UTAJIRI MKUBWA WA UHAKIKA NDANI YA WIKI MOJA TU KWA YAKINI TUMIA URADI HUU NA DUA HII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 228

  • @jamilafuad-5702
    @jamilafuad-5702 Год назад +62

    Mashallah asalkum vip hakika leo natoa ushuhuda kwa sala ya mtume s.w hakika ina maajabu makubwa subuhanaallah...mi niliposikia hay mawaidh nilimuhadithia mumewang na tukaaza kuyafanyia kazi hali yetu ilikuwa ngumu kimaisha basi baada ya siku 3 tu ilitokea risk tusioitarajia subuhanaallah Allah alitufanyia wepes na hadi sasa tunaendelea inshallah mpaka mwisho wa maisha yetu.

    • @sultanasalim5177
      @sultanasalim5177 Год назад +2

      Mashaallah

    • @rizikially9535
      @rizikially9535 Год назад +2

      Unasemaje hayo maneno naomba niandikie hapa

    • @jumaahmadi7909
      @jumaahmadi7909 Год назад +2

      Maashallah

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 Год назад +2

      Maasha Allah

    • @omaramne4465
      @omaramne4465 Год назад

      ​@@rizikially9535unamsalimia mtume kuna namna tofauti ww utaangalia wepesi wako , Kama hujui hapa hapa RUclips Andika jinsi ya kumswali mtume itakuja alaf utaona.

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 Год назад +29

    Sheikh unaniliza!!!! Nampenda Allah na mtume wake wallahi namswalia mtume idadi isiyo na hesabu hadi kufa yangu na kufufuliwa kwangu iwe hivyo mpaka ku uwanja wa hesabu aamin

    • @mkambaselemani-ej7np
      @mkambaselemani-ej7np Год назад

      Sgeh naomba uniandukue Sala ya maradhi ya mtune hii qibrikunubi nijisaidue

    • @alyazain290
      @alyazain290 Год назад

      Allaahumma aamin yaa rabby

    • @bipoposaidmohaa6242
      @bipoposaidmohaa6242 Год назад

      Assalam alekum vp hali zanu naomba kuandikiwa swala ya mtume iyo ya mwisho tafadhalini

    • @RosyKaemdin
      @RosyKaemdin 10 месяцев назад

      Maradhi na shida mara 1000
      Allahuma swali alaa Muhammad waala ali Muhammad twilb khulb wadhawahia waafiat liabidani washifahiwa wa nuril abusariw wadhwihawia wakhutil aluwahy wadhwihawia​@@mkambaselemani-ej7np

  • @aminaismailmikina1240
    @aminaismailmikina1240 Год назад +9

    Assalam alaykum waramatullah wabarakat shekh othman Mungu akubariki sana tena sana kwa darasa zako tangu nimeanza kusikiliza hizi daras zako kuhusu mtume wetu Muhammad nilianza kuzifanyia kazi hata mwezi mitatu haijaisha na leo usiku nimemuota mtume wetu Muhammad akisoma dua hii allahumma swali alaa saydina na muhammad mara 3 na nikaona noor ya taa moja kali san na mengine nimeyaona kweny ndoto mashallah 🤲

  • @jamillahaidha8184
    @jamillahaidha8184 Год назад +9

    Naitekeleza na Nina hamu kuanza namuomba Allah aliyekujibu Shekh namimi anijibu kupitia uradi huu naamini kutokana na unayoyasema na viapo vyako kusisitiza, Yah Allah tukidhie haja zetu na Kama hazina kheri na sisi tubadilishie yenye kheri na turidhike nayo Ameeen

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 2 года назад +24

    Mashaallah,,, wallahi napenda kusikiliza mawaidha yako,,, yanatia raha moyoni na hamasa juu ya mtume muhammad SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM,,,, kuanzia leo namie nataka nimswalie hadi nione matokeo,,

    • @sofiamunga9179
      @sofiamunga9179 2 года назад +1

      Mashalah... Walah sheikh othman Allah akuzidishie hekma mawaidha yako haki yaniweka Sawa.

