Ubarikiwe sana mtumishi Namsifu,huu wimbo niliusikiliza kwa mara ya kwanza Moningstar redio kwa mara ya kwanza,niliupenda sana maana una ujumbe mzuri,humble mama,
Thank you LORD because it's by your grace that we wake up every morning alive and breathing. This is a wonderful song and it has really blessed me. Be blessed dear as u continue singing for our LORD.
Ubarikiwe sana mtumishi Namsifu,huu wimbo niliusikiliza kwa mara ya kwanza Moningstar redio kwa mara ya kwanza,niliupenda sana maana una ujumbe mzuri,humble mama,
napenda sana nyimbo zako barikiwa
Ubarikiwe sana nyimbo zinaujumbe unaogusa mahitaji🙏
Aminaaaaaa
amina aunt wimbo mzur
Asante sana
Wewe mama Mungu akuzidishie mibaraka.
Haleluyaa haleluyaa haleluyaa
Yaani huna wimbo hata mmoja usiogusa aisee
Nakuandikia lyrics mama kama zawadi,,,,
Amina mama kazi nzuri Bwana awe nawewe.. Nimeanza kukufaham kupitia wimbo wako unaosema "nakupa shauri"
Ubarikiwe sana
Barikiwa Sana mama kwa kazi njema ya kumwinua kristo kwa njia ya uimbaji.
Ubarikwe na bwana
Ubarikiwe kwa huduma hii
Mungu akuinue zaidi dada
Amina,Wabeja,SanaNatogwa
Wabeja sana
mama barikiwa sana
Ubarikiwe dada kwa kazi njema
Barikiwa Mtumishi wa Mungu, wimbo huu umenibariki, kwa kweli tunaishi kwa neema ya Mungu
Thank you joy. Nimekusomaaaa
Amen ilumbuye
Amen Mungu akubariki mama
Ameen 🙏
Your work is amazing sis Namsifu. May GOD bless you each day and your Ministry too, 🙏🙌
Amina sana
Mungu azidi kukubariki Namsifu wimbo mzuri sana
Asante sana dear
Mama Mwita,caleb and Deborah
May the almighty God bless u abundantly pamoja na WFP,WABARIKIWE MNO
let me download this beautiful song
Nunua flash itakuwa poa zaidi
Thank you LORD because it's by your grace that we wake up every morning alive and breathing. This is a wonderful song and it has really blessed me. Be blessed dear as u continue singing for our LORD.
Mama nakupenda sana ubarikiwe
Amina
Amen
🙏🙏🙏🙏🎹🎹🎹🎧🎧🎧🎧
Mama naomba namba ya anayekichongea beat please
Anaitwa noel ndaiga....yuko humu utube ana channel yake
Ninakutumia pia
Amina