Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante sana Dr.kwa kutupa elimi'.Endelea kutuelimisha tena.🙏🙏👍👍
Kama mungu alipanga nife kwa ukimwi ntakufa tu, na kama ajapanga siwezi kufa
asante dr mungu akuongoze katika kazi zako ushauri mzuri
Ni elimu nzur
Dr. Samahani, je anaweza kutumia tena ile dawa, ARV au lazima abadilishiwe?
Well said broh
Zinachosha ☹️☹️☹️
Tuelimishe zaidi dtr
elim nzuri
Sababu virusi wanadhuru mfupa kwahivo chakura kipi kinaimarisha mfupa
Ukicherewa kunywa kwa saa ulilo jipangia inakuwaje mamaaangu mgonjwa ananisumbuwa kunywa
Pole sana upendo Michael hata mm pia mama yangu alianzishiwa dozi badae akagoma kunywa kuanzia week ilopita yuko hospital kalazwa hana hali
Huwa wanapata fangus zinapanda mpaka kichwani hivyo kupelekea kuchanganyikiwa
Mchanganyiko wa mtindi na vitunguu swaumu hausaidii kweli kupungusa fangasi
alaaa sawasawa
Na jee kama imetokea umepililiza kwenyenye siku Moja labda umechelewa kuzifata ukapitiliza siku tatu au ni madhara gani yanapatikana
Yani!!! kinga zikiwa nyingi
Unaweza kuwacha kunywa dawa
Mung atuepushe
Mazoezi ypi harusiwi kufanya mtu wa hivo
Nimekupata mkuu
Mkuu umegusia ktk mda ateilist masaa mngp usiptilze
Je? Ukinywa dawa bila kula ninikitatokea?
Chakura kipi kinaonheza kinga
Ni chakura kipi
Kinacho imarisha mifupa
Ni chakura gani kinaongeza cdf
Matembele yanongeza kwa kasi sanaaa
Hospital si unaambiwa