Anna hakuwah mpenda Diba mkifwatilia maisha Yao ya mahusiano mtajua.alifanya kumsahau Bobo lakin upendo bado ulikuwa kwa bobo. Diba naye aliwehuka mnoo
Diba co umuache Anna huyo amelis kwaiyo hawezi tulia kabisa maana anawashwa kila uchao leo na wewe diba ndo kama zuzu vile yani mpaka unaboa wanaume hawako hivo bana...
Peter unanivutia sana jinsi unavyo act you are so amazing ❤
Wanamfukuza ferix kama wana kemea pepo😅😅😅
Idi 😂umekataa hela umefurahia sifa 😂😂😂
Ila Anna muacheni awanyionye aliteseka sana adi kwenda mitoni kuoga
Shakashau nae anapost JUA KALI NA HUBA YA KESHO. 🥰🥰🥰🥰😍😇😇😇
Anna mrembo Sana, diba 😢😢 nenda tafuta masikini mwenzako😮😮😮
Uwiiiii jua kali kabisa kwa maria
Yan Anna sema Diba nae alikosea kile kipindi alicho mteka ange mpdd ata asinge mletea zarau kama hzi😢
Ila Anna mrembooo very beautiful
Black melanin flain🫂❤️🥰🥰
Sijawahi muona Anna akiwa amevaa suruali hadi raha kwenye mavazi
Anna mrembo🎉🎉🎉❤
Ann akimuona Peter atampenda na Glory akimuona Davis atampenda ambapo itakua n exchange of mjulus 😂😂😂
😂😂😂
Bila shaka wewe ni mkenya😂😂😂
@@clarisrobert7658 😂😂😂😂harooo genz in the house
Duh,Diba wa mama Diba jamanii😢
Jaman me felix na thomas wananikeraaaa mwenzenu
Anna vya kurithi huwa vinazidi duuu! Sijui unataka nn? Kwenye maisha yako ya mahusiano.
Anna hakuwah mpenda Diba mkifwatilia maisha Yao ya mahusiano mtajua.alifanya kumsahau Bobo lakin upendo bado ulikuwa kwa bobo. Diba naye aliwehuka mnoo
Kwn anna na devis tayari washakuwa wapenzi? Devis kashamwambia anna kuwa anampenda?
Kwani si davis amkule anna hio story iishe😂😂...ni kama kiharagwe cham-washa
Jamn lamata mwonee hulum dib mtaftie mwanamke atakae mheshim
weeee mjomba mweu ati leusi limeenea hewani laoshe shwa pijama 😂😂😂
Diba co umuache Anna huyo amelis kwaiyo hawezi tulia kabisa maana anawashwa kila uchao leo na wewe diba ndo kama zuzu vile yani mpaka unaboa wanaume hawako hivo bana...
Wapili jmnii
Sasa huyu mpuuz Anna amefuata nn kama bado ana hasira
Ila Anna ana umalaya ulopitiliza
Diba badilisha muelekeo rudi kwenu,
Ila Felix Felix tunatoboaje apa Watt wa mama maria😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilivyowahi leo jmn lakini Ana !!!!!
watu wa maisha magic east tuko nyuma ama
Felix anaichukiza na madevu wake
Davis hiyo na c inabisii eeh mpelekee diba kama zawadi😂
🎉
Guroli angempata juma nigecheka san
Kwel Thomas ameamua kumkomesha maria😂😂😂
Huyu Anaa kinachomnunisha kitu gani maana haeleweki
Vya kurithiii vinazidii yaan nyumba ya Prof kwa pepo la penda penda sjui nan kapona😮😂😂 only bill 🎉
Hubaa na juakal siku hizi kupatikan mtihan kwl daah😢😢asantee dj tunaishia tuu vipande vipandee🥺
Karibu sana, like na comment video zetu ili uendelee kupata huduma zetu
shakashau nae anapost, karibu.
🥰😇😇
@@SHAUMEDIA-27 sijamjua😔
@@SHAUMEDIA-27nshaon ila ndo kupost baada ya muda flan inapotea😢 sawa bn asantee
Huku chiku kule aisha hatari jua kali bar inasubiri
🎉
Felix anatumwa na babake ili azdi kumharibia maria
Watudhalilisha Aisher awavai ivo wala kuongea ivo
😂😂😂😅
Ntabadili jina c kwa hali hiii... ety Aisha😏
Piter unanikosha sana
Devis kma sharukhan yani ana drama
Nimewah like tafadhari😂
Maria zimia umkomeshe hu[ felikis