Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿
Ni kweli yote hayo mambo ya ajabu hata sisi tunaona huku kwetu ushauri wangu tusishiliki haya mambo ya kijinga naombeni tusishiliki uchaguzi mpaka katiba mpya
PARTY 01: CHADEMA waeleza dorasi zoezi la uandikishaji ruclips.net/video/vtPrWq9yZRI/видео.htmlfeature=shared
Huku Msalala watendaji na watu wa ccm wanapita kwenye mikusanyiko na nyumba kwa nyumba kuandikisha mbaya zaidi wenyeviti wa vitongoji wanaandikisha
Haibu mno.aise sijui kwa nini hamuon aibu aise
Waaanike
Yote unayoyataja yamefanyika nchi mzima, huu autakuwa uchaguzi Bali utakuwa uchafuzi mbaya zaidi ya 2020
Duuh
safari ni ndefu sn tutafika tumechoka sn
Halafu utasikia ccm wameshinda kwa kishindo
Lifisiemu bwana kwa hiyo wiki ya vijana ni kwenda kuwaandikisha kabla ya umri mavi ya kuku
Kamamda upo mkuu?
Nyie pigeni kelele2 vituko vinavyofanyika uku kitaa nani aende kwanza uvyoongea wanavitendea kazi
Wananchi wengi hatuungi mkono ujinga wa ccm so tunatakiwa tuhamasishe watoto wetu wa shule wakajiandikishe mbona ccm wataeleweka tu
Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿
Njooni huku kata ya Bujashi naushahidi upo watoto vmiaka kumi wameandishwa
Nani amfunge paka kengele!
Ni kweli yote hayo mambo ya ajabu hata sisi tunaona huku kwetu ushauri wangu tusishiliki haya mambo ya kijinga naombeni tusishiliki uchaguzi mpaka katiba mpya
Acha uongo hiyo ilikuwa wiki ya vijana lazima wanafunzi wawepo
Poleni sanaaaa Chadema Saccoss mtahangaika sanaaaa
Magret wewe ni mhuni mtu ya kujiuza kwa mamboga mboga
Mbona huku kwetu hayo mambo hayapo acheni vurugu
Chadema mmeshajua mnashindwa vibaya huyu uchaguzi mnatafuta sababu za kukimbia😂😂
mshaaza kulialia
Hauna akili kabsa ukija kuelewa kuwa uchaguzi una simamiwa na moja ya washindani utakuwa umri umeenda
Wekeni tume huru muone mnavyokula za uso
@@boniphacewambura1427wanajua aise watavyonyooshwa!
Jitoeni bac msipige kura wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu