Zoba - Leyla Khatib

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 62

  • @zainabashraff8754
    @zainabashraff8754 5 лет назад +45

    Asante sana kwa huu wimbo nautafuta sana wimbo wa Leyla Khatibu ule ..... Ukubwa ni Jalala ,,,
    Kama na wewe unautafuta pia GONGA LIKE !

    • @babsule362
      @babsule362  5 лет назад +1

      Karibu Dada...👍

    • @djangounchained6867
      @djangounchained6867 4 года назад +2

      huo wimbo adim sana .nimeutafuta had nimechoka ...hiv na mpang wa kwenda kwa mganga akapige ramli tujue ulipo.....

    • @nornooo7225
      @nornooo7225 4 года назад +1

      @@djangounchained6867 😂😂😂😁🤣

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 года назад +1

      @@djangounchained6867 Upo youtube wameimba Spice modern taarab Zanzibar

    • @brunojoseph8270
      @brunojoseph8270 3 года назад +1

      @@babsule362 natafuta nyimbo fulani hivi

  • @dingibahili5387
    @dingibahili5387 Год назад +2

    12/12/23 sina neno ..ni kilio tu nakumbula mbaali sana

  • @makayusuf3658
    @makayusuf3658 Год назад +5

    Allahumma ghfirwarha warhamha waskinha fi Jannatul. Allah Amlaze pema penye wema 🤲🤲🤲 Still a hit in 2023

  • @saidhemed7188
    @saidhemed7188 Год назад +1

    Zoba nyimbo moja safi,rest in peace Leyla khatib 😢

  • @jonathanpius3448
    @jonathanpius3448 5 лет назад +5

    Dah jamn leyla uliimba wallah ulikuwa unaumbo wallah t.o.t ulikuwa super nyota wa mchezo....Mungu akupumzishe mahara pema pepon,akusamehe adhabu ya kabri amiin inshaallah.........
    Mtuwekee na nyimbo zingine zake

    • @rahilhamidu9932
      @rahilhamidu9932 4 года назад

      Kweli kabisa leyla umbo sauti na alikuwa mstaarabu sana hata kucheza kwake

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 года назад +2

      Wallah Khadija alikuwa hamuwezi Leyla with all due respect

    • @mohamedsalum8933
      @mohamedsalum8933 4 года назад

      Amiin

  • @botulahmedrajab6405
    @botulahmedrajab6405 5 лет назад +7

    Asante Kwa huu wimbo.Allah amlaze penye wema.

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 5 лет назад +5

    R.i.p Leylw Khatibu huu wimbo ulitikisaaa mno kazi ya mungu haina makosa Allah akupunguzie adhab ya kaburi

    • @rahilhamidu9932
      @rahilhamidu9932 4 года назад

      Ameen

    • @mohamedhilali9756
      @mohamedhilali9756 Год назад +1

      Mwaka gani alifarikii nimemis ilee kijeba video yakee nakumbuka npo standard 7

    • @bekarama5248
      @bekarama5248 4 месяца назад

      ​@@mohamedhilali9756kati ya mwaka 2001 mwishoni au 2002 mwanzoni

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 Год назад

    😭😢Namkumbuka Leylah Khatibu Mama Aliumbika Uyu... Kansa Ya Ziwa ilimuondoa🙌

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 года назад +4

    Shukran Sanaaaa Yani, Zilipendwa Tamuuu, Allah amrehemu, Mbele Yake nyuma yetu.

  • @rahilhamidu9932
    @rahilhamidu9932 4 года назад +3

    MashaAllah tabarakaAllah nyimbo tamu sana . Allah akupunguzie adhabu ya qabri

    • @mohmoudsultan4406
      @mohmoudsultan4406 Год назад

      ASTAGHFIRULLAH. sote twajua mziki haramu. Mbna utumie majina ya ALLAH kuusifia.

  • @SalmaMohamed-ls2jv
    @SalmaMohamed-ls2jv 4 года назад +1

    Allah akupumzishe kwa amanai. Na akuepushe na adhabu ya kabri amiin inshaAllah

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 года назад

    Zoba kwangu halina mpango..... Can't get enough of this song
    Tuwekee nalijua jiji remix by Khadija kopa

  • @hidayamohamed3882
    @hidayamohamed3882 4 года назад +3

    Zoba zoba zoba kwangu halina mpango old is gold

  • @bintyabuu9210
    @bintyabuu9210 5 лет назад +3

    Waaaaah zakale bwana

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 года назад

    Si fedha wala uchawi,raha zimemdhibiti.....❤❤❤😍😍

  • @ttss3712
    @ttss3712 4 года назад +1

    Nkifika hapa hta cna stress tna naona poa 2 nmkwambia go zoba a ingia mitini si htr iyo R I P leyla

  • @sharifmtunia1920
    @sharifmtunia1920 4 года назад +1

    Hatari na nusu nakwambia GO ZOBA INGIA MITINI

  • @sanuramohd8720
    @sanuramohd8720 5 лет назад +4

    Asante kwa huu wimbo

  • @zubeidaali8681
    @zubeidaali8681 4 года назад +1

    Zoba zoba zilopendwa mashallah ajaab

  • @velmaagwona1945
    @velmaagwona1945 5 лет назад +4

    I'm not a Muslim but I love taarab and when it comes to dressing cord especially ladies 👌👌👌👌

    • @babsule362
      @babsule362  5 лет назад +5

      Taarab is not For Muslims its a swahili Cultural and if u have fallen for it good😊❤

    • @rehemanzige3514
      @rehemanzige3514 5 лет назад +2

      @@babsule362 exactly I wanted to reply like this..

    • @mohmoudsultan4406
      @mohmoudsultan4406 Год назад

      ALLAH forgive us.
      Taarab is music like any other music. and According to Islamic rules it is forbidden listening to music.

    • @Oli-lk1gp
      @Oli-lk1gp 5 месяцев назад

      ​@@mohmoudsultan4406It is not forbidden to listen to music. No Hadith about it.

  • @sharifmtunia1920
    @sharifmtunia1920 4 года назад +3

    Kama unazo nyingine tuwekee please

  • @lyzocommunication1783
    @lyzocommunication1783 5 лет назад +3

    Wahhh....Yaretii ningekua na audio yake

  • @rahilhamidu9932
    @rahilhamidu9932 4 года назад +4

    2020 na leyla khatib may her soul rest in peace

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 3 года назад

    old is gold bado nipo hapa 2021

  • @chimenyatvanganga8032
    @chimenyatvanganga8032 2 года назад +1

    Asante waoooo

  • @AminaSalim-o2s
    @AminaSalim-o2s 5 месяцев назад

    ❤❤

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 5 лет назад +1

    nliitafta kwa mbwa wa polic...nxhaipata assante kwa kutuaploadia

  • @awadhijumasaraiawadhijumas7956
    @awadhijumasaraiawadhijumas7956 3 года назад +2

    Bado video yake sasa

  • @nivancewali8192
    @nivancewali8192 Год назад

    Coplo wa usajenti 😂

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 3 года назад

    Helooooooooo