    • @nasreenmohammed9304
      @nasreenmohammed9304 Год назад +1

      Shikh Allah akuzidishie ww na ss Allah atupe kama anavyokupa ww
      Sheikh kwa kuwa dua zako zinapaa na ss tuombee dua kwa. Allah atuwezeshe tufikie kiwango cha kumsala Mtume wetu Muhammad. Saw

    • @maimunaabdallah1294
      @maimunaabdallah1294 Год назад

      😀

    • @geradybahati3127
      @geradybahati3127 Год назад

      Tunaomba atufundishe jinsi ya kuoga hedhi mashekh wengi Wanatuchanganya

  • @Capt.A.T
    @Capt.A.T Год назад +9

    Maa Shaa Allah. Tahadharini ndugu zanguni. Hakika Mwenyeenzi Mngu, yuko karibu sana haswa, katika sujud. Unapokuwa unaomba hazako katika sujud. Usitie mchezo wala fikra zakipuzi.
    Ilinipita fikra nikaitamka katika dua. Allahu Akbar ! Nitipaliwa vibaya sana hata kukosa pumzi na kububujikwa na machozi. Uchungu mwingi kifuani. Mpaka nilipo staghfir, na sala za mtume ndipo nikapata afwaani. Allahu Akbar.

    • @NassorMohd-y7p
      @NassorMohd-y7p Год назад +1

      ah hatari sana Allah yupo karibu mnoooo ni kweli kabisa wala sikupingi mana na mimi nishafanya

  • @MariamHashim-z4p
    @MariamHashim-z4p Месяц назад

    Allah n mkarim Allah anajaalia Allah anatoa Allah anabariki Allah ndio kila kitu katka maisha yetu n Allah pia Ashirikishwi n kitu chochote n pia namshukuru sana Allah kwa kunitoa nilipokuw hadi hapa nilipofka s kwa uwezo wngu ila n kwa uwezowake Allah kwa swala hii ya mtume Muhammad' S.A.W hakika Allah ni mujbu Alhamdulillah

  • @JumaMzeeAli
    @JumaMzeeAli Месяц назад

    Shukran sheikh mungu akuzidishe Imani na subra kwa kila Jambo amen amen amen 🙏🙏🙏

  • @athmanharubu171
    @athmanharubu171 Год назад +4

    Masha Allah,mm sala ya mtume imeniondolea tatizo ambalo nilikuwa sijui nitafanya Nini?, wallahi haikufika hata masaa mawili nilipata nilichokuwa nakiomba, Alhamdullah,

  • @IsmailyRajabu
    @IsmailyRajabu 9 дней назад

    Shekh mung akupe maisha marefu hiii kumswalia mtume kweli nimejionea maaajabuu ❤

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 2 года назад +15

    Mie naanza in shaa Allah usiku huu wa kwetu uk 🇬🇧 nataka hii iwenikazi yangu hadi Alfajir ikiingia naanza saa saba hadi Alfajir in shaa Allah mungu atuwezeshe mana shekhe namatatizo mengi ya kifamiliya wallah watoto hadi mume Niombee allah atuwezeshe kwa kila mwenye nia in shaa allah Shukran shekh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah nafatilia sana vipindi vyako

    • @salummakame5086
      @salummakame5086 2 года назад +2

      Assalaamu alaikum .
      Naomba makarama uloyaona baada ya kusoma nipate hamasa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 5 месяцев назад

      Assalam aleykum ww
      Vipi dada mahra
      Tüpe majibu ya Swala ya Mtume

  • @JumaMzeeAli
    @JumaMzeeAli 29 дней назад

    Asalam alekum sheikh mungu akuzidishe Imani na subra kwa kila Jambo amen amen 🙏❤️

  • @SalmaRashid-q5y
    @SalmaRashid-q5y 9 месяцев назад +2

    Sheikh Othuman Allah akuhifadhi akupe umri wenye manufaa kwako na kwa Uislamu wetu

  • @lawamatu4221
    @lawamatu4221 Год назад +1

    Ma sha Allah....nimeanza usiku wa Leo...ninamatattizo mengi in shaa Allah mwenyezi Mungu atanifanyia wepesi

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 года назад +13

    Allahumma swali alaa saydina MUHAMMAD waalihi waas habihi wasalam❤️❤️❤️

    • @faridaikussi
      @faridaikussi 2 года назад

      Asante Salma alkyumi umepatia

    • @ShaniaKing-o5d
      @ShaniaKing-o5d Год назад +2

      Hapa bado zinanichanganya, ni hiyo alosema da salma,au allahumaswal alamuhamad yalabswal alaih wasalim,?

    • @ElizabethLizzy-pk3zj
      @ElizabethLizzy-pk3zj 6 месяцев назад

      ​@@ShaniaKing-o5dni hiyo ya salima

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 Год назад +4

    Mashaallah nikipaji kilioje ulichonacho, Sheikh Allah akuhifadhi na azidi kukuinuwa na akupe nguvu na afya na ulinzi katika harakati zako Allahumma Ameen!
    Nashukuru kwa kwa kuzumzia umuhim wa sala ya mtume Muhammad, na nimefaidika na nimepata mazingatio!

  • @rahmasuleiman8688
    @rahmasuleiman8688 4 месяца назад +1

    Maashaallah tabaraka rahman Allahu bareek Alhamdulillah Shukran

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 2 года назад +5

    Mashaallah Mungu awaongezee duniani na kesho akhera nakependa kwaajili ya ALLAH mwenyezi Mungu atuhifadhi pamoja tuingie peponi kesho

  • @husnamasoud4989
    @husnamasoud4989 2 года назад +9

    Shukran Ustadh, tutalifanyia kazi BibIdhniLlAh, Allah akuweke akuhifadhi na kila baya 🤲🏻

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 2 года назад +14

    Allahu akbar sheikh othmani tunashukuru kwa darsa zako

  • @ummulabduul-je8db
    @ummulabduul-je8db 11 месяцев назад +1

    ALLAHUMA SWALI ALLASAIDINA MUHAMMAD WAALIHI WASWAHBIHI WASALAM❤

  • @CheiaNdiricho-kn4zb
    @CheiaNdiricho-kn4zb Год назад +4

    Masha allah ❤ sheikh nakupenda sana❤❤❤❤❤❤

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 2 года назад +5

    Shukran sheikhe Ahsante sana nakupenda sana sheikhe kwa ajili ya Allah sheikhe namuomba Allah akuzidishie umri wenye afya njema na siha mzr akujaalie pepo ya fredaus kwa uwezo wake na Rehma zake Allah akujaalie uwe pamoja na Mtume wetu Muhammad s.A.w peponi

    • @yasmeeenmusajuma6531
      @yasmeeenmusajuma6531 Год назад

      Swala zausikuu

    • @suweidkhamis722
      @suweidkhamis722 Год назад

      Kila comment nakuona mashaallah

    • @Samsungjprime-ww9ve
      @Samsungjprime-ww9ve Год назад

      @@suweidkhamis722 Mashaallah napenda kufatilia na kuskiliza hawa masheikhe nafaidika na mengi nakujifunza mengi maana sesoma lkn angalau niwe mskilizaji ili nijuwe vyakujirekebisha nakujuwa yalo mzr na mabaya

    • @shemmaster7swaleyuun228
      @shemmaster7swaleyuun228 Год назад

      Aamin yaarabbi

  • @BaaOmar-j4h
    @BaaOmar-j4h 8 месяцев назад

    Mashallah ALLAH akupe umri mrefu uzidi kutupa darsa za NNABY MUHAMMAD SAW DAAIMAN ABADAH!!!!! ni hivo hivo sisemi kitu!! But swalatu NNABY ziendelee ndugu zangu utafanikiwa haqiqatan!!!!!!!!!!

  • @firstlady9848
    @firstlady9848 2 года назад +6

    Mimi sikupingi Sheikh langu Sala ya mtume imenipa chochote nikitakacho I love Muhammad ❤️💞💞 s.w.m

    • @nuuraalinoor3630
      @nuuraalinoor3630 2 года назад

      mashaAllah thanks bro, which salawat were you reciting? please share with me.

    • @NassorMohd-y7p
      @NassorMohd-y7p Год назад

      Allahumma swali wasalim alaa sayyidaa Muhammad (SAW)

    • @AsnatyMshamu
      @AsnatyMshamu 5 месяцев назад

      I love more muhamadi s.a.w

  • @bobomuamarg3856
    @bobomuamarg3856 2 года назад +4

    Assalam alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuh.
    Wallahi kwa zawadi hii umetusambaziya . Nikuombee tu Allah Akuzawadiye kheri zote za Waja wema na Akulinde Allah na Alizo walinda Waja wema "Amin "

    • @bobomuamarg3856
      @bobomuamarg3856 2 года назад

      Akulinde na Shari Alizo Walinda Waja wema "Amin "

    • @fatmaameer5333
      @fatmaameer5333 2 года назад

      Shukran kwa kutujuza mambo ya kheri ALLAH akuhifadhi akuzidie kheri barak kwa ulivo navo

  • @hafsawambi779
    @hafsawambi779 2 года назад +6

    Jazzaka llah kheyri shukran sana sheikh Allah atuwafikishe kwa rehma zake

  • @MariamMbanga-v4k
    @MariamMbanga-v4k 12 дней назад

    Allah akupe kila lenye kheri

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 года назад +5

    Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu
    ALLAAHUMMA SALII WA SALIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤❤❤
    Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Allaah akulipe kwa Nia yako yarabby

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 2 года назад +6

    Sh.umenifurahisha sana, Allah pekee atakushindia kila jema unalokusudia kutusaidia walimwengu.Nakukubali mtu wa Mungu.InshaAllah tuombeane uzima.

  • @zakhealthbeauty1619
    @zakhealthbeauty1619 Год назад +2

    Allah akbar leo nimekesha kwa ajiri yakusikiliza darsa lako mashaallah Mashaallah tabaraak rahman Allah akueke kwa ajiri yetu

  • @abdifarah-yq5tf
    @abdifarah-yq5tf Год назад +3

    Alhamdulillah nimemswalia mtume SAW nimepona gas ulecers

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Год назад +1

    Maaa Shaa Allah Shukran Wajazaukum llah khayra

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c Год назад

    Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Nikweli kabisaa hata mimi nikimaliza kumswalia nabii Muhammad S. A .w. mimi hucheuka. Allahu maswali wasalim aleyh.. Jazakallah kheir 🙏 Nikweli hilo bilashaka Masha Allah 🌹

  • @ashumohd2192
    @ashumohd2192 2 года назад +3

    Shukran saana ALLAH akulipe ujira mkubwa BiidhnLLAH 🤲

  • @roquaal5682
    @roquaal5682 2 года назад +3

    Maashaallah allah akulipe pepo ya firdaus

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 года назад +2

    Shukran sheik Jazakka Allahu kher 🙏Allah akulipe kher hpa leo duniani hdi kesho akhera.Allahu Akbar,Alhamdhulillahi 🤝

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 2 года назад +4

    Alhamdulilah kwahíi neema kubwa cna

  • @allynyangehassan5121
    @allynyangehassan5121 Год назад

    Salam alaikum warahmtulillah wabarakatuh shukhuran ya sheikh Othman Michael Allah akuraishishiye duniani na akheran Allah Huma amin

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 2 года назад +2

    Mashaa Allah tabaraka Allah, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka, Akupe mema duniani na Akhera.

  • @nassibmalik9934
    @nassibmalik9934 Год назад +2

    Naamini bi idhini llahi ntapata majibu shekh nmeanza kumswalia mtume kwa speed kubwa sana 🙏🙏

  • @HawahMohammad-f1f
    @HawahMohammad-f1f 7 месяцев назад

    Aslm alkm shekhe Othman mm napenda sanaaa kusikiliza mawaidha yko wallahi , Allah akuhifadhi

  • @jumamohamedi5855
    @jumamohamedi5855 Год назад +1

    Maashaallah Allah akulinde uzidi kutupatia elimu hizi Inshaalaah

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +2

    Masha Allah shukran jazzakallah khairan

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 2 года назад +1

    Shukran sheikh na jikuta machoz inadondoka Mwez Mungu akulipe kila laheri🤲

  • @ZaiduHashim-ry1zr
    @ZaiduHashim-ry1zr Год назад +1

    Masha Allah Allah akupe unalo stahili

  • @SADIKIMALISAWA-ou8sk
    @SADIKIMALISAWA-ou8sk 8 месяцев назад

    Jazaka allah khaira

  • @alyazain290
    @alyazain290 Год назад

    Allah akupe mwisho mwema yaa sheikh atukutanishe sote sisi na ww pamoja na bwana mtume s.a.w

