@@EliudKeivoo-md1vwBackward mentality,tunamsupport Chado kwa kuwa anastahiki,roho chafu peleka huko,eka kazi yako tusiangalie lakini ya Chado tutasubscribe na tutaangalia.
Mama ngwengwe Sema sina Namba yako ningekwambia mafuta ya kuweka Sawa ngozi yako ili uachane na mkorogo.. Sema sina Namba yako.. ngozi yako inakuwa poa kabisaaaaaa
Kaka daddy amefanya jambo zuri sna haki yako utaipata😢 najma masomo ndio msingi wa maisha hbu nenda shule kwa wakati weka masomo mbele umejichanganya n Sahi umejipa maradhi ya moyo bure 😢 mama ngwengwe naumia nkikuona hvyo😢mission impossible inafunza historia ya maisha y watu😢❤❤❤
Safi Kwa kazi nzuri ila inawahi Kisha pia siku mbili ndiyo itoke SI ratiba nzuri sana mjitahudi basi iwe na muda mwingi kuangalia pia muda WA kitowa Iwe Kila Baada SAA 24 itakuwa good sana
Chado gangs nakubaliii sana team hiii imetulia vibaya mno nawakubaliiii sana series zenu zinatukosha mmeteka magroup sio watoto vijana wala wazeee❤❤❤❤❤❤
Pole sana mama ngwengwe najuwa maumivu unayopitiaa inaumaa sanaa hii ilaa pole yatapita tu🥹🥹🥹🥹😭😭😭😭😭😭😭😭
Jamn mm uy mkk mweny nguo nshmpnd xwez ish bila yg
Chado gangster mkowapi ,kutokea Kenya wapi likes zenu❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Chado Man ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya vp nyie bona atuoni muvie zenu😂😂😂😂
Hata usitaje hilo jina 🇰🇪 maana hatuna amani😂😂😂😂😂
@@EliudKeivoo-md1vwBackward mentality,tunamsupport Chado kwa kuwa anastahiki,roho chafu peleka huko,eka kazi yako tusiangalie lakini ya Chado tutasubscribe na tutaangalia.
Unae soma hii comment naomba mungu akupe afya na maisha marefu na familia yako ❤❤❤❤
Amina❤ na wewe piy
Amiin thumma Amiin Insha'Allah nawe pia
17:42
Amina
❤
Twendeni mbele turudi nyuma Hanifa (mama ngwengwe)mzuri bhana❤
Sana
Yan sana me tangu muv inaanza🥰
Nimejua leo aisee
Kabisa❤
Kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim Chad najima mko wapi unyama ni mwingi sana 🎉🎉🎉🎉
Tupooo na wal hatupoi
Wa mchongo
Sana. Kichaa. Wangu. Chado. Master
ruclips.net/video/by9WPw3XSp4/видео.html
Mungu akubaliki
Nimependa huyo kaka anaechamba wallah😂😂😂
Kama anko T😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Anaye soma comment hii mungu amjalie katika mahusiano yakee
Nifesi Usoni nguo zangu zipo Wapi??,Daaah!! Nguo zinamnyima jamaa Udiwani ,alieona alike hapa.
jamani anae mkubali mdai nguo kwa diwani tujuane kwa like
😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Asema shusha mkono kwapa sijui lina nn 😂😂😂
Km dk kumbuka
Yaani movie iko moto san number one hapa from zenjy
Tunao angalia mission impossible pamoja na dunia ya manyanya tujuane
Mm hapa😂😂
Mimi pia🎉
Tumejaa telee😅
Tumejaaaa🎉
We dunia unyama
Mission impossible iko moto yaani xikosi kuifatilia kila cku nawapenda sana
Hyo kila sik unakuw unaionea wap mwenzetu😂
Like za chado masta huyu mwamba ni zaid ya msanii💪🏽💪🏽💪🏽
Uyu mchambaji noma sana❤
Cheusi mmh noma
😂
Aah hongera sana team mission impossible hasa kidemu jau na cheusi❤😊
Aya fumanizi bichi kabis ngoj nione tunawapoza vip ao watot weny kududu penzi chado kaz unayo nakup macho na yang maskio❤
Oya wee kunamtu anagonganisha magary oy zari la mentali Hilo kichau wetu chado 🎉🎉
Kazi nzur san kabisa yaani daah awa jamaa wamejuw kuhutumia mda wangu vzur xan kuwaangalia, saf san kweli 👍👍🌹🌹🌹🔥🔥🔥❤️❤️
Alihamdulilh furah ilowojeee mzing umeanzaaa tena mamb hayo asant chukuwa mauwa yak🎉🎉🎉🎉
Jamani Mimi ni unto wa kwanza kama unankubali chado Masta gonga apoo 🇲🇿🇲🇿💪 djanvi masta
Huyu mzaramu anachamba kweli sasa chado mtu kama huyu umuweke na riama ili wawe wanachambana tu
Leo nime wai jaman naomben lik zang jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chado Masta sisi mafans wako tunakesha mitandaoni tukisubili chenye umetuandalia kazi nzuri 👍
Aweee leoo Nimewahiiiiii love you 💞 Chadooo Master tuko pamoja mpk kielewekeee ❤❤🎉🎉❤❤
Chado masta kayatimba 😂😂😂😂😂😂😂 vivuluge wawili wakikutana cjuh itakuwaje unaniacha na hamu kama zoteeeeeee😢😢😢😢😢😢
Mama ngwengwe Sema sina Namba yako ningekwambia mafuta ya kuweka Sawa ngozi yako ili uachane na mkorogo.. Sema sina Namba yako.. ngozi yako inakuwa poa kabisaaaaaa
Kaka daddy amefanya jambo zuri sna haki yako utaipata😢 najma masomo ndio msingi wa maisha hbu nenda shule kwa wakati weka masomo mbele umejichanganya n Sahi umejipa maradhi ya moyo bure 😢 mama ngwengwe naumia nkikuona hvyo😢mission impossible inafunza historia ya maisha y watu😢❤❤❤
Mwenye anaona kama mimi vedio Qeen anazingua gonga dole aache pigo zake za kishamba, atuachie naj wenu na chado
Kabisa anapigo zakishamba atuachie chado sie tumetoka mbali nae 😂na najum wetu
Simpendi huyo mwili km fagio la chooni 😂😂😂
Anazinguwa kweli duuuh Najma hadi alimpoteza mama yake kisa mapenzi
@ButoyiRukiya ... Ali dady(mzee wa misumari) ndio alimsukuma mamake akajiginga na ushogo akafa, naj ausiki na kifo cha mamake
🎉🎉
Huyu mchmbaji nisha mpend❤❤ siwez ishi bila yy😂😂
😂
😂
Kutoka🇨🇩🇨🇩🇨🇩Anaye angalia kitu iki hebu semeni gooooooooonga hafu wekeni ❤❤❤❤ hafu hii ni 💥💥💥💥🙏🙏🙏
Safi sana team chado master nawapenda nyote ❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu awabariki nyote tuko pamoja nawapenda❤
Oyaa kipande hichii mumetixha nataman km chengine mukiruxhe ata sasa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pole chado niheri Mr manyonga kuliko uyo atakutowa roho
Aah pole sana mama ngwengwe jmn ..😢😢😢yani inauma mpaka inauma Tena ila kuwa na subra ataludi to mwanao....
Nimempenda buree huyu kaka mchambajii😂😂😂
Big Up Big Brother Chado Masta 👊🏻👊🏻👊🏻and Mzee w Misumari ✌️✌️bila kumsahau Cheusi Média 😂😂
Mr chado zidisha dakika zifike nusu saa Au mnasamaje wapenzi wa mission ❤🎉❤❤❤ gonga like
Kwer azidishe dakika
Amen 🙏🙏
Uyu jojo bhana
Binafsi nampenda sana Najma Alafu jojo anajipotezea mda tuu mwanmme akikupendq ata akupotezei mda
Najima wangu unapendwa sana n AISHA POLLY HAPA FROM 🇶🇦NAJMA CHUKUA 🥰🥰🥰
Hongereni sana kwa kazi nzuri hiii ni yamoto zaidi nimependa sana ❤❤❤❤ mashalaah
Jaman huyuu mkaka anaongea km kapew Bomba heb waonan na cheusi nione ayo machambo maan hap cheusi haiingii ndaniii🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Daaah! Cheusi punguza umbea daaah! Weeee muongo kwel😂😂😂
Safi Kwa kazi nzuri ila inawahi Kisha pia siku mbili ndiyo itoke SI ratiba nzuri sana mjitahudi basi iwe na muda mwingi kuangalia pia muda WA kitowa Iwe Kila Baada SAA 24 itakuwa good sana
Mnawahisha mpaka kero nawapenda jmn🎉🎉🎉❤❤❤
Leo nimejarb kuwai ili niwe wa kwanza ila nimeshindwa kwa wale tunaomkubari Mr manyonga mabruso wagonge like
Nimechelewa mambo ya majukumu ila tupo pamoja sana🎉🎉🎉🎉🎉
Wanasema movie ndo inaanza na najma asirudi shulee dondosha like ❤❤
Champion 💪
Big up San hii ya leo Kali maua yenuuuu ty🌹🌹🌹🌹
😂😂😂😂😂😂😂shusha mikono kwapa🎉🎉🎉🎉🎉 ila mchambaji
😂😂😂🎉🎉
Itoshe kusema wew chado ni tanzania ONE unajua sana🎉🎉🎉
Leo niko hapa na 48 min,,nipewe like pia mii nisikie vizuri ❤
Semi na bajaji uso kwa uso.
Maskini najma wa wa2.
Video Queen Mtego wa simba, kidem jau Kola.
