Siku zote huwa siachi kusema kuwa mwisho wa Mh.Makonda huko mbele atakuja kuwa ktk utumishi wa madhabahuni. Na haitakuwa zaidi ya miaka saba ijayo. Mungu azidi kukulisha zaidi. Hongereni pia kwa kushikana mikono ya upatani wewe na Askofu wa ufufuo na uzima Baba Gwajima. Ahsante Mungu.
Hii madhabahu ya Bishop Kakobe, imewapatanisha wengi, it reminds me of the late Bishop Kulola & Bishop Emmanuel Lazaro. Nice video Millard, God bless Tanzania
nyie mlitaka wapeane mikono nyuma muanze kuwaongelea au wakisalimiana mmoja ageuze mkono ndo muanze kuwaongelea watu wanaomjua mungu hawachukiani milele
Kwanzia leo nimemheshimu Mh. Paul Makonda ama kweli elimu ya darasani sio kipimo cha kutosha cha kupima akili, uwezo na uelewa wa mtu. Watu walikuwa wanamsema Zero mara Daudi Bashite lakini ukimsikiliza Makonda aka Bashite unagundua kwamba ni mtu anayejitambua ana akili mzalendo na kiongozi bora. Peace and Love Brethren!
Mungu mwenye nguvu kawakutanisha Mkuu wa mkoa paul makonda na gwajima mungu umetenda maajabu kuwaunganisha hawa watumishi wako.Mungu wabariki viongozi hawa na uwape upendo wapendane
Kwa kweli wewe ngisi ulivo moonekani wako wewe jo ungekuwa preside tinzama ngisi una pendanza nakupendaka kwavili oko mweliwako munzuri una pendanza kama wangine wa lahiri 💃💃💃💃🇳🇱🇳🇱🇨🇩🇨🇩😍😍😍 wewe uko powa🔥🔥🔥🔥 👍😇😇
unapozungumzia kuwa tajiri lazima utofautishe na kubarikiwa. Utajiri una chembe ya uhasi na ubinafsi wakakati anayebarikiwa anabarikiwa ili awe baraka kwa watu wengine. Ibrahim alibarikiwa kwa ajili ya kizazi chake. Utajiri wa anayezungumzia mhe. ni tafauti na baraka. Mungu hatoi utajiri bali anakubariki ili uwe baraka na wewe kwa wengine.
Hongereni washangriaji kwayare macho yenu yanyama kwan hamusom neno lakua waumin mutahukumiwa kwakuwa fyata wachungajj wapotoshajj olewenu muspo chunga hilo mwanadamu anapenda dunia sana pesa mbere
Kaka angu Paul makonda nimependa ulivyo ubiri, napenda muendelee kuwa wamoja tena kwa upendo kwani ninyi note nikitu kimoja!! Nawapenda Sana kaka zangu ngwajima na makonda MUNGU endelee kuwashika mikono Ameni
24:23-25 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 23 Wakati huo mtu aki waambia, ‘Tazama! Kristo yuko hapa!’ au ‘Kristo yule pale!’ msi sadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo na manabii wa uongo
Mimi huwa nawapenda wooote Makonda na Gwajima sasa ikanibidi nikae njia panda sasa Mungu amejibu maombi yangu ila ninachoheshimu pia ni huduma ya Baba Askofu Kakobe ni huduma ya upatanisho kumbuka wakati wa kulala na Askofu Razaro ilikuwa Baraka Mungu mtunze Baba Kakobe kwa Huduma Ya upatanisho.
Hongereni sana gwajima na makonda hakika mfanya mfano mzuri sana tunatakiwa tuinge kupitia kwenu Amin
Siku zote huwa siachi kusema kuwa mwisho wa Mh.Makonda huko mbele atakuja kuwa ktk utumishi wa madhabahuni. Na haitakuwa zaidi ya miaka saba ijayo. Mungu azidi kukulisha zaidi. Hongereni pia kwa kushikana mikono ya upatani wewe na Askofu wa ufufuo na uzima Baba Gwajima. Ahsante Mungu.
Nakupenda sana Rc makonda Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Nakupenda Makonda, Mungu aendelee kukuweka juu
Hii madhabahu ya Bishop Kakobe, imewapatanisha wengi, it reminds me of the late Bishop Kulola & Bishop Emmanuel Lazaro. Nice video Millard, God bless Tanzania
Hongereni saaaana hapo ndipo mungu analeta baraka asante sama wanchungaji mliofanya hayo mambo ya upatanisho
Nimekupenda upya Mheshimiwa Makonda
Alegundua gwajima hana shobo like hapa
Acha ushakunaku.... 👰👰👰
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka iyo ushakunaku
@@silverjoseph4577 umeona ee!! Mijitu mingine mishakunaku kwel bas💍💄👙👗👠 pumbavuu ukiangalia kabisa linachochea... Ndo washapatana... Kawagombanishe tena
Ukimuangalia kwa jicho la kishushu askofu Gwajima katimiza wajib sabab alikua mbele ila si kwa mapatano, kama na ww ni shushu gonga like tujane apa
nyie mlitaka wapeane mikono nyuma muanze kuwaongelea au wakisalimiana mmoja ageuze mkono ndo muanze kuwaongelea watu wanaomjua mungu hawachukiani milele
Kumbe ni mhubiri mzuri sana hongera sana ndo kilichobaki kumtangaza Kristo.
Wajumbe sio watuwazuri
Nakupenda sana makonda wewe nishujaa sana nakipenzi chawatu nikipenzi chetu makonda mungu akupe umli mlefu
Ameeeeeeeeeen mtumishi wa mungu ubarikiwe Paul vita c yetu baba yetu yesu Kristo alishaipigana
WATANZANIA SHIKAMONI!UDUGU HAZINA YETU🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤tutagombana mwisho wa siku peace &Love.
Siuongo Duniani kote wanafahamu yakuwa watanzania wanapendana wenyewe kwawenyewe nawanasema huku kuwa hawana udini Wala ukabila watanzania wote kauli mbio watanzania nindugu Hakika najivunia kuzaluwa Tanzania
Ameen
Joyce mashikolo.
Unategemea nini? Hao maslahi ya matumbo yao yamewakutanisha.
Rock City Native kwani wewe huna tumbo?
Reuben Busanji
Tumbo ninalo ila halinifanyi kuwa mnafiki. Ningekuwa mnafiki kama hao pengine leo maisha yangu yangekuwa mazuri maradufu.
Nakupenda bure mdogo wangu Mungu azidi kukupigania mhe. Makonda
Kwanzia leo nimemheshimu Mh. Paul Makonda ama kweli elimu ya darasani sio kipimo cha kutosha cha kupima akili, uwezo na uelewa wa mtu. Watu walikuwa wanamsema Zero mara Daudi Bashite lakini ukimsikiliza Makonda aka Bashite unagundua kwamba ni mtu anayejitambua ana akili mzalendo na kiongozi bora. Peace and Love Brethren!
Amina Mungu awambariki sana
Thank you Bishop. That is what we call Christian
Safi sana mungu akuinue daima
Bishop Gwajima Ana Akili sana
Mazungumzo Kati yakatibu wiraya na mkuu wakituo dodoma
Anaweza kuhubiri 😂 Allah ni mkuu, Hongera Makonda
Mungu mwenye nguvu kawakutanisha Mkuu wa mkoa paul makonda na gwajima mungu umetenda maajabu kuwaunganisha hawa watumishi wako.Mungu wabariki viongozi hawa na uwape upendo wapendane
Asante mtumishi kwaneno
Na hii ndo hazina aloiweka Mwenyezi Mungu kwetu wa tz
Nimeipenda sana
Shalom you two great friends...
mungu ashukuriwe Makonda and Gwajima
Kwa kweli wewe ngisi ulivo moonekani wako wewe jo ungekuwa preside tinzama ngisi una pendanza nakupendaka kwavili oko mweliwako munzuri una pendanza kama wangine wa lahiri 💃💃💃💃🇳🇱🇳🇱🇨🇩🇨🇩😍😍😍 wewe uko powa🔥🔥🔥🔥 👍😇😇
Aleeeeeeeeluuuya. Asante sana
ubarikiwe sana Mtu wa Mungu.
Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima, nakuelewa sana na nakupenda.... Mungu azidi kukuinua, wewe ni mtu muhimu katika Taifa hili la Tanzania!!
Wote kutoka Kanda ya Ziwa. Pendaneni tuu Watumishi wa bwana. Nimefurahi sana kuwaona pamoja. Sifa na Utukufu kwa Yesu.
Kazi ya MSALABA ni upatanisho peace&love Gwajima vs Makonda
Amen mtumishi
Mungu awabariki sana kwailo
Merci makonda, mungu akubaliki
Mungu awabariki kwa mshikamano mzr..naona nuru
Usiwe upendo wa Agape. Tuwe wakweli ndani ya mioyo sio mbele za watu. Tumuogope Mungu si binadamu.
Gwajima and makonda no comment
Yooh.nimeipenda hii aisee
Mkuu we Mkoa upo vizuri sana
Mr Tanzania Bishop Gwajima 👏
Nimeipenda sanasana
Iyo ndio sifa ya uwanaume. Safi sana mkuh makonda Safi sana bishop Gwajima mungu ni mwema
Uschezee mungu weye
Huyu Gwajima si alisema amemfuta, imekuaje tena, au nabii alikosea utabiri?
Unafaa kabisa hacha siasa ww unakitu kizuri katika nemo la Mungu
Mungu awabariki kabisaaa 😘😘😘😘
unapozungumzia kuwa tajiri lazima utofautishe na kubarikiwa. Utajiri una chembe ya uhasi na ubinafsi wakakati anayebarikiwa anabarikiwa ili awe baraka kwa watu wengine. Ibrahim alibarikiwa kwa ajili ya kizazi chake. Utajiri wa anayezungumzia mhe. ni tafauti na baraka. Mungu hatoi utajiri bali anakubariki ili uwe baraka na wewe kwa wengine.
mambo
Safi sana nimeipenda hiyo
Mungu ajulinde mweshimiwa
Yaani nimelia machozi ya Furaha , Gwajima kuwa na makonda , glory remein to God
Majesh majesh hakika kila mwenye tumaini ili na azid kujitakasa congratulations my bishop dr josephat ngwajima and Paul makonda
Mungu mwenye kutowa vipawa na garama ampa makonda nae ili wanasiyasa waige mfano wa kweli ubarikiwe sana baba kwajima kumpa madhabahu kaka yetu ameni.
Hiyo nimependa naanafaa kua Mwalim wamafundisho ya dini mungu ampe kipawahicho katika jina LA yesu
Shikamoo tanzania ; tanzania ukiona watu wanagombana usishangilie maana tanzania upendo uwa mkubwa kuliko uwadui
Nimekupenda bure kwa maneno mazito
Sisi ni upendo tu
Kweli nimeamin duu kama watt wadogo wakigombana unasema hawTakaa wapatane kidogotu unawaona wako pamoja ndivyo mungu anavyopenda tuwe
Hili Gombo sio la mchezo mchezo Ni Hai na Kamili kwa jina la Yesu
Kukutana kwa Paul makonda na mchungaji gwajima,,, yatatokea mambo tooo.... Kupatana kwao si kwema..
Kwaupendo huu gwajima mungu akupe nguvu
This man can be a good preacher
There is a difference between a good preacher and sanctified good preacher. Basically, even a good salesman is a preacher, a good preacher of course.