  • @SaidaAlly-m6l
    @SaidaAlly-m6l Месяц назад

    Shukran ❤❤

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 2 года назад +17

    Masha Allah awesome lecture..BarakAllah feek sheikh

  • @fatumahayani4671
    @fatumahayani4671 2 года назад +1

    Mashallah Allah akuhifadhi shekh na ss pia atujalie mwisho mwema

  • @ayoubahmad7107
    @ayoubahmad7107 2 года назад

    Shekh othman michle.....unanikosha sana.....ukitaka kuongeza mke wa tatu tuwasiliane mimi ni mpemba....itabid uelekee uku bi.idhnillah

  • @azizadjumadazuu2731
    @azizadjumadazuu2731 2 года назад +4

    Kwakwel Allah akujaze kheri

  • @assinaassende7561
    @assinaassende7561 2 года назад +3

    Allah akulipe kila laheli

  • @kulthum8335
    @kulthum8335 2 года назад +1

    Mashallah jazakawallah Allah hakuzidishie

  • @fatmamuhammad4772
    @fatmamuhammad4772 2 года назад +1

    MashaAllah ustadh na shukran kwa mawaidha yako mazuri yenye kutupatia manufaa jazaa yako kwa Allah.Allah akuhifadhi

  • @AshuraRamadhan-hm6jc
    @AshuraRamadhan-hm6jc Год назад +1

    MAA SHAA ALLAHU

  • @sulekhamohammed5358
    @sulekhamohammed5358 7 месяцев назад

    Shukran Allah akupe Afya

  • @sabahabdallah5791
    @sabahabdallah5791 2 года назад +3

    MashaAllah. Saw❤

  • @ZulekhaHatibu
    @ZulekhaHatibu 3 месяца назад

    Asalm aleiku walh matullaah wabarakatu ustadhi hiiswala yamtume inatakiwa ifanywe mmdagani

  • @sofiaomar8939
    @sofiaomar8939 2 года назад +1

    Shukran sheikh, nafaidika sana n darsa zako, alakujazie kheir ameen

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 2 года назад +3

    Shekhe umenenepa maa shaa llah

  • @aidhajaafar391
    @aidhajaafar391 Год назад +3

    Mimi natoa shuhuda jamani ninauza biashara yangu alhamdulillah na ninaamini Allah atazidhisha

    • @RosyKaemdin
      @RosyKaemdin 10 месяцев назад

      Unasoma ngap Kila siku na wakat gan?

  • @saidira726
    @saidira726 2 года назад +1

    Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
    Sheikh wangu endelea utupe mambo matamu ya Allah, Allah azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kusaidia ummati Muhammad swalallahu alaihi wa alihi wa salam, kila wapingao mambo unayo fundisha watapinga Allah awe akiwafanya sababu ya kuzidi kupanda daraja, baadhi yetu tunafaidika na ilm yako

  • @latifasuleiman7527
    @latifasuleiman7527 Год назад

    Mashallah sheikh tunakupenda kwani unatupa faida nyingi katika darsa zako mwenyez mungu akulipe kheri

  • @hemedphd8532
    @hemedphd8532 2 года назад +4

    Mashallah shekh wetu shukran shekh

  • @SelemaniHassan
    @SelemaniHassan Год назад

    Inshallah mimi nitajitayidi sana inshallah nitakupeeni jibu

  • @fatinahasani882
    @fatinahasani882 2 года назад

    Jazaka llahu khayra allah akufikishe mbali

  • @خديجةالمعمري-ج2س
    @خديجةالمعمري-ج2س 2 года назад

    Jazaka lwaah kheir mungu akuzidishie ilmu uzidi kutufundisha tumepata faida nyingi alhamdulilaah

  • @ZainabSeif-n1s
    @ZainabSeif-n1s Год назад

    Shekhe Mimi napenda Sana mawadha yao yemenipa elimu Alhamdulilah arwah akujaliie umli mlefu uzidi kutupa faida sisi navitukuu vyetu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 года назад +5

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @saidamur5747
    @saidamur5747 2 года назад +1

    Allah.akufanyie.wepesi.kwakila.jambo

  • @zowaina9946
    @zowaina9946 Год назад

    MANSHAALLAH tabaraka RAHMAN nakupenda kwa ajili ya ALLAH ALHAMDULILLAH

  • @abdijabarkunyo55
    @abdijabarkunyo55 Год назад

    ManshaAllah,Leo naanza inshaAllah❤

  • @halimamathew285
    @halimamathew285 2 года назад

    Mashaallah.mashaallah.shekhe.Allah.akuhifadhi

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 2 года назад +2

    ASALAM alaykum,sheikh mi nakuomba unapofahamisha Dua,au uradi bas jaribu kusoma taratibu maana tunaandika Ili tuipate vzr,hata ukiirejea mara mbili mbili itakua vzr sana, bila ya hivyo inatufanya tuirejeshe video Kila wakat kupata kuiandika ,ahsante

  • @nasradada7050
    @nasradada7050 2 года назад

    MA Sha ALLAH tabaraka Allah kwa somo lako Allah akujaze umri WA faida na kwa thikri yako

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 Год назад

    MashaAllah sheikh wetu Allah akuweke

  • @wahabingaheka637
    @wahabingaheka637 Год назад

    Allah akufanyie wepes utufundishe na mengine

  • @ramadhanjuma-y8d
    @ramadhanjuma-y8d Год назад

    mashallah mazungumzo ya fikra

  • @masudimwinyi7301
    @masudimwinyi7301 2 года назад

    Mashallah sheikh wangu Allah akujaalie kheri ishallah

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 2 года назад +2

    mashaallah my shekh

  • @najatmgaja9579
    @najatmgaja9579 Год назад

    Jazakallah

  • @Asha-kj6fz
    @Asha-kj6fz Год назад

    Allah akupe umri mrefu inshaallah

  • @abdulhafidhelbahassany52
    @abdulhafidhelbahassany52 2 года назад +2

    Masha Allah aturuzuqu mapenzi yakumpenda Mtume wetu na kumsalia yeye .
    Allah akubaarik sheikh. Masha Allah

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 2 года назад

    mashaalah allah akulipe ishaalah

  • @mesalimchama1874
    @mesalimchama1874 2 года назад

    Shukran Allah atujalie miongoni mwao tutekeleze

  • @mohamedrokaz5272
    @mohamedrokaz5272 Год назад

    Mashaalh ustad mm pia nitaanza inshaalh mungu atupe kheri

  • @UessoSalimo-cd3mw
    @UessoSalimo-cd3mw Год назад +1

    Mashaallah from Mozambique

  • @SifaNibigira
    @SifaNibigira Год назад

    Shukran san sheikh 🙏

  • @ayoubahmad7107
    @ayoubahmad7107 2 года назад

    بارك الله فيك

  • @SadikiyusufuSadiki-c1u
    @SadikiyusufuSadiki-c1u 6 месяцев назад +1

    Asslam aleyikum jmn mswalieni mtume kunamaajabu makumbwa xn siwezi kusema

  • @خديجةالمعمري-ج2س
    @خديجةالمعمري-ج2س 2 года назад

    Sheikh othman mungu akuzidishie kila la kheri

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Год назад

    S alk salama shekh niombee dua Nina mtihani

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 Год назад

    Mashallah Allah kujaalie umri mrefu wenye uchamungu ndani yake

  • @melchiorndayizeye9761
    @melchiorndayizeye9761 Год назад +2

    ❤😂 walahii shekh, natanguliza shuklulani saaan mimi hapa ni muchristo lakini nilifuatilia hiii uladhi wa ko shehk ,mambo ya ukafili nimetupa nilukua na made ni ya kupfa mtu ,kwa week 1 tuuu. Ghali ya Nissan mpya ,deni kwisha kwa siku moja 😊😊 walahi mungu akupatie lehema.

  • @fedhandunga5935
    @fedhandunga5935 Год назад

    Mashaa Allah Allah akulipe😥😥

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 2 года назад +3

    alah akbar, mtume ninuru fanyeni hili linaukweli asilimia mia hakika

  • @aminakhamis5078
    @aminakhamis5078 Год назад

    Assalm aleykum warahmtullh wabrkth. Na mm nita aza hii Inshaa Allaah usiku wa leyo na naziri yagu iwapo nitakmlisha juu ya yale ninayo yategemeya Bdhin llah nita kutafuta niwe miyogon mwa wenyew kutaka kutowa ushu huda Inshaa Allaah

    • @مريمااتاا
      @مريمااتاا Год назад

      ❤❤masha allah shekhe na mm nafanya in sha allah nitakuwa tajir

  • @AbuuSyusufu
    @AbuuSyusufu 3 месяца назад

    Alah akuzidishie