Chadoh bro.. umenifanya mpka sai sijarudi kazi sababu kusubiri mission... wakwanza nipeni like kutoka kenya
😂😂😂
Mpaka usirud shida nn au kuna wi-fi
Vya Bure vitakuua nunua bando😅
uyu n mi nangoja WiFi lkn uwe unadalod badae unaangaaliaaa my
😂😂😂
Aaaaah cheusi mbona muwongo wewee,,, Ati soko lote... La kariakoo la wapi
😅😅😅😅😅😊
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ila uyu mwamba anachamb bhuann kam Hadija kopa 😂😁uyo wa nguo zang zipo wap😂🙌ety kofia ka ganda La chenzaa
Chado we kiboko kk kweli kweli big🇨🇩🇨🇩
😂😂😂
Nimewahii Léo jameni ebu nipe bas like chado umeyatimba baba pole ngoja tione itakuaje wahuni wakikutaniya kwako
Usisahau kumpa sababu ya mapenzi 😂😂jamn mzee wa misumali
Mzee wa misumali 😂😂😂
😂😂😂
Chado madem yakitib geto cjuii inakuwaje hap🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tem chad kitoka Congo dr muko wapi liké zenu❤
Mweny kiti na mjomba wameyatimba😂😂😂😂😂😂😂
Yni uy mkka nimempnda bure❤❤❤❤ Allah amzdshie kipji chke 🎉🎉🎉🎉🎉
Duuh!!!😂😂😂 kitengo ameyatimba atali aisee sjui hyo picha itakuwaje ngoja tuone kwanza picha yenyewe😂😂😂😂
this is first love from Mozambique ❤🇲🇿
Chado gangs nakubaliii sana team hiii imetulia vibaya mno nawakubaliiii sana series zenu zinatukosha mmeteka magroup sio watoto vijana wala wazeee❤❤❤❤❤❤
Ngwegwe apewe tunzo jamani kivumbi leo😂😂🔥🔥
🙄🙄🙄🙄 jamaa anae dai nguo ni moto🔥🔥 diwani chenga na mjomba kazi wanayo kwa imma🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri kitengo 🎉🎉🎉 team chado naombeni like plz❤❤
Hongereni sana Kwa kazi nzuri
Doctor kumbuka ni 🔥🔥🔥 nimemkubali huyu jamaa
Jamani kuna waigizaji alafu kuna huy chado master❤️❤️
Wa kwnz leo nipen like ndugu bravo chado❤❤
Chado masta naikubali sana kazi yako hakika wewe ni mhuni safi
🎉🎉🎉🎉 penda sanaa move ya chado master
I love it am watching from kenya
😂😂😂Emma we kama mc asee eti kama mnataka kutafuna mkatafune migozi machinjioni hahaha
Japokua nimechelew alakin najim love you ❤❤
Ukimkubali chado masta kwenye Ides ya utunzi wa hii FILAM gonga like hapa mungu akupe afya njema WEWE pamoja na familia Yako kwa ujumla🙏
Nimekubali kazi mwananguuu77uu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila ngwengwe❤❤❤❤ nakubali sana
Kazi nizuri chado mungu akuinuwe zaidi
N mim nmewah Leo naomben like zang❤❤
pole kipenzi mama ngwengwe sipati picha mm itakuwaje kama mwanangu siku akiondoka dah naumia sana mtoto unamuangaikia akikua anaondoka
Upande sufuri upande ziro wapi like za ngwengwe kama unakubali from🇴🇲🇹🇿wapi like za 🇦🇪🇸🇦🇧🇮🇰🇪
Chado mastaa wallah naomba ushitengashe penzi lako kwasababu jojo pesa utamurudisia
Kama mna mkubali mama ngwengwe ebi tupite like hapa🎉🎉🎉❤❤❤kijana wetu una weza ngwengwe
Jaman naomba mnisaidie aliyeimba nyimbo ya humu mission emposible ile penzi lako fire
One love ❤️ from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Zakayo hakosi mahali popote 🤣🤣
Daaah mama ngwengwe katutoa machozi weng kama mama unajua jisi gan mama ngwengwe anaumia😢😢😢
wa kwanza toka kenya kazi nzuri chado
Tujuane teams chado masta na teams manyanya❤❤❤❤
Imma Ametisha mzee wa kusamba loketo😂😂😂😂😂
Ima umetisha yani umefunika,safi sana kazi iendeleee
Ety mi Sy shabiki wa yanga kha Hy mchambaji noma❤❤❤❤🎉
Hadi nmechelewa jamn Chado leo umechelewa wapi na ww sijapendraaaaa 😢😢😢
Muchambo huko jamani😂😂😂
Solo kama dada wakazi 😂😂😂duuh ukiskia kazini kuna kazi ni kazini kwa Solo chado ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Chado masta Mimi WA kwanza Leo nilikua natamani San niwewa kwanza
Kutoka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Huyu kaka Chado namkubali sana
Tobaaaaaa haya xx tusubil epsode ijayo kidemu jau na video queen ndn ya geto la kitengo
Uko vizuri kiongoz wangu 🙌🙌