Joseph Dasare Lol 😝
Ni kweli kabisa, sisi sote tumeumbwa na Mungu na ni wana wa Mungu,... Hatutoi vya kishetani matusi ni Ya shetani
@@sumatanjunior231 hahahaaa
Ni kweli ana hubiri vizuri makonda angekuwa mchungaji angependeza sana
Tanzania ni amani mungu ataliweka wazi hili na nchi yetu itabaki kuwa salama(ila mungu hadhihakiwi)
safi sana baba gwajima na makonfa😍😍😍😍😍😍
Hongereni washangriaji kwayare macho yenu yanyama kwan hamusom neno lakua waumin mutahukumiwa kwakuwa fyata wachungajj wapotoshajj olewenu muspo chunga hilo mwanadamu anapenda dunia sana pesa mbere
KAKOBE hazina kubwa sana Tanzania
Najisikia raha san nikisikia neno la mungu
Asante Yesu
God bless Africa in Jesus Name
Unajielewa kweli wewe halafu unajiita muislamu,eti in Jisus name???? Katupwe huko yaani wafuata mkondo tu,
I like it
Kaka angu Paul makonda nimependa ulivyo ubiri, napenda muendelee kuwa wamoja tena kwa upendo kwani ninyi note nikitu kimoja!! Nawapenda Sana kaka zangu ngwajima na makonda MUNGU endelee kuwashika mikono Ameni
Amen kubwa sanaaaaaa
Ahahahahaha
Inapendeza sana
Hawa ndo viongozi tunaoitaji haswaa wanaomkiri kristo yesu MUNGU akuinue ufikie kuwa rais wa inshi yetu
Kwa kweli ametupa laivu!
Umasikini siyo sehemu ya Ulokole.
Siyo ulokole siyo sehemu ya mkiristo yoyote yule hakuna ubagizi ndani ya ukristo Kwa mungu sisi ni matajiri upo
nakupenda sana makonda kusaidia watu maskini ingawaje mimi sio mtanzania
Sawa mchungaji #BASHITE
Hapo gwaji boy anamchora tu bashite
Wao
Ashukuliwe Mungu wawatakatifu kwakuwa kawapatanisha nakuwapa miyo mipya
Makonda upo vzr🙏
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ya kimwili ni temporary! Tuutafute kwanza ufalme wa mungu and then tunatafuta vya duniani kwa msaada wake mungu.
Hii ndo kazi inayokufaa zaidi mh
Big up sana MAKONDA NA ASKIFU GWAJIMA
Makonda unafaa baba kuhubiri barikiwa
Rheri kuishi pamoja kwa umoja. Mungu awabariki watumishi
safi sana makonda unakipaji cha upasta
Kumbe Makonda ni mhubiri mzuri tu anza kupiga injili tu
Uko vzr makonda
Amina
Dah!
Safi SANA kweli! Bashite na Bashita uso KWA uso safi sana! Kumbe naye ni muubiri mzuri tu!
Bashite jeuli kwisha
amee ameen - na huo ndio ujasiri na Zab :119:165 inasema wana amani nyingi waishikao sheria ya Bwana wala hakuna la kuwakwaza
hongera
Ameeeni.
Hiyo ndio chaguo lako
Shikamoo Gwajima
ilove you paulo makonda nimebalikiwa xana
24:23-25 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
23 Wakati huo mtu aki waambia, ‘Tazama! Kristo yuko hapa!’ au ‘Kristo yule pale!’ msi sadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo na manabii wa uongo
Unafiki mbele ya Mungu ni ukafili
Gwajima daaah .....
Mimi huwa nawapenda wooote Makonda na Gwajima sasa ikanibidi nikae njia panda sasa Mungu amejibu maombi yangu ila ninachoheshimu pia ni huduma ya Baba Askofu Kakobe ni huduma ya upatanisho kumbuka wakati wa kulala na Askofu Razaro ilikuwa Baraka Mungu mtunze Baba Kakobe kwa Huduma Ya upatanisho.
Askofu kulola na Askofu Razaro walipatana kwenye huduma ya Kakobe
Friends are like quite angle
Hapo Gwajima anamchora tu😁😁😁😁
Sura ya Ngwajima 😂😂😂😂
Makonda anacheza kama pele kila sehem ana fit ndo mana magu anampenda😁😁
omary kk3 kabisa jamaa anajua kusoma alama za nyakati l love makonda
makonda,gwajima, kakobe wote wanafik tu
Kama hujui kaa kimya
heh asante makonda daaaah mbwembwe zote km rais na kufungiwa na mkanda wa gari ila unastahili sana mana unajituma na jiji kubwa sana hili