia mafundisho yako
Glory to God Nime barikiwa Sana Na. Neno lamu Mungu
Thanks Apostle..kwa Somo hili nimejua kuwa yanipasa kuwaombea waliopangwa kuniinua ninaowajua hata nisiowajua
Hallelujah
Hii ni hali mbaya sana
Akili nyingi, ufahamu mkubwa binafsi nakukuli sana Apostle Mtalemwa
Very powerful. Asante apostle. Namkemea kila alaye kwa jina la Yesu.
Amina apostle umenifungua leo na nimejifunza kitu ♌ leo amen apostle god bless you .🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
Amen Apostle 🙏 nimejifunza sana leo jinsi ya kuelekeza maombi kwa my destiny helper. Kila kipindi kuna ufunuo wake. Mungu wa Baba yetu Major 1 azidi kukuinua zaidi na zaidi ili ss nasi tuponywe na tuinuliwe kwa Jina la Yesu.
God help me .
Amen Chief Apostle Mungu wa Major1 azidi kukuinua in Jesus might name
Ameeniiii hallelujah hallelujah ♥️ glory to God Amen Utukufu Una Mungu Milele na Milele 🕊️
Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Amen 🙏🙏.Thanks mungu aendelee kukutumia zaid na zaid.
Hallelujah hallelujah 🙏 napokea miujiza yangu na family yote
Thanks so much for the video. It been 16 years I havent been in Congo but so many memories about this place. We appriciate the work you guys do for us especially to us that lives in ouy sidw countries. We love Bukavu and would likw more videos like ships, churches, markets, hospitals, football and other thibgs that are happening in Bukavu. Naishi Ulaya lakini tunawafwatitiliyaka saaana nju tunapenda saana Bukavu. Asante
Amen Apostle,, wametoweka in Jesus name!
Amen God blessed you mtumishi kwa mafundisho manzuri
Amen Chief Apostle
Hili somo limenifundisha sana. Kuna wakati niliwekeza kwenye kulima Mpunga Hekari 4 nilishafanya maandalizi na kila kitu katika hatua ya mwisho kabisa nikapewa taarifa ya kwamba lile eneo limebadilishwa halipaswi tena kulimwa bali limetengwa kwaajili ya Wafugaji. Nilipoteza pesa na gharama nyingi.
Asante kwaajili ya huu ufunuo Man of GOD.
Yes ❤
Barikiwa sanaaa mtumishi kwa kazi njem
Ubarikiwe sana baba kwahilisomo la la kuharika kwa mipango mungu aendelee kukupa kibari ktk huduma zaid
God bless you man of God ♥️
Amen amen Apostle kiukwel Watu wa Bukoba tumebarikiwa kwa uijio wko wa Kitume. God of Major 1 bless you and stay protected.
i need god in my life be blessed man of god
Thanks alot Apostle, somo limenipa ufahamu, na kunifanya nimtake Mungu zaidi katika maisha yangu, 'seems like hili somo umeliandaa kwa ajili yangu'
God Bless you Man of God
Mungu Akùbariki Mtù wa Mungu
Nimebarikiwa sana na mafundisho haya Mungu awe pamoja na mm kupitia mafundisho na Hya yanibariki Amen
YESU TUTETEE.Tuponye tuepushe na binadamu wakatili.
Amina pastor wangu .Mimi hilo limenitesa sana lkn naamini limeisha leo
Amen
Asante Mtumishi unanigusa sana
Hongera sana toka Norway
Please publish a book
Eeh Yesu nijarie Baraka zangu zisiyeyuke ktk jina la Yesu
Aminaa.
Amen
Bless you so much Apostle
Amen Apostle powerful
Fact Exactly
Amen amen umeongelea maisha yangu yote amen amen barikiwa sana
Natamani sana kujumuika katika jumuiya hii❤
Thank you Apostle
Hili somo limenipa kujua natakiwa kumwombea pia na anaye nisaidia
Amen chief Apostle, God bless you🙏 hallelujah🙏🙏
Bless you Apostle
Mungu azidi kukutumia kutulisha neno maana nimebadilika kupitia mafundisho yako mengi adi leo mungu ananitendea kila siku
Apostle na kukubali
Amen
Ameeeni mtumishi wa Mungu,nitabaki Mimi na fulsa yangu.
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌
Ni kweli kabisa mtumishi. The near-success syndrome. Hii roho ishindwe kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti.
My lord be with my profet
Amina
Kristo yesu ainuliwe milele anaye kupa ufunuo, nimeongeza kiwango kingine. Congo
AMEN
Nimelia saana nimelia saana ujumbe huu ni wangu nimewekewa viziwizi vingi Sana mbele yangu Tena namjua huyu mtu
Ameen 🙏 🙏 🙏
Kumbe ulishakuja bukoba mtumishi
Napokea. Ktk. Jina la yesu
6:45 AMEN
Amen,nimemkunguta shetani na ndugu zake, habari ndo hiyo usimuonee mchawi huruma wakati yeye anataka akuangamize,t
Toka nenda kuzimu na usiinuke mpaka sku ya hukumu 💪
Amen baba binafsi nabarikiwa na familia yangu pia Kwa mafundisho Yako tumevuka tayari
Amen 🙏🙏 I receive in the name of Jesus Christ
Hakika imekuwa njema sana
Nabarikiwa sana kila ninaposikiliza, umebadilisha sana maisha yngu ya kiroho. MUNGU WA MBINGUNI, Akuzidishie baraka.
Amen Amen,
Asante mtaremwa kore kore🇧🇮
Umenigusa baba mimi na mpenzi wngu tunalia sasa
Napokea
Kweri
Tumebarikiwa Sana Bukoba Karibu Tena na Tena
13:49
Haikuna premature kwa vitu zangu Kwanzaa leo katika jina la Yesu
message to Kiongozi wa upinzani -Kenya
Mpango wa kando wengine wanatumia juju kuharibu mboma za watu na nime witness
After World War 3; Dajjal, prophet Isa AS and Yajuj Majuj will come. #MuhammadQasimDreams
That is the spirit of near successful syndrome , laana ya kukaribia kupata na kutokupata
Amen 🙏 baraka tele tele WOW pastor umenifunza mengi kila wakati ninapofuatilia mafundisho yako
AMEN
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen