Great brain!!Kaka tunauzwa ,hapa ndiyo pale linapotimia like andiko"Baba zetu walikula zabibu mbichi nasi meno yetu yametiwa ganzi"Mikataba itaingiwa Leo lakini machungu watayaonja watoto wetu ambao inawezekana leo hii hawapo na hawajui nn kinafanyika Leo kitakachowaumiza wao kasho.Mungu atusaidie sana.
Aloyce Nyanda...genious ....umetoa maoni yako ni ya msingi. Viongozi wetu Mungu awajalie wayaone pia yatasaidia.Tanzania ni yetu tuilinde kwa maslahi ya kizazi kijacho.Maana historia haifutiki.
Nchi inatakiwa ijiendeshe yenyewe bila ya watu wa nje, sasa nini Maana ya kuwafukuza wakoloni, kiufupi inaumiza kuwa na viongozi wanaojali matumbo yao bila kuangalia masilahi ya nchi.
Nyanda Mungu akubariki sana, kwa unamuuliza maswali gani hayo, kwa sababu waandishi wote mmefiata mkia, hamtaki hata kuandika ya wanainchi. Wanainchi hatutaki kabisa. Siyo wanasiasa bali sisi ni wanainchi pia hatutaki kabisa.
Bro nakuelewa sana muwekezaji nampenda shida ni kwamba tunaingia hasara ambazo watalipa watu wengine kwenye muda vizazivijavyo vitateseka na mikataba tunayoingia muda ni mrefu sana
Aloyce Nyanda uko vizuri unatoa hoja zenye mshiko. Anayekupinga akupinge kwa hoja si kulalamika. Niko upande wako. Tafuta chama makini 2023 kagombee Ubunge ili tafakuri zako tuzisikie kwenye Mjengo mtakatifu. Hakuna kipindi Startime Ambacho huwa unanirusha kila wiki sikikosi. Tuko pamoja WABEJA GETE NGOSHA
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
Pole Mtangazaji. TATIZO NI HISTORIA YA MIKATABA MIBOVU ILIYOTANGULIA KUPITISHWA NA BUNGE LA CCM HASA YA MADINI. IMETUUMIZA SANA WANANCHI. KIONGOZI ANAKWENDA KWENYE MGODI ANAPOKEA BEBERU LA DHAHABU .
Kijana unamaoono mazuri phisically unaonekana weak but mentally uko full kimaono cna chakukupa kwa pamoja hatutaki utumwa tena bandari never never hatutak unless magufuli aje aseme
Ebwana Tandahimba wapo bz na Korosho zao, baada ya DP World watu wanajua kuna korosho na DP world wapewe wasipewe haiwezi kuongeza au kupunguza fursa ktk korosho
Uko vizuri maana hufuati mkumbo.Jambo zuri litabaki kuwa zuri.Nimegundua hawakuwa na hoja,anglau Wana cha kuwapeleka jukwaani ndo maana wanakazania tafsiri potofu
mtu akujua kutenda jema afu asilitende, mtu huyo ni mpumbavu! Nyanda wewe siyo mpumbavu! maana umetenda lililo jema. umetumia maneno sahihi na kwa wakati sahihi! wewe ni mwenye nchi kweli na umetimiza wajibu wako. ubarikiwe sana!
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
Mimi napishana na Nyanda sehemu 1 tu, anapotaka hili suala lingepelekwa kimya kimya... Bandari sio sarafu kiasi ya kwamba unaweza ificha mfukoni...ingefika siku watu wangejua kuwa muarabu anaendesha bandari....kelele za kuuzwa zingekuwa mara 2 ya hizi...hili suala lilivuja... serikali haikutaka ushiriki wa wananchi, ndio maana hata siku ya kutoa maoni ilikuwa moja tu pale bungeni....
Nyanda ukosahihi sana. Nikama naiona roho ya kamanda Magu kwambali ndani yako, kwamba uzalendo kwanza.. lakini sasa tunavyosikia nikwamba tayari maazimio yalisha pitishwa Kwahivyo sauti za wananchi kwasasa siajabu zitabakia kuwa plani B. Hatamie nilitamani tuwenamfumo unaoamuamambo makubwa kwa kutazama kiundani mambo na ikiwezekana kura iwe ya siri kwakila mtu, ndipo matokeo yakurayaamue. Lakini kwasasa ni mfumo wa ndiooooo imepita. Kwa hiyo bado tunamlima wakukwea ilikufikia hichousemacho.
Ww ulitaka aunge mkono ushenzi ndio ujue ana akili jambo lolote likipigiwa kelele na wengi kiuhalisia halifai hili hata lisingepigiwa kelele halifai tu maana limepitishwa na mikono michafu isiyo na dhamira njema kwa taifa
Hahahah yaani nimesikia faraja kuona hii comment, mm sipendi huo mkataba lkn jamaa kashindwa kujenga hoja kaongea upumbavu tupu , ajabu Kuna watu wamemsifia kweli 😅😅😅
Hapa ni ufafanuzi wa utulivu na yale yenye mashaka ilirudishwe bungeni lijadikiwe upya naamin likirekebishwa litakaa vema, hili linachafua taswira nzuri ya.mhmama ambayo kwa kwrli ameonesha uwezo mkubwa kiungozi, na dikila.mwana cvm anaueezo wa kuyoa ufafanuzi, wachaguliwe wasomi na wanasheria nguli, ❤
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
@@marzoukkhamiss2020 iko migogoro mingi ktk nvhi nyingi mojawapo dijibut hapa juu red sea, lkn tatizo sio kuwa au kitokuwa ni kuweka vizuri terms of contract, that's the only way out
Kama vile Naiona kesho yako ya kuwa sehemu ya Uongozi wa Nchi hii Big up!! Umeongea kifupi lakini tukinyambulisha ulichokiongea tunaweza kupata kurasa hata mia za kitabu
Kwa mawazo yangu,tunauzwa.Kabla ya mkataba wa bandari tupate katiba mpya.Hofu yangu kuna mkataba A na mkataba B.A, mkataba binafsi,endapo mkataba B utafanikiwa nitapata nini?Ktk 100%,20%ni yako.Haya,katiba mpya kuna hofu ya serikali 3,Kila mtu kwake,Sasa hii 30% itaenda visiwani,na hiyo 50%ni yakwako.Yumkini hiyo ishakubaliwa,hakuna ajuaye,ni mawazo yangu tuu.Sasa wanakuja kupambania mkataba B,kwamba kusiwe na ukomo,hakuna faida itagawanywaje,nk.Kuna hatari ya Tanganyika kuitumikia Zanzibar maisha yote na Zanzibar kua Dubai ndogo.Mkataba huu ukisainiwa inakuja katiba mpya.zanzibar ita sisitiza mungano uvunjike.Matokeo yake tutakumbuka aliyosema mbowe na lisu.Sisemi ndivyo ilivyo,ni mawazo tuu.Huu ni uhuru wa kusema au kutoa maoni.
Kuweka kumbukumbu vizuri ni kwamba mkataba huu haukuwekwa wazi kwa wananchi. Ulivujishwa. Si kweli Serikali au kwenye tovuti ya Serikali mkataba huu uliwekwa. Pili, kinachoshtusha wananchi si uwekezaji, bali aina ya mkataba na masharti yake. Hapa ndipo ukweli wa kuuzwa ulipo. Watanzania wa leo ni werevu kuliko juzi na jana.
Mwandishi wa Habari Nguli awageukia waliopelekwa Dubai, China ruclips.net/video/RUEPX4eDPNU/видео.html
Great brain!!Kaka tunauzwa ,hapa ndiyo pale linapotimia like andiko"Baba zetu walikula zabibu mbichi nasi meno yetu yametiwa ganzi"Mikataba itaingiwa Leo lakini machungu watayaonja watoto wetu ambao inawezekana leo hii hawapo na hawajui nn kinafanyika Leo kitakachowaumiza wao kasho.Mungu atusaidie sana.
Aloyce Nyanda...genious ....umetoa maoni yako ni ya msingi. Viongozi wetu Mungu awajalie wayaone pia yatasaidia.Tanzania ni yetu tuilinde kwa maslahi ya kizazi kijacho.Maana historia haifutiki.
Pamoja sana
Nchi inatakiwa ijiendeshe yenyewe bila ya watu wa nje, sasa nini Maana ya kuwafukuza wakoloni, kiufupi inaumiza kuwa na viongozi wanaojali matumbo yao bila kuangalia masilahi ya nchi.
Safi sana brother Nyanda umejaribu kutupgania Watanzania katika swala zima la Bandari yetu!!!
Na nyerere alisema msipuuze maoni ya wanainchi nyanda upo vizurii❤️❤️❤️
Sawa sawa
Nyanda Mungu akubariki sana, kwa unamuuliza maswali gani hayo, kwa sababu waandishi wote mmefiata mkia, hamtaki hata kuandika ya wanainchi. Wanainchi hatutaki kabisa. Siyo wanasiasa bali sisi ni wanainchi pia hatutaki kabisa.
Nani?
Hongera kijana mungu akulinde
Amen
Nmekuelewa sana bw aloyce uko mbali sana waelevu na wasio na maono hawatokuelewa salute sana
Aloyce hapo umeuwa yaan umeshinda wale wanaopayuka bila msingi wowote wanaojiita wazee wa minyama, hongera sana kaka Aloyce.
❤❤❤❤❤ Safi sana kaka your bliriant
Uko Vizuri Sana Aloyce, Mungu akubariki kwa kuwAongelea wananchi. Big up.
Mtozi kama mtozi
Genius man!!! Upo vzr
a.k.a Mtozi
Good point suluhu ni vitendo sio ushawishi wa maneno asante sana Aloyce
Aminaa .Maana mimi mwenyewe sikulala usinginzi mikweli tunaunzwa.
Congratulations 👏👏👏👏
You are master mind
Safi sana Nyanda.
Nchi ni ya wananchi.
Wasikilizwe
Hapa nimerudisha Imani kwako brooo
Hahaha
Maua broo
Safi Sana mtangazaji nyanda
Nyanda Mzee wa The Big Agenda
Nyanda ni bunge umesoma kuelimisha wa Tanzania mungu akutagulie
Huyu jamaa hata muonekano wake tu anaonekana ni mtu mchambuzi na makini sana
Hongera sana bro uko vizuri
Pamoja sana
That the point bro
@@tausiomary5294 blessed
Bro nakuelewa sana muwekezaji nampenda shida ni kwamba tunaingia hasara ambazo watalipa watu wengine kwenye muda vizazivijavyo vitateseka na mikataba tunayoingia muda ni mrefu sana
Sawa sawa
Nakuelewa sana ndugu Aloyce Nyanda - tunamkumbuka MAGUFULI aiseeee.
Principle ya wengi wapeee..imeenda hiyo🙌
Safi sana kaka
Watanzania waoga sana eti amejilipua aiseee!!!
Asante nyanda nimekuelewa vizuri Mungu akubariki kuongea ukweli kumbe Tulio mtaani ni bora kuliko walio mjengoni
Pamoja sana mdau
Huyu Nyanda ni mwandishi aliyesomea hasa kazi yake. Mi napenda kumwita GENIUS
Pamoja sana
Uko sawa kabisa nyanda
Well said brother
Umeongea vizuri kaka
Upo vzr bro
Pamoja sana
Basi bro Nyanda usiendelee watakuloga bule.mpe soda nakuja kulipa sasahv.👍👍
Umetisha
Ila Nyanda unajua kwamba unajielewa! Asante kwa tafakuri
Nalichokipenda na kunifurahisha ktk yote uliyosema ni - UPO UPANDE WA WANANCHI!
Aloyce Nyanda uko vizuri unatoa hoja zenye mshiko. Anayekupinga akupinge kwa hoja si kulalamika. Niko upande wako. Tafuta chama makini 2023 kagombee Ubunge ili tafakuri zako tuzisikie kwenye Mjengo mtakatifu. Hakuna kipindi Startime Ambacho huwa unanirusha kila wiki sikikosi. Tuko pamoja WABEJA GETE NGOSHA
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
Pole Mtangazaji. TATIZO NI HISTORIA YA MIKATABA MIBOVU ILIYOTANGULIA KUPITISHWA NA BUNGE LA CCM HASA YA MADINI. IMETUUMIZA SANA WANANCHI. KIONGOZI ANAKWENDA KWENYE MGODI ANAPOKEA BEBERU LA DHAHABU .
Kijana unamaoono mazuri phisically unaonekana weak but mentally uko full kimaono cna chakukupa kwa pamoja hatutaki utumwa tena bandari never never hatutak unless magufuli aje aseme
Hahahaaa angesema Magufuli ingekuwa sawa?
Bwana Nyanda,, hawajalileta kwa jamii. Limevuja! Na sisi wananchi tumeusoma mkataba,, ni mbaya mno.
Aisee
Nimekuelewa vizuli kamanda hatamimi kama mtanzania naungana nawatanzania wenzangu kukataa maamzi ya laisi kubinafisisha bandali yetu hatutaki na lifutwe malamoja
Upo vzr nyanda
a.k.a Mtozi
Naa iih media nlivyoiona inasuport mkataba
Aisee
Mtoni mwanagezi 🙌🏾
atujashirikishwa tumejulishwa tofautisha kushirkishwa na kujulishwa
DP Maulidi kitenge, DP zembwela na DP gelardhando jifunzeni kutoka kwa nyanda it is free charge advice.
Braza ishu mkataba unamazingira ya uuzaji
Tunauzwa tunayzwa tunauzwa jamani uwiii Magufuli Rest in peace
Hongera kwa mawazo yako.
Sawa sawa
Nimeipenda hiyo
President must stepdown,kama hutafanya hivo utapinduliwa . Chama cha Ccm kinajichimbia kaburi .
Well done brother 👏👍🙌
Blessed
Ebwana Tandahimba wapo bz na Korosho zao, baada ya DP World watu wanajua kuna korosho na DP world wapewe wasipewe haiwezi kuongeza au kupunguza fursa ktk korosho
uko vzur nimekuelewa
Uko vizuri maana hufuati mkumbo.Jambo zuri litabaki kuwa zuri.Nimegundua hawakuwa na hoja,anglau Wana cha kuwapeleka jukwaani ndo maana wanakazania tafsiri potofu
Sawa sawa
mtu akujua kutenda jema afu asilitende, mtu huyo ni mpumbavu!
Nyanda wewe siyo mpumbavu! maana umetenda lililo jema. umetumia maneno sahihi na kwa wakati sahihi! wewe ni mwenye nchi kweli na umetimiza wajibu wako. ubarikiwe sana!
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
@@marzoukkhamiss2020 ni Bora tuendelee kul wenyewe
@@marzoukkhamiss2020Tuacheni na bandari yetu hatutaki kabisa
Uko sawa kabisa kaka
Pamoja sana
Nimekuelewa mkuu
Sawaa
Fact My brother Nyanda
Blessed
Mimi napishana na Nyanda sehemu 1 tu, anapotaka hili suala lingepelekwa kimya kimya... Bandari sio sarafu kiasi ya kwamba unaweza ificha mfukoni...ingefika siku watu wangejua kuwa muarabu anaendesha bandari....kelele za kuuzwa zingekuwa mara 2 ya hizi...hili suala lilivuja... serikali haikutaka ushiriki wa wananchi, ndio maana hata siku ya kutoa maoni ilikuwa moja tu pale bungeni....
Kabisa
Upo sahihi Nyanda ...umenijibia na mm
Yes,tumeuzwa kwa kusaini mikataba mibovu
Hongera Kwa uwezo mzuri kufikiri
Hakika
Naam
Namkubali sana
Safi
Nyanda ukosahihi sana. Nikama naiona roho ya kamanda Magu kwambali ndani yako, kwamba uzalendo kwanza.. lakini sasa tunavyosikia nikwamba tayari maazimio yalisha pitishwa Kwahivyo sauti za wananchi kwasasa siajabu zitabakia kuwa plani B.
Hatamie nilitamani tuwenamfumo unaoamuamambo makubwa kwa kutazama kiundani mambo na ikiwezekana kura iwe ya siri kwakila mtu, ndipo matokeo yakurayaamue. Lakini kwasasa ni mfumo wa ndiooooo imepita. Kwa hiyo bado tunamlima wakukwea ilikufikia hichousemacho.
Msicho kijua kwamba bandari ilikuwa chini yamuwekezaji je tatizo nn kuwa wanapewa watu wanje au inakuaje.......?
A
Huyu Nyanda hakuna chochote cha maana alichojadili, hakuna Critical analysis aliyofanya, amekuwa mlalamikaji tu
Ww ulitaka aunge mkono ushenzi ndio ujue ana akili jambo lolote likipigiwa kelele na wengi kiuhalisia halifai hili hata lisingepigiwa kelele halifai tu maana limepitishwa na mikono michafu isiyo na dhamira njema kwa taifa
Hahahah yaani nimesikia faraja kuona hii comment, mm sipendi huo mkataba lkn jamaa kashindwa kujenga hoja kaongea upumbavu tupu , ajabu Kuna watu wamemsifia kweli 😅😅😅
Hausomi Magufuli alisema, mkataba ya bandari Hata mwendawazimu hawezi kusaini
Kwel
Hujakosea Mkuu. Mayowe yapo kwenye mkataba. Mkataba ukikaa vizuri haina shida.
Point Tupu UZALENDO WA KWELI KWELI INAWEZEKANA JAPO TUKIMTANGULIZA MWENYEZI MUNGU KWELI KWELI
Hajui alisemalo
Nyanda Wewe endelea na Satu pamoja na Sangara kanda ya ziwa! Bandari tuachie Watu wa Pwani!
Hujasikia kama Mkataba inahusisha mpaka na Maziwa yote?
Hapa ni ufafanuzi wa utulivu na yale yenye mashaka ilirudishwe bungeni lijadikiwe upya naamin likirekebishwa litakaa vema, hili linachafua taswira nzuri ya.mhmama ambayo kwa kwrli ameonesha uwezo mkubwa kiungozi, na dikila.mwana cvm anaueezo wa kuyoa ufafanuzi, wachaguliwe wasomi na wanasheria nguli, ❤
Sawa sawa
Brother mimi nikuambie kitu DP WORLD wanasimamia bandari nchi 32 duniani na hujawahi kusikia kuna shida yeyote halafu mimi nikuambie wale wizi wote waliopo bandarini watakataa hilo swala mana tupo watanzania hapa Dubai na tunafanya kazi dp world Dubai hemu Africa tuamkeni badari ipo miaka ningapi kila siku ni yale yale watu ni wizi vibay
@@marzoukkhamiss2020 iko migogoro mingi ktk nvhi nyingi mojawapo dijibut hapa juu red sea, lkn tatizo sio kuwa au kitokuwa ni kuweka vizuri terms of contract, that's the only way out
Ahsante kaka nyanda
Pamoja sana
Kama vile Naiona kesho yako ya kuwa sehemu ya Uongozi wa Nchi hii Big up!! Umeongea kifupi lakini tukinyambulisha ulichokiongea tunaweza kupata kurasa hata mia za kitabu
Safi
Una maono mazuri lakn kumbuka wazalendo Wa kweli hawapew uongoz bingwa
@@VotanVotan-gb3hd hahahaha
Hii nchii ukisema ukweri unaonekana adui maana viongozi walio wengi wapo kwaajiri ya masirahi Yao wala sio taifa kwanza.
@@nurdinrashid9722 noma sana
Kwa mawazo yangu,tunauzwa.Kabla ya mkataba wa bandari tupate katiba mpya.Hofu yangu kuna mkataba A na mkataba B.A, mkataba binafsi,endapo mkataba B utafanikiwa nitapata nini?Ktk 100%,20%ni yako.Haya,katiba mpya kuna hofu ya serikali 3,Kila mtu kwake,Sasa hii 30% itaenda visiwani,na hiyo 50%ni yakwako.Yumkini hiyo ishakubaliwa,hakuna ajuaye,ni mawazo yangu tuu.Sasa wanakuja kupambania mkataba B,kwamba kusiwe na ukomo,hakuna faida itagawanywaje,nk.Kuna hatari ya Tanganyika kuitumikia Zanzibar maisha yote na Zanzibar kua Dubai ndogo.Mkataba huu ukisainiwa inakuja katiba mpya.zanzibar ita sisitiza mungano uvunjike.Matokeo yake tutakumbuka aliyosema mbowe na lisu.Sisemi ndivyo ilivyo,ni mawazo tuu.Huu ni uhuru wa kusema au kutoa maoni.
Upo sawa ulichokiwaza kamanda
Yan wewe umeona mbali sana kwa nini watanzania nasi tukawa kama wewe ili tugome tu
Akili nyngi sana wewe balkiwe Mkuu
Tunauzwaa
Jamani
Kuna Uhuru wakuongea lakini je jiulize ukiongea utakua Uhuru
KAZI IENDELEEEEEE
Asante Nyanda
Karibu
Umeongea vizuri sana
Safi
Nakuombea kwa mungu Aloon Nyanda. Kwan umesema ukweli hujawa mnafiki
Amen
Nchii ameanza kuuza Nyerere kwa wazungu hamjasema kitu
Fafanua kwa mfano
Safi sana nyanda hili suala sio uzanzibar,utanganyika,sio ukristo wala uislam suala ni kwamba sisi tunauzwa ukiangalia hizi dini
Ipo sawa
Tunauzwa kaka
Ushauri wako?
Saf San aloyce nyanda uko sahh sn kwel star tv hakubahatisha kuwa na ww makin cna
Wao wamesha amua kutuuza tuwaache waji nufaishe😢
Nyanda umepiga siasa,sema ukweri tumepigwa
Hahahaaa
Safi sana bwana nyanda
Mh Aloyce Nyanda naomba 2025 kachukue fomu ya ubunge. Mungu akuongoze, unajua mpaka unakera
Hahaha
Ivi wakiacha kunahasara gani kuliko kuwachafua,miaka yote tupo,kwani likiuzwa ndo shida zitaisha.
Ishu maisha Yako bingwa unajitambua pokea maua yako
Safi
Kweli kaka nimekuelewa simamia hapo hapo
Kuweka kumbukumbu vizuri ni kwamba mkataba huu haukuwekwa wazi kwa wananchi. Ulivujishwa. Si kweli Serikali au kwenye tovuti ya Serikali mkataba huu uliwekwa. Pili, kinachoshtusha wananchi si uwekezaji, bali aina ya mkataba na masharti yake. Hapa ndipo ukweli wa kuuzwa ulipo. Watanzania wa leo ni werevu kuliko juzi na jana.
Sawa sawa
Acha siasa wew iyo nisiacha sijakuelew
Hujaelewa wapi?
Mkataba ulivuja hatakama usingeletwa bungeni kelele zilisha anza tayari
Umesema vyema
Sawa sawa
Sawa sawa
Mwenye kuelewa wameelewa kuwa nawe unajua mnauzwa
Hahaha
Tuko pamoja nyanda no taxation without representatives...hawa ni wahuni...